HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA!

  Рет қаралды 946,010

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA!
Wahehe walimuita Mkwawa mtwa, waswahili wakamuita mfalme, Unyanyembe wakamuita mtemi, waha wakamuita Mwami na shuleni tukamuita Chifu Mkwawa, mwanaume pekee aliyewanyoa nywele wazungu bila maji.
Huyu mwanaume kiboko ya Wajerumani ni uzao wa yule jiniazi kutoka nchi ya Uhabeshi, Ethiopia ya leo, aliyefika katika ufalme wa Mwamududa miaka 1700 akiwa na teknolojia ya kuwinda kwa mbwa.
#CHIFUMKWAWA
www.youtube.co.... www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 714
@venstonvedasto
@venstonvedasto 5 жыл бұрын
Anastahili views milioni mm Mkwawa nmemuelewa leo tangu nimalize form 4 😂😂😂😂
@noob3605
@noob3605 5 жыл бұрын
Ven The Guy 😂😂😂😂😂me too
@edwingwesso129
@edwingwesso129 5 жыл бұрын
Wengne tunamuelewa Sana fatilia tena
@daudijuma9093
@daudijuma9093 5 жыл бұрын
Ven the guy pol
@daudijuma9093
@daudijuma9093 5 жыл бұрын
@Ven hiii
@amirbalali6483
@amirbalali6483 5 жыл бұрын
Ven The Guy duh
@annahjoxhua1953
@annahjoxhua1953 4 жыл бұрын
Wahehe naomba like zenu me mbena
@maijayahaya3770
@maijayahaya3770 5 жыл бұрын
kusoma kwangu koote adi form 4 leo ndio nimeelewa hii story, hongera bro 👏👏
@daudijuma9093
@daudijuma9093 5 жыл бұрын
Hhhh mwaija
@maijayahaya3770
@maijayahaya3770 5 жыл бұрын
daudi Juma 😂😂 beee!!
@evanamyinga1512
@evanamyinga1512 4 жыл бұрын
Polee
@ricksonlyimo5594
@ricksonlyimo5594 3 жыл бұрын
Shule akuna mwalimu anaweza kukufundisha hv zaidi ya kuambiwa tafuta kitabu utapata story yote ila hapa unaelewa zaidi ya shulen
@kimwelshebuge8772
@kimwelshebuge8772 4 жыл бұрын
Una miaka 30 halafu unalala kwenu halafu unakoroma ukilala
@innocentmmbando5484
@innocentmmbando5484 5 жыл бұрын
Kaka hongera kwa simuliz maridhawa.. Naomba siku moja utupe simulizi ya mangi wa wachaga!!
@saidkhadija7557
@saidkhadija7557 4 жыл бұрын
Kabiisa
@uwezofadhili7098
@uwezofadhili7098 3 жыл бұрын
Hahahaha
@lukaslaizer1839
@lukaslaizer1839 Жыл бұрын
Ameisha simuliaga ebu andika Denis mpanga simuliz ya wachaga
@dralhajijbmatatala4580
@dralhajijbmatatala4580 3 жыл бұрын
""Najivunia Kuwa MHEHE,""
@kindoleenock6708
@kindoleenock6708 4 жыл бұрын
Kama ww ni mhehe gongaa like
@shabanikamsawa424
@shabanikamsawa424 4 жыл бұрын
Jamaa bora awe mwalimu wa history anae kubaliana na mm .gonga like hapa tujuane
@AliMasudi-mc2sj
@AliMasudi-mc2sj 5 ай бұрын
Maamyuzi.unajizima.data.hata Mimi nimeipenda.hiyo
@mohamedikibasa418
@mohamedikibasa418 5 жыл бұрын
anayemuelewa mkwawa agonge like hapa
@daudijuma9093
@daudijuma9093 5 жыл бұрын
Namuelew saan!2
@tamaraemmanuel9804
@tamaraemmanuel9804 5 жыл бұрын
Why??????????
@gaudencegabriel4880
@gaudencegabriel4880 4 жыл бұрын
upo vizur
@neemaroja6273
@neemaroja6273 4 жыл бұрын
Wahehe magaidi...
