HII NDIO SABABU YA SALIM KIKEKE KUIKATAA WASAFI FM NA REDIO ZINGINE AKACHAGUA CROWN MEDIA KW ALIKIBA

  Рет қаралды 15,738

HATUA TV

HATUA TV

3 ай бұрын

#subscribe #hatuatv

Пікірлер: 42
@Allybest5official
@Allybest5official 2 ай бұрын
Nice work
@batatukatotolabikay5296
@batatukatotolabikay5296 2 ай бұрын
Mtu smart Sana kwa kweli, unaingeya na moyo Safi kwa kuwelewesha wenye kusema sana, no heart feelings, uko ngambo yote kwa kweli, ubarikiwe kaka
@iconmedia5599
@iconmedia5599 2 ай бұрын
Kweli ulimbi kila pahala
@khatibumasudi
@khatibumasudi 2 ай бұрын
Mwenzako akifanikiwa Muombe mungu Nawee pia sku yako Itafika sio roho mbya izo no roho za kichawiii
@mjinjasagamambi7531
@mjinjasagamambi7531 3 ай бұрын
Whether a media is founded in partinership, still its a good deal for both King Kiba and Kikeke. Being on the same table and negotiation agreed on how to run the business its an appreciated Respect.
@shafiisound4115
@shafiisound4115 2 ай бұрын
King kiba uwa hana makuu wala kwenye mapambano yake uwa mungu ndiyo hana mpambania tuu
@user-pd2kw4qo2o
@user-pd2kw4qo2o 3 ай бұрын
Sema huyu bro leo umetema madini ssna🎉
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 3 ай бұрын
Madini sanae kaka!
@shafiisound4115
@shafiisound4115 2 ай бұрын
King kiba naomba uyu jamaa umsajili
@shafiisound4115
@shafiisound4115 2 ай бұрын
King kiba kipenzi cha Tanzania kwa wale wenye hekima tuu
@Mbaley
@Mbaley 3 ай бұрын
Elmando ni mtangazi mwenye fact sana
@wilbertjosephat1615
@wilbertjosephat1615 2 ай бұрын
Mimi nakwambia tu yakwamba unaweza ukawa mbunifu na mkali sana lkn kama aupo media kubwa utapoteza muda mzee
@FreeGod368
@FreeGod368 3 ай бұрын
Khalmandro anafaa kua motivational speaker😅
@mdbosco1640
@mdbosco1640 3 ай бұрын
🤙❤
@AliAlbert-qj3gk
@AliAlbert-qj3gk 3 ай бұрын
Mtu wakwanza kuongea vizuri ni wewe tu
@sayeedfellah4706
@sayeedfellah4706 3 ай бұрын
Expectations
@ankalmzito254
@ankalmzito254 3 ай бұрын
😂😂leo naona hadi maadui zako wanakusifia mzeee....
@strong8534
@strong8534 3 ай бұрын
From BBC London to Crown media 😮
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 3 ай бұрын
Labda kaamuwa kufunguwa ofis yake
@ignassalmon0608
@ignassalmon0608 2 ай бұрын
Alipokuwa BBC alikuwa mwajiliwa ambaye alikuwa anasubiria pay checque ya mwisho wa mwezi. Uamuzi wa kutoka BBC na kurudi nyumbani na kumua kuwa sehemu ya wanzilishi wa radio mpya yaani company mpya ni jambo la kupongezwa na kutiwa moyo. Kwanza anatengeneza ajira mpya, anaingiza hela aliyoitumikia kwenye mfumo wa uchumi, anaongeza ushindani kwenye industry ya media na anaongeza pato la taifa kupitia Kodi ya mapato pamoja na Paye as you earn. Kwa vyovyote vile maamuzi wa kuacha kuajiliwa na kuamua kuwa sehemu ya watengeneza ajira ni jambo la kupongezwa sana.
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 2 ай бұрын
Io ndo hesab yake ila ali ni kivuli​@@Fadhilimwamlima
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 2 ай бұрын
😅😅😅
@MalentaDonald
@MalentaDonald 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 acha porojo wew media ni ya kikeke asiojua Nan bwana 😂😂😂😂
@nasibuabasi4701
@nasibuabasi4701 3 ай бұрын
Waambie maana naona mabwabwa wanakasirika kweli kusikia hivyo😂😂
@AngelmackieCharity
@AngelmackieCharity 3 ай бұрын
​@@nasibuabasi4701bado mnaumia😂😂😂 badoooo
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 3 ай бұрын
Redio ya kikeke kwani kuna shida gani kikeke afiche kwamba ile redio ni ya kwake la kwanza la pili lwa nini mitambo ipo kwenye nyumba ya alikiba
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 3 ай бұрын
Na kumbe alikiba akimiliki kitu inakuwa ni shida ee
@jumakibwana1810
@jumakibwana1810 3 ай бұрын
Ushahidi unao ama ndio nyinyi wachafu media povu limeanza kuwatoka?
@nasibuabasi4701
@nasibuabasi4701 3 ай бұрын
Salimu kikeke hajaajiliwa na ally kiba 😂😂😂😂
@TalentMapenzi-ie1dr
@TalentMapenzi-ie1dr 3 ай бұрын
Umemuajir wew au
@maprotv1
@maprotv1 3 ай бұрын
Hajaajiliwa ni kitu gani jifunze kuandika kwa ufasaha
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 3 ай бұрын
Kaajiriwa na mamaako anamtomba kila deile
@RichardRutembesa-ns1kn
@RichardRutembesa-ns1kn 3 ай бұрын
​@@merckmdamu2942Deile???
@nasibuabasi4701
@nasibuabasi4701 3 ай бұрын
@@merckmdamu2942 unajua wetu wengine mnakuwa kama kama mna firwa vile sasa wewe kinachokukasirisha hapa ninini? au nidanga la mama ako ndio maana umekasirika au anakufira acha kushobokea watu utafirwa bila parachuti malaya wewe😂😂😂
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 210 МЛН
Hizi ndizo sababu za Nape kutumbuliwa.
4:40
SEME MEDIA TV
Рет қаралды 7 М.
Waka waka 🤣 Which video is the best 1,2,3,4? 🤩
0:13
Adani Family
Рет қаралды 8 МЛН
❗️XOTINI HAMMASINI URMOQCHI 😱😱😱
0:14
HUSAN_SHORTS1
Рет қаралды 2,4 МЛН
KARMA AT SCHOOL 🏫 Stop time
0:32
dednahype
Рет қаралды 46 МЛН