HII MUPYA! MAHARUSI WAMEKUTANA INSTAGRAM, HAWAJAWAHI KUONANA , MAREKANI NA TANZANIA.

  Рет қаралды 260,037

Mc Gara B

Mc Gara B

Күн бұрын

Baada ya kua na urafiki kwa miaka 11 na mahusiano ya mapenzi kwa miaka mitatu yote hiyo bila kuonana Bw akiwa Marekani bibie Tanzanian. Hatimae Macrey na Doroth waoana baada ya kukutana face to face for only two weeks .....
TUMERUDI KZbin RASMI. Poleni sana kwa kutumiss..
Tell friends to Subscribe, Share and Comment
‪@Mcgarab‬

Пікірлер: 405
@moshikilimanjaro5660
@moshikilimanjaro5660 3 жыл бұрын
Glory be to God, I wishing you all the best ,Mungu awalinde, na kuwatunza,,na kuwafanikisha katika maisha yenu ya ndoa.
@harrietsutta2568
@harrietsutta2568 3 жыл бұрын
Hongera sana mdogo wangu Dorothy. You have been a good child I have seen you growing up tukiwa shuleni. You have been cool all the way with that beauty that has never faded. Well behaved. Nakutakia heri na baraka tele. Make the man happy... treat him like a king he will make you his queen as you build your castle. Happy marriage life
@nashymbaty1119
@nashymbaty1119 3 жыл бұрын
😃😃😃kwani Mahusiano yenyew yanasemaje 🙌🙌 ila everything is possible when yu trust God
@neemaneema9969
@neemaneema9969 2 жыл бұрын
Nimempenda Bibi harus hajaweka minywele ya bandia Kichwani, na mie cku Mungu akinijalia nikapata Mume! Cku ya harusi ctaweka nywele za bandia kichwani
@treasureforashes3497
@treasureforashes3497 2 жыл бұрын
Hamna ubaya na weaves,kila mtu na style yake,haimaniishi ya wengine mbaya,
@bobwhite9252
@bobwhite9252 3 жыл бұрын
Dada wa kidimbwi huyu..mjanja kuliko jamaa..ila hongera sana..kizungu zaid
@masoudsalum9514
@masoudsalum9514 3 жыл бұрын
Huyu mwanamke nahisi sio poa kama mcharuko kuliko mwanaume hapa
@rehemanditu686
@rehemanditu686 3 жыл бұрын
Umeona ee
@masoudsalum9514
@masoudsalum9514 3 жыл бұрын
@@rehemanditu686 Anakimuye muye kweli
@mariamkiharo6345
@mariamkiharo6345 3 жыл бұрын
@@masoudsalum9514 🤣🤣
@liliankiondo4457
@liliankiondo4457 3 жыл бұрын
Kweli Yani si kwa kihereher.amepata Kaka mstaarabu ajifunze toka kwake na atulie
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 жыл бұрын
Kabs 🤣
@habibatyntosso1436
@habibatyntosso1436 3 жыл бұрын
Mimi pia nimeolewa kupitia tu mitandao sijawah kuonana nae nimemjua mme wangu siku tunafunga ndoa yaan ni nzur usiogope kila kitu mungu ndy anajua tumuachie
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
Aswaaaah best ww kma mie tuuuh
@habibatyntosso1436
@habibatyntosso1436 3 жыл бұрын
Safi dear ukimtanguliza mungu hakuna kitakachoshindikana kwasabbu mungu ndy anatupangia kila kitu
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
@@habibatyntosso1436 Amina 🙏
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 3 жыл бұрын
Bora unatupa moyo
@habibatyntosso1436
@habibatyntosso1436 3 жыл бұрын
@@duhrurhhddhheud8575 yaah
@elizabethmwambopo9505
@elizabethmwambopo9505 3 жыл бұрын
That is True Love congratulation❤❤❤❤
@betydalaurent6485
@betydalaurent6485 3 жыл бұрын
Waooh it's so amazing jmni,,God is great.😍 Mc hujawahi kufail
@luielias2400
@luielias2400 3 жыл бұрын
Ayeeee na ni mupyaa kweli kwelii🤩🤩nzuri mnoo👌
@sumaaramson5903
@sumaaramson5903 3 жыл бұрын
Nlipata mume Facebook sasa tuna miaka 8 kwa ndoa na watoto wa3 na tuna Amani na maelewano kabisa tena nchi tofauti
@innocentcleophace8583
@innocentcleophace8583 3 жыл бұрын
Nawapongeza saana MUNGU babaa awajaliee daima
@vero57
@vero57 3 жыл бұрын
Hongera sana,lakini mbona bwana harusi mpole sana
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 3 жыл бұрын
Ameish marekan
@IreneHatibu
@IreneHatibu 2 ай бұрын
Mpole wa juu mkali wa chini😂
@rehemasam6946
@rehemasam6946 3 жыл бұрын
Hongera sana Dorothy usiache kuingana na mume wako katika maombi
@kirumscalone3975
@kirumscalone3975 3 жыл бұрын
Kazi ya Mungu haina makosa,mbarikiwe kwa ndoa yenu.