@abasirashidi5240
@abasirashidi5240 4 жыл бұрын
mohamedi Kibasa nc
@isackhassan6551
@isackhassan6551 5 жыл бұрын
Elimu ya wazungu kwa wa-Afrika is a system of misseducation us as Afrikan, wanajua historia yetu kuliko tunavoijua
@saidmosh2695
@saidmosh2695 5 жыл бұрын
Hongera sana mjomba unatupa chakula cha ubongo cc tucyeyajua haya
@muinjiristimgimbe6678
@muinjiristimgimbe6678 5 жыл бұрын
Napenda sana kamwene vayangu
@bakariluhala7332
@bakariluhala7332 5 жыл бұрын
Kamwene unogage
@muinjiristimgimbe6678
@muinjiristimgimbe6678 5 жыл бұрын
Ndimnofu makasi
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 5 жыл бұрын
Muinjiristi Mgimbe kamwene mnoge
@muinjiristimgimbe6678
@muinjiristimgimbe6678 5 жыл бұрын
Ndimnofu
@neemapili8497
@neemapili8497 5 жыл бұрын
Kamwene unogage
@goodluckymartin334
@goodluckymartin334 4 жыл бұрын
Kumbeeee brooh upo vizuriiiiiiiiii cana aseehhhh
@elijahgregory1361
@elijahgregory1361 4 жыл бұрын
Technolojia ya kiafrica ni ya kichawi ambayo ni nzuri zaidi kuliko technolojia ya wazungu kwa maana hata Suleiman alitumia majini kufanya kazi zake yaani alitumia dakika chache kuzimaliza kazi zake
@dralhajijbmatatala4580
@dralhajijbmatatala4580 3 жыл бұрын
Hahaaaaa 😂😂😂 Hatari Sanaaaa, DA!,
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Wahehe hoyee!!!!!!! Fantastic
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
nyumbani nn!
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Hoyeeeeeee!!!kamwene
@Elicha883
@Elicha883 4 жыл бұрын
Wahehe ni watani zangu Mimi ni Mndamba kutoka ifakara
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 3 жыл бұрын
Hoyeeeeeeeeeeeeeeee!
@abdallahhamad4499
@abdallahhamad4499 5 жыл бұрын
Kama ungependa hii story waifanyie movie Kama mimi ninavyotamani gonga like 💗
@djatm1319
@djatm1319 5 жыл бұрын
Napenda sana vile huyu jamaa husoma historia..... Nikiwa hapa Nairobi/Kenya
@musasaid964
@musasaid964 4 жыл бұрын
Mtafute mtiga abdalla utaewa kuliko huyu
@allythabiti8150
@allythabiti8150 5 жыл бұрын
Itabid tuandike historia yetu, sio tunasoma historia iliyoandikwa na watu sio sisi
@aluteboy1302
@aluteboy1302 5 жыл бұрын
vipi
@duniacafe
@duniacafe 3 жыл бұрын
Kamwene! Ndimno fuela. Kaka, nakushukuru sana---umenielimisha ziada ya niliyofundishwa shule ya msingi Forodhani. Naomba uendelee na utafiti wako na kuandika kitabu cha historia ya watemi wote. Itapendeza pia ukifanya video ya Mangi Meli, Isiki, Rumanyika wa Karagwe, Mirambo, nk. Na methali zako---eee---hizo zilinoga kweli
@christophersoty101
@christophersoty101 5 жыл бұрын
wakala visivyoliwa kabla ya Ndoa binti akapata ujauzito kijana akala kona kuogopa Mikono ya cheaf akakutana na mbogo msituni akalestiishwa in peace Aaaaamin 😂😂😂😂😂 huyu bro anajua mpaka homa aisee Duh!!!
