Kichwa cha ujumbe tumieni maneno ya busara kuna watu wapo na ugonjwa wa moyo mtakuja shtua watu pressure .tafadhali tumieni hekma kwa kwa kuweka ujumbe watu waelewe sheikh jazakumlakheri 🙏❤❤ Kenya we love you More in the sake of Allah 💕
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
View
@AshrafyYousufАй бұрын
Hata mm nime shitika sana
@saadali838Ай бұрын
Bora anwani inge kua, Kishki atembelea jela huko Kisumu Kenya.
@jamalsaid540929 күн бұрын
@@saadali838sawa kabisa
@FghgRyy29 күн бұрын
Kwa kweli maana nimesoma mara mbili mbili Subhana Allah
@siriyangu4724Ай бұрын
Mashallah sheikh mawaidha yatia moyo Allah humma mamiin ❤
@omargargaar5611Ай бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika Allah awafnyie wepesi wlio kuwa na mitihani kwenye Gereza Allah awatoe salama
@yoramabubakar8012Ай бұрын
From Burundi🇧🇮 nimesituka sana nilipo soma kichwa cha habali sio poa jamani . Allah amhifadhi mashekh zetu 👏
@JokhaJokhaablaАй бұрын
Badilisheni kichwa cha habari mnatushtua kwa presha haipendezi .Allah azidi kumlinda shekhe wetu na kila aina ya mitihani .pia hongera sana sheikh wetu kwa ulichokifanya Allah akujaze kheri nyingi na baraka pia Amin yaarab
@yasminjuma9146Ай бұрын
Hapa zanzibar tunakuombeni MASHEKH ingieni magerezani muwape dawaa na wafungwa pia wanahitaji mawaidha. Na hao ni binaadam. Wengine wanategemea kuwa huru na wengine wamo huko huko maisha yao yote. Allah atufanyie wepesi amin
@jamillahmussa3775Ай бұрын
Alhamdulillah, Masha Allah, katibu wageni, laiti nigekuwa kenya ningefika kisumu ili nimuone tu sheikh kishik, huwa namfatilia mawaidha zake sana, one day tutakutsna,
@khadeejahrashid3177Ай бұрын
Kumbe sio mm peke nimeshtuka, nilikua nataka kumuombea dua Alhamndulillah Allah awahifadhi mashekhe zetu
@SharifaOman-bf1bnАй бұрын
Allah. Amuhifadhi. Shekhe kishki. Amlinde. Na husda. Za waja tunakupenda. Kwa ajili. Ya Allah❤
@myunaniniahmad6463Ай бұрын
Aaamin yaa rabbi.💞
@hasnakidАй бұрын
Allahuma aameen
@nailaomar4810Ай бұрын
Ameen
@AishaSalim-k2f25 күн бұрын
Amiin
@noot-oe2mwАй бұрын
Jamani nilisoma marambili marambili Alhamdulillah Shehkh yetu ALLAH akupe maisha malefu na Pepo ya filidas inshallah
@FASSALEHALIBАй бұрын
Hiyo anwani karibu nillie. Kuweni waangalifu mnapo andi anwani IN SHAA ALLAH.
@سالمالجابري-ق8كАй бұрын
Wallahi sheikh mimi pia nimeshtuka mwanzo niliposoma kicwha cha habari, kua sheikh anaingizwa gerezani kisumu, lakini nilipofatilia vizuri kua una wazuru wafungwa waliomo ndani ya jela, wallahi Allah akuhifadhi zaidi washukran.
@NajmaAli-yw9ivАй бұрын
Allah azidi kukupenda mwanangu akuepushe na hasad ya kijini na kibinadamu
@othmankhalid7994Ай бұрын
Amin Rabbil A’alamin
@zahraabdul9652Ай бұрын
Amen
@hamisisaid-zz2yeАй бұрын
Ameen wa minhum ya rabbil allamin
@Abdidirir449427 күн бұрын
Masha Allah,barakajjah fikum,for visiting our brothers in prison,may give our brothers nuzraah.
@hasnakidАй бұрын
Nilivyoona kichwa cha habar, nimeshtuka kwa kwel But Alhamndulillah hajaingizwa kwa ubaya. Allah akuhifadh ew Sheikh wetu #Kishk tunakupenda kwa ajil yake.