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
Wale wanawake wote mnaotukana wanaume wakija fb au mesenja ndoa mtaisikia kwa wenzenu tuuuuh upooo 👌 mwenzenu nami nimepata stara fb 😂😜😜🙈
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
😅😅weeee
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
@@prettyh7509 🤔🤔
@محمداحمد-ج9ل5ر
@محمداحمد-ج9ل5ر 3 жыл бұрын
😆😆😆😆
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Hongera kwako
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
@@m.mmarckus6298 asante my
@julianamuga389
@julianamuga389 3 жыл бұрын
Nmegundua kitu😅😅😅😅Bibi kachachuka bwana mpole Then bwana mcha Mungu haswa apo kwa kidawa !?!?!so watasaidiana kuchange all the best
@magrethmassawe5911
@magrethmassawe5911 3 жыл бұрын
Hahahaha mchachuajii
@fatumamdagano4318
@fatumamdagano4318 Жыл бұрын
We mungu nisaidie nami nipate mime kama huyu
@MauaMwaka
@MauaMwaka 3 жыл бұрын
God bless your marriage
@greennourish58
@greennourish58 3 жыл бұрын
The same thing happened to me, met the love of my life online in 2019
@azashaban5846
@azashaban5846 3 жыл бұрын
mbona kama ana sura yakike hongerani sana mnapendexan
@amukoamercy1172
@amukoamercy1172 3 жыл бұрын
Hapo pa roho mtakatifu Holy spirit show me my husband too.
@milliamkiwire2852
@milliamkiwire2852 3 жыл бұрын
God's plan are always real 🙏🙏🙏❣️
@fabianlucas3594
@fabianlucas3594 3 жыл бұрын
Mc uko vizuri Hawa wanandoa wakaishi vyemaaa
@haroldmerei1830
@haroldmerei1830 3 жыл бұрын
If you don't have anything good to say to the couple it is a good idea unyamaze. Very nice looking couple, beautiful wedding ceremony, acheni wivu!
@dibabatv5761
@dibabatv5761 3 жыл бұрын
Umeongea sahihi Sana,watakie mema watu wafanikiwe, acheni kukosoa kosoa watu wanependana, hatuwez zaliwa sawa
@gloryfrankie1743
@gloryfrankie1743 3 жыл бұрын
Yes this is very true
@zulfahamidu5348
@zulfahamidu5348 3 жыл бұрын
@@dibabatv5761 you can p
@samirasaid9204
@samirasaid9204 3 жыл бұрын
Nilicho gundua kuna watu wana roho ya kwa nini kila kitu anapanga mwenyenzimung acheni wivu😏😏
@nainaiblack6736
@nainaiblack6736 3 жыл бұрын
Kbsaaa kipenz
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Nimempenda bi harus kavaa simple mno
@janiphabukuku1023
@janiphabukuku1023 3 жыл бұрын
Kapendeza san
@rehemakaberege8119
@rehemakaberege8119 3 жыл бұрын
Hongera nyingi kwenu mpendanao wote
@gomesamakota3294
@gomesamakota3294 3 жыл бұрын
Rey vp tena
@gomesamakota3294
@gomesamakota3294 3 жыл бұрын
Rey vp tena
@jnjtraders7274
@jnjtraders7274 2 жыл бұрын
Jaman nataman kuolewa wananipa wivu daah,Bwana Yesu ahsante na meme yangu itafika.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 жыл бұрын
Kila la kheri comments nyingi mnasema mwanamke mcharuku wivu tu watu hupendana sio wngine huishia kuonywa kama mboga
@matundumgweno4533
@matundumgweno4533 3 жыл бұрын
Hahahaah kuonywa kama mboga
