Homgera Sana Mr Evance Chocha AKA Mr Dubai. Hapo chini kuna Club moja hakuna mfano wake hapo Kasulu, ndio kiwanja chao cha kujivunia.
@herifilms Жыл бұрын
Hongera sana ndg yetu Evance Chocha
@mariamuseifu3065 Жыл бұрын
Masha Allh
@mosesmacha1080 Жыл бұрын
Hii nchi ngumu sana
@LB-ls8yj Жыл бұрын
Kigoma inahitaji sokoto kubwa la bihashara na DRC CONGO 🇨🇩
@adolfmfumya64519 ай бұрын
Mkuu salutinyingi mkari
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Kumbe bilioni 1.9 hata mimi najenga ise
@VitusEmmanuel-d1b Жыл бұрын
Mkoa unaofata kwa uteuz Kasulu mjin gorofa km zote hazihesabik
@j.c.maxima816 Жыл бұрын
Kwa nini wameweka 'red color'?! 🤗 Mimi sijapenda ! 🤷♂️🙃
@richshayo4924 Жыл бұрын
Mbona saaa hotel nzuri ya 1.9 B kuliko ule uwanja wa 39.B?
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Kipindi chetu tulikuwatunajuwa golofa ya NDITUYE pekeyake ndio ilikuwa gholofa kubwa mpaka naondoka Kasulu kuja Dar es salaam niliacha gholofa ya Ndituye ndio kubwa 😢 Nimepamis nyumbani lakini maisha hayana fomula
@flaviankato1697 Жыл бұрын
Duh sasa iv zipo kibao zaid ya 6
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
@@flaviankato1697 Daah! Hongera sana kwa Kasulu yetu. Maana kitambo sana kwakweli
@kaisarimbisso5011 Жыл бұрын
Ile shule ya bil. 5 ya watoto wa kike ifuatiliwe tafadhali
@shangwelinusi3261 Жыл бұрын
Pasta dubai chocha
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Duu kumbe bilioni 1.9 unaweza kujenga ghorofa kubwa hivyo ghorofa tano tunasikiaga maghorofa mengine gharama bilioni 60 bilioni 15 ya mjini hapa dar es salaam