Mashaallah Sheikh Walid kumbe ulionekana zamani naona kabisa daraja yako ipo juu zaidi ya hapo, Allah azidi kukujaalia afya njema 🙏
@msarama5406 Жыл бұрын
Historia nzuri Mashaa Allah usiache kufundisha
@njamambwana37552 жыл бұрын
Nilikuwa najiuliza huyu Sheikh kwanini amekuwa na utulivu wa hekima,Kumbe amepitia kwenye mikono salama ya wazee masheikh magwiji Masha Allah!
@othumanlorenzo2608 күн бұрын
sana kabisa
@heritientuba6339 Жыл бұрын
kila la kheri shekhe Mpya wa dar es salaam kumbuka watu ni wanaafiki sifa nyingi kumbe wanakungoja uteleze kidogo waanze fitna zao Allah akuifadhi na Shari zote.
@msarama5406 Жыл бұрын
Yupo tofauti sana na Muhammad Idd na wote zao la Sheikh mkubwa ila huyu anautulivi mno anapita mulemule kwa sheikh Muhaamda Ayoub Allah amrehemu
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
Shekh mtulivu sana anahekima mungu akuongoze
@massoahussein81323 жыл бұрын
Mashallah..Mashallah..nilikuwa natamani sana kupata historia ya Shk Wangu nimpendae sana kwa ajili ya Allah...Shukran kwa Ya salaam TV.. mtuletee na masheikh wengine.
@misbahukhalifa32162 жыл бұрын
MashaAllah al habib ustadh Walid Mungu amuweke na amuhifadhi. Amesoma kwa wanazuoni wakubwa wacha Mungu masharifu wema. Nampenda sana yeye na elimu yake na darasa zake.. جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الحبيب الأستاذ وليد حفظك الله ورعاك. اللهم آمين يارب العالمين.
@akidawangara23233 жыл бұрын
Kweli ardhi imechukua watu wema. Hekima ya hao masheikh na kazi waliyofanya...haki yanamtoa mtu machozi. Mwenyezi Mungu amrehemu Sheikh Muhammad bin Ayubu, Sheikh Suleiman Mbwana, Sheikh Muhammad Al Burhan na wengine wote waliotangulia mbele ya haki.
@salamajuma2931 Жыл бұрын
Hakika sheikh Walid ni wazi mioyo ya wengi imemkubali. Mm nafc yangu moyo wangu unakitu kizito juu ya mapenzi juu yk katika njia ya Haki ya Mola wetu mlezi. Allah azidi kumbarik kwa kazi ya Allah ya kutuelimisha.
@aishaabdullah837 Жыл бұрын
Ameen
@twahamwela21582 жыл бұрын
Dah!!! Allah ambariki sana sheikh Walid kwa kweli anafanya Kazi kubwa Sana
@sheikysaguti12652 жыл бұрын
Maashaallah sheikh wald nimependa historia yako ama kila mmoja anahistoria yake
@AmadBell Жыл бұрын
Allah amzidishiye ilmu ma sha Allah
@jumakibula48512 жыл бұрын
MashaaALLAH Tanga , Lamu , Mombasa na Zanjibar Pamejaaliwa Elmu kubwa Sana , Allah ailinde miji hii , Aaameen
@mosimba467 Жыл бұрын
Naushoga ndio umejaa huko iombeeni miji yenu jamani
@cheka480 Жыл бұрын
@@mosimba467 Tunaomba usiku na mchana atuondoshee hilo tatizo ila Allah (s.w.t) anapokuletea mtihani anajua nini anachokifanya subra nayo ni ibadah. Na hivi vitu vinaumiza zaidi sehemu ambapo kuna deen au waumini wengi wa dini yetu. Tunamlingania Allah (s.w.t) kwa ndugu zetu huko walipo.
