Hii ndio khutba ya mwisho ya sheikh Muhammad bn sheikh Ayyoub TAMTA day 1997.

  Рет қаралды 50,157

USTADHI SAMPA KATEMA

USTADHI SAMPA KATEMA

Күн бұрын

Пікірлер: 73
@mdoekibai3991
@mdoekibai3991 11 ай бұрын
Allah amrehemu shekhe huyu na amuingize ktk pepoyake tukufu aamina
@Xuxu-f7j
@Xuxu-f7j 8 ай бұрын
Allah akupe maisha mema Sheikh Muhammad bin Ayyub insha Allah Allah atujaalie tukutane huko Allahumma Aamiin
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb 4 ай бұрын
Allah amsamaeh makosa yake,amtakabalie aamal yake,na pepo iwe maskani yake ameen
@athumanimsese9850
@athumanimsese9850 Ай бұрын
Amin
@athumanzanangwa4477
@athumanzanangwa4477 9 ай бұрын
Allah Akuhifadhi Sheikh Wetu. Umetoa ...mchango mkubwa sana kustaarabisha watu
@AllyMwazoa
@AllyMwazoa 6 ай бұрын
Allah mrehemu shekhe Mohamad Ayubu.Msomi alieitumikia Elimu yake.Akawafaa waja na miji ktk nchi yetu
@IbrahiimMzee
@IbrahiimMzee Жыл бұрын
ALLAH KAREEM amraham atupe na sisi barka zake tufuate njia zao.. ameen
@athumanzanangwa4477
@athumanzanangwa4477 Жыл бұрын
Mashaallah, Allah Akuhifadhi Sheikh!
@GoldenBoy-xm5gn
@GoldenBoy-xm5gn Жыл бұрын
ahifadhiwe au arehemewe
@AllyJuma-k7f
@AllyJuma-k7f Күн бұрын
Allah akuraham sheikh muhammad ibn sheikh ayoub ibn khamis al kamaadhiyy
@AhmadTiki-nc9cm
@AhmadTiki-nc9cm 10 ай бұрын
اللهم اغفر له و ارحمه وانفعنا بأسراره وبركاته
@ayubuzomboko9502
@ayubuzomboko9502 Жыл бұрын
Kamawapo wanafunzi wa shekhe huyu wayachunguze sana maneno ya shekh wao huyu.. Allah amrehem.
@kassimumikdad1611
@kassimumikdad1611 Жыл бұрын
b
@swahibually8349
@swahibually8349 11 ай бұрын
Mambo yasiyokuhusu achana nayo,hasa ukiwa ni Mhabi,ndo uachane nayo kabisaaa, nyinyi mna Dini yenu nasi tuna Dini yetu.
@kapufi2047
@kapufi2047 9 ай бұрын
​@@swahibually8349 jazba shehena
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb 4 ай бұрын
Ameen
@HemedSerious
@HemedSerious Ай бұрын
Wewe ushamchunguza ? Hata hivyo ulitakiwa ujichunguze wew kwanza alafu uwachunguze watu wako wa karibu😂😂😂 alafu ndio umchunguze almarhoom
@KhalidIdrisa-x4z
@KhalidIdrisa-x4z 7 ай бұрын
Allah amhifadhi na adhabu zakaburi naampe pepo ya juu
@SALUMKHALFAN-z4f
@SALUMKHALFAN-z4f Ай бұрын
اللهم اغفرله ورحمه ورفع درجته في المهديين وخلفه في الغابريين وغفرلنا وله اللهم افسح له في قبره ونور له فيه يا رب العالمين
@SALUMKHALFAN-z4f
@SALUMKHALFAN-z4f Ай бұрын
والله ولي المتقين
@athumanzanangwa4477
@athumanzanangwa4477 11 ай бұрын
Allah Akurehemu Sheikh !
@EnthusiasticAtv-gn6pb
@EnthusiasticAtv-gn6pb 4 ай бұрын
Allah amrehemu in shaa Allah, alikuwa na msimamo usio yumbishwa in shaa Allah.
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 Жыл бұрын
Allah amrehemu Shekh huyu mfano bora sana kwa Mashekh wa sasa. Anajuvunia kufanya kazi ya Kusomesha Dini ya Allah na Ma sha Allah alipata mafanikio ambayo kila Muislamu makini anaiona kwa kushuhudia Mashekhe wengi wa kutegemewa hapa Tanzania na nje ni wanafunza wake mfano: Shekhe Mkuu Abubakar Zubeir Shekhe Walidi ,Shekh Kassim Mafuta ,Shekhe Muharram Mwaita ,Shekh Muhannah a.k.a Baba Kiruwasha ,Shekh Muhammad Iddi na wengine wengi Mamia kwa Mamia nchini. Yeye alofanikiwa kwakuwa alijikita kusomesha na si Kupinga kila kukicha.. Tumuombee kheri na Rehema za Allah na tumuige mwendo wake In sha Allah
