Mimi siijui dini ya kiislam mm ni mkristo lakn hakika Profesa ww ni muislam saf na ni mtu wa mungu binafs ulitolewa kihuni ofisini lakn ww ni mtu wa mungu watu kama ww ni wachache sana mungu akutunze mzee wetu ww ni hazina ya taifa hakika
@sanaaseif27314 ай бұрын
Allah akuongoze na ww upate Nuru ya uislam jitahidini kufatilia kwa uwezo wa mungu utaiona haki
@osmanmussa99794 ай бұрын
Apewe Nchi iki mpendeza Muumba hapo mbele kwani tuna hitaji Viongozi kama hawa kuongoza Taifa
@osmanmussa99794 ай бұрын
@@sanaaseif2731aamren
@humphreymorise4 ай бұрын
@@sanaaseif2731 hapo ndo mnapokosea watu wa dini, haimaanishi alipo sio sehemu sahihi, ukristo na uislam ni dini nzuri sana
@deomuganda48404 ай бұрын
Nakuombea kwa uishi na hekima pia uweze kuisaidia Jamii. Mola akubariki sana.
@theresiamwandara79904 ай бұрын
Mwenyezi Mungu mtie nguvu profesa Asad.Huyu bwana alifanya kazi nzuri sana kwenye maswala ya ukaguzi serikalini. Sema nchi hii ni ngumu sana.
@constantinemanyanda66674 ай бұрын
Prof Assad ww ni mtu na nusu very humble kwanza nliwah kukutana nae posta anatembea tu kwa miguu hii story imeni inspire kua honest n humble Mungu akubarik sana mzee.
@deohank59954 ай бұрын
Asante Mungu umenipa somo zuri toka kwa mja wako Prof. Assad. Mwenyezi Mungu azidi kukupa afya njema.
@kilianakitanda94704 ай бұрын
Huyu mtu ilikuwa zawadi kutoka kwa Mungu. I really appreciate you prof
@charlesmassawe41194 ай бұрын
Huyu baba, ana qualities ambazo sijui kama kuna mtumishi wa umma wa sasa anaweza kufikia hata 70% ya quality alizokuwa nazo, very integrity man mwenye hofu ya Mungu, very painful experience amekutana nayo ktk majukumu ya kazi. Mungu ampe faraja na amani ktk yote aliyopitia. Maisha yake ni ushuhuda mkubwa sana, Mungu aendelee kumpigania.🙏🙏
@ALIMOHD-bk9lrАй бұрын
Wapo japo wachache
@FAUZALRIYAMIYАй бұрын
HUYU PROFESSOR ALIPITIA KIPINDI KIGUMU CHA UTAWALA WA KIDIKTETA NASHANGAA SANA WAKATI ULE WATANZANIA WALIUFYATA HAKUNA VYAMA VYA SIASA WALA VIONGOZI WA DINI MADHEHEBU YOTE WALA HAKI ZA.BINADAMU ZILIZOKEMEA HII NCHI NI YA AJABU SANA TUNAPENDWA KUTAWALIWA KIBABE
@salimsaid83484 ай бұрын
ALLAH akulipe kheri Professor, InshaAllah ALLAH akujaaliye ukutane nae mkeo peponi. Amin
@abubakarsuleman19834 ай бұрын
Amin yarabal alamin ,na sisi Allah atupe wake wema,
@idimsomali15714 ай бұрын
Hii ndio interview bora zaidi niloiangalia na kuisikiliza.ipo na maelezo ya ukweli kwa mwenye akili na busara tu atairudi kuiangalia tena.Prof.Assad ni mtu sahihi sana kujua uongozi unavyopaswa uwe.Hongera sana Prof.Assad,Pole sana kwa kifo cha mkeo,Allah S.W amsamehe madhambi yake.Salimmmmmmmm Kikeke big up sana,mahojiano bora sanaaaaa hayaa
@MaguguStoreАй бұрын
Yes
@MaguguStoreАй бұрын
Huyuu jamaa ni Rais
@MaguguStoreАй бұрын
Tunaitaji katiba mpya
@anethmugisha9238Ай бұрын
Hongera kubwa kwa Crown Media! Mmeonyesha kuwa vyombo vya habari vinaweza kuwa chachu ya mabadiliko chanya kwa taifa letu. Weledi wenu, uzalendo wenu, na juhudi za kuhakikisha jamii inapata habari za kweli na zisizoegemea upande wowote ni hatua kubwa katika kujenga demokrasia imara. Salim Kikeki, mfano wa kuigwa, ni kioo cha maadili bora ya uandishi wa habari - akitufikishia ujumbe wa umuhimu kwa taifa letu kwa usawa na uadilifu. Hii ni kazi ya kujivunia na tunatoa shukrani kwa Crown Media Digital, TV, na timu nzima ya Crown kwa jitihada zenu za kujenga jamii yenye ufahamu na umoja. Endeleeni kuwa sauti ya haki na daraja la mawasiliano bora kwa kila Mtanzania. Asanteni kwa kuonyesha kuwa demokrasia ya kweli huanza na habari za kweli! Well done, Crown Media.