@upstar4951
@upstar4951 5 жыл бұрын
Christopher Soty saf
@jeyadam833
@jeyadam833 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 kile kipande katishaaaa😂😂😂😂😂
@manyandatimoth7
@manyandatimoth7 5 жыл бұрын
Msukuma chapa ya ng'0mbe ...daaah umejua kunifurahisha
@hijjaferrari3874
@hijjaferrari3874 4 жыл бұрын
Bado historia ya samori toure
@shabanbuchu2130
@shabanbuchu2130 5 жыл бұрын
Ningependa kuona library yako ya vitabu.kwa akili hii nahisi husomi pumba
@juliasfredrick491
@juliasfredrick491 4 жыл бұрын
Shukran denisi mpagaze
@xaverysunday1886
@xaverysunday1886 5 жыл бұрын
TOKA TEAM MEDIA MAKAMBAKO TOWN HAKIKA MKWAWA WETU ALIKUWA NI CHUMA KAMA WW NI WA KWETU GONGA LIKE TWENDE SAUWA
@adcutey9112
@adcutey9112 5 жыл бұрын
Zamani paliitwa amakambako
@jamesrichard957
@jamesrichard957 4 жыл бұрын
Wa hehe mpooo
@andrewshustle1331
@andrewshustle1331 8 ай бұрын
2024 Niko hapa tena kurudia kuiskiliza hii historia adhimu ya CHIEF MKWAWA.🎖️👑
@hamzanasry8011
@hamzanasry8011 5 жыл бұрын
Kwaukweli Edgar kila nikiskia tafsiri yako unavyo tafsiri hunahap kilasiku kuskiliza istoria zako sikuzote ongera
@logatercharles3665
@logatercharles3665 4 жыл бұрын
“Ukimpa mimba mtoto wa kihehe lazima akutaje”😂😂😂
@officialkisura6520
@officialkisura6520 4 жыл бұрын
Logater Charles nomaxana
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 4 жыл бұрын
Leo uzinifu umekuwa kama maji ya kunywa zamani ukizini na mtoto wa mtu unauwawa hii sheria bora irudishwe tena..!
@ashrafsalum2521
@ashrafsalum2521 3 жыл бұрын
Nikae kimya ili
@tinatanamahondo9292
@tinatanamahondo9292 3 жыл бұрын
Naachaje sasa kukutaja
@jimmyandrew3883
@jimmyandrew3883 5 жыл бұрын
im proud to be hehe na mama yangu ni semduda uzao uleeee
@godfreymlonganile2933
@godfreymlonganile2933 3 жыл бұрын
Gfffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffuuuuuuuuuu
@godfreymlonganile2933
@godfreymlonganile2933 3 жыл бұрын
Gfffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffuuuuuuuuuu
@godfreymlonganile2933
@godfreymlonganile2933 3 жыл бұрын
Bbbbbbb
@mbarukutwaha7777
@mbarukutwaha7777 4 жыл бұрын
Safi Sana broo
@charlesjonas4412
@charlesjonas4412 5 жыл бұрын
😂😂😂😂 eti ulifundishwa historia kama habari za mbinguni... huyu jamaa kiboko aisee
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 5 жыл бұрын
Resistance Against The Imposition Of Colonial Rule Small Scale Resistance# Mtwa Mkwawa
@twalibumoon3544
@twalibumoon3544 4 жыл бұрын
History umeigeuza nyuma mbele mbele nyuma. Ulipokosea ni hapa 👇 Mwarabu ndio alianza kuingia tanganyika kabla ya wajerumani. Wajerumani wanakuja wanakuta tayari wahehe wanazungumza LUGHA YA KIARABU. NA WALIWAKUTA TAYARI WANA MFUMO WAO SAHIHI.
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Wanaosema Mkwawa si Mhehe, ni wale wenye wivu kwa ushujaa wa wahehe, Historia yako na ninavyojua inaonyesha UHEHE ulitokana na mchanganyiko huo
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
wako sahihi kwa upande mwingine!
