Allah awasamehe wezee wetu,awape rehma zake na awaingize pepon kwarehma zake.
@Abbas-fp5mc16 күн бұрын
AMEEEEN. AMEEEEN.
@khalidawadh66892 ай бұрын
MashaAllah. Allah akuongezee umri ilinasi tupate japo kidogo kutoka kwako
@lshayo16582 ай бұрын
Mnafanya vizuri sana aongee bila kumkatiza au kuingilia maongezi kila baada ya sekunde kadhaa, yako very professional haya maongezi! safi sana kwa waandaji.
@mohayussuf20572 ай бұрын
True always remains true sheikh Hassan was great person Allah amfanyie wepesi
@alexlugembe48162 ай бұрын
wepesi kwenye nini ebu toeni ushamba wenu hapa
@CC-yo4oqАй бұрын
Kila kona ya mitandao ni Uislamu ulivyonyanganywa na Nyerere kuleta uhuru. Kaa na familia yako. Ongea na wajukuu vizuri. usiwapandikize mizizi ya chuki za kidini. Kosa la Nyerere tunalijuwa wote. Kosa lake ni mkristu, hakupaswa kuhusika na kuleta uhuru. Sasa wewe pfofessor mkubwa pamoja na elimu yako yote tuonyeshe mchango wako wa maendeleo TZ zaidi ya kueneza chuki za kidini. Mitandao yote wewe ni mhamasishaji mkuu, Oh waislamu wanaonewa, oh, baba wa waislamu, mara oh mwembechai. Nakumbuka ulikuwa mbele saana kuisakama serkali, siku hizi umenyamaza. Uongozi utakapobadilika akanja mkriostu ndiyo itakuwa mwanzo wa kueneza chuki za kidini! HUCHOKI! HUSTAAFU!
@Abbas-fp5mc16 күн бұрын
AMEEEEN. AMEEEEN.
@Abbas-fp5mc16 күн бұрын
@@alexlugembe4816Wewe ni sawa na USIKU WA GIZA.Yote yalielezwa hapo hata kuzaliwa ulikuwa BADO ndiyo maana unatoa maneno ya MATAPISHI.
@shamte9musicofficial12628 күн бұрын
Najifunza mengi sana ,nimemjua shekhe ramiya na huyu shehe Hassan bin amir
@AymanMussa16 күн бұрын
mashaAllah mabrooq sheikh mohamed said Jazzallahu kheiry
@universitylink22 күн бұрын
Mashaallah; nice story we missed it
@froma37322 ай бұрын
Hao wanaosema huyu anamchukia Nyerere kwa Sababu Mkiristo itakuwa hujamuelewa na kama Munaona anatunga Watueleze yaliokuwa na Ukweli kam sio huuu
@FesaryАй бұрын
Lakini anaongea kitu ambacho kilishindwa kufanya kazi, Nyerere akawa Raisi
@Abbas-fp5mc16 күн бұрын
Hao ndio wale waitwao MACHAWA. Wao huwa hawataki kujua kitu kiitwacho HISTORIA.
@Abbas-fp5mc16 күн бұрын
huyo ni CHAWA hataki HISTORIA. Anataka mkono uende KINYWANI tu.
@Abbas-fp5mc16 күн бұрын
Huyo anayekanusha,hana hata cha KUWEZA ELEZEA. NI UCHAWA TU. NA PENGINE KIPINDI HICHO ALIKUWA HAJAZALIWA.
@HazarAkram2 күн бұрын
Nyerere kawakuta waze wetu... nyerere kachochea vita
@Andres-qt6kp2 ай бұрын
Sheikh Ameir alikua mtu wa Mungu na msafi na Mungu alimtumia kumunga mkono Nyerere ila ungekua wewe I believe ungepinga Mwalimu asiwe kiongozi wetu
@AliAmour-g2o2 ай бұрын
Pamoja kuwa shkh hassan bin ameir ni mtu wa mungu, hakuwa nao lakini uwelewa wa mambo ya mbeleni ambayo baadae yalikuja kumkuta kwa huyohuyo ambae aliemfanyia wema wa kumuunga mkono, naamini angelikuwa anayajua hayo yaliyomkuta katu asingelimuunga mkono hata kidogo kwa vile kuwa alikuwa ni mtu wa mungu na hakupeda dhulma... Soma historia kwa umakini uwelewe ndugu
@AbubakariHassani-m4x16 күн бұрын
Wazee wetu Walighafilika ,na maneno ya ALLAH Tabbaraka Allah pale aliposema ,Hawatakubali hao mayaudi na manaswara mpaka muige Mila zao
@MwinyimvuaOmary2 ай бұрын
Maashaa'allah shukran Kwa ukumbusho
@jonamnyone80142 ай бұрын
Nadhani tuzungumzie zaidi utaifa wote walikuwa Watanganyika regardless ya dini zao. Nyerere aliteuliwa na wenzake Kwa sababu ya sifa alizokuwanazo. Si Kwa sababu ya dini yake na kama kigezo ingekuwa ni dini yake asingeteuliwa. Yawezekana kabisa kama wewe ungehusika katika uteuzi usingemteua Nyerere Kwa sababu ya dini.