@nailaomar4810Ай бұрын
Hata mm nimeshtuka sana Allah amuhifadhi shekh kishki kwa Kila shari lakini nilishtuka sana nilivona kichwa Cha habari 😢
@hassanboruАй бұрын
Mseme amehudhuria gerezane jameni tumeistuka sana bona sheikh wetu ameshekuwa mola akuhifadhe sheikh wetu wote Allahmudulilah tunawapenda sana kutufikishia Dawaha mungu awalipe mema hapa duniani na kesho Akheira na hatupe mwisho mwema hapa duniani na kesho Akheira in shaa Allah I love you ❤ Muslims Brotherhood ❤️🤝 one ❤my Brothers And sisters tusimsahau kufanyea ndugu zetu Palestine Lebanon Syria na kote duniani In shaa Allah 🙏
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Jazakrllah khaillah mashehezetu. Alĺah awahifadhi. Awajaalie mwisho mwema
@DjumaAshaАй бұрын
Pole sana wapendwa Shekh wetu mpendwa yupo salama salimina Ma sha Allah Allah azidi kutuhifadhia shekh wetu 🤲 🤲
@zainabmaulidi9846Ай бұрын
SubhanaAllah Nimeogopa😢😮😂 ALLAH Akulinde sheikh Wetu kipenzi ❤
@eddymaphyАй бұрын
Aamin yarabbal'alamin
@jumahamad3723Ай бұрын
Amiin
@SophiaMbogo-in7ytАй бұрын
Jamani mkitoa kichwa cha Habari muwe Makin mutauwa watu na pressure nimetulia nafsi baada ya kuskiliza Allah awabariki wote walio andalia hili na shekhe wetu mungu muhifadh
@mwanatumuswaleh1529Ай бұрын
AMIIN Ya Rabb Allah amlinde sheikh kishki
@AminaKaifaАй бұрын
Yaan had m nimeshtuka vibaya mno
@hasnakidАй бұрын
Aameen
@rozinangeti4996Ай бұрын
Wanatafta viewers na headlines za upuuzi
@suleyazidu4991Ай бұрын
Mim pia et
@ikramsuleyman2710Ай бұрын
Allah akuhifadhi shekh wetu tunakupenda sana nappa Allah awahifadhi mashekh wetu wote popote duniani Aamin.
@aishahazary4097Ай бұрын
Maasha Allah ....ALLAH ampe umri mrefu Shehe Kishki ..Tunakupenda kwa ajili ya ALLAH
@fatmafatu1128Ай бұрын
Ya ALLAH tunakuomba uwafanyie wepesi ndugu zetu wafungwa hawa nawengine washinde mtiani huu
@mariyamhappyАй бұрын
Ebu eleweni maswali kabla ya kuandika utumbo wetu plz 😂😂 sasa sheik akatatwe kwa kosa gani 😂😂 jiongezen plz ❤❤❤ you sheik kishk mungu akupe kher popote ulipo na akuzidishe umr uweze kutuelimisha zaidi 🤲🤲🤲
@DjumaAshaАй бұрын
Aposasa mi sijaona Hapo kosa Kwa Watangazaji Anuani imeeleweka kwamba shekh Kishki Kaenda kufanya ziara Gerezani
@SalamaJonathan-x6oАй бұрын
Asiyekuwa na makosa ni Allah tuh hivyo kustuka nilazima kulingana na walivyo andika
@mariyamhappyАй бұрын
@@DjumaAsha Exactly ❤❤
@mariyamhappyАй бұрын
@@SalamaJonathan-x6o Ata mwenye kuandika pia ana makosa watu ndio awakuelewa maandishi mtu wa kukamatwa usherekewa tusikimbilie cucoment kabla ya kuangalia kilichotekea
Tumefaidia ata ss tuliokua huru ALLAH atusamehe na atuondolee mazonge ya dunia Ameen
@jumanjenga768229 күн бұрын
Masha Allah Ustaz wote wa Prisons na Sheik Kishki.
