Bro, umejaribu lakini historia sijaipata bado. Mfano, ( 1) vijana walikuwa wakifanya nini kabla ya kundwa extra musica?, (2) walikutana aaje kimuziki ?, (3) wlikuwa wakiimba wapi na nyimbo za aina gaini kabla ya kuundwa extra musica?, (4) baada ya kujitenga, extra musica iliendelya kwa jina gani na wana muziki wapia gani? 🙏