Assalamualaikum warahmatullah wabarakatu,, sheikh nimejifunza sana ktk mawaidha haya,, sheikh mm nimezaa inje ya ndoa mwaka ni WA kumi Sasa Bado hatujafunga ndoa ila Kwa mawaidha niliambiwa nikae eddah ya miezi 3na inshallah 🙏 nikamalizia na pia natarajia ndoa na mtu mwingine ambae ameamua kunioa kisheria,manake nimeona ni km huyu mwanamume wa Kwa hayupo tayari na ndoa Bali yuwataka zinaa tu ila sheikh nimerudi Kwa mola wangu ❤😢na inshallah nawatakia wale watoto niliozaa Kila la kheri inshallah 🙏😢
@NadhiraNa-vm5hs3 ай бұрын
Usitaje zamb zako wewe tub tu
@arafamabuso8508 Жыл бұрын
Darasa Ni zuri Sana, Allah awazidishie umri mrefu wenye manufaa,kwakweli wanawake tunaumizwa Sana juu ya hili
@zainaabdallah8093 жыл бұрын
Jazakallah kheri kwa ukumbusho uliobora allah akupe kila lenye kheri sheikh wetu
@asiaally39474 жыл бұрын
Shukurani sheikh,,, Allah akupe umri mrefu na akuzididhie hikma inshaallah uendelee kutuelimisha na kutufungua akili kwa mawaidha maridhawa,,,, hakika kazi unayoifanya ni kubwa na watu tunaiona inshaallah mwenyezimungu atujaalie pepo siku ya qiyamma Amina
@finnmatteo87633 жыл бұрын
I dont mean to be so offtopic but does any of you know a way to log back into an instagram account..? I somehow forgot my account password. I would love any help you can give me!
@faudhiasaidi36692 жыл бұрын
Jazaakallah khayrii shekh
@mikidadihussein2961 Жыл бұрын
Barakkakahu fiiih
@وحيدهعامر4 жыл бұрын
Shukran Sheikh Allah akubarik
@saumuseif91894 жыл бұрын
Shukran shekhewetu kwakutuelimisha
@heyumi23402 жыл бұрын
halafu mungu alivyo kuwa mkubwa mtoto huyo huwa anasura ya mwanaume na mungu anaweka sura ya mwanaume ili siku ya kiyama haina kukana na mungu anajua na hata kma akisema c wake mungu anajua zaidi kla mtoto kutokana na mwanaume
@ahmedhamisi3284 жыл бұрын
Shukurani Sana shekh hashimu mola akuzidishe
@husseinchiaseeds26534 жыл бұрын
Shukran shekhe wetu
@mwanaashajuma11592 жыл бұрын
Mawaiza
@muudathirsadru8212 жыл бұрын
Walishushiwa wahyi na mungu au matakwa yao tu mnatupeleka sana
@heyumi23402 жыл бұрын
duh hayo ya wazinifu unayatuñga ww shekhe 😄🤣😂😆😆😆😆😆😄
@ukhtyanasabintimalikimalik71883 жыл бұрын
Haya pouwaa
@HamisiLisu4 ай бұрын
Asalam alaykum nauliza kwamba je kama ni mtoto wa kike yafaa akaolewa na baba wa zinaa coz kisheria ni mtoto yatima au maskin
@obaonlinetv16514 ай бұрын
Mtoto hawezi kuolewa na Baba yake mzazi hata kama ni wa nje ya Ndoa
@heyumi23402 жыл бұрын
sasa kma watoto c wenu mnaleaje sasa na mnaishi vipi na hao wake zene ambao hamna uhakika kma ww ndoo mwenye mtot