No video

HII NDIYO FAMILIA YA MCH.ALIEJENGA KANISA LA KISASA KIJIJINI"Nina watoto 10,nyumba ya vyumba viwili"

  Рет қаралды 7,297

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

-KUTAZAMA TAARIFA YA KWANZA KUHUSU KANISA HILI,BONYEZA LINK HII • SIKIA UJUMBE HUU MZITO...
-KUTAZAMA TAARIFA YA PILI KUHUSU KANISA HILI BONYEZA LINK HII • GOOD NEWS!LILE KANISA ...
-KUTAZAMA TAARIFA YA TATU KUHUSU KANISA HILI BONYEZA LINK HII • HAKIKA MUNGU NI MWEMA-...
-KUTAZAMA TAARIFA YA NNE KUHUSU KANISA HILI,BONYEZA LINK HII • NA HAPA NDIPO UJENZI U...
-KUTAZAMA TAARIFA YA TANO KUHUSU KANISA HILI,BONYEZA LINK HII • LILE KANISA LA MAKUTI ...
--KUTAZAMA TAARIFA YA SITA KUHUSU KANISA HILI,BONYEZA LINK HII • IBADA YA KWANZA YA MWA...
JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 48
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
-KUTAZAMA TAARIFA YA KWANZA KUHUSU KANISA HILI,BONYEZA LINK HII kzbin.info/www/bejne/iaWxeZKifth1kLc -KUTAZAMA TAARIFA YA PILI KUHUSU KANISA HILI BONYEZA LINK HII kzbin.info/www/bejne/h2LYf2OLhZ6epZI -KUTAZAMA TAARIFA YA TATU KUHUSU KANISA HILI BONYEZA LINK HII kzbin.info/www/bejne/iJ3Ln4CigJh2ns0 -KUTAZAMA TAARIFA YA NNE KUHUSU KANISA HILI,BONYEZA LINK HII kzbin.info/www/bejne/gYK7q51uarWihrM -KUTAZAMA TAARIFA YA TANO KUHUSU KANISA HILI,BONYEZA LINK HII kzbin.info/www/bejne/mHeqZnqLr9mbnLM --KUTAZAMA TAARIFA YA SITA KUHUSU KANISA HILI,BONYEZA LINK HII kzbin.info/www/bejne/qnWnm6WApsmfhJI
@beatricendikumana8776
@beatricendikumana8776 2 жыл бұрын
Huyu ndie mtumishi wa Mgu kabisa na family nzuri wabarikiwe
@annacharles2842
@annacharles2842 2 жыл бұрын
Mungu mwema mbarikiwe promover tv.kazi yenu si bure Mungu awakumbuke Amen
@mburujamburuja548
@mburujamburuja548 2 жыл бұрын
utumishi sio mchezo. Mungu akutie nguvu zaidi mchungaji
@janengaga2928
@janengaga2928 2 жыл бұрын
Huu ndio utumishi ktk shida na raha.Yesu mzuri💝😍
@juliusmakula1659
@juliusmakula1659 2 жыл бұрын
Hongereni sana PROMOVER TV kuwezesha kanisa hilo kujengwa kwa kutangaza uhitaji huo.Pia nampongeza mchungaji kwa kuwa mwaminifu.
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
Hallelujah
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Na Mungu anahitaji Pazuri jamani si moyoni tu hongera na Abarikiwe
@anneokaka8213
@anneokaka8213 2 жыл бұрын
Mungu azidi kuwajaza neema.
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 2 жыл бұрын
Mubarikiwe promover tv
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wamungu umefanya kazizuri
@user-sk1pf7rb7i
@user-sk1pf7rb7i 2 жыл бұрын
Amina barikiweni promover Bwana awabariki na mchungaji Mungu akubariki kwa uaminifu Yesu awenawe
@virginianganga2556
@virginianganga2556 2 жыл бұрын
This is one of the true men of God
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Abarikiwe Sanaa mchunga wa Mungu.
@salima2658
@salima2658 2 жыл бұрын
Mungu ambariki sana mtumishi wake na familia yake kwa jumla
@nasembakihara3024
@nasembakihara3024 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji
@emes602
@emes602 2 жыл бұрын
Mapacha mara mbili waooo
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
Mungu atakuinua ubarikiwe sana mchungaji pamoja na jacktan
@Nabatabita6873
@Nabatabita6873 2 жыл бұрын
Mungu nimwemwa
@obedlange5375
@obedlange5375 2 жыл бұрын
YESU AKUTIE NGUVU MTUMISHI
@eppiemodest
@eppiemodest 2 жыл бұрын
Mungu atawashika mkono.