@amourmtungo6234 ай бұрын
Hii ni Crown media sasa Salim huyu mzee anastahili hio crown kuvishwa kwenye kichwa chake kwa habari, masikitiko, ukweli na hali halisi ya nchi yetu ilipofikia. Asanteni kwa mchango wenu 🤝, pole Pro maumivu ya kila Mtanzania ni maumivu ya kila mtu
@khalidmwakabuta50454 ай бұрын
Kuna binadam duniani wanazaliwa ili kutenda haki kwa kipaji walichopewa na Mungu ,kweli alistahili hata kuwa PM wa Tz sema kwa vile hutupendi vizuri na tuko na njaa kweli tawala nyingi Africa zinaona watu hawa ni wasaliti tu
@Eagle103034 ай бұрын
Big brain professor, we pray for you and our beloved late mother, inshaallah M/ Mungu amrehemu. That big time respond broke me into tear for real😢 Inshaallah akupe uimara zaidi. Inna lilah wainnailah raj un.
@LuqmanStar-p7w4 ай бұрын
Allah ampe Nuru katika kaburi lake, ampe Pepo ya firdausi kesho inshallah. Atupe na Sie elimu yakuijua haki na kuifuata
@KidegeKidege4 ай бұрын
Mashaa Allah
@KidegeKidege4 ай бұрын
Alhamdulilah
@msakalajr44224 ай бұрын
Member wa Muslim university of morogoro like hapa
@jordanmwamlima75794 ай бұрын
Am always seeing you as hero of this nation. Am so proud of you, you're honest and very committed! may Allah bless you all time Prof. Assad inshallah 🙏🏽🙏🏽
@busandashanyangi67424 ай бұрын
Pole sana Prof. Hakika maneno yako yamenigusa kiasi cha kulengwa-lengwa machozi. Binafsi, nimewiwa kukuombea kwani unatambua nguvu za Mwenyezi Mungu 'Glory be to Allah'. Mungu akulinde sana sana. Amina.
@majaliwamussa1343Ай бұрын
Kabisa
@lindatogetherАй бұрын
One of the smartest and very ethical and faithful a country has ever had. Mungu akuweke sana Prof. na akufanyiwe wepesi kwenye kila jambo lako lenye heri
@margretben69204 ай бұрын
Professor Assad you are strong and stronger. Mungu ampe kauli Thabiti mama yetu huko kwa mwenyezi Mungu... Don't tear down Sir.
@yussuphsultan14004 ай бұрын
Allahumma amiyn
@anthonymgina38934 ай бұрын
Aamin
@othmanali53624 ай бұрын
Pole Profisa .Mwenyezi Mungu atakupa nguvu zaidi na moyo wa subira
@IddWashokera3 ай бұрын
Mwenyezi mungu azidi kukusimamia Prof. Assad. Wewe ni mfano wa kuigwa kwa taifa letu. Umesimamia haki na ukweli na mwenyezi Mungu atakulipa ipasavyo. Ninatamani siku moja nikuone ili nikupe maua yako usi kwa uso. Wewe na familia yako mbarikiwe.🤲🏾
@mohamedimiraji54954 ай бұрын
I have not only noted but also learned something. Excellent Prof. Assad
@ellyrenalda5883Ай бұрын
Pole sana Prof., you are among few civil servants mliokuwa mkisimamia maadili ya kazi na ucha Mungu.