@king3-q1s2 ай бұрын
Wakati kanisa linatunga nyimbo ya kwaya na kuwaimbia watu kuwa kama sio juhudi zake nyerere na uhuru tungepata wapi, mulidhani watu hawatojua kuwa sio juhudi za nyerere kama mulivyoaminishwa, kufeni kwa uchungu.
@samitungo2 ай бұрын
Nyerere alichaguliwa kwa sifa alizokuwanazo na moja ya sifa hizo ilikuwa dini yake. Hamza Mwapachu alisema ni muhimu Nyerere aongoze harakati za kudai uhuru kwa sababu kama Mkristo ataondoa ile "stigma" ya kuwa harakati za uhuru ni za Waislam peke yao. Nyerere kuwa kiongozi wa TANU kutaleta umoja wa Watanganyika wote lau kama Waislam wako mstari wa mbele.
@antarsangali44562 ай бұрын
Huwezi kukwepa ukweli wa historia ya political movement kuelekea uhuru wa Tanganyika haikamiliki bila kuzungumzia nguvu au mchango wa waislam by then. TAA hadi TANU haikuwa na ushiriki mkubwa wa Ukristo ,Ubudha au Uyahudi. Sauti ya Muft sheikh Hassan bin Ameir kwa wakati ule, angemtaka Julius Nyerere asiwe kiongozi wa TAA baadae TANU , historia yake ingeandikwa vingine si kama inavyosomeka leo
@khatibal-zinjibari69562 ай бұрын
RAIS MKATOLIKI NYERERE ALICHANGANYA UKATOLIKI ✝️ NA SIASA. 1) Bila Udini wa Nyerere na Msaada wa Chama Cha Makanisa (CCM) yafuatayo yasingekuwepo: a) Afro-Shirazi Party. b) Mapinduzi ya Zanzibar. c) Muungano. d) Kero za Muungano. e) Tanzania. f) Karume asingeuliwa g) Chama Cha Mapinduzi h) Waislam wa Zanzibar wasinbygeuzwa Wahanga kila Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi. i) Maaskofu wa Kanisa wasingependekeza Baba wa Taifa kuwa MTAKATIFU. 2) Nyerere alichanganya Siasa na Udini mara tu baada ya kuvunja TAA na K😢uwafukuza Waislam na Kuwaingiza Mkatoliki. 3) Nyerere alilazimisha Ujamaa wa Kiafrika kumbe ni Liberation Theology ya Kanisa la Katoliki. 4) Kwa nia ya kupinga Dini ya Kiislam Tanganyika na Zanzibar, Nyerere alitaka watu wasichanganye Dini (Uislam) na Siasa Nchini. 5) Waislam hawajui kuwa kutochanganya Dini na Siasa ni Imani ya Mfalme Julius kwenye Biblia. 6) Kambarage alibatizwa kuitwa jina JULIUS na kuandika kitabu JULIUS KAIZARI, Mwasisi wa Kutokuchanganya Dini (Ukiristo) na Siasa.✝️ 7) Mufti Hassan bin Ameir al-Shirazi na Mashekhe wenzake waliopinga Siasa ya Ujamaa aliwafukuza nchini, akiwemo Mufti Hassan bin Ameir na wengine kufungwa jela. 8) Nyerere ni Rais wa kwanza kuwaunga Mkono Wakatoliki wenzake wa Biafra kujitenga na Muungano wa Nigeria. Alifuatiwa na Marais Makatoliki wa Zambia, Gabon na Ivory Coast. 9) Kwanini Mkatoliki Julius Nyerere aliwavamia na kuwatawala Waislam wa Zanzibar kwa Muungano wa Kanisa Katoliki?✝️ 10) Kwanini Julius Nyerere alipoivamia Uganda na kumwondosha Iddi Amin hakuitawala Uganda kama alivyofanya Zanzibar? 11) Waislam wakitetea Dini yao wanambiwa eti wanaleta Udini. Mashekhe wa Uamsho wa Zanzibar walifungwa Tanganyika na Hussain Ali zaidi ya Miaka Minane. Dodoma Pombe alimchaguwa kuwa Rais wa Zanzibar kwa Maslahi ya Kanisa Katoliki. 12) Wakiristo wakitetea Dini yao hawaambiwi wana Udini. Mfano William Lukuvi alipotetea Ukiristo wake na Kupinga Uislam wa Zanzibar Kanisani ni Uhuru wa Mawazo yake. KILA UKILA NA KIPOFU USIMKATE MKONO
@Fm-MornStar20142 ай бұрын
@@king3-q1s ni Kanisa gani huo wimbo ulitungwa, na wanaimba kwenye ibada? Ndio maana hata akili za kawaida hamnazo. Shule zetu zimejaa watoto wenu. Jengeni zenu, mnakuwa na chuki na watu wanaowasaidia! Kweli akili zenu bovu.
@yussufmohd8606Ай бұрын
Sema ukweli.Ukweli Inauma.Mtu Muongo hawezi kinyoosha maneno kikamilifu.Msema keeling Mpenzi wa Mungu
@MaulidKomboza-wh2ki2 ай бұрын
Nyie wakristo mnakumbushwa ukweli wa kupigania uhuru wa Tanganyika Nyie mlikaa pembenii waislaam Ndio waliompokea Nyerere. Ulipopatikana Uhuru Nyerere akawageuka Waislaam. Someni kitabu cha wakatoliki Siasa ya Tanganyika na Kanisa katoliki 1954-1984.
