No video

HII NDIO SIRI YA KUJENGA BIASHARA KUBWA YENYE MAFANIKIO | Victor Mwambene.

  Рет қаралды 3,185

Victor Mwambene

Victor Mwambene

Күн бұрын

Baada ya kutazama somo hili utakuwa umejifunza jinsi ya kuendesha Biashara ndogo kwa Mafanikio Makubwa. Utajifunza jinsi Biashara ndogo zinavyoendeshwa.
Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. NGUVU YA KUJUA.

Пікірлер: 13
@user-ol7um1wj8k
@user-ol7um1wj8k 7 ай бұрын
Somo zuri Sana,!! 👍👍
@RokongoBaby
@RokongoBaby 3 ай бұрын
Maelezo yako kaka hiko sawa
@Olomy907
@Olomy907 5 ай бұрын
Mafundisho yako yako poa sana mentor
@AisaaMurro
@AisaaMurro 7 ай бұрын
Asa kwa sis ambao ndo tunaanza tunwezaj weka watu wote haoo jamnn
@nadiaseif
@nadiaseif 7 ай бұрын
Shukran coach somo zur sanaaa
@svcurvymodels
@svcurvymodels 7 ай бұрын
Huyu Jamaa Nilicho muelewa anafundisha jinsi ya kuendesha biashara kubwa sio hii Mada alie iweka mezani. Kwakumpruvu tumpe laki mbili aanze biashara afanye yote hayo
@salumadam2862
@salumadam2862 5 ай бұрын
Kweli
@EngJosh
@EngJosh 13 күн бұрын
Hapa nakupinga
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 6 ай бұрын
Utafanyaje hayo ukiwa na mtaji wa m10 duka la rejareja
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q 7 ай бұрын
Sasa Coacher Victor huo mtaji wa kuajiri watu wote hao na kuwalipa mshahara wakati biashara yako ndogo ndio inaanza
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 6 ай бұрын
Bado narudia hili somo zaidi ya mara 5 kupata uelewa wa kutosha
@mundiajamesfurahia477
@mundiajamesfurahia477 7 ай бұрын
Hi FURAHIA KAZI YAKO UFURAHIE MAISHA YAKO
@midundotechtz6843
@midundotechtz6843 7 ай бұрын
Ndani ya studio za SNS
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 69 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 12 МЛН
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 21 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 46 МЛН
KILA SIKU JIAMBIE MANENO HAYA - JOEL NANAUKA
7:03
Joel Nanauka
Рет қаралды 110 М.
FANYA MAAMUZI HAYA MATANO ILI UFANIKIWE KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
12:50
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,5 МЛН
SABABU 10 KWANINI UNASHINDWA KUPATA WATEJA WENGI | Victor Mwambene.
17:54
NJIA ZA KUANZISHA BIASHARA | Victor Mwambene
8:52
Success Path Network
Рет қаралды 7 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 69 МЛН