@barackthomas80104 ай бұрын
One of the best interview. Hivi ndinyo media zinapaswa kufanya kazi. Maudhui yanayofundisha.
@mwaulambo4 ай бұрын
Exactly! Media nyingine utani utani umezidi kwa kweli na vipindi vya michezo na umbea umbea
@barackthomas80104 ай бұрын
@@mwaulambo wanafanyaga umbeya
@jasonwatz74574 ай бұрын
Kaakweli crown itawapita muda si mrefu@@mwaulambo
@emmanuelburchard31534 ай бұрын
Huyu Kikeke ni international journalist. Ameanza vzr. Tunamfuatilia sana.
@nasirmohamed15894 ай бұрын
Kabisa
@Youngchimodzi8233 ай бұрын
Tatizo la Prof Assad alikuwa mtu mwema kati kati ya watu wengi waovu hii ni hatari sana ktk nchi hii.Kila siku utaonekana mkorofi,mkali na mkaidi. Pole sana Prof, samehe ,sahau songa mbele brother.
@faridmnyamike5563 ай бұрын
A humble man, bold human being on earth, good example to human kind on earth, Allah akulipe kheri na Allah akuongoze katika njia iliyonyooka Prof. Assad, Umetifundisha vingi sana Mzee wetu Assad. Asante sana Salim Kikeke.
@meshacknyiti80204 ай бұрын
Mungu akutangulie sana Prof. Assad wewe ni kielelezo kwa vijana wengi mno, maisha yako ni mfano kuwa katiba na misingi ya ukweli na uadilifu hutetewa na wananchi. Mungu akutangulie na amlaze mama mahala pema!! Tanzanians know deep down you are a very good person keep mentoring the young generation, Sala zangu ziko pamoja na wewe!!
@MasoudJuma-i1j3 ай бұрын
Mashaallah.....the way he talk it reflect that is a real professor .....kindness integrity and God fearness......Best interview with the lesson inside it...congrats to crown 👏👏👏👏
@Igauf34 ай бұрын
Who is cutting onions….I can see how deeply he loved his wife, and it’s clear she meant the world to him. His love for her is beautiful and inspiring, and I’m sure she felt deeply cherished by him. The man of integrity.
@salimdiabyonlinetv48734 ай бұрын
Allah (s.w) Ampe Jannah Firdaus Mkewe huko Alipo 😊
@muddymuzungu43574 ай бұрын
@@salimdiabyonlinetv4873amiiiin Yaa Rabbi
@cardoerick59584 ай бұрын
Ninajivunia sana kukaa meza moja na kufanya kazi na wewe prof 🙏🙏
@ZumrahIdrissa-j6l4 ай бұрын
Weeeh ya kweli hayo
@majidimussa86784 ай бұрын
ulipata baati Aise
@beatricemariki35894 ай бұрын
Hongera aisee
@airMH3704 ай бұрын
Lecturer wangu professor wangu principal WA CHUO changu, it's pleasure to see your review sir.
@anasabubakary58864 ай бұрын
THE BEST INTERVIEW OF THE YEAR......BIG UP CROWN MEDIA
@junglejingIes3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awatie nguvu Prof Assad!
@lindajohansen92204 ай бұрын
Usijali wala usihuzunike sana Prof. Mungu alisha lipa deni Prof. Mungu wetu anaona na anasikia maombi yetu! Na hakika alitujibu vizuri sanaaa. Pole sana kwa msiba wa mpenzi mkeo. Mungu ashukuriwe milele.
@JhonsonCharo4 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki Prof. Assad na akupe nguvu na maisha marefu
@nassormziray55224 ай бұрын
MashaAllah hakika hii interview ni lesson kubwa kwetu na kuna mazingatio ndani yake PROF ASAD ALLAH akulip kheir baba angu pmja na marhum mkeo aamin
@victorsanga22294 ай бұрын
Pole sana Assad kwa kumpoteza mama yetu. Mungu azidi kukutia nguvu.
@TwahaGora4 ай бұрын
learning is not just in the classroom, I have seen a lot but you are a general in particular, may God grant you patience and a long useful life and let us learn
@regansophen4 ай бұрын
The real definition of Professor
@khanmzandah89564 ай бұрын
Prof you're one of the very few patriotic but also the smart of the smartests
@brunomacha16143 ай бұрын
This man have very strong heart. Great lessons to learn
@thadeimlughu7841Ай бұрын
Mwenyez Mungu azidi kumbariki, ampe faraja, na kila lililojema kwake. Itoshe kusema nimejifunza mengi kwake.
