Kutoka Kenya,,,,,, barikiwa Sana Mungu akiwapo upande wetu Nani atakuwa juu yetu
@danielmwakatumaakimu10509 ай бұрын
Ubarikiwe.
@luckywetu67595 жыл бұрын
Asante sana kwa muda wako na pia naomba uendelee kuzkata hzo vidio ili tupate ujumbe adimu
@judithcherono25955 жыл бұрын
funzo tamu sana Barikiwa
@ghatisinyaro8275 жыл бұрын
Mama we ni mzima aisee yaani unadadavua hadi nakosa usingizi
@shideashidea55705 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi
@pendobugalama9533 жыл бұрын
Asante sana nimejifunza mno
@user-rm8cj3fd7z Жыл бұрын
Kwa kweli Dr. Hesperansa anatema madini sana kuhusu lishe bora kwa afya yetu. Naomba awe anatuwekea namba yake ya simu ili tuwe tunamuuliza maswali mbalimbali kuhusu afya