@Fm-MornStar20142 ай бұрын
Haya yote yatakuletea faida gani? Mnateseka kuunda uwongo ili mfaidike na nini! Watu wa Upanga! Waislamu bhana!😅 😁 😂 😂
@nyembobea72852 ай бұрын
Ukatoliki si ukristo peke yake ile ni taasisi ya kiitaliano itabidi muainishe kwakusema ukatoliki nasi ukristo pia makala ijikite kwenye uzalendo maana wasabato wa kkkt moloviani aic hizi zote ni taasisi haziipigi vita dini ya kiislam na ndio maana utaona hapajawahi kuwa na rais msabato moloviani wala kkkt sasa je huo ukristo gani iwe rais anatoka katholic peke yake nafasi za juu nchini yaani uraisi ni mkatoliki na muislam vip
@AliAmour-g2o2 ай бұрын
Eleza basi huo ukweli tope ulionao
@Winford-f4l2 ай бұрын
Wangekuwa wakoloni ni waarabu ndio wanatawalaTanganyika ,basi waislamu wasingetumia nguvu sana kudai Uhuru,maana wangeona waarab kama waumini wenzao ,na hali hiyo haina tatizo, hali hiyo ndio waliokuwa nayo wakristo dhidi ya Wakoloni wajerumani na waingereza ,it's very natural kwa msomi kuelewa haya.
@123A-t7q2 ай бұрын
@@Winford-f4l kwaivo Zanzibar walioudai uhuru walikua nani
@AbubakarKawayasimwanza2 ай бұрын
Baraka nyingi kwako
@AliMohamed-qe3qv17 күн бұрын
Asalam aleykum warahmatulahi wabarakatu.
@Abbas-fp5mc16 күн бұрын
AMA KWELI HAKUNA KITU KIBAYA KAMA ADUI YAKO AKIJUA ZAIDI. HIYO ILIKUWA SILAHA NYERERE ALIITUMIA YA USICHANGANYE DINI NA SIASA KUWAPUMBAZA WAUMINI WA KIISLAMU. CARDINAL PENGO YEYE AKASEMA HUWEZI KUVITENGANISHA VITU HIVYO. YUPI MSEMA KWELI HAPO?
@bonifacedanielmwakisunga96382 ай бұрын
Miaka yoye alikuwa wapi aje leo kusema kwamba ndio anajua kumbukumbu ya nchi hii msanii tu anataka apate vyuwa wengi alipwe mkijua
@kalamuMedia2 ай бұрын
Mzungumzaji hapo si mwenye hii channel hivyo hoja yako ya yeye kutafuta viewers ni miflis,Pili Hata mwalimu nyerere alikuwa namjua Muhammad Said na hakuwahi thubutu mjibu wala kutuma watu wamkamate,unajua kwanini?Soma,usifate mkumbo,kazi yetu ni kukuletea Chapisho zetu,pokea kisha fanya upembuzi yakinifu.Kisha utaamua nani mkweli nani muongo
@Magotimwteregina2 ай бұрын
Shida yenu hamtaki ukweli hii nchi imepiganiwa sana na waislamu, mwaka 1985 nyerere anaondoka madarakani aliwaita wazee wa Islam wa mji wa dar es salaam kuwaaga na ndio siku hiyo anawaambia ukweli "bila ninyi nisingekuwa raisi" wewe unabisha kitu gani sumbua akili yako kufikilia
@fasterwalker14642 ай бұрын
@@Magotimwteregina inaumuhim gan sas
@Magotimwteregina2 ай бұрын
@fasterwalker1464 hujaona umuhimu wake mpaka sasa jitafakari
@jilalamaligisa48542 ай бұрын
Sijawahi kuvutiwa wala kumwelewa huyu mzee maana anahubiri zaidi udini na sio historia, kwa nini vitu kama hivi vinaruhusiwa? Sisi hatuna UDINI, angezungumza tu historia angekuwa wa maana sana.
@samitungo2 ай бұрын
Historia yenyewe ndiyo hiyo Waislam na viongozi wao hatuwezi kuibadili.
@sadih53332 ай бұрын
Hakuna historia ya Tanganyika ilio kamilika bila ya mapitio hayo usio yapenda, sikiliza vumilia na ujifunze.
@charlesboniphace22492 ай бұрын
Huyu mzee anashida ya udini nna chuki na elimu yake inaonekana ipo chini sana
@saidsuleiman17532 ай бұрын
Mbona watu huwa happening kusikia ukweli
@NurdinOmari13 күн бұрын
Sheikh tunaomba historia ya sheikh Suleyman taqadir Kwa kirefu
@goodluckmolleltennis59802 ай бұрын
Ukisoma comments utagundua waislam Wana udini mno adi kwenye siasa na ndomana nchi nyingi zenye sheria ya kihislam wanagomban na hawana amani..UDINI MNOOO ,,na mkoipewa nchi mnabagua wengine na kuwanyanyasa
@fasterwalker14642 ай бұрын
Waislam wengi hawana akili wala elim
@hassanmfaume4522Ай бұрын
Hata hapa kwa dhuluma mnazowafanyia waislamu mngekuwa tayari mmevuruga amani tayari waislamu waungwana sana. Hii amani unayoiona Tanazania ni sababu ya upole uungwana wa waislamu tu di uliona magu alivyokuwa anapora mali za waislamu waziwazi tena huku anatamba kadhulumu waislamu roho zao na Mali zao leo yuko wapi hii dunia tunapita tu..!
