Dah wskakuua mzalendo namba 1, Tanzania nchi yangu Sina furaha kabisa, zamu ya wanyonge kuumia! Mungu tusaidie
@mds52933 жыл бұрын
Great genious I have witnessed in my life.....God bring him back through another way in a miracle way lord......wasingekupenda hata kidogo baba sisi wanachi ndo tuliokuwa tunajua na tunaojua umuhimu wako baba. Wanachuki binafsi kwani wengi wao(viongozi) hawawezi vaa viatu vyako,uliwapita mnooooo hata hawakuweza kukuona ulipopita kwani kasi yako ilizidi hata ya jet baba wakati wao mwendo wao wa kobe
@kahmardintebe92662 жыл бұрын
Uliyafanya mengi sana sisi waislam tunakukumbuka kwa kutujengea misikiti mungu akuweke Mahalia pema peponi jpm
@alphonceelias25513 жыл бұрын
Uncle Magu, Patriot and great son of Africa.ulitutoa mbali ,kiongozi wetu shupavu.RIP daddy wetu,hakuna wa kujilinga nisha na wewe,msimamo mmoja na Wala haubadiliki badiliki.
@charlesnassary66893 жыл бұрын
duuu aisee hyu Rais mimi nitamlilia kila siku alikuwa mzalendo wa kweli mwenye uchungu na Nchi yake
@nassarrostom19193 жыл бұрын
Mwenyezi mungu muweke mahari pema peponi mkombozi wetu jpm
@patrickKitambo3 жыл бұрын
I called my son John to honor this great man, a rare patriot to ever existed in our country ...may he rest in power always
@richardboaz-mashagospel23463 жыл бұрын
Wote aliowanyoosha ndio walimpiga vita,sasa tunachezewa naumia sana sana...yaani ingekua naweza kufufua mimi ningemfufua huyu baba yangu. Picha yako baba ninayo nyumbani kwangu ukutani kila nikiingia nikuone wewe kwanza. Love you sweet Daddy
@richardboaz-mashagospel23463 жыл бұрын
@Firoza Braxeda pole Mungu wetu yuko hai
@niyiragiravenus89353 жыл бұрын
Ni kweli kabisa umefanya ya maana Hata na kwangu ninayo ijapo kuwa mimi ni MURUNDI kamili sita msahau Mfalme wa Afrika R.I P
@paschalburra78553 жыл бұрын
@@richardboaz-mashagospel2346mimi nataka hadi leo nipate picha ya Magufuli niweke ukutani niwe na mwona nilimpenda sana Magufuli
@richardboaz-mashagospel23463 жыл бұрын
@@paschalburra7855 wanazo wenye maofisi makubwa! Si wamemtoa ukutani waombe wanaweza kukupa tu! Hata mimi nilichukia mahali
@omanabcd92493 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@henrymsomi16573 жыл бұрын
Sisi wananchi ndo tulijua umhimu wako katika nchi ya Tanzania, rest in peace comander🙏🙏
@omanabcd92493 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@missmrs8293 жыл бұрын
Umenena vyema Henry msomi nakuunga mkono 🤝🤝🤝sio hawa majizi walio ivamia nchi 😏😏😏
@liannsambu72643 жыл бұрын
💯💯💯💯💯💯💯💯
@dassustephen53913 жыл бұрын
Tumepoteza kiongozi wa kipekee sana Tanzania Mungu atatuletea mfariji wala haitachukua muda mrefu.Amen
@wazirmlogi75323 жыл бұрын
Nikiikumbuka kauli yako "nikifa mtanikumbuka" nalia sana😭😭😭 Ok anyway tuliokupenda na wenye kuumia tunamuachia mungu,RIP mzee,umetangulia 2 lkn wote tupo nyuma hadi wao....😭😭😭
@homeboy23073 жыл бұрын
hakuja na kupita bule kunajambo ameliacha jifanyeni hamuoni mtayao tu naipenda tz Asante MUNGU
@christopherfabian45523 жыл бұрын
Tuna kukumbuka laisi wa wanyonge
@geraldbenjamin93023 жыл бұрын
Miezi sita Leo tangu tujuzwe kuwa umelala Baba!
@J4UPro3 жыл бұрын
Inauma sana, Nafikiri tufanye jambo mwezi wa tatu angalau tuweke majani au maua barabarani hiyo tarehe 17. Tuhimizane wote TZ
@dickaugustino22143 жыл бұрын
Tunaambiwa tukaishi BURUNDI 😭
@daudimichael73383 жыл бұрын
Dah, naishiwa maneno!! Kwa speech kama hii, usingeachwa salama, na kweli hukuachwa salama. Lala salama kamanda, ulichotuachia huku ni Mungu ndo anajua. Tumerudi utopoloni na hatujui ni mpaka lini tena tutapata mtu kama wewe, Mungu ajua!!
@dignakanje45082 жыл бұрын
Lala salama,umelala usingizi,tuombee hko ulipo nasitukuombea.Siku moja tutaonana baba.Udhubutu wko ulitufanya tukaishi kwakujiamini.Pumzika magu ulikuwa mpambanaji mwenye kuipenda Tanzania yko.Uchungu namaumivu uliokuwa nayo yalikufanya usilale usingizi.Mungu akusamehee makosa yko akupokee kwamema yko.
@johnmalembo64643 жыл бұрын
Mbegu imekwisha ota inazidi kukua ... falsafa ya JPM ... Éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@jumakimawa36333 жыл бұрын
The one man army who fought for our country's economy and Africa in general! RIP baba!
@binakitigwa33113 жыл бұрын
He was ready to sacrifice his life b'ze of the love of his nation. Rest in peace our hero. We miss you so much
@TamuzaKale3 жыл бұрын
Actually, he deeply fought for Tanzania but rather not for entire Africa. He was not engaged himself to resolve any African conflicts or any technicalities advisory to any.... Watu wa serikali ni washenzi sana. Wabinafsi. Ukiwaambia, wanajificha ndani.
@sabatosabibi21913 жыл бұрын
Chema hakidumu baba
@soleil803 жыл бұрын
Afrika yote tutakukumbuka daima shuja wetu!! ❤
@georgemheluka31223 жыл бұрын
JPM ni moja ya watala bora kabisa kuwahi kutokea Africa.
@fanueltarimo5093 жыл бұрын
Mungu akurehemu mahali ulipo baba napata taabu , naumia Sana yaani dah!! Ningeweza kukuamsha, ningefanya
Kulikuwa na uzembe mkubwa mno serikalini watu walikalia vyeo na hawakufanya chochote kwa wananchi hakukua na maendeleo kabisa, Magufuli alijua kutumia elimu yake vizuri pamoja na maliasili za nchi, tutakukumbuka daima Mkombozi wa Taifa la Tanzania na mtetezi wa wanyonge.
@omanabcd92493 жыл бұрын
Umeenda wapi baba wamerudi tena watesi wetu wanatutesa sana tumebaki yatima baba
@gracegrace62003 жыл бұрын
BADO KUNA UZEMBE TENA UMEZIDI. WEZI WOTE WAMERUDI.
@dickaugustino22143 жыл бұрын
Yes, tumuombe Mungu Tena ..atatugea kiongozi Kama magufuri..MUNGU MWEMA. kwa Sasa hakuna wa kusikia kilio Cha wanyonge hata tukiumia vp?
@adamfundikira35542 жыл бұрын
Ndo maana walimuua
@magesamatiku36983 жыл бұрын
Bado naona kama ndoto Mzee wangu,Haaa kweli Baba umetutoka tukiwa na hamu nawe😭😭😭😭😭😭😭
@alexkabendela66993 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@curthbertsimbao46363 жыл бұрын
Leo hii mfalme wetu, uteuzi ni sherehe kubwa mno
@samsonmakombe96363 жыл бұрын
R.I.P JPM, actually no any will forget you. We will remember you. You left with everything. No one can do as what you was doing.
@ernestmpembela28853 жыл бұрын
Kutoweka kwako kumekuwa adhabu ya watz Wanyonge rip JPM
@georgemassebu20833 жыл бұрын
Yaani kama kuna mtu alihusika na kifo cha JPM. nasema MUNGU akamlipe mabaya haraka sana. Ila kama kifo chake ni cha MUNGU mwenyewe basi akamuinue wa kufanana naye
@azizawadh59733 жыл бұрын
Kapige ramli
@zanpalmboutiquehotel26813 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema ,Ww ndo ulie apa na ukajitahidi kutekeleza kiapo mzee huku sasa hivi hatuelewi nchi itakuwaje,Ulo waamini nao washa geuka ingawa kuna baadhi bado wamesima shida ipo juuu mzee wangu
@mainguburemo61863 жыл бұрын
Watanzania sikilizeni hotuba hii iliyotamalaki dira ya Taifa. RIP baba yetu. Wenzako wameshaanza kujitangaza. Sasa hivi semina za watumishi na safari zimetamalaki. Tutaendelea kukukmbuka. Ngoja tuendelee kukusikiliza utukumbushe na wenzako waliobaki waendelee kukusikiliza inawezekana wakabadilika
@bulashuli38753 жыл бұрын
Mzalendo wa kweli,mbegu ulizopanda ni nyingi,wakati ukifika zitachipua.
@daviesmwema48313 жыл бұрын
yaani mm mmoja wapo,I am ready for everything for my country
@jumaabdalla33743 жыл бұрын
Nchi kweli ni tajiri ila kila kitu lakini inategemea na yle aliepo madarakani
@dickaugustino22143 жыл бұрын
We never loose this leader in our memories as "poor citizens" coz it was just simple to meet him and narrate your queries, compared today's leadership.rip jpm
@josephrobert98033 жыл бұрын
😭😭
@errydeo88653 жыл бұрын
Kwa wale walomuona hafai,subiri muone mamaenu atachowafanya waTZ!! RIP MZEE WETU...Sammia ni kudanga tu...
@azizawadh59733 жыл бұрын
Alikufa mtume miaka dahali dini imesimama waisilamu wameongezeka ni mipango tu
@ntegrity2773 жыл бұрын
Mimi nadhani tatizo Ni mifumo, Chama na mazoea! JPM was a smart guy!
@saidimkurago83753 жыл бұрын
Mwamba wa Afrika kiongozi wa Muda wote Hatujawahi na Wala Hatujawahi kumpata Tena huyu mtu Raisi alikua akiamini kua Tanzania inaweza kuendelea bila kutegemea wajomba
@lameckbalekere19623 жыл бұрын
Saivi tunadanganywa wanacheza filamu kumbe wanaweka dhamana wakachukue mapesa kwawazungu
@augustinokahinda39393 жыл бұрын
Unaakili kubwa mnooooooo🤣🤣🤣
@andresmartin63323 жыл бұрын
Huo ndio ukweli kaka mwenzake kaweka Umutaua kwa usalama wa Madini yetu ye kaenda na Kunda la wapiga picha wa Marekani bila kuja ki hata usalama wa nchi yetu kisha huyoooo kaenda Marekani Mungu tusaidie
@boraimanijumamahenge75543 жыл бұрын
Hakika pengo la huyu Mzee itachukua muda mrefu kuzibika...Tanzania imepoteza mtu Muhimu..😭😭
@ayubukhamis86733 жыл бұрын
Kiongozi aliekuwa na uchungu na Taifa lake.
@peterbayo46773 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@jongosalehe10363 жыл бұрын
Bulldozer my president JPM always never give up on inside Tanzania.
@Joseph-lu4yj3 жыл бұрын
Haijawahi toakea Rais jiwe kama huyu Africa, matokeo tuliona ndani ya mda mfupi ahsante baba
@happymakoye23293 жыл бұрын
Mungu akupe raha ya Milele
@mainguburemo61863 жыл бұрын
Wewe ulikuwa mwamba. Ulikaa miaka yote mitano bila kwenda Marekani na Ulaya. Ngoja tuendelee kula nchi JPM
@jaredyndaga46173 жыл бұрын
R. I. P. JPM
@abuyunusmohamed69613 жыл бұрын
Awamu ya tatu na nne zilikuwa awamu za upigaji sana. RIP John Pombe Magufuli
@TamuzaKale3 жыл бұрын
Sio upigaji, ni vile muundo wa serikali, mambo ya impitie ni mengi mno. Lugha nyepesi, urasimu. Magu alijitahidi sana kupunguza huo urasimu. Anachozungumzia hapa ni huo urasimu kama mtu miezi sita hajasaini anataka nini?
@frankminja23433 жыл бұрын
Jembe hili .Mungu amlaze Mahala pema
@amosdamian73083 жыл бұрын
Umeacha matapeli mzee wangu
@mutijimacedrick16223 жыл бұрын
Africa tumekosa shujya kweli .....oh Africa...JPM umejitowa sadaka kweli..Wafrika tutatoka tukipata wengi kama wewe ..,Katika Ukuu wamwafrika tunasema hujyafa kwasababu fikla zako bado zinaishi.na tunaishi zo myoyoni...Aluta continua camarade
@mpokimwakaje81783 жыл бұрын
Huyu mag alikuwa anafanya Mambo yakiungu watu bila kujua ndomaana shetini akachukia akumua jamani tuombe Mungu atusaidie juu ya nchi yetu Tanzania
@starlonejadamskp82243 жыл бұрын
Daaaah Genius, R,I,p Shujaa wa Africa 😪😪😍
@mzongekibwana8383 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 jp maneno yako yatadumu milele.kizazi na kizazi...mungu ndio mganga ulizungukwa na wanafki tena makatili.wasio na hofu ya mungu..lala kwa amani kiongoz njia yetu moja ww ni shujaa wa Africa..
@beatricehenry67763 жыл бұрын
Magu wetu,Jembe letu,Mfalme mdogo ,aliyemuacha Mfalme wetu Yesu
@kondosmsisi16903 жыл бұрын
Kizuri hakidumu pumzika baba sisi tunaria tozo samia kakusariti hafati chochote. Mungutu tunamtegemea
@nassarrostom19193 жыл бұрын
Roho yangu inaniuma sanaa jamani aaaaa 😓😓😓😓😓😓🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jilalajalu27563 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@missmrs8293 жыл бұрын
Kila nikiangalia video za Mafufuli natokwa na machozi,,,,nilikupenda sana kwa utendaji wako wa kazi Rais wangu dah!!!binadamu kaukatili uwahi wako" Mungu awaadhibu Wahusika wote milele
@stephensandiko60493 жыл бұрын
Amina
@hassann42093 жыл бұрын
Tukipata ma rais kumi Africa kama JPM tunaweza kufika mbari. RIP . 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@karimkalyango44113 жыл бұрын
Duh wallah Allah akuweke mahali pema
@curthbertsimbao46363 жыл бұрын
Kwakweli maisha haya ni hatari sana. Yaani kwa yanayoendelea hata mwehu ataelewa waliomuua mfalme wetu, ni aibu na maumivu makali sana kwetu wanyonge, yaani wanafanya watakavyo. Mungu tusaidie
@binakitigwa33113 жыл бұрын
Nikama wanafanya kwa kutusimanga nakutuzomea kwamba mlijidai nahuyo mnaemwita mtetezi wa wanyonge sasa tutawakomesha. Nakweli tunakoma
@dickaugustino22143 жыл бұрын
Nilichompenda jpm ...alikuwa mtafiti...tofauti na ssh...yeye anaagiza wasaidizi tu..na ndo wanaomuingiza kwenye chuki Kati yake na wananchi...kiukweli maskini wengi hatumpendi kiongozi Mkuu this is with no snitch!
Mungu atuinulie mtu Kama ww na mwenye uchungu na Mali za Tanzania,siyo wanaoongoza kwa naslahi yao na family zao.,Pumzika kwa Amani.
@allanalex88223 жыл бұрын
Najiulizaga tu usingekuwepo na usingesimama kwenye lile wimbi la corona lilivyoanza tungekuwa wapi sasa hiv.
@katunzijasson54102 жыл бұрын
Yaani hapo ndo niliamini kuwa tuna raisi mtu mmoja wapo ambaye angekufa kwa stress ni mm hakika alitufaa sana
@braystuskibassa38423 жыл бұрын
Ila huyu jamaa alikuwa bonge la kiongozi Mungu aendelee kutuletea viongozi kama huyu
@jonathankibwengo12403 жыл бұрын
Ulimsifia supika ila hukujua kama ni mnafiki tena jimbwa pori leo limekugeuka nalo linakukandia: ila umeimaliza sehemu ya kazi MUNGU aliyokupa kwa wa tz. Rest in peace MWAMBA.
@furahafrank82673 жыл бұрын
Sina Imani kama Samia atajua haya ma dudu yote.
@jacksonmakula83573 жыл бұрын
Hawezi, kichwa kile hakina kitu ni tupu
@bcozhenry26983 жыл бұрын
Yeye mwenyewe anayataka madudu haya atayakemea kivipi? Angalia kwenye nishati tu kilichofanyika, bado kwenye madini Biteko ajiandae kuwapisha wenye wanajua kuyala
@emmaponera2253 жыл бұрын
Mbona wanachaguana walewale ila Mungu anawaona wameanza kuwasumbua machinga wanawajali wenye pesa ipo siku damu yako haijapotea bure
@michaelbudotela30683 жыл бұрын
Mumeskia maneno ya kiongozi wetu mpendwa hayati JPM ! Jamani ;twafa huko tuendako ni shida tupu :
@jacquesmoninga92453 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 Mungu hii Mbengu itatoka wapi tena??? RIP JPM 😭😭😭😭🤯🤯
@binakitigwa33113 жыл бұрын
Tulipewa almas hatukuilinda ilipopotea ndipo tulipojua kuwa tumepoteza kitu cha thamani. Ee Mungu tupe second chance tutamtunza kwa gharama yeyote
@smarty10643 жыл бұрын
@@binakitigwa3311 😢😢😢😢😢😢
@PetroKiyeyeu-hz7qk Жыл бұрын
mwana mapinduzi mungu akuweke mahara pema IL ukweli wako utaendelea kuishi Ina kinacheendelea
@africayetutv3293 жыл бұрын
Sasa wanafanya wayajuayo ila sio kwamba Watanzania hawayajui ila tu wanaangalia kizazi hiki sio kile cha zamani kila linalofanyika huwa wanahoji why inakuwa ivo?
@DjamilaNdikumagenge2 ай бұрын
Sitamusahau rais magufuri mungu akuripe kwahupedo urio huonesha
@coolruler68203 жыл бұрын
Halafu kuna mtu eti anadai ulikuwa dikteta,,,Lala pema peponi mwamba,,,maono yako kwa nchi yalikuwa mazuri ila ndivyo ilivyo kwa Nabii kwao haeshimikagi
@gracegrace62003 жыл бұрын
Kwa sasa hatuna serikali. Serikali ya wezi na wazembe imerudi. Wanachaguwana wale wale. Unaiba kutoka kitu A. Unapelekwa kituo B na wizi uendelee. Serikali kama hizi ndiyo nchi za magharibi zinazipenda. Africa lazima iwe masikini kwa kutumia njia yeyote ile. Na viongozi wetu wanatumika. Wana dhambi kubwa sana
@kaisamwalyosi73443 жыл бұрын
Mungu hakupokee tu kwaulicho kifanya Tanzania
@salomeomashibo19713 жыл бұрын
mwenye alikumaliza siku yake iko sina imani kama kifo yako ilikua ya MUNGU . RIP JPM.
@niyiragiravenus89353 жыл бұрын
Walio tia mkono kwa kifo chake wamo serikarini na wame julikana na tena wengi ni wana CCM VIONGOZI KABISA! hasa walio kuwa kwenye AWAMU YA 3 na YA 4 Tuseme tu bado siku za ku waweka hadhalani ndizo tunasubiri kwa sababu Mungu ndie muamuzi wa yote Watajificha wanadamu ila kwa Mungu hawatajificha Nimalize kwa kusema hivi wa Tanzania kuweni macho sana maana kuna ka serikari B kako nyuma ya seri A ukweli ndo huo Na msije mkawa kama Nchi zetu kama Burundi Rwanda Congo na Sudan . Mungu ibariki Tanzania ibariki Afrika
@edwardnamakonde73103 жыл бұрын
Wanamuita mwenda zake, Sina hakika Kama wanamuita hivyo kwa nia njema.
@liannsambu72643 жыл бұрын
NA MIE NASHANGAA ,WHY WAMEMTUNGIA JINA ILI ,JPM KWA GARAMA YOYOTE VIZAZI VYOTE VITAMJUA ATA WAFANYEJE , DAMU YA MWENYE HAKI HAIFI ,TUKUMBUKE MFANO WA KAINI NA ABILI WATOTO WA ADAMU
@pendomwalwiba64283 жыл бұрын
MUNGU anajua aliyeruhusu uondoke,pumzika magufuli mtetezi wa wanyonge
@faridamikindo45243 жыл бұрын
Alichokiongea sasaivi mnakiona mambo yamerudi yaleyale makamba karudishwa ukuta umebomolewa wanakula wenyewe na watoto wao atari sana ILA ipo siku yataisha...tu siku watu watachoka people power
@stephensandiko60493 жыл бұрын
Nimekiliza Sana mzee unazungumzia madini, mbolea lkn Sasa hivi tunazungumzia habari za marekani
@timboxlee9193 жыл бұрын
Huyu ulimwecha kagawa kontena zote kwa wazungu,Rip JPM Wangu
@ernestmpompo46373 жыл бұрын
Daaaa yaaani namsikiliza huku machozi yakinitoka mungu tupe uvumilivu
@robertandrew60623 жыл бұрын
Natamani mungu angetende muujiza JPM aamke kwa muda hata wa dakika kadhaa atuage then apumzike, inauma sana RIP
@RedmiXiaomi-gm1tgАй бұрын
Kwakuwa mungu anaish na mungu anawatu wake huwaonyesha maono na miongon mwao nikiwemo na mim mpewa maono ngoja tuone mwisho make mungu kashanionyesha nini kitatokea mwisho wa mazira yote yanayowakuta watanzania walio wengi mungu alishashasikia na kuyaona machozi yenu mda so mrefu ataenda kutenda na kuwaacha peupe wazarimu wachache wanajifanya waungu watu ndani yataifa la wengi mungu kashawaona niswala la mda tu.
@anthonywebiro75443 жыл бұрын
King,master,dragon,champion,winer,hero.
@rogerbiayi69843 жыл бұрын
Really he was
@charlesmwamlima39232 жыл бұрын
Absolutely
@mahonakatani25903 жыл бұрын
Saiz tunachezew km midoli,,wanaotuchezea walifrah mno ulipokufa,,sjui utarudi lin mkomboz wetu
@josephmsanga67513 жыл бұрын
Nchi Pale inapokua kana kwamba Haina Mwenye Nayo inauma sana!! Mungu Iokoe Nchi Yetu.