@allystar5406 Жыл бұрын
@@mosimba467 KITU USICHOJUA NI KWAMBA TANZANIA BARA NDIO INAONGOZA KWA IDADI YA MASHOGA KABISA KAFUATILIE TAKWIMU ZA MWAKIBE UTAELEWA ACHA CHUKI NA HIYO MIKOA YA ELIMU NA HATA ELIMU YA DUNIA MIKOA HIYO ILIKUWA YA KWANZA WATU WAKE KUSOMA
@mssfonlinetv2 жыл бұрын
Laa ilaaha illaallaah Allaah akupe umri mrefu tuzidi kunufaika AAMIIN na ampe kheri ktk kabri lake Babu yetu Shk Alhad, Nivosikia umemuombea umri mrefu nikashtuka nikatizama kumbe Mimi ndio nimechelew kuipata hii video, Mpk jana Babu yetu ndio anamwezi KABURINI.
@muslmlushototv48022 жыл бұрын
Shekh walid nakukubali sana Allah akupe umri mrfu
@khadejakhadeja9713 Жыл бұрын
Kumbe.wotee. wametokea. TAMTA mungu alekhem Mukhamed Ayyubu Maan shaallah shekh
@sheikysaguti12652 жыл бұрын
Allah awaraham masheikh zetu wamefanya makubwa waliandaa viwanda na malghafi zilizo safi naghali mungu amfanyie wepesi mlezi wetu sheikh muhammad bin Ayyuub na msheikh wengine Allahumma Aamiin
@jamaldinabubakary95072 жыл бұрын
أحسنت يا دكتور شيخ وليد .. حفظك الله ورحم الله والديْك يا رجل صالح بن رجل صالح
@fatyymohammed13782 жыл бұрын
Mashaa Allah Mungu azidi kukuongoza Shekhe wetu
@alijuma802 жыл бұрын
Maa shaa Allah 💖🌿🌿💖🌿💖🥀🥀🥀🥀
@ziadaskitchen5060 Жыл бұрын
Kumtafuta kugumu Allah awafanyie wepesi mashekh zetu
@suleiman5257 Жыл бұрын
MashaAllah Twaomba aendele kusoma Kwa masheikhe wakumbwa wanaotambulika hasa wasahi waliyotoka njee Kwakuwa zamani ilikuwa ukisoma kidogo umekuwa sheikh
@fatmacheshyathman86842 жыл бұрын
MaashaAllah sheikh Walid Allah akuhifadhi na afya njema.
@jumamohammed5378 Жыл бұрын
MashaAllah mashaAllah
@eshasalim54963 жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH
@jihrezally3 жыл бұрын
vizuri sana akhy tunaomba tuwafuatilie na mashekhe wengine
@ziadaskitchen5060 Жыл бұрын
Mashaallah
@abdulrahmanmohamed87892 жыл бұрын
Kazi nzuri maa shaa Allah. Ingependeza kama suala la kusoma lingepewa muda mkubwa. K.m angeulizwa jumatano ya mwanzo alianza muda gani? Nani alimuanzisha? Alisomeshwa nini na akaendelea kwa utaratibu upi? Uzito gani aliupata wakati anasoma? Marafiki zake walikuwa wepi? Walifanya murajaa' vipi? Mikasa aikumbukayo wakati wa kusoma; mambo ya kufurahisha; mambo asiyoweza kuyasahau wakati yuko chuoni. Walimu wake na mwalimu yupi kamsomesha nini? Kwa sasa anaendelea kusoma kwa nani na kwa utaratibu gani n.k Cha muhimu mpate simulizi iliyo kamili na itakayomchukuwa mtoto au mwanafunzi katika 'Safari ya kutafuta elimu'.