@mohmadalmahrizi371729 күн бұрын
Mama ummy oman Jamani hivi vichwa vya habari mnaweza kuua watu wenye presha maana nilikuws ns kazi niliacha ili nione sababu Allah akuhifadhi shekh kishk duniani na Akhera Allah awahifadhi wote
@MohamedHozi-p1uАй бұрын
Mashaallah shekh kishki umefanya kitendo chema allah akujaze kheri..daawah apo nmuimu ili iwebadlishe kwa uwezo wa allah
@SuleimanSwidiq-fj5pxАй бұрын
Manshallah Allah akuhifadhi n'a akupe umri mlefu sheikh wangu kipenzi
@sikosiko705827 күн бұрын
Nimestuka kwa hiyo anwani ya sh kishki aingizwa gerezani kumbe Alialikwa, Allah awahifadhi mashekhe wetu amib
@rehemaabdallah9370Ай бұрын
Subuhanallah nimeshtuka sana, sheikh kishk Allah akulinde tunakupenda Kwa ajil ya Allah
@zahraalbaloochi2841Ай бұрын
MashaAllah MashaAllah Shkh Kishk Allah akupe umri na afya Yarrab
@uiavajiwgav5441Ай бұрын
Mashallah tuna kupenda wakenya kwa ajili yaallah al alama shekh nurdin kishki ❤☝️
@bentybenty2343Ай бұрын
Masha ALLAH Tabarakallah..ALLAH akuhifadh sheikh
@AbubakarSebuhoroАй бұрын
مشاء الله تبارك الله Mawaidha mazuri yenye nasaha kwetu sote,Aamin
@SakinaSakinat-qd9rsАй бұрын
Mtakuja ua watu na pressure jmn 😂😂 khaa nimeshtuka yani jmn Allah amuhifadhi sheikh wetu kipenzi cha wengi ❤
@HawaaMkubwaАй бұрын
Allah humma ameen
@ziadanshimirimana-e2nАй бұрын
Amiin
@FASSALEHALIBАй бұрын
HATA MIMI NIMESHTUKA. SUB HAANA ALLAH. YAANI ROHO INAGONGA HARAKA HARAKA.
@zahraabdul9652Ай бұрын
Kweli kabisa wanafaa kutafuta jinsi ya kuweka ujumbe na busara Mungu akwepushie mabaya shari sheikh wetu Allah akuweke ❤❤❤
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
Views
@أمخالدالعلوية-ل5يАй бұрын
Mbona mnatustua jmn😢 الله يحفظك شيخنا ويطول بعمرك
@jumahamad3723Ай бұрын
Sheikh kishki Allah Akuhifadhi popote ulipo na Allah akuzidishie elimu unatupatia darsa muhimu kwetu na pia Allah atupe mwisho mwema
@popokessi2048Ай бұрын
Allah akupe umri taweel yarabby kwakuwa wazidi kutupa da'wa alhamdulillah
@salmaalkyumi6030Ай бұрын
Jazaka llahul khair ❤
@RaissaabdoulАй бұрын
Allah akuifazi sheikh Allah akulinde sheikh Allah akuzawadiye pepo kwa uruma wake
@halimamfaume1925Ай бұрын
Allah akulinde Sheikh wetu❤ tunakupenda kwa ajili ya Allah ❤❤❤❤❤
@Brother_kakosoАй бұрын
Dah nimestuka wallahir 😮😮😮 nikajua kakamatwa dah. Tunaomba mtuandikie maneno malain hii ni din habiib muamdishi
@MochammdHadija-pn7nnАй бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu kipenzi cha watu❤❤❤
@nurusaeed4554Ай бұрын
Mashallah tabarakallah Allah akuhifadhi shekhe shukran jazakallah khery
@HalimaIssack-jj2xhАй бұрын
Mashallah tabaraka rahman Allah akuepushe na hasad shukran sheikh
Nakupenda kwa ajili ya allah sheick mpenda watu Allah akujalia umri mrefu uzidi kutupa Dawa insha allah
@am2323tzeАй бұрын
Ya Allah wakubalie dua zao hao na uwasamehe makosa yao na uwatoe humo jela yaa rabbit aalameen
@fatimahirakoze731129 күн бұрын
Allah akuhifadhi apo waliandika Ivo wambie wasirudi kutufanyia ivo
@sakinakassu1419Ай бұрын
Kichwa cha habari sasa Dah....😢 Allah amhifadh Sheikh wetu Aamiin
@Asha-tt8in29 күн бұрын
Subhanaallha nimeshtuka san allah akuhifadh shekh wet
@MkuuHusseinАй бұрын
Aaamin ishaallah Allah awabadilishe awafanyie wepesi
