Historia ya Kundi la Musiki WENGE MUSICA-Part 1

  Рет қаралды 10,279

BONGO LEO

BONGO LEO

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@solomonkeli6236
@solomonkeli6236 2 жыл бұрын
Nooma saana 🥰🥰🥰
@amirymbilimo448
@amirymbilimo448 4 жыл бұрын
Nime kubari historia nzuri sana
@BONGOLEO
@BONGOLEO 4 жыл бұрын
Asante
@eliyudimkumbwa1275
@eliyudimkumbwa1275 4 жыл бұрын
Tupe pia historia ya extra musica
@BONGOLEO
@BONGOLEO 4 жыл бұрын
Poa poa, endelea kutufatilia
@joramkiango5434
@joramkiango5434 4 жыл бұрын
@@BONGOLEO maelezo yako yana mapungufu saaana kwa kifupi sijakuelewa
@BONGOLEO
@BONGOLEO 4 жыл бұрын
@@joramkiango5434 sawa tunashkuru kwa maoni tutalifanyia kazi hlo
@kaisarimbisso7579
@kaisarimbisso7579 4 жыл бұрын
Historia ya wenge haijui, sidhani kama atapata grade D historia ya extra musical zangul. Labda grade F kabisa
@kaisarimbisso7579
@kaisarimbisso7579 4 жыл бұрын
Naona historia ya wenge ungepata grade D. Na hakuna album ya surprise kapangala. Rapper walikuwa ni ekokota wunda na tutu kaludgi. Bill kalondji alikuwa ni wa akiba. Naona unapotosha kiasi
@alionyalammingtone7211
@alionyalammingtone7211 4 жыл бұрын
Kweli kabisa, jamaa anapotosha sana- Adolphe Dominguez na Emelia hawakuwa mnamo mwa waanzilishi bali walijiunga baadaye.
@switbertchenya6362
@switbertchenya6362 4 жыл бұрын
Majina tu ya bana wenge huyajui hata kuya tamka. Hata majina ya Albums za wenge kabla ya Pentagon huyajui.we feki
@BONGOLEO
@BONGOLEO 4 жыл бұрын
Asante mkuu ntajirekebisha
@makarabekakassim9967
@makarabekakassim9967 3 жыл бұрын
Huna unachojua kuhusu Wenge Musica BCBG 4x4 all terrain,Bill Clinton Kaluze Mukeba hakuwepo
@petermqngala6010
@petermqngala6010 4 жыл бұрын
Kaka we muongo
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 3 жыл бұрын
Muongo muongo muongo
@robinonyango3563
@robinonyango3563 4 жыл бұрын
Kwa pentagon rapper ni wawili Tutu kaludgi na Robert Ekokota wunda Bill Clinton kalonji alikuwa rapper kwa band ya werrason wenge musica maison mère na siyo wenge musica bcbg 4x4
@switbertchenya6362
@switbertchenya6362 4 жыл бұрын
Hii history huifahamu na una unga unga tu.Hujui habari ya album ya Alain Makaba japokuwa umeitaja jina.pia habari za muanzilishi wa wenge huzijui.Raper wa kwanza wa wenge hujui,mpiga drum kabla ya Titina anaitwa Maradona, humjui.na mabo meengi umechapia.Fake history
@switbertchenya6362
@switbertchenya6362 4 жыл бұрын
Yeah Bill Clinton alikuwa wenge maison merre ya Werrason. Pia huyu jamaa hajui Didier Masella ana history gani na band
@robinonyango3563
@robinonyango3563 4 жыл бұрын
@@switbertchenya6362 very very true huyu jama hajui kabisa history ya wenge musica bcbg 4x4 Didier masela ndio founder wa band ya wenge na Werrason, Blaise bula, Alain makaba na Adolphe Dominiquez.. Jb mpiana akaja badae kidogo
@rashidbakili4353
@rashidbakili4353 3 жыл бұрын
Clinton kwanza alianza wenge el pars, baadae ndio akaingia kwa werason
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 3 жыл бұрын
Hao sio maadui Tena Ni marafiki Sana jb mpiana na werasoni ila simuulizi yako Ni kama ya uchonganishi Sana werrason hakujifungia ndani na kulia aliendelea na kujiweka sawa juu ya band aliyo ianzisha
@wenge4x423
@wenge4x423 4 жыл бұрын
Bro safi sana kuskia unaiongelea wenge yetu, Ila kuna baadhi ya taarifa umezichanganya kama vile majina ya album na nyimbo.
@BONGOLEO
@BONGOLEO 4 жыл бұрын
Ok nashkuru pia kwa kurekebisha,
@amirymbilimo448
@amirymbilimo448 4 жыл бұрын