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 7 ай бұрын
Allah agreement sheikh Muhammad Ayoub,alikuwa alim asiyejitukuza bali alikuwa mwanazuoni wa kweli na athari za kuwepo awake zinaendelea hadi siku ya kiama.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 7 ай бұрын
Allah amrehemu
@AllyKarama
@AllyKarama Жыл бұрын
Mungu atupe nas kaultthabit kwabaraka zake sheikhe muhammad ayubu kupitia jaha ya mtume msw
@Iqram-rp1ft
@Iqram-rp1ft 7 ай бұрын
Allah amjaalie kauli thabit yey pamoj n sis Isha Allah 5:33
@mtindikoja8837
@mtindikoja8837 Жыл бұрын
Alah awerehemu masheikh wote muhmmad ayoub nawote waliotangulia
@AbuuOthman
@AbuuOthman Жыл бұрын
ماشاالله اللهم رحمه الشيخنا آمين
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb 4 ай бұрын
Ana hekma maashaallah
@shabanluka5704
@shabanluka5704 2 ай бұрын
Allah amrehemu
@IbrahimuBilali
@IbrahimuBilali Жыл бұрын
Mungu ampe pumziko njema sheikh mkubwa nimesomeshwa na mwanafunzi wake sheikh ally Shafii kinelo
@UlamaaYazid
@UlamaaYazid 8 ай бұрын
Allah amrehemu shekhe
@HusseinAbdallahNgwema
@HusseinAbdallahNgwema Ай бұрын
Allaahummar hamhu
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 Жыл бұрын
MashaAllah Allah amrehem sheikh
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 8 ай бұрын
Allahumma aamin
@majaliwahassan2555
@majaliwahassan2555 11 ай бұрын
Amin mungu atuongoze kwenye nyendo zao
@yusuphmakangemakange4474
@yusuphmakangemakange4474 10 ай бұрын
Mungu amlipe malipo yalio bora zaidy
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw Жыл бұрын
Allah akurehem
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 11 ай бұрын
ALLAH AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN
@BakariAthumani-vs8lk
@BakariAthumani-vs8lk 4 ай бұрын
Allah amrehem mzee huyu
@muftishaban.a.musamombasak6577
@muftishaban.a.musamombasak6577 Жыл бұрын
رحمه الله تعالى رحمة واسعة في الجنة مع النبيين والصديقين والشهداء والصالحين وحسن أولئك رفيقا
@ibrahimabdillah5729
@ibrahimabdillah5729 Жыл бұрын
Allah amsamehe makosa yake na amrehemu
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Жыл бұрын
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
@hassanmichael7068
@hassanmichael7068 Жыл бұрын
Mzee kafanya kazi kubwa sana kusambaza dini amefundisha malaki ya watu huyu ndio ameplay bid role katika uislam ila sasa umkute mtu kama Mazinge hivyo anavyojisifia daah
@swalehekinere122
@swalehekinere122 11 ай бұрын
@AbuuZahir2.
@AbuuZahir2. Жыл бұрын
اللهم اغفر له وارحمه واس كنه فى الجنة
@maimunaabdallah5304
@maimunaabdallah5304 Жыл бұрын
Allah mpe kauli thabit
@farajisadiki2754
@farajisadiki2754 Жыл бұрын
Mwenyewezi mungu amrehemu inshallah
@FarajiAbdallah-yw2wn
@FarajiAbdallah-yw2wn Жыл бұрын
اللهم اغفر له وارحمه واسکنه فی الجنة۔
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t Ай бұрын
KHABARI KUBWA....KUNA MAWALII WAKUBWA WAMEMUOTA ZAIDI YA MARA MOJA, MBILI, TATU MARHUM SHEKH AYOUB MAHALI PEMA ALIKOHIFADHIWA NA ALLAH S.W. NA LA ZAIDI MPAKA WANAZUNGUMZA NAE....ALLAHU AKBAR.
@maryammustapha-b3l
@maryammustapha-b3l 11 ай бұрын
Allah alipe nuru kaburi lake sheh langu
@amiryrajabu7058
@amiryrajabu7058 Жыл бұрын
mola amrahamu amuhifadh ampe starehe
@maryammustapha-b3l
@maryammustapha-b3l 11 ай бұрын