@rukiamashaka7577Ай бұрын
Allah akulinde sheikhe uzidi kutuelimisha na kutuongoza,,,nimeshtuka😓
@MamiMohamed-c6lАй бұрын
Nimeshtuka jammani hivo mulivyoelezea eti sheikh kishki aingizwa gerezani waaaah Allah amuhifadhi
@kombojuma312Ай бұрын
Maashaallah huu ndio uislam unavotakiwa tunatakuwa tujifuze kitu kwa walioazisha fikira hii kwani hotel ni mapezi ya Allah isiishie hapa iwe muendelezo uwe wa kudumu isiwe kwa Kenya tu hata wafungwa wenyewe wanafarijika Allah awafanyie wepesi katika vifungo vyenu amin tuko pamoja
@DjumaAshaАй бұрын
Naaam Hakika 🤝 🤝 Allah awawezeshe
@DjumaAshaАй бұрын
Naaam Hakika 🤝 🤝 Allah awawezeshe
@rahmamohammed9678Ай бұрын
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu Alhamdhulillah Allaahumma salii wa saliim Ala Sayyidina Muhammad wala alihi wa Ass habihi wa Salaamu ♥️ Allaah Abariiq ujio wako sheikh wabadilike kwa Idhin yake Allaah❤❤ mashaAllaah Tabarak Allaah Umeinawirisha jela ya ndugu zetu kwa ujio wako Namuomba Rahman Rahmin Awatoe hapo bii salama Allaahumma Amiin yaa rabbil Aalamiin 🤲🏾
@zahraabdul9652Ай бұрын
Sheikh Allah akuweke akwepushie shari na vijicho na husda twakupenda sana kazi yako nzuri Allah azidishe hekima ndani yako na kujitoa sana Allahumma Amen 🙏❤❤❤🥰🥰🥰🥰
@AsiaAdamu-h9h29 күн бұрын
Thank you, I like it
@faizanassor6336Ай бұрын
Jamani mbona mwatushitua roho moyo yenyewe inataka sababu vichwa vahabari ekeni vinzuri sio vya kushitua moyo twampenda shekh wetu tuna mpendelea kilasiku mazuri ALLAH amuifadhi THUMMA AMIN 🤲🏼
Jaman Jaman mm nimerudia mara mbili Allah akuhifadhi kipenz cha watu
@RehemaKhamis-k8sАй бұрын
Allah akujalie shehe uzidi kutuelimisha mawaiza mazuli
@nasramusaroАй бұрын
Subhana Allah mmenitisha jamani😢😢😢
@NajmaAli-yw9ivАй бұрын
Allah azid kukupa furaha zaid siku utakayokutana na Allah tabaraka wataala
@ssme-g6j18 күн бұрын
Allah akupe hidayaa, khiqma na akufanyie wepesi Kwa yote ustadh 🤲🤲💯
@Zainab-k3l6bАй бұрын
Jamani nimestuswa nahiki kichwa chahabali mashekhe wore Allah awahifadhi
@mwanatumuswaleh1529Ай бұрын
AMIIN Ya Allah
@Sakina-j2bАй бұрын
Allah Akbar atujalie mwisho mwema Inshallah
@kassimuismail9296Ай бұрын
Mashaallah ... Ust. Chief Maalim Abbas ,Sheikh Musa Mungu awajazie
@Phantom123-p8xАй бұрын
MashAallah sheikh mwenyezimungu akujaze LA kila kheri
@mummeira388724 күн бұрын
Sheikh wetu tunakuomba uje uwatembelee wafungwa wetu pia uwape daawah huku maeneo ya lamu hindi.hata wakitoka wawe katia njia nyoofu na wazingatie ilmu juu ya dini ya kiislamu kuna watu hawajui kilma chema kua ni swadaqa.mtu akitoka hapo anabadilika tabia na kua mtu mwema na kutotenda mambo yanao muudhi Allah na mitume wake.Allah atujaalie tuwe waja wema.tufanye yenye kumridhisha Allah.🤲🤲🤲
@fatimahirakoze731129 күн бұрын
Allah anisamee nilikuwa nimeisha ogopa nikitaka kusema wa Kenya hawana adabu kumfunga kipenzi chetu muwe mnapanga maneno yakuonesha watu Ivo sio vzr
@SabiamSuleimanmtwaloАй бұрын
Jitaidin kuandika vizuri kichwa cha habari yaan nimekosa mpka nguv daaaah.Allahmdullilah kumbe aliensa kuwaona wafungwa
@AthumanyMvulaАй бұрын
Badilisheni kichwa Cha habari mmetushitua sana Kwan mgeandika kishki atembelea wafungwa c ingekua sawa