Mm Nyerere simkubali alikua mjanja mjanja sana sokoine kabona ndo walikua genious sana
@dismaslalubare41967 ай бұрын
Umenikumbusha mbali sana hata siku tunatoka mazishi yake kufika meserani.mvua ilinyesha hadi korongo la meserani likashindikana kupita nyerere alikujachukuliwa na helkopta pale meserani akiwa na waxiri wa Kenya alikuwa anaitwa ouko wakati huo wakatuachha pale. Ukumbuke wakati huo ilikuwa hakuna lami toka arusha hadi minjingu... wacha aisee tumetoka mbali sana mkuu