Alikua anaitwa Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Zabanga raisi boya wa muda wote Africa aliyewahi kitokea,alikuwa anabadilisha wasenge kweli huyu jamaa,kaifilsi nchi ya Zaire.
@AtalantaYves7 ай бұрын
Sana sana Angola, Mozambique,congo Brazzaville, Burkina Faso,nimengi mutuhurumiye kwa Mambo yote Mobutu na Zaire iliwafanyiya.
@FrenkMwaulambo5 ай бұрын
Umefafanua vizuri sana denisi mpagaze
@SalaahmbaroukSeifАй бұрын
Walaji mali za taifa hawa baadae afrika ipige maendeleo et chefu😊
@NotibrugaTarimo3 ай бұрын
This is richness man in world
@justinnoah4590 Жыл бұрын
Kwenye mwaka aliokufa hapo rekebisha. sio mwaka 1977 kiongozi bali 1997
@Amaziniubuzima1 Жыл бұрын
Nakukubari sana mwamba
@AtalantaYves7 ай бұрын
Sisi wa Congo tunaomba Afrika yote huruma muturemu sana sana kwa Mambo mabaya Mobutu alifanya Ku wazuru Ninyi
@opiopaskali65834 ай бұрын
Asante sana
@democratejohn6144 Жыл бұрын
Nakukubali sana
@evratitus4561 Жыл бұрын
Rejelie kauli yako....huyu mzee aliaga mwaka upi?
@FrenkMwaulambo5 ай бұрын
Lakini vyote vilibaki
@nasibuyahaya12299 ай бұрын
Mwaka alokufa umekosea
@NicodemsKibiki3 ай бұрын
Hakika
@dullahvoko7432 жыл бұрын
👍
@raymondonyona.27368 ай бұрын
Mobutu hakufa mwk 1977 kama unavyotuambia bali 1997.
@edwardmutoro55834 ай бұрын
Hapana,1997 ndio mwaka aliyopinduliwa kutoka mamlakani