@goodluckmolleltennis5980Ай бұрын
@@hassanmfaume4522 hakuna uungwana ..waislam wanasubiri wakiwa wengi wanaanzisha fujo kama Muhammad alipokaa mahali na wasio waislam kumbe anakusanya jeshi Kisha anapiga na kufaua wanaume na kuruhusu mateka wanawake kubakwa na kuolewa kwanguvu na watubwake...waislam mmefunzwa na Quran kuwa mtubasiye muislam ni mtu wa daraja la chini..piganeninao adi wamkiri na kumwabudu allah ni maagizo..uislam hauna Amano hata kidogo. Mtu akiritadi mnamuua..hamjafanyiwa Kitna mnatafta namna ya kuanzisha uhasama ili tu muanze kutumiza agenda yenu ya kutawala dunia ..tunawajua
@Space-f9yАй бұрын
Waislamu ni mazezeta sana , hoja zao huwa ni za kitoto mno watafute elimu sana na pesa wanapotezaga muda kwenye m
@lamecktanda81482 ай бұрын
Hii itasaidia nini hiyo ndio siasa za kupigania uhuru. Wewe unataka nini je wewe hukupenda umoja huo
@aairraahseif5648Ай бұрын
Nikosa gani kwake? Kusema story ya kweli tufahamu autukubakiane na uongo tunao fundishwa mashuleni au?
@msongojumbe4862 ай бұрын
Shk duka la Vitabu li WaPi?
@samitungo2 ай бұрын
Msikiti wa Mtoro, Manyema, Mtambani na Kichangani bei 10,000.00.
@DumishaTanzania2 ай бұрын
Siwezi kupinga hoja zako, ila kwenye ukweli pia siwezi sema nimekubali au nakataa. Lakini najiuliza sasa lengo ni kujua historia tu? Au kipo kitu cha kufanya/kinachopaswa kufanywa?
@rodneylamai284721 күн бұрын
Lengo lake ni tujue Waislam ndio walipigania uhuru halafu Nyerere akawageuka
@nurdinmfamau349318 күн бұрын
Kujua Historia Nakujifunza Yote Kwapamoja Nifaida Tupu
@BuruhaniSalimu25 күн бұрын
Ikopowa lakini nyerere alikuwa namission maalum yake mwenyewe nahao waliokuwa wanamtuma jambo ambalo waislam hawakuwezakulijuwa wamekujalijuwa kipindi mission is over kwaiyo stori inaonesha ujasusi wanyerere ulivyocheza karata yake vizuri wakatihuo najinsigani waislam walilala wakatihuo je saivi wameshaa amka au bado malawamatuu
@AbubakariHassani-m4x16 күн бұрын
Shamba walime wengine ,alafu wengine ndo wajifagharishe nalo Hilo shamba
@BenedictaMagantg2 ай бұрын
Ndio haikuwa sasa.
@MohamedSaid-d3q20 күн бұрын
Waislam wametoka mbali na mwalim nyerere kuanzia kumvua kaptura na kumshonea suruari huo ni upendo wa hali ya juu
@HazarAkram2 күн бұрын
Sio kumchukia nyerere.. Bali ukweli ndio huo.... nyerere kapata nguvu kwa waisilamu
@charlesboniphace22492 ай бұрын
Huyu mzeee pngekuwa uarabuni saivi mngeskia kaunda kundi la kigaidi , Ana udini usio na faida wala maana ni kueneza chuki tu
@kalamuMedia2 ай бұрын
Hoja hujibiwa kwa hoja na si pety talk
@saidsuleiman17532 ай бұрын
Kwa kuwa anasema ukweli
@johnmichaellukindo212 ай бұрын
Tena sana mdini ile mbaya kwanini serikali wasimshughulikie?
@samitungo2 ай бұрын
Kusomesha historia ya Tanganyika imekuwa ugaidi? Kusomesha historia ya watu ni kueneza chuki? Wewe unachukia kujifunza historia hii ambayo haikuwa inafahamika na wewe hukuijua? Au moyo unakuuma kwa kusikia historia ya Waislam?
@Sheba46512 ай бұрын
@@johnmichaellukindo21Serikali imshughulikie, ndio itajulikana ni sirikali ya kutesa waislamu. Hamtaki kusikia muislamu alifanya zuri kwa Tanganyika yenu, iwe Nyerere tu.
@saidabeidally14015 күн бұрын
Qorani inasema hakuna kulazimishana kwenye dini; utaona uongo wa watu wapigwe na kuuawa mpaka wasilimu
@MohamedKatanga-db4dd2 ай бұрын
wewe Boniface ndio mana. mnadanganywa kanisani wasilamu hawakusoma, mulize kiongozi wako unaposali, history yanchi Tanganyika, acha ujinga wewe sasa nakupa homework kabra ya kanisa la sant peter pakua nn?
