Sheikh Mohammed issa wafundisha historia ya uwislam wapi sheikh nasi tuje tusome Wallahi Mashaallah
@mwanahussein5935 Жыл бұрын
Huyo msomaji wa Quran apo mwishini mashaa Allah
@nazraseiban1082 Жыл бұрын
Sheikh Mohammed Allah akuhifadhi, ulozungumza ni ukweli, ni hali yakuskitisha mno 😢
@JamalAufi-e7p Жыл бұрын
Allah bless sheikh
@zainulabidiendhulfikar7398 Жыл бұрын
Kweny Irani sheikh hpo umetupiga pande lkn kwasaudia mh mtihani mara mbili
@FeisalDoctor Жыл бұрын
Nakukubal sheikh
@ramaaman4020 Жыл бұрын
Mashallah
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Kutawala watu wasio wako ni ukoloni. Kila nchi iwe huru kwa watu wake wa asili. Watu wajitawale. Kama Roma kukalia Mashariki ya Kati ni kosa basi hata Iran kukalia Palestina ni kosa. Historia ni nzuri sana maana haichi pengo. Na msikilizaji afahamu kinachosimuliwa na dhana yake !!
@abushaddad989 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah ,
@makhanguwakhutu2408 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu Muhammad issa
@SaidAbaas-z6z Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 tanzania mhhhh
@al-hidayahonlinetv3447 Жыл бұрын
Naam al akhi kuna nini tz.
@MuzeiKasim Жыл бұрын
Shukran yaa sheikh
@mamlomamlo9064 Жыл бұрын
Zanzibar pia ni palestina
@mwanahussein5935 Жыл бұрын
ALLAH NI MKUBWA
@mahmudahmad5369 Жыл бұрын
Shukran shekh wetu mungu akulinde
@yusuphkibacha3063 Жыл бұрын
MashAlah
@thegreenkhidhir3705 Жыл бұрын
Dola ya kiislamu katika zama za sasa ni Taliban ambayo sio mwanachama wa UN na huko ndipo jeshi la kuikomboa Bayt al Maqdis litakapoibuka in shaa Allah.
@abduliabdallah9197 Жыл бұрын
Hapo shekheubuguzi wa dhehebu ya kidini hao saudia hamna kitu maana wao ndio marafiki wa usA