@lilianluhasi7685
@lilianluhasi7685 5 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 hapana maana simulizi inaonyesha Uhehe imetokana na mchanganyiko huo uabeshi na waliowakuta, kabla ya vita Uhehe haukuwepo, na ndiyo sababu ya kutofautiana Uhehe na ubena, japo kabila ni moja
@kurwpaul1134
@kurwpaul1134 4 жыл бұрын
Lilian Luhasi jamani good story
@lilianluhasi7685
@lilianluhasi7685 4 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 huyo baba yake mwenyewe Mkwawa ni Munyigumba mhehe original, mababu huko wa kale ndiyo walitoka huko siyo yeye Mkwawa Chief hapana, iweje baba yake Munyigumba azaliwe Tanzania halafu mtoto Chief atoke uabeshi? Ni mababu zetu wa kale zaidi ndiyo walitoka huko
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Lilian Luhasi sawa mhehe og au mueleweshaji mzuri weye nimekuelewa, kwaio twaweza sema wabena ndo watu iringa og tangia kitambo au labd uhehe = ubena + wahabeshi?
@jasirimkombozi4926
@jasirimkombozi4926 5 жыл бұрын
Natamani simulizi hii ingekuwa Movie fulani hivi .
@shaibuabdallah631
@shaibuabdallah631 5 жыл бұрын
Dogo ismaVEVO . . .
@adcutey9112
@adcutey9112 5 жыл бұрын
Karibuni kwetu Iringa muje muone hiyo movie kalenga museum kuna fuvu la mkwawa na pia kuna sehemu kikongoma mama mkwawa alifia pale n.k Karibuni sanaaaa
@emmanueljest6786
@emmanueljest6786 4 жыл бұрын
Jasiri Mkombo🐻 iuhyh1
@nuratkalinga581
@nuratkalinga581 4 жыл бұрын
Hiyo kuua ukoo mzima ipo mpaka leo ,akiba mmoja wanateketea ukoo mzima labda mkaombe msamaha.
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 5 жыл бұрын
Hawa ndio wangetakiwa kuongoza nchi kwa kuihangaikia sana nchi hii
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Mtihani
@kaishazabengesi2971
@kaishazabengesi2971 4 жыл бұрын
Hakika tuna kila sababu kujivunia shujaa huyu. Hata hivyo, hivi migongano ya Waingereza waliokuwa wakisafiria mgongo wa Sultani wa Zanzibar na Wajerumani si kwamba ilianza kuchomoza katika chokochoko za shujaa wetu huyu? Wanahistoria wanaoanishaje mtawala wakiingereza huko Misri alivyowagonganisha utawala wa Ottoman na Saudia kusababisha maasi Transjordani na maeneo yaliyokuwa chini ya himaya ya Ottoman. Njama hizi ndizo zinazosukwa huko mashariki ya kati, Msumbiji, Kongo, Nigeria n.k. Mwe macho aambiwi tazama tusibaki tu kushabikia Ushujaa bali pia tuyaangazie pia makandokando, kwani faida yakuijua historia ni kwamba hujirudia hivyo kuwa tayari kubadilisha au kuepuka mikondo harabu kwa jamii zetu. Itogile.
@allythabiti8150
@allythabiti8150 5 жыл бұрын
Sikuzi cjuui kwann hawazaliwi vijana jasir Kama wa zamani aise, Mkwawa namuelewa saana. Huyu jama ni hatariii.
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Sio kwamba hawazaliwi, wapo ila wanaogopa kufa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@@mohamedothman9769 ndo hawapo tena au wana mapungufu kama yote
@matitu_jr5035
@matitu_jr5035 5 жыл бұрын
Leo hii kuwa kiongozi Tanzania si elimu wala ushujaa bali ukiijua Ilani ya CCM umepita.
@farajaluoga9930
@farajaluoga9930 5 жыл бұрын
😂😂😂
@muulamagolima4572
@muulamagolima4572 5 жыл бұрын
Utajuaje ilani ya CCM bila kuwa na elimu? Au kwako elimu Nini?
@thobiasrobert9477
@thobiasrobert9477 5 жыл бұрын
asee kumbe hata dr Peter mataba ni uzao huo n mwalimu wangu sasa hapa SAUT salute broo keep it up unajua
@bensonthobias8401
@bensonthobias8401 5 жыл бұрын
Noma
@kareemibrahim1892
@kareemibrahim1892 Ай бұрын
Wapelelez wale nyama ya mbwa 😂😂😂😂 umeupigwa mwing 😂😂😂😂
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 4 жыл бұрын
MuafriCa wa mwanzo wengi walikua waislam
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 3 жыл бұрын
Mkuu sijui tukushukuruje. Wewe ni chuma katika historia. Tunaomba mtuandikie historia yetu itakayofundishwa kwenye shule zetu na vyuo vyetu tuachane na hizi historia za kusifia wazungu akina Livingstone na Karl Peters na kujiona wanyonge. Serikali inabidi iwatumie vizuri ili mtusaidie tufahamu historia yetu.
@m2mbad146
@m2mbad146 Жыл бұрын
Broo unawez kama mwl wangu wa history
@peteralfonce5848
@peteralfonce5848 5 жыл бұрын
Kwanini usiende kutangaza BBC ?
@Trendingnewstubes
@Trendingnewstubes 5 жыл бұрын
Peter Alfonce bbc ni chombo cha propanganda tu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@@Trendingnewstubes ivoh!
@ayubunelxon2212
@ayubunelxon2212 5 жыл бұрын
Nakuelewa Sana Mkuu Unafaa Kuwa Mwl Wa History
@rehema2018
@rehema2018 4 жыл бұрын
Peter Alfonce 😂😂😂
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 4 жыл бұрын
Khabari ya mkwawa kusilimu hampendi kuzungumza mnakula kona kwanini..!
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Hapo inaonyesha Uhehe ulitokana na mchanganyiko wa uzao wa Mswimi toka Uaveshi na wazawa waliowakuta, hivyo hizo koo zaidi 100 za mchanganyiko huo ndiyo Uhehe wenyewe, ni Genius, wahehe wote, na Mkwawa ni Mhehe, waache wivu,
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
ni wahaBeshi / wahaVeshi.?
@lilianluhasi7685
@lilianluhasi7685 5 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 ndiyo koo zaidi ya 100 zimezaa na kupanuka, ndiyo kabila LA wahehe
@lilianluhasi7685
@lilianluhasi7685 5 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 waabeshi
@lilianluhasi7685
@lilianluhasi7685 5 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 waabeshi samahani nolikosea
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Lilian Luhasi arlaah kuumbe!
@benjaminphilip7408
@benjaminphilip7408 5 жыл бұрын
it hurts ukisikiliza baadhi ya vitu , ni kweli huyo mjusi (dinosaur) inasemekana walichukua skeleton yake wakapeleka kwenye museum huko German, nowadays they are making a lot of money kupitia hcho walichotuibia, bado utackia mtanzania anasema wazungu ni watu wazuri.
@monicahovda5890
@monicahovda5890 5 жыл бұрын
Wewe uki google utapata historia yote ya huyo mjusi. Dinosaur. Sio mpka usikilize ndio huujue ukweli. Muwe wepesi wa kusoma yote wameyandika kwenye vitabu. Na wamerahisisha kwenye Gooogle.kila kitu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@@monicahovda5890 hmmm
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@@monicahovda5890 tena gugo huko ndo wamechuja mpaaka, vema maktaba zetu wenyewe ndo zipatikane na hizi hadithi/vitabu
@Respicius
@Respicius 5 жыл бұрын
Da! Broo mgejaribu kuwa mnatoa CD tunazinunua mnauza hata Cd moja ina stori mbili mbili 2000 ingekuwa vizuri sana
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 4 жыл бұрын
Kweli kabisa dah sipati picha ukiwa geto kwako una sikiza saiti hii dah story mzuli sana
@jameschumbula7351
@jameschumbula7351 3 жыл бұрын
Afrika mashariki muhehe ndio kabila lakwaza kuvaa nguo. 🤣😄😃😀😆👍👍👍👏👏👏 Asantee Sana kutujuza kaka pamoja sana🤝
@swaleheismail46
@swaleheismail46 4 жыл бұрын
Mizimu yote ya africa ikagonga cheers
@saidmakono1875
@saidmakono1875 5 жыл бұрын
Hatari sana, Kaka andika kitabu ntakua wakwanza kununua
@mbusuleshillu8280
@mbusuleshillu8280 4 жыл бұрын
Yeye amefanya nafasi yake,mengine fanya na wewe..
@josephkenneth1718
@josephkenneth1718 4 жыл бұрын
Mfwimi it means muwindaji hahahahaha kamwene vanyarukolo viva Denis mpagazi
@mpogoletv.5966
@mpogoletv.5966 5 жыл бұрын
NAMKUBALI SANA MKWAWA NA UWA SICHOKI KUTEMBELEA FUVU NA MAKAZI YAKE KULE KARENGA
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Ananias unavyosimulia utadhani alikuwepo 😂😂😂hongera sana aisee. Apo kwa wapelelezi kula nyama ya mbwa.
@sheldonmbakaya
@sheldonmbakaya 5 жыл бұрын
Nikiwa shuleni historia haikunishika, sasa hivi nashika historia na kuielewa vyema kwa lugha mufti ya kiswahili na Global TV Nakushukuru Ananias Mpagaze
@marymichelle6280
@marymichelle6280 5 жыл бұрын
Hongera sana mtoa historia, napenda sana vile unasoma historia. Unafundisha na kueleweka. Safi
@unamimlay7619
@unamimlay7619 4 жыл бұрын
Nimependa story yako iko poa sana inafundisha
@adcutey9112
@adcutey9112 5 жыл бұрын
Nisidangany mm now had simuamin mungu najali miungu yangu ya kikabila maana God kaletwa na mzungu yaaani mm sinahamu nao mm nawapenda miungu wangu wa kihehe na Leo nimeenda makumbusho kwao
@dralhajijbmatatala4580
@dralhajijbmatatala4580 3 жыл бұрын
Hahahaha
@georgenagabona203
@georgenagabona203 5 жыл бұрын
upo vizuri nipe story ya lucky dube kwa ndani zaidi
@gosberthussalvatory7992
@gosberthussalvatory7992 3 жыл бұрын
Tuanze tamadumi zetu tuwe na umoja wa afrika
@ahmadkafashe7427
@ahmadkafashe7427 5 жыл бұрын
Bro unaipenda kwel kaz yako.. Mungu akuongoze kwa kila jambo la hery. Unafanunua kwel na kama ungekuw mwalim wng bas ningekuw wa kufaulu maan nakuelewa vzr
@tinatanamahondo9292
@tinatanamahondo9292 3 жыл бұрын
Yani wew Acha tu
@simbafansis3922
@simbafansis3922 3 жыл бұрын
Anastahili.sifa.mkwawa
@joyceleonard584
@joyceleonard584 5 жыл бұрын
Me napenda San story zen glob tv lkn zp chache San jmn
@geoffreysoloshija1909
@geoffreysoloshija1909 3 жыл бұрын
Hapo kwa wasukuma umezingua bro, hatuna history ya kutekwa na wahehe aisee, tulipigina nao vita kwa ajiri ya kuibiana ngombe ni wamasai katika history ya mababu,
@ahmednuhu2386
@ahmednuhu2386 5 жыл бұрын
Umesahau na Ali hapi alicho fanywa baada ya kuwaongoza wahehe kichwa kichwa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
hhh
@heriethmgombela1053
@heriethmgombela1053 3 жыл бұрын
Mkwawa jembeeeeeeee wahehe hoyeeeeee
@hawahawa8166
@hawahawa8166 5 жыл бұрын
Toa CD zake tofaut
@YaNoah-Congo-Bongo
@YaNoah-Congo-Bongo 4 жыл бұрын
Utakuta hawa washenzi walitupa fuvu la boya mwingine.
@ngenzisaid4958
@ngenzisaid4958 5 жыл бұрын
nyama ya mbwa dah ngoja nitafute hiyo nyama na dawa yake ninuse watu this is iringa brother waheh tupige like
@adcutey9112
@adcutey9112 5 жыл бұрын
Nakuelewa wa iringa unaishi wap
@enockyohana6856
@enockyohana6856 5 жыл бұрын
Janja LA mjini mtaki...hahah jamaa naeelewa sana naukubal uwez wako..waafrica turudin tulip toka..paracetamol na hedex zanini wakat mlonge unatibu ..
@anoldpotentin2446
@anoldpotentin2446 3 жыл бұрын
Somo kubwa, wazungu wanatumia ujanja ujanja kututawala wa Africa, sisi tunatumia nguvu kupambana na wazungu. Africa tubadilike tutumie akili sana kupambana na wazungu
@openmindtz
@openmindtz 5 жыл бұрын
Ninge omba kupata hiyo link ya +255 grobal radio
@goodluckyr.7614
@goodluckyr.7614 5 жыл бұрын
I really like how you narrate brother. Ananias Edgar keep it up... Go go goooo
@ramiahassani8750
@ramiahassani8750 5 жыл бұрын
Kwa mafundisho yako, wa Africa ni watu wakuabudu mizim na sio Mungu
@victorsimfukwe5309
@victorsimfukwe5309 4 жыл бұрын
Tunashukuru kwa taarifa zenu nzuli hakika tunaelimika na kufahamu histor mbali mbali
@JohnKitime2015
@JohnKitime2015 2 жыл бұрын
Chumvi nyingi mno...wasiojua watafurahia sana
@bakariluhala7332
@bakariluhala7332 5 жыл бұрын
Asante kutupatia kitu kizuri kama hiki
@walivyojuma7095
@walivyojuma7095 5 жыл бұрын
😂😂😂watu wanakoroma wanalala saana uo nimzembe mzee unatisha ananies nakukubali saana kaka ww nimwafrk kweli kweli nakukubali
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Wanaosema Mkwawa alijinyonga ni wale wenye wivu dhidi ya Mkwawa na wahehe kwa ujumla
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 5 жыл бұрын
Brother mi ni muhehe na ninaijua vizuri historia yetu ila nmeirudia kuiskiliza Kwa sababu ya usimuliaji wako mzuri, big up! MUNGU AKUINUE katika kazi zako
@salimawishenga7588
@salimawishenga7588 2 жыл бұрын
So nitakufata kamzizi
@vevo3130
@vevo3130 5 жыл бұрын
wahehe hatupendi ujinga kabisa!
@aboubackhrkassangullah8380
@aboubackhrkassangullah8380 5 жыл бұрын
Huyo mkwawa mwenyewe alikuwa muislam cyo kuwa sapi ndo alikuwa wakwanza kusilimu huyo mkwawa alikuwa anaitwa ustaadh abdallah mkwawa
@abdallahrajabu4401
@abdallahrajabu4401 3 жыл бұрын
Hawa si wanakariri mpk leo Kuna msala pale makumbusho wakuswali
@katunzijasson5410
@katunzijasson5410 5 жыл бұрын
Hongera mr.Edgar unastahili pongezi unatoa simulizi ikiwa inaeleweka na taarifa nyingi. .nachojiuliza historia tuliyosoma shuleni na hii yako mbna hii ina mambo mengi vyanzo vyako ni vp...?
@jeyadam833
@jeyadam833 4 жыл бұрын
ile ya shule nyingi zimeandaliwa na wazungu
@tinawilliam4961
@tinawilliam4961 5 жыл бұрын
Asante kaka nilikua sielewi chochote kuhusu mkwawa👏👏
@Pedeshee01
@Pedeshee01 3 жыл бұрын
Umeelewa kwa kweli shukrani zimefika
@jamesmayunga5802
@jamesmayunga5802 5 жыл бұрын
wew kaka Annie's edga ni noumer kiukwel
@macksonjuma5180
@macksonjuma5180 4 жыл бұрын
Eti aliota anajfungua akajisadia apo apo😂😂😂😂
@FamSalome
@FamSalome 5 жыл бұрын
Global tv kuna historia kadhaa natamani mgeziweka tukazisikia, historia ya Mwalimu Nyerere, Kenyatta, Joseph Kony, mauji ya Kimbari Rwanda. Waiyaki wa Hinga kutoka Kenya na zingine ambazo nitazitaja tukisonga. itakuwa bora kama Ananias Edigar atakuwa msimulizi kama kawaida. long live global tv long live Ananias Edigar.
@slyvesterngusa2972
@slyvesterngusa2972 3 жыл бұрын
Sanaaa
@ricksonlyimo5594
@ricksonlyimo5594 3 жыл бұрын
Mauaji ya kimbari ipo mbona story ya nyerere nayo ipo na ya kenyatta ipo zitafute utaziona
@johnsahani1325
@johnsahani1325 5 жыл бұрын
Somo zuri ubarikiwe
@siliviamyinga1400
@siliviamyinga1400 4 жыл бұрын
Siliviamyinga Nashukuru sana kumbebabu mkwawa ametoka alichanganyika kabila mbili, nashukuru kujua historia
@saidkhadija7557
@saidkhadija7557 4 жыл бұрын
storii ya mangi wachaga ,ingenoga saana
@yohakimkilasi7963
@yohakimkilasi7963 Жыл бұрын
Mjusi mwenye uzito wa tani 200 apo jamaa kaongeza jumvi🤣🤣
@ibraoti-yj3si
@ibraoti-yj3si Жыл бұрын
Ananias,naomba utufafanulie ni kwanini Marekani wanasisitiza ushoga uendelee Afrika.
@prosperkisumbe5612
@prosperkisumbe5612 4 жыл бұрын
Kumbe heshima kwangu mtoto wa se mduda heshima kwako mama se mduda pumzika kwa amani ntaweka heshima kwako Mhehe mimi
@victormwakyusa1986
@victormwakyusa1986 3 жыл бұрын
Nipo chuo kikuu mpaka leo nilkua najua tu siku aliyouawa 😄😄😄😄 hatr sana hiiii
@norbertharumukiza6574
@norbertharumukiza6574 8 ай бұрын
Kwani alifariki na chungu chake kikapotea? Angekiacha mchepuko ungepunguwa
@gerodmpangile250
@gerodmpangile250 4 жыл бұрын
Kama nimemsikia mpangile au ndo mm nn
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 7 ай бұрын
Kama wazungu wanaificha historia ya machifu ,kwani sisi tunaohusika na machifu si tuifichue ? Tuekeze historia zetu bila hata kuwataja wazungu ,kama vile wazungu na historia zao bila wazungu.
@peterbillas9131
@peterbillas9131 Жыл бұрын
Kwa hiyo hizi shule Zinasema wafalume wetu ni machif kwahiyo mfalme ni nani? ni familia 9 zilizokua zikitawala ulaya kwahiyo kikwete chief king ni Charles wa uingereza 🤔😱
@zamdakimaro2973
@zamdakimaro2973 4 жыл бұрын
Mimi bwana acha tu hii chanel inanikoshaga sana
@zawadigwimile2637
@zawadigwimile2637 5 жыл бұрын
Daaa leo nimeelewa asili ya waburishi wa rujewa asante mkuu
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Na hata asili hasa ya Uhehe ni nini? Ni mchanganyiko wa uzao wa Mhaveshi na wazawa waliowakuta hapo, uzao wa koo hizo ndiyo Uhehe wenyewe, hapo mwanzo ilikuwa wabena tu, ambao nao inasemekana walitokea Ghana
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@@lilianluhasi311 dooh, wabena nao kumbe iletwe ya kwao hapa
@lilianluhasi7685
@lilianluhasi7685 5 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 wabena walitokea Ghana mababu wanasema
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Lilian Luhasi asee!
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Lilian Luhasi asee.,yaonesha iringa ni nyumbani
@mrsmile6649
@mrsmile6649 Жыл бұрын
Big story 💯🏃💥
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 4 жыл бұрын
Nime anza kufurahi kabla huja anza kusimulia denis
@bonifacechengula6117
@bonifacechengula6117 2 жыл бұрын
Brilliant narrator, you are so eloquent that I love listening to your story.
@johnsylivester8412
@johnsylivester8412 5 жыл бұрын
we Jamaa Nakupenda Sana Wewe, hd sauti yako. tuletee watemi na machifu wa singida
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 24 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 44 МЛН
HISTORIA: RAIS Aliyekatwa Masikio Akiwa Hai, Na Yeye Aliwakata Wengine
18:44
OMAR  AL-BASHIR: Rais Aliyetema Mate Juu Yakamdondokea Mwenyewe
17:00
Global TV Online
Рет қаралды 645 М.
Bloomberg Surveillance 10/01/2024
2:27:38
Bloomberg Television
Рет қаралды 16 М.
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17