@Safreenfeen4 ай бұрын
Pole sana Profesa……Allah atakupa kilicho bora zaid….na sisi kwake tutarejea na yeye Allah amjaalie awe banat wa pepon na wewe utakutana nae kwenye firdaus
@shamissuleiman40824 ай бұрын
Asante Prof. Kwa somo la maisha. Such a very humble and God fearing man..Allah akupe kilichobora na akulipe kheir kila siku..we will be waiting to read your memoir
@ibrahimmeresho797Ай бұрын
Prof anahofu sana ya Mungu ni mwalimu bora na mtumishi bora ambao wanahitajika sana kwenye maendeleo ya nchi yetu
@geofreykayombo4014 ай бұрын
i feel that pain,mzee mungu atakuapa nguvu zaidi
@RichardNjuga4 ай бұрын
I learnt a great lesson,from you prof,Asad,May God bless you!
@AzizMasenga4 ай бұрын
Allah Aendelee kukupa subira na msimamo wa kuamini kadar na Afya njema mzee Asad. Na Amsamehe mama yetu Yale aliyomkosea.
@mbatemgingamwita59444 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu,akuongoze akulinde akutunze hakika wewe ni mfano wa kuigwa si tanzania bali dunia nzima, kwa kila mwenye kupenda na kusimamia kweli na haki, Mwenyezi Mungu akulinde amina.
@MzeeZayumbaАй бұрын
Mashallah prof. Mnyenyekevu mwenye khof ya m/mungu
@hajimtundu6936Ай бұрын
Allah akupe kila lakheri profesa Asad,wallahiy binafsi nskupenda sana kwaajili ya Allah, Allah atupe sote mwisho mwemaa
@ashaanab-sy4cq4 ай бұрын
Professor Assad Mwenyezi Mungu Akujaalie Heri Na Baraka Tele,Endelea Kuwa Humble💪💪
@aminieljohn54754 ай бұрын
Professor Assad! The God fearing man and a model moral person!!...he makes me cry!!...
@Twasabuni3 ай бұрын
ALLAH akulipe kheri Professor, InshaAllah ALLAH akujaaliye ukutane nae mkeo peponi pamoja na waja wema. Mzee Asad unahema na busara za utosha. Amin
@munic66863 ай бұрын
Pole sana prof Allah akutie nguvu sisi sote njia ni moja ,tumuombe Allah atupe mwisho mwema aamin
@maggie6584 ай бұрын
Mungu humjibu mwenye kiburi. Mungu alijibu kwa Motooo
@AmirMuhango4 ай бұрын
Miongoni mwa wanazuoni wangu bora kupata kuwafaham Allah akulipe badala njema Prof.Assad
@bennyinnocent27504 ай бұрын
Nampenda sana huyu mzee. Mungu amtunze
@titokikungwe76363 ай бұрын
Mungu akubariki sana profesa
@Bennie773 ай бұрын
Daaah! Hearttouching, specially hapo kwa mke wake. God bless u prof
@josephnyimbo99194 ай бұрын
A Godly Man, Principled and highly Mannered🙏
@Zai-vh7jd4 ай бұрын
Pole sana Prof. Mungu ampe iepo njema mama yetu, inshaallah! Upweke unaumiza, Allah akujaalie namna njema ya kukabiliana na upweke na awape nguvu wanao wawe faraja kwako.