Kweri naomba historia ya extra musc
@BONGOLEO
@BONGOLEO 4 жыл бұрын
Ondoa shaka
@eddymumena7157
@eddymumena7157 2 жыл бұрын
Acha uongo, unaudaganya ulimwengu. Historia ya wenge umeikosea sana machache tu ndio umeipatia.
@bjk5696
@bjk5696 6 ай бұрын
Rapa wa kwanza wa wenge alikua anaitwa manda ndo alie rap kwenye kala yi boing
@kaisarimbisso7579
@kaisarimbisso7579 4 жыл бұрын
Wenge walianza na Didier masela, Alain Makaba, werrason na jb Mpiana. Muda mfupi baadae jb akawaleta Adolphe Dominguez na Blaise bula. Hao 6 ndio wamiliki wa original wenge. Hao akina afande walikuja baadae. Akina Manda chante, baadae kabisa akina amelia lias demingongo
@saifsawafi2773
@saifsawafi2773 11 ай бұрын
Many of the story is not correct
@kaisarimbisso7579
@kaisarimbisso7579 4 жыл бұрын
Historia ya hizi bands usitoe mtaani na kuwaletea watu humu. Unajikosesha credibility na subscribers. Ni vizuri either kuongea na wahusika wenyewe au na watu wanawafahamu waliokuwa karibu nao kikazi au kwenye maisha. Ukikurupuka utakutana na wengi watakaokukosoa humu. Kama ya wenge musical bcbg imekushinda, sasa usiwaganganye watu kuhusu ya extra muzica bpbl zangul
@BONGOLEO
@BONGOLEO 4 жыл бұрын
Sawa nimekuelewa mkuu,
@simonshija2476
@simonshija2476 3 жыл бұрын
kwamba hayupo sahihi ama?
@paulchuwa1802
@paulchuwa1802 4 жыл бұрын
kaka mimi nimekuelewa sana
@BONGOLEO
@BONGOLEO 4 жыл бұрын
Thanx
@engyhy1985
@engyhy1985 4 жыл бұрын
Kidogo kuhusu Album ya Solo, haikua JB alianza bali ni Alain Makaba na wimbo ukiitwa PILE OU FACE, kisha baadae JB Mpiana akaja na hiyo Feux D'e La Amour. Ama mwanzoni alikua ni Didier Massela, Adolphe Dominguez, na Ngiama Makanda.
@godsonndamgoba8053
@godsonndamgoba8053 4 жыл бұрын
Kaka naona umesahau , bend ilyokua ya watoto wa matajiri iliitwa Wenge Paris na walliishi Paris
@BONGOLEO
@BONGOLEO 4 жыл бұрын
Nashkuru
@moodychanday9220
@moodychanday9220 4 жыл бұрын
Wenge Paris ilikuja baada ya Wenge Music kuvunjika
@kaisarimbisso7579
@kaisarimbisso7579 4 жыл бұрын
Wenge aile Paris hawakuwa watoto wa matajiri. Walikuwa ni wanamuziki waajiriwa kwenye wenge. Akina jb na werra walitumia fake passports kuelekea kufanya concert Paris. Wale wengine walifanikiwa na waliamua kufanya makazi kule. Sio matajiri kabisa, na bendi haipo tena
@kaisarimbisso7579
@kaisarimbisso7579 4 жыл бұрын
Aisee, jamaa unasimulia kama mastori ya mtaani. Unaongea kishabiki na uongo mwingi
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 Жыл бұрын
Kaka wewe ni MUONGO Historia ya Wenge haipo Ivo Adolph hakua mwanzilishi
@vijanafurniture1810
@vijanafurniture1810 4 жыл бұрын
Duh bro hii umechapia vingi mno alafu kama kitu hujui usiweke ushabiki
@BONGOLEO
@BONGOLEO 4 жыл бұрын
Nashukru kwa maoni
Mlevi aliyeweka  Mapatano na MUNGU kuikomboa Dunia
20:21
BONGO LEO
Рет қаралды 237
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Historia ya WENGE MUSICA part2 /Vita ya Werrason na Jb Mpiana
10:19
Intégralité du concert de Wenge Musica BCBG à Abidjan en 1997
51:56
Jkmstar Dsquared
Рет қаралды 323 М.
Historia ya Extra Musica Part (I)
8:53
El Classico Tv
Рет қаралды 688
Tafsiri nyimbo za Rumba kwa kiswahili Maria Pm Fally ipupa
24:46
The Real Life Tv
Рет қаралды 2 М.
#JB MPIANA RECTO-VERSO #KISWAHILI,   TAMU SAAAAAAANA
22:18
PRINCE BOCKSON (RUMBA KWA KISWAHILI)
Рет қаралды 10 М.
Willy Mpuntu
8:00
Wenge Musica Bcbg - Topic
Рет қаралды 343 М.
DIDIER MASELA - LA VRAIE HISTOIRE DE WENGE MUSICA
54:14
CANAL IMPACT
Рет қаралды 353 М.