Allah ampe makazi mema sheh langu
@SeifRupatu
@SeifRupatu 10 ай бұрын
Kumbe nawewe ulisoma Tamta
@BuruhanMwikalo
@BuruhanMwikalo 3 ай бұрын
😅😅😅hapana budi kumshukuru Allah Allah amuweke safu moja na mtume
@WalidAlhad
@WalidAlhad Жыл бұрын
Si kweli hii sio khutba yake ya mwisho
@yusufdai976
@yusufdai976 11 ай бұрын
Tuwekee ww hutuba yake ya mwisho
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 11 ай бұрын
TUWEKEE KHORUBA YA MWISHO TUPATE RAHA ZAIDI SHEKH WETU ALLAH AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN
@ramadhanmjela9868
@ramadhanmjela9868 11 ай бұрын
1997
@roubaasagaaf
@roubaasagaaf Жыл бұрын
yamwisho niip?
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb 4 ай бұрын
Bora akujibu
@EnthusiasticAtv-gn6pb
@EnthusiasticAtv-gn6pb 4 ай бұрын
Sheikh Muhammad Ayoub aliwahi kusema kuwaambia wanafunzi wake: "Shia Ithna'sheri ni Waislamu....Hivyo, katika wanafunzi wangu atakayemtukana Shia yeyote kuwa ni kafiri, nitamfukuza kwenye Chuo changu." Hata hivyo, yasemekana Sheikh Muhammad Ayoub na Sheikh Fulani wa Kenya (Wahabi) walikuwa marafiki. Wakaanza kufanya utafiti kuhusu Madhehebu ya Shia Ithnashari, Sheikh wa Kenya akawa Shia, akaenda kwa Sheikh Muhammad Ayoub akamueleza: "Sheikh, wasubiri nini? Tayari haki tumeshaiona. Sheikh Muhammad Ayoub akasema: "Nafahamu, ila nikifanya hivyo, huu Ummah ulio nyuma yangu itakuweje? Natumia hekima....Baada ya kutambua kuwa Sheikh Ithna'sheri ni Waislamu na ndio wapo kwenye haki, Sheikh ndipo alipotangaza kuwaeleza wanafunzi wake kuwa, atakayemtukana Shia, atamfukuza Chuoni kwake." Allah amrehemu Sheikh Muhammad Ayoub. fahamu,
@AbeidMdimu
@AbeidMdimu 3 ай бұрын
Acha umbea wako
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t Ай бұрын
INAELEKEA HUYO MTU HAMJUI MARHUM SHEKH AYOUB!
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 12 күн бұрын
hivi kama alisema mashia ni waislam,mtakuwa mmkekuwa waislam kweli? Mashia hasa ithnasharia ni MAKAFIRI!!
@BuruhanMwikalo
@BuruhanMwikalo 3 ай бұрын
😅😅😅hapana budi kumshukuru Allah
@ramadhanmjela9868
@ramadhanmjela9868 11 ай бұрын
Amefariki mwaka 1997
@tztanzania2262
@tztanzania2262 Жыл бұрын
Alfark mwaka gani???
@HusseinPaula
@HusseinPaula Жыл бұрын
Kati ya mwaka 1996 au 1997 ndo alitutoka babu wetu huyu kipenzi نفعنا الله به
@maryammustapha-b3l
@maryammustapha-b3l 11 ай бұрын
1997
Wosia wa sheikh Muhammad bn sheikh Ayyoub kwa wanafunzi wake.
16:46
USTADHI SAMPA KATEMA
Рет қаралды 19 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Sheikh Mohamad Ayoub Tamta
10:00
Shabani Mbwana
Рет қаралды 52 М.
Historia fupi ya Imamu Ghazaar R.a @KHALIFAMPYA-TV
27:44
KHALIFA MPYA TV
Рет қаралды 4,1 М.
Huyu ndio Sheikh Hassan Bin Ameir Baba wa Waislamu Tanzania
1:06:55
Sauti ya Shariif Hussein Hashim Al-Musawa itakayodumu kwa miaka mingi.
17:25
USTADHI SAMPA KATEMA
Рет қаралды 15 М.
VITA KALI~SHEKHE MUHAMMAD BAKARI ~SHEKHE SALIMU BARAHIYANI 1994
18:10
NEEMA YA UISLAMU TV
Рет қаралды 12 М.
MAMBO USIYO YAJUA KUHUSU CHUO CHA TAMTA, JIJINI TANGA
11:03
AL BAYAAN Online TV
Рет қаралды 16 М.
KISA CHA HAARUT NA MAARUT by Khalifa Mussa Issa @KHALIFAMPYA-TV
22:15
KHALIFA MPYA TV
Рет қаралды 15 М.
"Zijue haki za wazazi" - sheikh Hemed bn Jumaa bn Hemed Al-Buhury
28:02
USTADHI SAMPA KATEMA
Рет қаралды 13 М.