@MichaelKingazi-wm7xj3 ай бұрын
God bless you too, hope God will help you for ever.Amen
@fidelisgeorgesinsangoh72444 ай бұрын
The best interview ever in my life....🙏🙏🙏🙏 Be blessed Prof ASSAD
@AbdallahLuambano-l1f3 ай бұрын
Kikeke endelea kutufundisha, Prof. Nawe endelea kutufundisha namna ya kusimamia kile tunachokihitaji katika maisha yetu. Ulifanya Kazi kubwa sana katika mazingira magumu na Bado hukutoka na kutuambia yaliyokuwa yanakusibu. Kikeke wewe ni hazina kwa Taifa lakini upande uliochagua kufanya kazi naona kabisa watawala hawajafurahia lkn kwa busara utakazozichota "off mic" nadhani itakusaidia kuhimili mambo. Kikubwa UBBC utakulinda huku tumaini namba liwe Mwenyezi Mungu. Nimelia haki, mahojiano Bora kabisa kupata kuyasikiliza katika ardhi ya Tanzania
@Kideko744 ай бұрын
Allah ndie mgawaji wa rizki na kila kitu be blessed sana professor Assad
@mukhtaromar-g5p3 ай бұрын
Masha Allah. Tuakubali sana kazi yko profesa assad
@ALIMOHD-bk9lrАй бұрын
JABALI LA TAALUMA NYETI KTK DUNIA. I'M SO PROUD OF YOU FATHER ❤❤❤❤❤❤
@prospersemu76294 ай бұрын
Nimetoka machozi hakika tuna watu Bora Sana na waungwana..one of the best Prof.mola akulinde mzee wetu
@stephenmmbago49754 ай бұрын
Very wise man PROF Assad
@abdulazizhabib45814 ай бұрын
Pole sana professor allah akupe subra,na allah ampe janatulfirdaus mama yetu
@mwitajoseph50034 ай бұрын
Thanks prof. Amazing story, umenisaidia sana
@rajenderrobert86054 ай бұрын
Proffessor Assad Hongera sana kwa kutoyumba wala kuyumbishwa na kutambua kuwa hakuna Mamlaka kubwa zaidi ya Mungu mmoja muumba wa Mbingu na Nchi Hatima yote wote ni moja . Kwake tulitoka na kwake tutarejea Tuwakumbushe waliojisahau Najivunia kwamba Ulikuwa Mwalimu wangu UDSM 2006-2009 mtu Mwenye Msimamo wako mkali sana kwa Mwenyezi Mungu
@markjason20354 ай бұрын
Mi jamaa huwa namkubali sana 🎉 particularly alivosema watumishi wengi waserikali uwezo wao ni mdogi kwenye nafasi zao
@MrKirumbuyo4 ай бұрын
A very humble guy.....I wish I get time to learn at the feet of this great individual....Mungu aendelee kumtunza!
@elizabethkitundu1936Ай бұрын
Kaka yangu Profesa Asad nakupa pole sana kaka yangu nakuombea kwa mwenyezi Mungu akuponye majeha akutie nguvu Nakupenda!
@Alex_Anania4 ай бұрын
Asante Sana Profesa.Mungu ampe mama Kauli thabiti.Kazi uliyoifanya ni nzuri mno na ya kutukuka Sana.
@janethndonde48864 ай бұрын
Pole Salim Kikeke naona ulichoka sana na yote ulioyasikia kutoka kwa Prof.Nice and touching interview
@carolakinasha21064 ай бұрын
Tunakupenda sana Prof Assad. Historia itakukumbuka kwa uadilifu wako. Mungu akutunze uishi sana
@daudisebyiga93304 ай бұрын
Pole sana Prof. Assad kwa kumpoteza mkeo. Nimeona jinsi swali la Kikeke lilivyokutoa machozi. It is really painful. Mungu akupe ustahimilivu.
@hawampate50294 ай бұрын
I enjoyed and learned a lot from this wise man
@shaabanjabir75554 ай бұрын
Maa Shaa Allah it's the best interview,prof Asad Allah akuhifadh na akupambe na uchamungu
@KIMSwahili4 ай бұрын
Baraka llah:, ya Allah nakuomba kwa rehema yako nipate mke mwema kama alivo kua mke wa prof : Assad ya Allah nakuomba kwa rehema yako iliyo tukuka uikubali Dua yangu inshallah 😢
@AbdallahHuweidАй бұрын
Allah atupe subra na atupunguzie mitihani profesa allah akupe subra na waslam wote amin
@kakoyolasayuki11114 ай бұрын
Prof. Hongera kwa Busara alizokupa Mola. Hakika ulitolewa ofsini Kinyume cha Sheria. Asante kwa kutueleza ukweli. Wewe ni Jabali usie ogopa Mwanadamu.
@TamimuMshare3 ай бұрын
Mwenyezimungu s,w akutie nguvu sana profesa asad
@OscarKasalile4 ай бұрын
Pro. Umeniliza mpaka machozi yamenitoka, mwenyezi mungu akupe uvumilivu.