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 жыл бұрын
Very good mchungaji mwaminifu na mvumilivu, Mungu akubariki,kikubwa ni uzima wa milele na hayo mengine ni ziada tu. Ila watu wa Mungu tujitolee kuchangia chochote
@josephmungai544
@josephmungai544 2 жыл бұрын
Mungu awabariki
@godfreymollec8206
@godfreymollec8206 2 жыл бұрын
Ubarkiwe mchungaji kwa kujitoa mhanga na kuacha mambo yako ya kibnafsi na kujenga kanisa hakika sio wengi wanaojitoa ulivyojitoa wewe mungu akubariki pia promover TV. Amkuwa chombo cha dhamani kubwa kupita maelezo kwa kweli. Mungu wa mbinguni awabariki mchango wako j msafiri pamoja n timu yako ni mkubwa pale mbarikiwe
@marymbodzembodze2707
@marymbodzembodze2707 2 жыл бұрын
Amen Amen barikiwa sana mtumishi wa BWANA
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Kwa kweli Mungu akuinue na akupanue venye ulikua mwaminifu Kwa pesa zake,akuonekanie nawe usonge mbele
@ednalugano2906
@ednalugano2906 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mch. Kawawa. Mungu uliyemuheshimu ukamjengea nyumba ya heshima hawezi kukuacha
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Mtumishi mwema wa bwana atende muujiza wa nyumba yako ikamilike umefanya kazi nzuri uzidi kubarikiwa
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
That's area wow so fertile
@rehemasamson442
@rehemasamson442 2 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa.kazi inaenda
@flm1530
@flm1530 2 жыл бұрын
Mwendelezo wa maanga saba mtumishi
@pericykiko6198
@pericykiko6198 2 жыл бұрын
Mbarikiwe
@emes602
@emes602 2 жыл бұрын
Bado wanaendelea kuzaa au ndio mwisho hao 10. Si mchezo.
@jesusismyking5292
@jesusismyking5292 2 жыл бұрын
Jina la Buwana apewe sifa
@angelibrahim5539
@angelibrahim5539 2 жыл бұрын
Makuti ni miti ya michikichi
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 2 жыл бұрын
Naomba namba ya mchungaji nimchangie
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Mmm huyu ni jasusi kutoka mbinguni Yani ako na uhitaji na fedha lakini hakununulia hata nyumba ya kwake hata bati moja
@christopherbomola4151
@christopherbomola4151 Жыл бұрын
Mungu alimtia nguvu
@generoserugoye2063
@generoserugoye2063 2 жыл бұрын
Hongera sana lakin watoto wanasoma? Jitahidi wasome
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Watasoma
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Kwani hua muangalia nusu watoto wote wako shule mkubwa fom4 ,wapili fom2
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
MUNGU ni mwaminifu
@Nabatabita6873
@Nabatabita6873 2 жыл бұрын
Wewe mtangazaji nataka number yako yasimu ya WhatsApp
@Nabatabita6873
@Nabatabita6873 2 жыл бұрын
Makuti inamahanisha nini?
@drnow1528
@drnow1528 2 жыл бұрын
Nyasi
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Majani ya migazi
@christopherbomola4151
@christopherbomola4151 Жыл бұрын
Palm tree branches
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 20 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 21 МЛН
MASANJA AKIMTAMBULISHA MKEWE UTACHEKA #FREECHURCH #MASANJA #MKANDAMIZAJI
6:15
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 99 М.
Nzotheka Episode 4
28:36
TIMVENI TV
Рет қаралды 78
Mch Moses Magembe - UNABII WA SIKU ZA MWISHO | DODOMA 04
1:59:52
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 2,8 М.
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 20 МЛН