@GrayIsmail22 күн бұрын
Aje atuambie na mchango wa kanisa Katja mapambano ya wazee wetu ktk kusaka uhuru
@universitylink22 күн бұрын
Angusha Bomu sheikh
@AbubakariHassani-m4x16 күн бұрын
Kwani hujawahi kumsikia uyo mtawala wa kwanza wa nchi akizungumzia harakati za nchi hii walikuwa wakina nani? Naenda Rtd waombe waziweke alafu ndo utajua au hujui
@AliMohamed-qe3qv17 күн бұрын
Tulifanya makosa sisi waislam.
@radjabusuleiman64862 ай бұрын
Historia ya Tanzania ilifichwa Sana ili isijulikane.
@fasterwalker14642 ай бұрын
Wewe unaona hii historia inaumuhim gan
@King_Of_Everything2 ай бұрын
👍👊✌️
@bonifacedanielmwakisunga96382 ай бұрын
Huyu yeye kajikita kumchukia Nyerere kisa mkristo huwa simwelewi kabisa kwani hii nchi si yetu sote mtu wa bara na pwani
@MohdJuma-w6l2 ай бұрын
Kwaunavodai hii nchi ni yetu sote kimaneno lkn kiundani kabisa wakristo wanaona hii nchi ni yao wao pekeayo, lkn ndio ivo mkismbiwa ukweli mnakua wakali
@AliAmour-g2o2 ай бұрын
Kama ni kweli hayo unayoyasema mbona historia inatwambia kuwa katika kipindi cha harakati za kudai uhuru kanisa (wakristo) lilijitenga mbali na jambo hilo, waislamu wakawa ndio wanaokwenda mbio kudai uhuru peke yao?..na baada ya kupatikana uhuru hao waislamu wakamkabidhi kwa moyo safi nyerere uongozi wa kuliongoza taifa la mzizima (Tanganyika) mwisho akawageukia wale waliokwenda mbio peke yao kipindi cha kupigania uhuru kwa kutanguliza kwake dini yake kwanza kabla ya usawa?
@antarsangali44562 ай бұрын
@@bonifacedanielmwakisunga9638 Hoja ya ubara na upwani unailet vwewe. Kama harakati zingeanzishwa Bara ,historia ingeandikwa kama ilivyo na kwakuwa harakati zimeasisiwa Pwani ,acha historia iandikwe kama mambo yalivyokuwa. Mwanahistoria Mohamed Said wewe humuelewi vizuri. Ameanza kusoma st Joseph na wanafunzi wengi wakiwa wakristo,ndiyo rafiki zake. Anachokiandika na kukielezea ni ukweli wa historia. Tokea aandike na kukitoa kita cha maisha na nyakati za Abdulwahid Sykes ,kina Mwalimu Nyerere,John Rupia na wanasiasa wengine walikuwa hao lkn hawakukanusha wala kukipinga kitabu hicho
@NdakiYacha2 ай бұрын
Huyu Amir alukuwa ni nani sasa
@ce-082 ай бұрын
@@MohdJuma-w6l hizo ni hisia zenu udini umewajaa wote wawili huyo anaona waislam wanaona nchi Yao na wewe unaona wakristo wanaona hii nchi Yao ni upuuzi mtupu nyinyi madam mnaishi inatosha tumie nguvu zetu kufanya mambo mazur yenye kumjenga sio kuibua chokochoko sasa itasaidia ni nini hata tukisema nchi hii ya waislam au wakristo
@MaulidKomboza-wh2ki2 ай бұрын
Boniface Ww hujui chochote KuhusuHistoria ya kweli ya Tanganyika Jifunze usilaumu.
@japhetjoseph17722 ай бұрын
Hahaha
@MohamedSaid-d3q20 күн бұрын
Huyu ni mwahistoria mkweli anavumbua vitu vilivyofichwa miaka na mikanga
@AbubakariHassani-m4x16 күн бұрын
Waislaam wanaeleza kupigania shamba liwe zuri na nyinyi elezeeni mmesafisha wapi kwenye Hilo shamba mpaka mjione nyinyi ndo nyinyi
@babazungu31802 ай бұрын
Watu wa roho mtakatifu ngumu kumeza hii
@mikidadiyusufu566617 күн бұрын
unauchukia ukweli lete mapicha ya hao viongozi wa makanisa unaowajitaji mjombaaaa
@NoelNjementi23 күн бұрын
Ktk kafili aliyebakia mpiga zumri au msahidizi wanabii wauwongo kabakia uyu tu
@AbubakariHassani-m4x16 күн бұрын
Ndo hiyo baniani mbaya lakini kiatu chake dawa
@yussufmohd8606Ай бұрын
Aliishi Na kufanya kazi .ujerumani.Ukweli.Mchumgu.Mna hiya na nyiye
@MohamedSaid-d3q20 күн бұрын
Ki ukweli waislam ndiyo vinara wa uhuru huo ukweli hautafutika kamwe
@AbubakariHassani-m4x16 күн бұрын
Kwani huyo mtawala wa kwanza hujawahi kumsikia akizungumzia harakati za Uhuru wa nchi hii? Walikuwa wakina nani?
@JalibuMwenemilaoАй бұрын
MWAFRIKA ANASIKITISHA SANA. MWAFRIKA HAJITAMBUI! MWAFRIKA HAIJUI HISTORIA YAKE! MWAFRIKA KAPOTEZA UTAMADUNI WAKE, KAPOTEZA IMANI ZAKE ASILIA, KAPOTEZA UTU WAKE NA HAONI UMBALI ULIOZIDI PUA YAKE. WAARABU WAMEMTAWALA MWAFRIKA NA KUMCHUKUA UTUMWANI KAMA BIDHAA YA MAHINDI. MWAFRIKA HAKUONEKANA KAMA NI MWANADAMU. WAARABU HAO NDIYO WALIOMLAZIMISHA MWAFRIKA KUACHA UTAMADUNI WAKE, IMANI YAKE ASILIA NA MWISHOWE KUUPOTEZA UTU WAKE. BILA YA KUJITAMBUA, MWAFRIKA AKAUCHUKUA UTAMADUNI WA KIARABU, DINI YA KIARABU, NA MENGINE MENGI YA KIARABU KUWA NDIYO USTAARABU, NDIYO UKWELI NA NDIYO UTU! KUANZIA HAPO MWAFRIKA AKAPOTEZA UTU WAKE NA AKILI YAKE IKAWA NI YA KITUMWA. ANAFIKIRI KIARABU. HADI HII LEO, MWAFRIKA AMEJIKOMBOA KUTOKANA NA UTUMWA MKONGWE NA UKOLONI MKONGWE. LAKINI MWAFRIKA HAJAJIKOMBOA KIFIKRA. BADO ANATAWALIWA KIMAWAZO. HAYUPO HURU. NI MTUMWA WA WAARABU KIDINI, KIUTAMADUNI NA KIFIKRA! HATA MAJINA YAKE YA ASILI ANAYAKANA, ANAITIKA KWA MAJINA YA KIARABU. NI UTUMWA WA KUSIKITISHA! WAZUNGU PIA WALIWACHUKUA UTUMWA WAAFRIKA NA KISHA KUWATAWALA. WAKAFUTA UTAMADUNI NA IMANI ZA MWAFRIKA. NAO WAKAWARITHISHA KWA NJAMA, DINI YAO NA UTAMADUNI WAO. WANAOFUATA DINI YA WAZUNGU, HAWANA TOFAUTI NA WAAFRIKA WANAOFUATA DINI YA WAARABU. WOTE WANATAWALIWA NA MABWANA ZAO KIFIKRA. WAAFRIKA NI TOFAUTI NA MATAIFA YA WACHINA, WAJAPANI NA WAHINDI. MATAIFA HAYO YOTE YALITAWALIWA, LAKINI WALIPOPATA UHURU, WALIJIKOMBOA PIA KIFIKRA. WAMEBAKI NA IMANI ZAO, TAMADUNI ZAO NA UTU WAO KAMA TAIFA. ATHARI ZA UTUMWA WA FIKRA NI KAMA HIZI TUNAZOZIONA HAPA AFRIKA. BAINA YETU SISI WAAFRIKA, TUNABAGUANA KIDINI, KIKABILA NA KIMAJIMBO! UMOJA WA AFRIKA UNASHINDIKANA KWA SABABU HIZO. MWAFRIKA ANADHARAULIWA DUNIANI KOTE KWA SABABU YA UJINGA WAKE UNAOTOKANA NA UTUMWA WA FIKRA. NI AIBU KUBWA!!!!!
@aairraahseif5648Ай бұрын
Tueleze na wazungu walikua nikinanani kwa Waafrika
@ahmed-shakirmwamba499224 күн бұрын
KUJIKOMBOA NILAZIMA UTAFUTE ELIMU. BILA ELIMU UTABAKI UTUMWANI. UTAKAPOKUWA NA ELIMU NDIO UMEJIKOMBOA. KIFIKRA,KIMAWAZO NA HATIMAE KIUCHUMI. ELIMU UKIIPATA KUPITIA WAARABU AU. WAZUNGU INABAKI NI ELIMU TU. MWAFRIKA ALIKUWA KWENYE UJAHILIYA NA ILI AJIKOMKOMBOE ILIKUWA LAZIMA APATE ELIMU YA DUNIANI NA YA AKHERA.
@GeorgeMuhongole2 ай бұрын
Acheni kuanza udini sisi tunaangalia mambo ya uchaguzi 2025 msianze kutuvuruga
@Sheba46512 ай бұрын
Uchaguzi mama anaendelea kuwepo mitano ijayo In Sha Allah
@Space-f9yАй бұрын
Wanapenda udini sana kwenye mambo ya kitaifa ,
@saidabeidally14015 күн бұрын
Watu wengi wanachukia kweli
@AbubakariHassani-m4x16 күн бұрын
Leo ndo mnajua kama waislaam wanaudini?lakini wakati wanapambana hawakuonekana kama anaudini
@AbubakariHassani-m4x16 күн бұрын
Kwani ni uongo? Kama ni uongo atokee mtu wa kabisa apinge hayo yanayosemwa aeleze mchango wa kanisa kwenye nchi hii
@AhmedSaid-hb6xo24 күн бұрын
Tukubaliane na hoja sio kubisha bila ushahidi
@ahmedmwinyimkuuАй бұрын
Poland pia wanapenda usagaji na jinsia moja kwa ujumla.Hiyo nayo yafaaa?Hapa waislam wapo wengi na ni salama
@hosianajolam86952 ай бұрын
😂😂
@omarkhamis956223 күн бұрын
Wakati wa maraisi waliopita ulikua uhuru wa kuongea shida
@AbubakariHassani-m4x16 күн бұрын
Kama wewe unanijua histori ya nchi hii eleza basi tusikie kwani tukikumbushwa kunaubaya? Au kukumbushwa historia hii ndo Kuna ubaya?
