Mimi sio muhislam lkn anacho fundisha shekhe ni sahihi kabisa uwaminifu ni kitu muhimu uwaminifu kwa MUNGU na kwa wanadamu. Me nitakufatilia sana shekhe ili nipate maarifa
@mohdloushmoney99949 ай бұрын
Mfuate akusomeshe uujue uislam
@kalamuMedia9 ай бұрын
Mwenyezi mungu azidi kukuongoza
@jafarinauma67988 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akupe hidaya inshaallah
@abdizoseyyid6332 ай бұрын
Allah akuonyeshe kheri na njia iliyosahihi na akupe nguvu ya kuiendea inshaAllah
@salhidsalhida41512 ай бұрын
Karib katika uislam
@barzaqtradingcompany85419 ай бұрын
ان الله في ما عليه العبد si hadithi Shehe
@dezainermedia10356 ай бұрын
❤
@Kadaboy-sg6pd2 ай бұрын
nisahihi ufakiri hautakikan ktk dini ya kiislam
@ismailhassan52092 ай бұрын
Ee Mola wa muumba wa mbingu na ardhi munyanyue darja mja huyu aendelee kuwatumikia waislam mjaalie kusikilizwa na mkinge na maadui pande zote nne na jicho la husda inshaallah
@kalamuMedia2 ай бұрын
Aamin
@DawsonKiwia-qt6zf2 ай бұрын
Ukweli kwenye ahadi.
@hamzaforogo9 ай бұрын
Maashallaah
@husseinkombomwachikobe88283 ай бұрын
Allhamdullillah .allha.akuweke
@MIRAJIMSURI2 ай бұрын
Ni muda sasa wa kufunguliwa mlango mwingine wa kheri zaidi ya ileee ya mwanzo
Uwe uchumi halali sio fedha za dhuruma kutoka kwa wanasiasa.
@maftahramadhani23829 ай бұрын
Sahihi
@abdizoseyyid6332 ай бұрын
Mtu mwema ni yule anayetafuta kasoro zake akazifanyia kazi,ukitafuta kasoro za watu hiwezi kizifanyia kazi...utaishia kugombanisha watu na kuongea usiyoyajua!Tuwe kusikiliza na kucjukua yaliyomazuri inshaAllah...
@abdizoseyyid6332 ай бұрын
Usihukumu watu na kuwakhofisha watu kwa isiyoyajua bro
Usipo Shiba kwa jasho lako pia asema yasiyo yako ..😂😂kweli kabisaa na Watu w karni hii hawapendi kuondolea w2 shida wataka kuwacheka wenye shida Allah atuongoze yarabb.
@abdallahshariff29833 ай бұрын
Wallahi,kama shabiki yako,napendezwa na mawaidha yako,kwanza wewe ni mchezi,kisha unatumia lugha ya upole na ya kuridhisha.
shekhe watu hao walikua mafukara sana enzi hizo sema walikua wanajitahidi kueneza wanacho kiamini ili wewe leo ule matunda ya biashara yao wao hawakuwaza pesa hata kidogo kulikua nabiashara za kubadilishana biashara kwa biashara
@djumaassumani51693 ай бұрын
Mambo yana bana kila siku
@abdallahmsham-eb7jz9 ай бұрын
hahahahaha
@mobilespecialschool42169 ай бұрын
Amesahau kusema sehemu ya tano imejificha kwenye MAULIDI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kalamuMedia9 ай бұрын
Huu ugomvi sasa 😀
@hassanisihaka9109 ай бұрын
Wewe bwana acha chuki usiwee mjinga sanaaa
@mobilespecialschool42169 ай бұрын
@@hassanisihaka910 ndio nikishakua mjinga ivo nielimishe
@abdizoseyyid6332 ай бұрын
Isipotambua kwa elimu yako utazungumza kwa ujinga wako
@emilioadremaneadremane27069 ай бұрын
E preciso nos informar
@barzaqtradingcompany85419 ай бұрын
Swalatu awabin ni صلاة الأوابين هي صلاة الضحى إذا تأخرت حين ترمض الفصال، كما جاء في ذلك الحديث عن النبي صلى الله عليه وسلم في صحيح مسلم، وهي أيضاً صلاة الضحى إذا تأخرت إلى آخر الوقت، وليست تختلف عن غيرها فيما يقرأ فيها ويدع فيها، وليس لها حد؛ قد يصلي الإنسان ركعتين، وقد يصلي أربعة ركعات بسلامين، وقد يصلي ست ركعات بثلاثة ...
@user-mg6hn6os6y9 ай бұрын
Nauliza,mshahara wa sheikh wa mkoa unatoka wapi?
@nabillionairevevo59869 ай бұрын
Ili iweje
@jafarinauma67988 ай бұрын
Unautaka ushekhe wa mkoa endelea kupambana
@abdizoseyyid6332 ай бұрын
Mkoani
@farris_254919 күн бұрын
🤌✅️💙💨
@mwanabayadola54768 ай бұрын
Assalamu alaikum mm nimefanya San ile ya kumswali mtume kwa siku 1570 n swala za usku lakini nimepta mtihani ,nimefutwa kazi😭 sah niko n miez 5 bila kibarua chocte nipo saud.😭😭😭😭 Inaniuma sanà
@rajabukipara30088 ай бұрын
MUNGU Atakusimamia Inshaallah
@abdulwaheedmzury3518 ай бұрын
Ongeza jitihada kwenye ibada pia dunia ya sasa inahitaji saan kujitoa akili illaaa katika kila ulifanyalo omba msaada kwa allah pia usiache allah anatabia yakukujarib je utashkuru au utakufuru anapima nia yako lakn jua allah ndie kila kitu na anafanya anapoamua ila sio unapotarajia ww , hio hata mm ilinitokea lakin amka usiku lia kwake muelezee shida kidhat utapata zaid ya hio uskute ilikua na mtihani usioujua
@zubedarichard23118 ай бұрын
Mm Ile nlisoma na mama Yangu akanisaidia kuisoma Majini yamenitoka mwilini usiogope mitihani ya Allah 🙏
@fatmaabubakar59466 ай бұрын
Inawezekana hiyo ndio kheri,mm nimepata kheri kubwa baada ya kufukuzwa kazı.Alhamdulillahi rabbil a'lamiyna
@abdizoseyyid6332 ай бұрын
Unatakiwa kumtegemea Allah na siyo kumtegea kwa unachokifanya
@mangofish90798 ай бұрын
Hivi nyie mashekhe munajua lkn kama hizi pesa za karatasi ni shirki na kinyume na quraan? Sawa hamuna power ya kubadilisha chochote kuhusiana na pesa lakini jee hata kulisemea hili jambo basi pia hamuwezi unless iwe hamuelewi.
@abdizoseyyid6332 ай бұрын
Si kweli wala si sahihi pesa haina haramu yoyote ila shida unaipataje na kuitumia