@majaliwamussa92684 ай бұрын
Amiin
@lawimichaelwerewere7619Ай бұрын
Waislam wote wangekuwa kama yujamaa dini ingekuwa moja tu Mungu akulinde mzee wetu
@halimangereza42144 ай бұрын
nimeishi kushuhudia mtu mwenye alama zote za uchamungu...Pole sana prof kwa mitihan ulopitia. Allah amrehemu mke wako na akuzidishie wewe pamoja na family ustahmilivu na uwezo wa kuhimili hilo.
@razackmsangi22753 ай бұрын
Allah Akbar MwenyeziMungu amtilie nuru kaburi lake dada yetu aliyakua mkeo na wewe akuzidishie subra bila shaka ataendelea kukulipa thawabu kwa subra yako pia atakupa kilicjo Bora zaidi ya hicho alichochukua Nadi atujaalie mwisho mwema amiynn yarabb
@weremamwita9740Ай бұрын
Asand Brotherly, uwe na moyo mkuu. Dua yangu Mungu akupe wepesi mpenzi wetu. umenigusa lakini endelea kumtumainia Mungu. Pole
@geofreymwakasenga7054Ай бұрын
Mungu aendelee kukubariki na kukutunza Prof. You are very Unique.
@Josephgoliama1Ай бұрын
Professor namkubali sana. Ni ndoto yangu siku moja nionane naye ana kwa ana. Nakukubali sana
@suleimanmsekeni9774 ай бұрын
Allah Swt! Akuhifadhi ndugu yangu, wasomi wenye mtazamo na mwenendo katika Ncni hii ni wachache mno. Walio wengi hawana hofu ya Mungu hapa Duniani wanaona wamefika, msiba mkubwa!
@amaninyekele50024 ай бұрын
mtu muungwana sana na mpenda Mungu. Mungu akujaalie maisha marefu yenye furaha tele Prof
@rajabmohammed2344 ай бұрын
Allah azid kukupa subra,nguvu na ampunguzie adhabu y kaburi mke wako&Alitie nuru kaburi lake liwe miongon mwa viwanja vy pepo In-shaa-llah
@tukuyufm20 күн бұрын
We❤ you professor Assad, ethical leader
@ramadhanmasiku41054 ай бұрын
Aliyekutoa Yuko wapi !!😭Kuna somo la kujifunza hapo
@andreakadunda60224 ай бұрын
Mungu haachi chozi la mtu wa haki likaenda bure
@bageshitanzaniasafarisltd15844 ай бұрын
Acha ujinga ww paka
@ambokilemussa35184 ай бұрын
HAKUNA KAMA MUNGU
@ambokilemussa35184 ай бұрын
@@bageshitanzaniasafarisltd1584ndiyoo ukweli😊
@delfinkaawe40163 ай бұрын
Kasema mke wake marehemu
@abdallahally8424 ай бұрын
I love u professor assad my god protect u
@ChristinaKilianNyoni-xb7lk4 ай бұрын
Mungu akulinde daima...👏👏👏👏👏
@georgeburchard48724 ай бұрын
Inagusa Sana! Mwenyezi Mungu aendelee kukutia nguvu mzee wetu! Hakika wewe Ni shujaa na mfano wa kuigwa kwa hiki kizazi! Ila nasikitika hiki kizazi chenyewe kipo hukooo kwenye kamari, ulevi na uchawa!
@edwarddaniel56834 ай бұрын
I am not a Muslim but I like this man. He might be one of the best presidential opposition candidate
@foroforoy25544 ай бұрын
Was a religion part so necessary to your good comment?
@nickalreadyknows4 ай бұрын
@@foroforoy2554 Ni mpumbavu tu hamna kingine
@curtainpalace73694 ай бұрын
Awesome mr cAG AND SORRY FOR THE LOSS WE KNOW YOU WHEN IT COMES TO YOUR STAND YOU ARE ALWAYS ON THE RIGHT PATH YOU LEFT A HISTORY SIR
@FransiscoKaiza4 ай бұрын
Mzee ulipo tupo mungu akujalie afya njema Mzee wetu yupo mungu Mzee asadi🇹🇿♥️💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏🙏