Shukrani sana kwa Maelezo. Waislamu wengi wanatapeliwa kwa kudanganywa kwamba nyota zao zitasafishwa. Kwa hivyo, Viongozi wetu wafanye kila njia sahih ikuelimisha Ummah
@Mohamedmjenga Жыл бұрын
Elimu yako ni pana sheikh
@Ahmadasshii-raazy88882 жыл бұрын
لا اله الا الله هذا علم من اعلام الأمة اسكنه الله فسيح جنانه
@zeinulabedeenahmedahmed10972 жыл бұрын
Shukran kwa ukumbusho mola akubarikie na allah amuweke ustadh jannat firdaus amin
@akthammuhammad78442 жыл бұрын
Shukraaan Al Habib kazi mzuri sana kutuletea ki namna hini.
@ustadhayub8733 Жыл бұрын
Ya salaam ya bnal biedh wewe ni sultanul ulamaaa kwetu sisi na niwachache mfano wako
@harounalubbaid85852 жыл бұрын
WAZUNGU WANAJIULIZA HAWA MASHEIKH ELIMU YA ANGA WANAJIFUNZIA WAPI KUMBE QURAN AL QAREEM
@amarhamid1232 жыл бұрын
Masha Allah
@AbuuRuudaynaa2 жыл бұрын
Sheikh leo nimekuelewa umezungumza haq allah akulipe kheri
@infocontentchannel2 жыл бұрын
عالم من علماء شرقية الأفرقية
@jumannekambi2322 жыл бұрын
Maşallah
@Ahmadasshii-raazy88882 жыл бұрын
رضي الله عنه وارضاه
@jimjam41482 жыл бұрын
MASHA ALLAH.
@mudymjengamaghembejr87852 жыл бұрын
Inshaallah
@jumannekambi2322 жыл бұрын
Habari hizi zinapatikana wapi tukachimbe
@issabinmaryam74502 жыл бұрын
Ktk mada ameongea hapa ameongea tofaut na masufy wengi hukaa na machawi