@ShawwalKingungoАй бұрын
Waislam tuandike vitabu vya histolia ya uhuru wazee wachache wa kiislam badowapo
@mikidadiyusufu566617 күн бұрын
wewe unae mpinga huyu Mzee mlete baba yako alete history kinyume na hii wacheni chuki huyu alikuwepo nyakati hizo wewe unaleta Mambo ya ujinga2
@NoelNjementi23 күн бұрын
Kipint chamwinyi kikwete na sasaivi yuko uyu mtu wawo
@nurdinmfamau349318 күн бұрын
MaumivubToka Upande Gani. Vumikia Hata Sindano Inauma Lakini Ndio Dawa Yakukuponesha
@NoelNjementi23 күн бұрын
Mbona izi nakara zawakat wamagufuri au mkapa mbona azikuwa zikitoka zinatokaga kipindi iki cha wawo wakiwa madarakani tumeona ivi vitimbi
@isakhamisi892313 күн бұрын
Kulikuwa hakuna Uhuru wa habari hasa habari zenyewe zikiwa zinazungumzia uislam.
@goodluckmolleltennis59802 ай бұрын
Uislam ni hatar sana ndo mana Rais wa Poland kasema waislam wakizid 30% nchi iko hatarini..agenda yao ni kutawala dunia na Quran inawambia wapigane na wasio muamini mungu wao adi wawaue ..hawana amani wala syo dini ya aman
@ShebbyTheparadiso-hf6fzАй бұрын
Ndio hatari sanaa ukizini kupigwa mawe hadi kufa ukiiba unakatwa mkono choko choko za media katwa kichwa chaa ajabu haya yote yapo kwenye biblia
@GrayIsmail22 күн бұрын
Huyu mzee kiukweli sio mwana history Hana vigezo ivyo kwn yeye anahangaka kutafuta uislamu kwenye kuanzishwa kwa taifa ili so anachotakiwa kufahamu wapo wanajua yeye atulie tuu
@chemstry40921 күн бұрын
Hapana sio kweli....anaijua history vizuri sana..the thing is hamjui history ya Tanganyika na walio pigania uhuru nyie mnajua nyerere tu....
@rodneylamai284721 күн бұрын
Kweli kabisa
@SuleimaniOmary-bg1kp20 күн бұрын
Anavielelezo Anatoa history Kwa Ushahidi .TUWACHE kuficha historian za kweli SOMA VITABU
@SuleimaniOmary-bg1kp20 күн бұрын
Pongezi sheikh kutufundisha
@GeorgeMuhongole2 ай бұрын
Alikuwa wapi siku zote kuelezea hayo yote ebu tuongelee mambo ya maendeleo.
@samitungo2 ай бұрын
Nimeandika kitabu: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press London 1998. Kitabu kipo sasa miaka 25 na kimechapwa mara kadhaa tafsiri ya Kiswahili imechapwa na Phoenix Publishers, Nairobi 2002 na ikachapwa tena 2014. Ama kuhusu mambo ya maendeleo. Kitabu hiki kimeleta maendeleo makubwa katika utafiti wa historia ya Julius Nyerere na katika historia ya uhuru wa Tanganyika. Wazalendo waliosahauliwa katika historia ya Tanganyika sasa wanafahamika mfano wa Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Mohamed Yusuf Badi, Sheikh Abdallah Rashid Sembe kwa kuwataja wachache halikadhalika wazalendo kama Hamza Mwapachu na wanawake waliopigania uhuru: Tatu bint Mzee, Hawa bint Maftah, Shariffa bint Mzee, Halima bint Khamis, Halima Selengia, Amina Kinabo, Mama bint Mwalimu, Zarula bint Abdulrahman, Nyange bint Chande kwa kuwataja wachache. Kleist Abdallah Sykes na wanae wametiwa katika Dictionary of African Biography. Mambo mengi. Nimekuwapo siku zote ila wewe hukuwa unanifahamu. Nimeandika vitabu kadhaa vya historia ya uhuru wa Tanganyika.
@AliAmour-g2o2 ай бұрын
@@GeorgeMuhongole bila ya kujua ulipotoka, ulipo, na unapoelekea maendeleo ni ndoto tu hhhhhhhh
@marcusbenedict3208Ай бұрын
Serikali wanatakiwa kumzuia huyu mzee, kama ameshindwa kutupa historia yenye kujenga basi akae kimya
@gabrielmashauri82362 ай бұрын
Huwa sielewi maudhui ya hii clip
@shabantelack57162 ай бұрын
Kwani umelazimishwa kuiangalia
@king3-q1s2 ай бұрын
makafiri huwa hawataki kusikia ukweli na hasa ukweli huo ukiwa unahusisha waislam, na ndio maana huelewi.
@ramadhanimandoa7162 ай бұрын
@@king3-q1sni wajing sana makafir
@mzalendomzalendo25672 ай бұрын
@@shabantelack5716daah huu sio uislam jamani, mweleweshe tuu atakuelewa usiwe mjinga na ww kumkaripia.
@MakameAbdallah-wn3hc2 ай бұрын
Mm nimemuelewa sana huyu mzee kwamba wazanzibar na watanganyika huwezi kuwatenganisha ktk ukombozi wa Tanganyika na Zanzibar. Chengine ni kwamba ukweli usemwe usipindushwe. Tatizo letu tunapenda kupotosha mambo . Mzee hongera sana kwa kutueleza tuliyokuwa hatuyajuwi leo tumepata kuyajuwa Allah akupe afya njema na umri zaidi tuelimike kutoka kwako Nakupongeza sana pia hongera kwa kiswahili fasaha
@Space-f9yАй бұрын
Hizi HADITHI ZINAWAHUSU WAISLAMU KWANINI MNATAKA KILS MTU AJUE, MAMBO YA MSIKITINI SIMULIANENI HUKO HUKO KWENYE IBADA ZENU,
@samitungoАй бұрын
Hii ni historia ya uhuru wa Tanganyika ambayo haikupata kuelezwa.
@MrKhatib-w3i27 күн бұрын
uwislam sio dini ya jengo kama yenu umetawAwala robo y Dunia zaidi y Karne kadhaa imeangusha Dola y kirum kifursi kwa kuwatoa watawala dhulma wananchi kuwaach na dini zao ikiongoza siasa safi utamad afya kijeshi 1:06:54 1:06:54
@ahmed-shakirmwamba499224 күн бұрын
Huna ulazima wa kusikiliza, tangu nadhani hujafahamu umuhimu wa kujua Historia sahihi.
@ImanikhatbMussa19 күн бұрын
Hujalazmishwa kuckiliza Na alokutuma ucoment nani Mjinga wew
@asamulinda80172 ай бұрын
Wewe una Advocate uislam. Ni mdini. Hutufai
@mohayussuf20572 ай бұрын
@@asamulinda8017 ukweli mchungu Meza hata kama mchungu
@africano98.2 ай бұрын
Tulia dawa ikuingie wanaojua tanganyika ilipotoka hawawez kuandika huo upuuzi wako
@jacksonmsendo34782 ай бұрын
True anazingua na udini wake
@OmariShuli2 ай бұрын
Nikuulize wewe. ni nini maana ya historia? pia nikuulize tangu umeanza kusoma shule darasa la kwanza hadi umemaliza huko uliko fika ulishamsoma sheikh huyo anaetajwa kwenye historia ya uhuru wa tanzania? je ni yanayosemwa si kweli? hakuwamo kwenye siasa. basi acheni chuki. Nyerer tumemsoma sana, acha tuwasome na wengine nao.
@muslimkhamis23722 ай бұрын
Wewe huyo lazima ahubiri udini kwasababu sisi tumeaminishwa kuwa wakristo ndo wametoa mchango mkubwa kwenye kupatikana uhuru wa Tanganyika kinyume chake kumbe waislamu walishiriki moja kwa moja na mukitaka musitake nyerere hakuwapenda waislamu ndo mana akawabadilikia wakati waislamu walimkunjulia mioyo yao yote
@SalvatoryMtunga2 ай бұрын
Hayo ungeyazungumza kipindi nyerere hayuko madarakani na bado hai ili naye angetoa mchango wake kuhusu masimango yako unayomtolea. Acha udini, haujengi. Kila kilichotengenezwa na wazee wetu wewe unaona siyo bora.
@ZanzibarOrchestraАй бұрын
Km kilichofanyika ni kweli kwann kifichwe? Lkn km kuna utetezi naamini wako watu wa upande wa pili wanajua historia watoe ushahi wao halaf sisi wasikilizaji tutajiongeza wenyewe sio lazma aweko nyerere mwenyewe hata aliowataja yeye karibu wote hawapo.yeye kasema na kajitahidi kutoa ushahidi wake na mm naamini kwa karibu 80% ni kweli kwa namna anavyoelezea.
@samitungoАй бұрын
Kitabu cha historia hii, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press London, 1998 kipo Tanzania sasa mwaka wa 26. Tafsiri ya Kiswahili ilichapwa na Phoenix Publishers, Nairobi 2002.
@saidabeidally14015 күн бұрын
Nyerere kaja dar mwaka 52: mwaka 54 yeye ndio anapewa uenyeki wa TANU; hapa ndio utaona kuwa watu hawajui history ya nchi yao' tafuteni ukweli sio kuropoka.
@albertjames68452 ай бұрын
Hawa kawaida yao, vichwa mavimavi Hamna kitu
@MrKhatib-w3i27 күн бұрын
Matusi si kitu kinachofa kama unahoja za kumpinga nenda na reference zako mexani umping