NAIBU WAZIRI KIRUSWA ASIMULIA SOKOINE ALIVYOAGIZA AKAMATWE APELEKWE SHULE - "NILILIA SANA SIKUJUA"..

  Рет қаралды 7,801

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

NAIBU WAZIRI KIRUSWA ASIMULIA SOKOINE ALIVYOAGIZA AKAMATWE APELEKWE SHULE - "NILILIA SANA SIKUJUA"..
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 7
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@josephatmakuka4860
@josephatmakuka4860 5 ай бұрын
Hayati Sokoine alikuwa jemedari
@musa-v3f
@musa-v3f 5 ай бұрын
nina imani Sokoine kuliko wewe Kiruswa unayeangalia tumbo lako angepigania haki za wamasai wa NGORONGORO wanaoporwa ardhi yao na serikali yako ya maCCM
@KobeJohn-k3d
@KobeJohn-k3d 5 ай бұрын
Mh kirishwa wew unajua wamasai wanatolewa kwenye maeneo Yao ya kuishi na kufugia mifogo Yao,huzungumzii hilo Wala hauwatetea unanyamaza tu alafu unamkumbuka sokoine Kwa mazuri aliofanya,wew utakumbukwa Kwa lipi kama ndugu zako wanaonewa mungu anakuona
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 5 ай бұрын
Sasa Mheshimiwa Mmbunge unayatafsiri mazuri ya Hayati Sokoine, Ulimsikia Hayati Mzee Mwinyi akisema maisha ya mtu ni Hadithi, Yeye Sokoine kawapigania watoto wa Maasai kupata Elimu ukiwepo wewe. Je wewe tokea umepata hiyo Elimu, umewanyanyua wa nyumbani kwako wangapi? Lakini pia tokea umepata Uwaziri umewasaidia vijana wangapi wa kimasai kupata ajira km wewe ulivyosaidia, Je umewajibika kwa sehemu gani kusaidia jamii ya Maa katika mapito wanayoyapitia km haya Madhila ya Ngorongoro na Loliondo.
@huldamichael4445
@huldamichael4445 5 ай бұрын
Mh.Kiruswa Mbunge wangu!!nimekusikiliza nikafurahi kwa historia hiyo inayosisimua.
@fredtarimo1738
@fredtarimo1738 5 ай бұрын
Sokoine alikuwa shujaa wa kweli. Hakuwa na woga, unafiki wala tamaa za kujitajirisha kwa njia za mkato.
Waziri Mkuu wa zamani Moringe Sokoinge aenziwa
5:33
Azam TV
Рет қаралды 6 М.
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 71 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
MIAKA 36 YA KIFO CHA WAZIRI MKUU WA ZAMANI EDWARD SOKOINE
4:13
Zadie Smith on Populists, Frauds and Flip Phones
1:12:03
New York Times Podcasts
Рет қаралды 20 М.
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57