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 жыл бұрын
@@matundumgweno4533 kabsa mtoto wa shangazi 😄😄😄😄🤠💯
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 2 ай бұрын
Mmh niseme ya moyoni bwana na bi kharusi wameendana wamefanana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@raphaelmagayane4733
@raphaelmagayane4733 2 жыл бұрын
It's a matter of prayers and God will do the rest. be blessed Guys
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 3 жыл бұрын
Bibi harusi upo vzuri huna mambo mengi na umependeza sana
@BeatriceNyato
@BeatriceNyato 5 ай бұрын
Ni nzuriii nimeipenda naomb nam nipate
@catherinemwakalinga6503
@catherinemwakalinga6503 3 жыл бұрын
Wow congrats Doroth
@winfridanambole1341
@winfridanambole1341 3 жыл бұрын
Jamn na mm mungu si anioneshe the right person 😢😢
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 жыл бұрын
You want the right person that's my contact +27848885287
@winfridanambole1341
@winfridanambole1341 3 жыл бұрын
@@nyamangaking6608 😂😂😂
@winfridanambole1341
@winfridanambole1341 3 жыл бұрын
@@nyamangaking6608 nitajuaje km ni right person
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 жыл бұрын
Omba Mungu atakwambia lakini najua kila aliyeokoka kweli kweli is a right person
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 жыл бұрын
Let's talk in box +27848885287 but we must have enough time to know each other
@rehemarehema1445
@rehemarehema1445 3 жыл бұрын
Mwanamke hamna kitu jmn mpaka naona aibu kama nipo karibu vile
@annanyoni1981
@annanyoni1981 3 жыл бұрын
Mbona comment zimejaa za kiinglishi tu😂 kwani wenzangu namimi wabuza kwa lulenge hatupo
@neemamogola8673
@neemamogola8673 3 жыл бұрын
Hahahahahaha
@elishamwakigali1232
@elishamwakigali1232 Жыл бұрын
Bro una talent kinoumaaa
@josephinemnyindo39
@josephinemnyindo39 3 жыл бұрын
Hii nayo mupya!!!
@GladnessIsaya
@GladnessIsaya 2 ай бұрын
We unayesema cjui bwana harusi lastborn mara kama siyo rizki ndo nini
@amanijosiah5205
@amanijosiah5205 3 жыл бұрын
Mwanamke hamna kitu hapo mcharuko balaaa
@swagger7053
@swagger7053 3 жыл бұрын
Glory to god
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 3 жыл бұрын
Mdada anajishaua weee😂😂😂😂😂😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣adi raha
@dibabatv5761
@dibabatv5761 3 жыл бұрын
Acha afurahie, wengi wametamani hawakufanikiwa
@doreenbae866
@doreenbae866 3 жыл бұрын
😂😂😂
@kweka14l35
@kweka14l35 3 жыл бұрын
True Love still Exist 💓💓💓 Love bird's 👍🎉
@rechoevarist9103
@rechoevarist9103 3 жыл бұрын
Mwanamke anashughulika
@esthermoraa6648
@esthermoraa6648 3 жыл бұрын
This is what we call trust,
@vasilistasamson5245
@vasilistasamson5245 3 жыл бұрын
Cheese huyu mwanamke mungu saidia
@cosmasvicta658
@cosmasvicta658 3 жыл бұрын
How did you know what she is right person?, did you deeply investigate her much???.