@yaasalaamonline53002 жыл бұрын
Inshallah no.2 inskuja 🙏
@jumabeja956 Жыл бұрын
Mtangazaji muhoji hayo maswali aliyoeleza al akh Hapo juu
@abdallahmkomboz26793 жыл бұрын
Sauti kwa mbali hvii!! Tunamuomba naye Shekh samir atupe historia yake
@jumaally62773 жыл бұрын
yaa salaam
@piusphilip3072 жыл бұрын
I wish Mwaipopo angepata japo tone la hekima ya shekhe WALIID BIN SHEKHE ALHAJI OMARY
@khalifaallyibnadam99833 жыл бұрын
ALHAMDULILLAAAH ALHAMDULILLAAH ALHAMDULILLAAH
@rajabually86592 жыл бұрын
Maa shaa allaah historia nzuri sana
@azizasana93132 жыл бұрын
Mashllaaleh
@jumaally62773 жыл бұрын
yaa saa laam
@ibrahimually11963 жыл бұрын
يالسلام سلنا والمسلمين
@jamalishoo38023 жыл бұрын
يا سلام
@Salimajeeb3 жыл бұрын
Yaa salaam yaa salaam
@salehemohamed29373 жыл бұрын
MashAllah
@uthmanihimbawe52443 жыл бұрын
Maaasha Allah
@mohamedabubakar98522 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah
@hamissaid3012 Жыл бұрын
Mashallah
@mussaissa67962 жыл бұрын
Hizi ndizo elimu na hivi ndivyo zinavyopatikana bila shaka
@saidiiddi95913 жыл бұрын
MashaAll MashaAll
@mursalmrisho15383 жыл бұрын
Ma sha Allah
@Fredrickmarinya2 жыл бұрын
Asalaam aleiku Ustadh Abdulhaliim naomba kufahamu kabla Mwalimu Imamu Sheikh Walid hajaenda Lamu kusoma alipitia Kwa Sheikh yupi na yupi jijini Dar Es Salaam akisoma dini.
@sadambakari97563 жыл бұрын
Mashaallakh
@wazirabbasy16523 жыл бұрын
yaa ssalaaam
@twahirmussa44213 жыл бұрын
Yaa salaam
@hassanheresiwambura83413 жыл бұрын
Mashallah
@omaryally14823 жыл бұрын
Ya salaaam
@Salimajeeb3 жыл бұрын
Umeuwa mzee💯✍️
@SHECK1772 жыл бұрын
Ufwate njia hizo alhabiib
@sheikhabdulmajidabdallah96253 жыл бұрын
Maashallah
@wazirimwanyoka79493 жыл бұрын
YAA SALAAM
@KassimMohammed-u5x6 ай бұрын
Kama mmeenda nyumbani kwake basi sio mgeni wenu ni mwenyeji wenu
Hakika miongoni mwa sirri za kuyafikia mafaanikio pia ni zile fat'ha za wale masheikh. Na karama za sheikh Muhammad Ayoub mapema ulizishuudia
@assayyidaydaruus1813 жыл бұрын
Mama
@yasiniselemani39172 жыл бұрын
hivi mbona natafuta kuona historia ya shekhe muhamadi ayubu na shekhe sulaymani mbwana
@mashaurimvungi22322 жыл бұрын
Wachieni ndevu mnanyoa O suna ya nani?
@yusufmohamed88743 жыл бұрын
JITAHIDI UTULETEE MASHEIKH WOTE... KIPOZEO, KOMBO FUNDI.. NK
@athumanimakorongo2463 жыл бұрын
Tunaomba na mashekh wengine lkn pia tunaomba na qaswiida
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Madhehebu ya Kitwariqa ni Madhehebu ya Bidaa na Madhara yake yanaonekana Masheikh wengi wa Kitwariqa wameshindwa kutofautisha baina ya Sunna na Mambo ya Uzushi ktk Dini ila Allah atuhurumie na atusamehe tuu
@hafidhseif1686 Жыл бұрын
Madhehebu Ya Kitwariqa Ndio Yapi Mwalimu? Na Madhehebu Yasio Ya Bidaa Ni Nini?
@allystar5406 Жыл бұрын
SHEKHE WAKO WA SUNNA FUATILIA HISTORIA YAKO AMESOMA KWA SHEKHE MOHAMAD BIN AYOUB
@shabanimussa42692 ай бұрын
ninani kakuuliza wewe wahabi?
@barackmalitne68702 жыл бұрын
Huyu kasoma elimu yakizushi bidaa hana ilim yakisheriya niwazushi wala haifai kusoma kwahawa niwatu wa bidaa.
@hafidhseif1686 Жыл бұрын
Elimu Ya Kizushi Ndio Elimu Gani? Au Fanni Gani Hio Mwalimu? 👂 Lete Naswi Inayokataza Kusoma Kwake? Na Nani Ambaye Naswi Iseme Tukasome Kwake ?