@joshuanyonyi33133 жыл бұрын
Kesho Jumapili.. Kwani mikoa yote tukipanga MDA wa maandamano ya kupinga muelekeo WA Samia Rais.. Anapotupeleka si ni haki yetu.. Kwani sis ni vipofu...hatuoni.. Miez sita baada ya kuwa JPM Nchi inaendelea pabaya.
@simonmagaigwa54963 жыл бұрын
Kwani hujasikia anajipanga kugombea tena?
@arthurisacksuka53693 жыл бұрын
Wahenga walisema msemo huu KIKULACHO KI NGUONI MWAKO.
@sr.helenarhobi88863 жыл бұрын
Umeondoka kiwiliwili tu baba yetu lakini mawazo yako na mipango yako bado vinaishi. Asante kwa kutuonesha kwamba Tanzania si maskini bali tajiri. Forever in our hearts baba JPM. Rest in peace our dady!
@karimkalyango44113 жыл бұрын
Wanyonge part is coming, falsfa za jpm ziludi. Kila binadam anamapungufu yake. Watanzania tuamke jamaani. Tumechoka chezewa Nchi yetu tajir hatuwezi shindwa.
@molig84893 жыл бұрын
Hapo anatafutiwa upenyo Ridhiwan Bint Kikwete apenye uwaziri wa nyeti kwenye timu ya wezi wenye vibali'
@mrdeniskomba61993 жыл бұрын
Usipo muelewa jpm bora ukapime akili mirembe hosp
@ramadhaniayubu61033 жыл бұрын
RIP mzee wetu
@kingmazera83743 жыл бұрын
Hakika ulikuwa kiongozi wa nchi!!! Naamini viongozi waliopo sio tu kujifunza walitakiwa wakulinde utimize ndoto na historia lakini nani aje kukurithi??
@ramadhanmgaya17753 жыл бұрын
Now on there is no movement. Yote uliyoyakemea mkuu yamezikwa chato pamoja nawe. Rip baba Allah akupe malipo mema.
@bethkatunx76773 жыл бұрын
Ee mungu wetu iponye nchi yetu nzuli tanzania tuokoe mikononi mwa watesi wetu wabaya wauaji watumishi wa shetani na kuzim baba yetu tunakukumbuka daima kwa heli baba
@zahorokasentisenti67612 жыл бұрын
The great man
@ismailkenge70852 жыл бұрын
Bado tunaesabu uko dunian baba wa taifa Nyerere 1/ maguful 2 one love
@jumakalukule53123 жыл бұрын
Lala salama mzee wangu umetuacha gizani
@dickaugustino22143 жыл бұрын
Leo wanabomoa mabanda ya mamantilie barabarani eti uchafu. rip jpm
@nasoromakwaya85083 жыл бұрын
Spika kabadilika na samia pia sasaivi nafuu kwamatajili kwamasikiñi shida baba shida vyanzo vyamapato ulivyo viacha avizungumziwi tena sasaivi anakamliwa mtz masikini tozo ndio habari yamjini hatari
@mohammedmdangwe20563 жыл бұрын
Magufuri umetuachia msala huku nyuma leo anaenda marekani kuuza nchi nchi umemuachia kikwete mama anapelekeshwa vibaya
@floranyambominja57973 жыл бұрын
Ule mchakamchaka wa mawaziri ulikuwepo wkt wa JPM umeishia wapi? Afya, ardhi, madini, tamisemi???
@amosdamian73083 жыл бұрын
Huuuuh ameshapatikana wakubembelezwA
@happymakoye23293 жыл бұрын
Leo wateuliwa Sio kutatua matatizo Ni KUONGEZA MATATIZO KUWACHANGANYA WANANCHI ILI..