@massongatzerick
@massongatzerick 3 жыл бұрын
Gara B kama Gara B,congrats
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 3 жыл бұрын
Distance is not a barrier
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
Mbona mwamba hayupo concrete maana Kuna wakurungwa wa buza kwa lulenge na mzee mparange wanamtazama tu
@swalecomedian1340
@swalecomedian1340 3 жыл бұрын
Hahaaaa
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
Unataka awaje
@emmanuelmrisho8676
@emmanuelmrisho8676 3 жыл бұрын
Nyimbo waloingilia ukumbini hawa inaitwaje na kaimba nani please
@marryciousben3803
@marryciousben3803 3 жыл бұрын
Uyu mwanamke anaonekana wamoto kwer alafu kinajishauwa kumshika shika mwanaume iyo kwiyo
@farajachengula9227
@farajachengula9227 3 жыл бұрын
Kbs ani kanabwebwe
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 жыл бұрын
Nilikutana na mwanaume fulani fb 2013, leo imebaki kuwa story! Alianza na ‘mlipie mwanangu ada, sina nauli’, mama yake naye, walipie ada wajukuu wangu (watoto za binti zake), sina chakula, nataka nauli, nina jambo fulani mkoani!’ Niliwa block wote
@asmahamis4658
@asmahamis4658 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@monyshaali181
@monyshaali181 3 жыл бұрын
😂😂😂ntakua single forever
@shangwehubert5838
@shangwehubert5838 3 жыл бұрын
Ungetoa tu peaa makaratasi
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 жыл бұрын
@@shangwehubert5838, yaani nilishe familia kabla pete? Nitumie tigo kwa vile pesa ni makaratasi 😂
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 3 жыл бұрын
Hahahahahaha khaaa
@jonathanntare4787
@jonathanntare4787 3 жыл бұрын
Mwanamke anaonekana kama Govinda vile hapa ndgu wa Mme mmepatikana.
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 3 жыл бұрын
Kvp tena
@faridahmutola5778
@faridahmutola5778 3 жыл бұрын
Beautiful ❣️❣️
@rebeccanassary1720
@rebeccanassary1720 3 жыл бұрын
Very nice couple
@gloryemmanuel165
@gloryemmanuel165 3 жыл бұрын
True love 💪🏻
@pendothomas7258
@pendothomas7258 3 жыл бұрын
True love waits
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 3 жыл бұрын
Natamanii nami iwe like
@lidyasamwel4228
@lidyasamwel4228 3 жыл бұрын
Welcm to me
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 3 жыл бұрын
Heeh!
@gomesamakota3294
@gomesamakota3294 3 жыл бұрын
Npo If u like my dear
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
Njoo kwangu bibie
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 3 жыл бұрын
@@nilansaid2927 thanks
@DM_15
@DM_15 3 жыл бұрын
Huyu mwanamke ana mawengeflan just msikilize vzr nikama jamaa kaokota zagabov
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 3 жыл бұрын
😅😅😅
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 3 жыл бұрын
Eti ZAGABOVU
@DM_15
@DM_15 3 жыл бұрын
@@user-ot2io4cy6w sindio mawengeflani iv mcharuko mcharuko iv yaki istergram flani
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Namm natafuta mume atakaye nipenda km nilivyo pindi atakapojua maisha yangu.namm nitampenda pia
@rogermomodesty3568
@rogermomodesty3568 3 жыл бұрын
Karibu kwangu
@LisaLisa-wd8oy
@LisaLisa-wd8oy 3 жыл бұрын
@@rogermomodesty3568 🤣🤣🤣🤣
@dicksonmwezi3136
@dicksonmwezi3136 3 жыл бұрын
Unasema kweli
@rogermomodesty3568
@rogermomodesty3568 3 жыл бұрын
@@LisaLisa-wd8oy Mambo
@LisaLisa-wd8oy
@LisaLisa-wd8oy 3 жыл бұрын
@@rogermomodesty3568 safi
@samiramawby8252
@samiramawby8252 3 жыл бұрын
Bibi harusi mcharuko yaweza kuwa karoga huyu siyo roho mtakatifu ni roho mtakakitu looo cyo kwa mcharuko huo
@dasilvajacmwax7436
@dasilvajacmwax7436 3 жыл бұрын
samira samira samira😂😂😂
@johanesbina1302
@johanesbina1302 3 жыл бұрын
Duuuh mmmmh haki alikuwa hanyandui wazungu
@franciscanamkuru6185
@franciscanamkuru6185 3 жыл бұрын
Hongera
@jaclinedaniely2563
@jaclinedaniely2563 3 жыл бұрын
Very nice
@wotewote1086
@wotewote1086 3 жыл бұрын
I need that roho mtakatifu to tell my future wife
@agnesslulyali1549
@agnesslulyali1549 2 жыл бұрын
She is here😅lol
@joevang4685
@joevang4685 3 жыл бұрын
hamna ndoa hapo. anaibiwa huyo
@yakobolusasu1821
@yakobolusasu1821 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🙆🙆
@sarasereki7526
@sarasereki7526 3 жыл бұрын
Yes
@gabriellafaith6128
@gabriellafaith6128 3 жыл бұрын
GOD’s plans 🙏
@ceciliagsaguti1595
@ceciliagsaguti1595 3 жыл бұрын
Waoooh so nice
@dottosembo9236
@dottosembo9236 3 жыл бұрын
Wooo💕
@ubarikiweulipo6969
@ubarikiweulipo6969 3 жыл бұрын
Subiri muendelezo na mwisho wa hiyo ndoa ndo nitakuja cu comment apa napita tu
@omanabcd9249
@omanabcd9249 3 жыл бұрын
Mke hakuna
@ziongodfirst1868
@ziongodfirst1868 3 жыл бұрын
Haki huyo dada kwa mwonekano tu labda tuone wataishia wapi ngoja ninyamaze
@doricesamwel7785
@doricesamwel7785 2 жыл бұрын
Inapendeza
@MariamHassan-j3k
@MariamHassan-j3k 10 ай бұрын
😍😍😍😍😍😍😍🤩👌👌👌
@esthela5105
@esthela5105 3 жыл бұрын
Amen
@tabithadaniel7364
@tabithadaniel7364 3 жыл бұрын
Bora tumerudi KZbin
@betyngole3368
@betyngole3368 3 жыл бұрын
Hatwaar
@محمداحمد-ج9ل5ر
@محمداحمد-ج9ل5ر 3 жыл бұрын
Kumb inst kn wame😄😋
@elizabethmiho9574
@elizabethmiho9574 3 жыл бұрын
Aaaaahhhhh wapo ndiyo
@hadijamwanana2471
@hadijamwanana2471 3 жыл бұрын
Mchaga anajifanya anapenda mume jipindue akulime
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 жыл бұрын
Mmh huyu nae mwanamke utadhan hajawah kupenda anacharuka huyo looh akidhan kamkamata kumbe nass twamtaka pia akae kwakutulia🤣🤣🤣🤣
@alikutenga3303
@alikutenga3303 3 жыл бұрын
Tayr imeandikwa hiyo toka mbinguni sasahv kilobaki kwa waja ni domo ni Kama shimo la karooo ila Dada kashapata Ridhiki yakeee.
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 жыл бұрын
@@alikutenga3303 🤣🤣🤣🤣
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
@@alikutenga3303 🤣🤣🤣🤣 kwakweli kashapata riziki yake sisi wengine tunaropokwa tu 😀😀😀
@alikutenga3303
@alikutenga3303 3 жыл бұрын
@@aminakipande5645 Ndiyo na ndivyo ilivyoooo waafrika sisi 2najuwana tabia zetu.
@herbertkamote2213
@herbertkamote2213 3 жыл бұрын
Dah Mimi siwezi asee
@jamilasaid1764
@jamilasaid1764 3 жыл бұрын
Hahaha
@hadijamwanana2471
@hadijamwanana2471 3 жыл бұрын
Mwanamke naona Kama mwizi mh ngoja tuone maana anavomshika kiwizi wizi
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 жыл бұрын
BWANA HARUSI NI MTU WA MAADILI BIBI HARUSI MUNGU AMBADILISHE MCHARUKO
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Жыл бұрын
Ni mcharuko na hana nidhamu
@jamilasaid1764
@jamilasaid1764 3 жыл бұрын
Dada mchaluko
@monilysonpaul8690
@monilysonpaul8690 3 жыл бұрын
Kweli mkaka ni mpole sana
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Mmmmh hogera sanaaaaaa.nlmpata mmja uko uko kube freemason.jameni nigemezwa sai nmekoma kusaka mitadaoni.😃😃😃😃
@berthajonathan1211
@berthajonathan1211 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
@@berthajonathan1211 😃😃😃😃😃😃aki nigemezwa aswaa
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 3 жыл бұрын
Hahahahaha pole
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
@@المهلهلالحراصي 😃😃😃😃nishapoa mdau.
@johanesbina1302
@johanesbina1302 3 жыл бұрын
😁 😁 😁 I storry haina part 2
@marymaina839
@marymaina839 3 жыл бұрын
💖💖💖💖💖💖💖
@faithmlayda5306
@faithmlayda5306 3 жыл бұрын
❤️❤️🥰
@jasmine.mayala7597
@jasmine.mayala7597 3 жыл бұрын
Ila dada km mcharuko hv 😁😁
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Anahangaika kweli yaan lakin wakapime tu jaman ngoma
@agripinajoseph5968
@agripinajoseph5968 3 жыл бұрын
Na mm kuanzia leo ntakuwa nsjibu sms za dm isikute nitapata mme
@biusikipingu7196
@biusikipingu7196 3 жыл бұрын
Hahahahah
@apollotee1929
@apollotee1929 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 жыл бұрын
Waume tupo mbona,tunahitaji wanawake makini tu sio mawenge
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 жыл бұрын
Mimi nahitaji mke.plz that's my contacts mahari yangu awe ameokoka,and aslo she must be beautifully in all.ninamanisha mrembo sio tu mke
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 жыл бұрын
My contacts +27848885287looking for wife
@dativambaga6206
@dativambaga6206 3 жыл бұрын
Mmh
@psj1564
@psj1564 3 жыл бұрын
Kaka kua makini uyo mdada anaonekana mjanjamjanja
@doreenbae866
@doreenbae866 3 жыл бұрын
Kabisa😂😂kumbe umeona
@glorianikiza92
@glorianikiza92 3 жыл бұрын
Bibi harusi bitumingi duuh
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
Duuuuu
@hadijajuma8271
@hadijajuma8271 3 жыл бұрын
Ff
@catheyrinemshanga1611
@catheyrinemshanga1611 3 жыл бұрын
Huyu dada ni mcharuko duu
@monyshaali181
@monyshaali181 3 жыл бұрын
Nahisi kavurugwa hana makini😂😂😂😂
@alikutenga3303
@alikutenga3303 3 жыл бұрын
Yote furaha hiyo mpk jamaa kawaacha watoto wa Obama(U.S.A)kaja kuchukuwa ki2 ndani ya Tz Basi ujuwe ????.
@dadarehema
@dadarehema 3 жыл бұрын
Lionel Richie- all night long 🔥🔥🔥🔥
@assumptamwingira8788
@assumptamwingira8788 3 жыл бұрын
Pls MC ni harusi nakutafutaaa 0716714436
@rosetembe3785
@rosetembe3785 3 жыл бұрын
Woiii mtaachana tu,kwani marekani Nini
@ignasbukombe9225
@ignasbukombe9225 3 жыл бұрын
🤣🤣
@neleakilanga3834
@neleakilanga3834 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ritatarimo653
@ritatarimo653 3 жыл бұрын
Waombee
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 3 жыл бұрын
Kuna watu wana Roho mbaya humu jaman mpka shetani anakaa mbali nao hahahahahahaha unamuombea mwenzako waachane kweli
@happnessjoseph7191
@happnessjoseph7191 3 жыл бұрын
Unapowatamkia kuachana Mungu ndipo anapowaongezea baraka.
@fatumasidi3372
@fatumasidi3372 3 жыл бұрын
Its so amazing, i share the same love-marriage story. Met my lovely wife on facebook june 18th 2018.. akiwa Tanzania mm nikiwa Qatar, miezi 9 baadae ambayo ni feb 16 2019 nikaja Tz kila kitu kilikua tayari ndio tulifunga ndoa. Hapa hatujawahi kuonana kwanza mm mkenya na mke wangu mtanzania. Tunapendana sana na Mwenyezi Mungu katujaalia na mtoto 1 sasa. With true love, its possible. Hongereni sana
@rajabumbendenga5480
@rajabumbendenga5480 3 жыл бұрын
Fatuma nae anaoa c MAAJABU
@dottokillangi7184
@dottokillangi7184 3 жыл бұрын
Hongera Mungu hukutanisha popote don't worry Hiyo no yesu beautiful couples
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Hongera
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
Bwana Fatuma aka Mr Fatuma nawatakieni kila la heri na Mrs Fatuma
@jasmine.mayala7597
@jasmine.mayala7597 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😃🤣🤣🤣jaman km mie mume wangu alilosea number nakupiga kwngu ndipo tukafamihana humo
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 3 жыл бұрын
Weeee
@nsiaelieza9568
@nsiaelieza9568 3 жыл бұрын
Msuwakosoe maarusi Mungu amewakutanisha. Jifunzeni kuacha wivu.
@paschallukanya5889
@paschallukanya5889 3 жыл бұрын
Nguvu ya pesa hiyo
@zuu7130
@zuu7130 3 жыл бұрын
Umepatikana kaka kwauyo mke
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 3 жыл бұрын
Kwa nn
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 66 МЛН
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 12 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 66 МЛН