HISTORIA YA WAARABU NA ISRAEL

  Рет қаралды 16,625

Mzee wa upako

Mzee wa upako

Күн бұрын

Пікірлер: 93
@JacobSiame-k6l
@JacobSiame-k6l Жыл бұрын
Ubarkiwesana mcungaji
@HusseinSalehe-gy3px
@HusseinSalehe-gy3px Жыл бұрын
Mashaaallah mungu akuweke hakika maandiko ayana tofaut sana na Quran mungu akubaliki mchungaji
@pascalkiwelu8989
@pascalkiwelu8989 Жыл бұрын
Kweki dini zinapaswa ziwe na walimu wa historia .nimepata historis nzuri.
@chrishinaphilimon7918
@chrishinaphilimon7918 3 ай бұрын
Nimebarikiwa Sana Mzee wa upako Uishi sana..Kwann sasa wayahudi walimkataa Yesu? Na kukataa ukristo?
@NATACIARAPHAEL-iz8kr
@NATACIARAPHAEL-iz8kr Жыл бұрын
Mwanzo 17:20 Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.
@Eunice71
@Eunice71 Жыл бұрын
Mchungaji umeeleza historia nyingi sana ya waarabu, waajemi, mesopotamia nk Vipi waafrika nafasi yao iko wapi manake hata wewe ni mwafrika
@ramadhaniseifuledi513
@ramadhaniseifuledi513 Жыл бұрын
Mzee wa upako nakuelewa sana ila kuna watu wazito kujiongeza awataki kufikili hatari sana kuelimisha watu wa namna hii
@mwanamutemi
@mwanamutemi Жыл бұрын
Sasa mtafutie Dr Sule Kwa KZbin usikie Historia mzigo zaidi
@MuuYascohy-oc7os
@MuuYascohy-oc7os 11 ай бұрын
​@@mwanamutemiWe kumbe unachuki sasa alichokiongea uyu na Dr.sule kinautofauti gan?? Dr.sule kaeleza Palestina Ibrahim kawakuta wayebusi,waamori,wakaanani,wahiti kaelezea ivyo ivyo na kasema kbsa kihistoria Mayahudi kwao ni kule kipande cha Telaaviv na Jerusalema kaweka wazi sema ww unachuki zako tu na Dr.sule na umeshamezeshwa matango pori kutoka kanisani kwako unaanza kumtoa makosa Dr.sule uyo mzee wa upako mwenyewe dr.sule anamuheshimu
@mwanamutemi
@mwanamutemi 11 ай бұрын
@@MuuYascohy-oc7os wanishangaza ukiongelea chuki ! Ni muhimu hujifunza kusoma mchango bila kutia hisia zako ndani ya mchango wa mtu mwengine, UTACHEKESHA. Bora unyamaze ama uchangie kwenye huo mchango maoni yako. Mimi ni Muislamu Alhamdullilah. Umenipeleka kanisani bure !! Pili sina chuki na sioni wapinimeonyesha chuki, hichin ni kikao cha mjadala wa hotuba ya mzee wa upako, TUNACHANGIA MAONI TU BAADA YA KUMSIKIZA.
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 Жыл бұрын
Wana agano na Mungu wa baba yao Ibrahimu! Wakikosea wakitubu Mungu anakumbuka agano lake anasamehe anawarejesha upya! Ni jambo la kibiblia , ngumu kumeza hili
@Simonikabalika
@Simonikabalika Жыл бұрын
Nakupata mzee wangu tufundishe
@huseynmaitaya9002
@huseynmaitaya9002 Жыл бұрын
Sema akupoteze sio akufundishe , anasema sisi sote twaenda kwaMungu ambae hatujawahi kumuona , ila nyie wakiristo si mmekwisha Muona Mungu wenu ? Mbona hamna msimamo au Yesu alikua haonekani bali hata wakiristo wazama hizi za sayansi na tecnologia, mna muona kwenye runinga zenu, na mnaamini ndie ndio mkaweka masanamu yake na mama wa Mungu wenu katika milango ya makanisa yenu kila mnapo ingia mnayasujudia
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 Жыл бұрын
@@huseynmaitaya9002 kuropoka ndo kipaji chako ndo hata wewe meenyewe ujui unaongea nini
@Simonikabalika
@Simonikabalika Жыл бұрын
Huwezi kumuona Mungu hakika utakufa,,,kwani yesu alisema yeye ni Mungu? Alikuwa mpeleka ujumbe wa Mungu,,,,kwani wewe usomi ujumbe wake?
@RashidiBirukundi
@RashidiBirukundi 5 ай бұрын
Hujasema kuhusu wayahudi walio sinagogi la shetani ufunuo 9:3
@gracekisaka8461
@gracekisaka8461 Жыл бұрын
Waamaleki,,waagagi..hao Mtumishi ni wapalestina au wayahudi
@salummohd4971
@salummohd4971 Жыл бұрын
Mnalijua hilo jipendekpezeni tu
@HusseinSalehe-gy3px
@HusseinSalehe-gy3px Жыл бұрын
Wapalestina Awana mungu
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Wayahudi hawana mungu
@boscomwangosi1042
@boscomwangosi1042 Жыл бұрын
Oko sawa kabisa
@salummohd4971
@salummohd4971 Жыл бұрын
Jana sio leo
@alihaidary4143
@alihaidary4143 Жыл бұрын
Nayamza ndugu yangu
@neemamajana3078
@neemamajana3078 Жыл бұрын
Baba mm nilikupenda sana hapo nyuma, kwa jinsi ulivyokuwaga una uwezo mkubwa wa kuchambua biblia na kuifahamu sana. Ulinishawushi sana nikamuomba Mungu anipe kuifahamu biblia. Nililazimika kumuomba Mungu sana, naye alinishushia biblia kichwani mwangu kama ilivyo. Lakini chanzo kilikuwa ni ww kwa kujua kuichambua biblia. Lakini siku hizi Baba umepoteza dira, mara utumie maji, mara mafuta nk.... Baba rudi kwenye line yako usipoteze mm nakupenda na Mungu akusaidie.
@AliHamad-qy9ks
@AliHamad-qy9ks Жыл бұрын
Leo humpendi kwa sababu amesema kweli! Elewa kuwa asili ya dini hizi mbili
@AliHamad-qy9ks
@AliHamad-qy9ks Жыл бұрын
Asili ya dini ya YESU na Muhammad SAW ni moja tu! Baba wa IMANI IBRAHIM!! BABA yuko vizuri! Hana shida na yuko wazi ndo maana anasema akili ya kuchangiwa ongeza na ya kwako!
@frankjohn8706
@frankjohn8706 Жыл бұрын
​@@AliHamad-qy9ksYESU Hana dini .awe na dini ili apapase kumwabudu nani maana dini ni kutembea kweli lkn ni njia isio na Nuru. Ndiposa YESU ni Nuru akiingia moyoni mwa mtu inakua Nuru kwa mtu na atatembea nuruni
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
@@AliHamad-qy9ks dini zote asili yake ni uslaam NA mtume kabla ya mohamed issa aliwaambia kundi lake kwamba kuna mtume atakuja jina lake amed yaani mohamed kipenzi cha mungu akija huo mohamed afateni wayahudi alikasirika eti kwanini awe mwarabu wakati wayahudi wengi wamesilimu NA wengi walikatah NA hali wanajua kwamba mohamed ni mtume NA gruani emeteremshwa NA jibril huko makaa hali ya kuwa hajui kusoma wala kuandika
@jamesmushi2552
@jamesmushi2552 Жыл бұрын
Upo sawa
@omaar5693
@omaar5693 Жыл бұрын
AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO... 👆👆👆👆👆 mwalimu inabidi iyo uifanye kombe watoto wako wanywe hawajiongezi hata chembe..
@salummohd4971
@salummohd4971 Жыл бұрын
Wazamo labda hata light yaoo kizaramo
@aliymwazoa3051
@aliymwazoa3051 Жыл бұрын
Wanadamu na viumbe wote ndio watafute ukaribu na urafiki na muumbaji wao.kwani mola kwake viumbe wake wote anawapenda sana nakuwahurumia wote.yeye hana mtoto hana mwenza wala uhitaji wowote kutoka kwa yoyote.kwake wote ni sawa na kipenzi kwake niyule anaejipendekeza kwake kwa kumuabudu yeye pekee.
@frankjohn8706
@frankjohn8706 Жыл бұрын
Uwe na andiko la hoja yako
@salummohd4971
@salummohd4971 Жыл бұрын
Mazapuni tu
@salummohd4971
@salummohd4971 Жыл бұрын
Uwongo huo
@joelmboya7483
@joelmboya7483 Жыл бұрын
Je! Na sisi waafrika asili yetu ni wapi kibiblia
@maulidimpili698
@maulidimpili698 Жыл бұрын
Palestine watashinda hii vita kwa mujib wa maandiko
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Waarab wanapigana NA amerka sio NA wayahudi engekuwa wayahudi peke yao ah wangilipgwa kwa masaa mawili tu
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 Жыл бұрын
Ww hujui kitu kabisa waraabu wa sio kua na tekinologia wampige Israel aliye jaa marifa ya tekinologia hiyo marekani na nchi kubwa za ulaya Zina ongozwa waisrael,vyombo vyote vikubwa vya habar vina milikiwa na waisrael mfumo wa mabenki wote ni wao
@mtumishi4094
@mtumishi4094 Жыл бұрын
Hv kweli hamuelewi tu
@neemamajana3078
@neemamajana3078 Жыл бұрын
Lakini Baba ukumbuke hawa Watu wana nguvu ya Kimungu ndani yao. Wao ni mboni ya jicho la Mungu, hakuna Mtu wa kuwaekea vikwazo akawa salama. Bado wakiwekewa vikwazo ni tatizo kwa wale watakao weka vikwazo, kwa sababu Mungu anawataza sana Wayahudi zaidi ya chochote.
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
mpumbavu auna akiri wewe nyau
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Wayahudi waliolaaniwa NA walio chukiwa NA mungu aliwagauza nyani baada ya kua binadamu
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Wayahudi wamechukiwa NA kulaaniwa NA mungu ni wauaji toka zamani waliuwa mitume wa mungu wayahudi ni wabaya hawana huruma wakatili mno roho ya kiyahudi waongo wadanganyifu hawana ahadi wanafiki NA wewe usiwe roho yako mbaya kama myahudi
@MuuYascohy-oc7os
@MuuYascohy-oc7os 11 ай бұрын
Mpumbavu mkubwa ww fuvu lako limemeza matope kichwani zero kbsa kwa iyo unajiona wayahudi wanautaka ukristo ?? wayahud hakutqki ww unajipendekeza kenge sana ww hujui ata unachokiongea
@rahmasalum1317
@rahmasalum1317 Жыл бұрын
Anaongea ukweli ila wengine hawautaki
@MuuYascohy-oc7os
@MuuYascohy-oc7os 11 ай бұрын
Sasa unasema tu kwa munibu wa biblia na unatoa hukumu na wanaosema kwa mujibu wa Quran je ?? zungumza uhalisia
@omaar5693
@omaar5693 Жыл бұрын
mwalimu unasema ule ni mji wa daudi lakini Daudi mwenyewe si alivamia na akamwamwaga damu??? sasa walouwawa ni akina nani, na si ndio wenye haki?
@kingsolomoni-xp3dv
@kingsolomoni-xp3dv Жыл бұрын
Wewe upo upande gani? Umkristo au myahudi maana umekiri kuwa baraka zipo kwa wayaud na mungu ni wa wayahudi sasa huyu mungu kristo au huyu mungu wa wakristo niyupi au wayahudi wanakosea
@Harrison-zh9sb
@Harrison-zh9sb Жыл бұрын
Mungu wawayahudi ndio Mungu wawakristo wakristo na wayahudi wanaamini na wanaabudu Mungu mmoja tofauti inakuja kwa yesu tu
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Yaani baada ya mamilion ya miyaka wanakunuka. Leo kwamba hii ni nchi yao ndugu yangu hao wahudi walitaka kuwapa uganda wayahudi walikatah ndio wakapewa phalastina NA sasa wapalastina wanapigania uhuru wao NA wengreza ndio sababu ya blaa sasa esrsil enalindwa NA amerca sio peke yake
@addamgeorgeburton1673
@addamgeorgeburton1673 Жыл бұрын
Umelewaa wewee mpaka biblia inakukataaa iyo biblia kamuulize vizur jedov akwambie iyo inshu ilivyochakachuliwa
@mwanamutemi
@mwanamutemi Жыл бұрын
Mazungumzo yako mazuri Lakini je, si hizo habari unamkashifu Mungu kwamba amekubali watu kuuliwa na kuuwa? Pili umeongelea kuzaa na waso wayahudi Je hawa walotoka Ulaya baada ya 1947 wote hawa ni machotara wa makabila mengi SI LAANA HIYO ? Baada ya Musa kushuka kutoka Mlimani akawakuta watu wake wakiabudu sanamu la Ng'ombe baadhi ya kizazi chake kuasi na wakapotea na laana.Jengine ni kizazi cha Esau aliyeoa upande wa Baba yake Mkubwa Ishmael, kwa hilo kwa Ishmael kuna kizazi cha Abraham safi. Vile vile hili neno la Ibrahimu kuwa uzao wake ni upande mmoja tu wa Isaka imesemwa wapi ?
@mhojahlazarus6406
@mhojahlazarus6406 Жыл бұрын
Pastor
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Жыл бұрын
Ukisema waliotoka Ulaya Ni na machotara je waliotoka Misri baada ya miaka 400 ya kuishi utumwani misri unawaitaje,? Wayahudi damu yao haipotei bint wa kiyahudi akiolewa na mtu asiye Myahudi Bado atatambulika Kama Myahudi vilevile kijana wa kiume akioa mke asiye Myahudi akazaa naye mtoto Bado mtoto huyu atakuwa myahudi.yaani vyovyote ufanyavyo mtoto atakuwa myahudi
@mwanamutemi
@mwanamutemi Жыл бұрын
@@samsonhamery3809 Wonderful ! kama wao wamejipanga nasaba itokamane na mama zao pia, mbona basi uzao wa Ibrahimu kutoka kwa Ismaili wanautweza, ili hali Ismaili ni mwana wa kwanza wa Ibrahimu ambae baraka zake ziko mara mbili, ahadi ya Mungu na Mzee Ibrahimu ya kizazi chake na ahadi ya Hagar mamake Ismaili na Mungu ?
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Жыл бұрын
@@mwanamutemi Una maana msukuma ni kosa kuoana na mngoni maana watazaa chotara? Au una maana chotara ni kwa Watu weupe tu? Je hujui kuna chotara katika mimea,pia kuna chotara katika wanyama na ndege. Je katika Dini yako ya Kiislamu Waislamu waliochanganya damu ni haramu? Je Mashehe ambao baba ni mwarabu mama ni mhindi tuwaite wana wa haramu? Je unajua Ishimaili ni Chotara kati ya Mwarabu na Mmisri? Acha chuki zisizo na Tija Mwenyezi Mungu ndiye aliyewaumba binadamu wote.awe chotara asiwe chotara wote viumbe vya Mungu.Sisi wabara tumeoana na wapemba je watoto hao machotara ni haramu kwa mtizamo wako?
@neemamajana3078
@neemamajana3078 Жыл бұрын
Mm nasema, ni bora Waparestina wapigwe sana, kwa sababu ni wachokozi. Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kumchokoza Muyahudi, hali ya kuwa Wayahudi nguvu yao inatoka kwa Mungu.
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
razima useme ivyo kwasababu aujuwi kinacho enderea uriza ufundishwe
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
ao ao warimtundika mungu wako msarabani
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Wayahudi waliolaaniwa NA mungu soma surat alfatha
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Жыл бұрын
Hakuna mpalestina alie anza uchokozi, ni Hamas, na Hamas ndo muisrael, hujui chochote wewe kuhusu hili bora unyamaze!sasa kama hujui Hamas baba yake ni Netanyahu,palestrina hana jeshi,acha kushabikia vitu hujui
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Nguvu yao inatoka kwa amerka sio kwa mungu mungu aliwalani NA aliwachukia soma gruani surat alfatha mulize mslaam ye yote watakufahimisha wapalastina wanataka uhuru wao kamili arthi yao emetekwa kijeshi kwa misada ya amerca NA ungereza wayahudi hawana nguvu bila ya amrika ingelikua peke yake ah haichkuwi wiki moja wewe unacheza NA hamasi nini hao hawaogopi kufa kaka
@hussenaaghe2760
@hussenaaghe2760 Жыл бұрын
Hapo huna unasema haki bado mungu njia haki sababu mayahudi haufamu uk into na yesu hambamu na siku ya jumapili hapo umechemka kama wanasemu wa na akili mbona hachukui nchi mwenye akili hàpigani kama ndio unakili Israel maana umepata waumi kwa mabavu ukiunga mkono Israel ndio utajua ni adui wakisto umesema kumbe unafanamu asande maana waislamu na wakristo watambuana
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 Жыл бұрын
Natakujuwa baada Tito kubomowa hekulu Ninani alilijenga Tena?
@manoahjoseph5283
@manoahjoseph5283 Жыл бұрын
Ndo had leo
@youngcee3145
@youngcee3145 Жыл бұрын
Pasta uchambuzi wako sijauelewa na Bado pia sijaona sababu ya ww kutumia zaid ya masaa 2..nachokiona pia bado hata historian ya biblia hujaielewa vzr sijiu hyo mavyuooo mmaenda kusoma nn ....ebu tutoe mihemko tuzungumz ukweri
@omaar5693
@omaar5693 Жыл бұрын
wewe hujui huyu jamaa amesoma mengi na anajua ukweli ulipo ila hajajiskia tu kuwa muislamu
@Alexthadey-lm3ju
@Alexthadey-lm3ju Жыл бұрын
@@omaar5693 umemuelewa hivyo kabisa kama mtihani ni ziro kabisa
@omaar5693
@omaar5693 Жыл бұрын
@@Alexthadey-lm3ju mi sikatai zero, mfano: somo la USHOGA swali linasema Ndoa ya jinsia 1 ni Halali jibu ndio au sio... mi najibu (SIO) potelea mbali na iyo ZERO... huo mfano tu... we endelea kugawa maZERO
@Alexthadey-lm3ju
@Alexthadey-lm3ju Жыл бұрын
@@omaar5693 kweli we ni kweli sasa hiyo ndio maada?
@alihaidary4143
@alihaidary4143 Жыл бұрын
Hahahahha hapo umechemkaa
@desderiushaule4264
@desderiushaule4264 Жыл бұрын
Mchungaji wangu mbona unaongea kama umesha kunywa?
@huseynmaitaya9002
@huseynmaitaya9002 Жыл бұрын
Bali ni zaidi ya kunywa, wewe wafanya mchezo na upotevu
@huseynmaitaya9002
@huseynmaitaya9002 Жыл бұрын
Huyu mtu hajui hata kitu , wasudia ndio warabu kwani saudia haijui imenza mwaka upi sasa saudi si la juzi kabisa , haya tifanye , kua ndivyo mtume wetu swala na salami ziwe juu yake ni msaudi 😂😂😂😂
@huseynmaitaya9002
@huseynmaitaya9002 Жыл бұрын
Kwanzia leo msiwangalie wakina joti (wachekeshaji) mtizameni tu huyu mtu mtacheka mpaka mwisho, ana sema eti waarabu kwa mujibu wa biblia , ni wasaudi, Na wasaudi hawa hata miaka mia sita tangu walipo itwa wasaudi, maana yake biblia ni juzi juzi tu
@mkude
@mkude Жыл бұрын
​@@huseynmaitaya9002kwani wasaudia kina nani?
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 Жыл бұрын
Kumbe Masanamu MITUME IMEKATAA ?? SASA KWANINI MASANAMU YANAPIGIWA MAGOTI WAKATI YAMEKATAZWA?? MASANAMU HAYAONGEI HATA MTOTO ANAWEZA KUYAPIGA LAKINI YANAPIGIWA MAGOTI ABRAHAM ALIYACHOMA MOTO
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Maanayake ni nini je huyo anayeeleza hapo anapigia magoti sanamu ? acha unafiki
@RamadhanKiseto-ry6vj
@RamadhanKiseto-ry6vj Жыл бұрын
Kwani Qibla si imeelekea kwenye sanamu ya Jiwe pale macca na watu wote wanaoitwa waislam duniani kote wanakasujud kale kajumba keusi kaliko na sanamu la jiwe?
@sembamaneke6553
@sembamaneke6553 Жыл бұрын
Safi sanaaa kwa kiasi Cha elimu ya kidunia.
HISTORIA YA WAARABU NA ISRAEL
3:34:15
Mzee wa upako
Рет қаралды 63 М.
#MZEE WA UPAKO UWEZO WA MTU WA MUNGU SAMSONI MBELE YA WAFILISTI 1
59:27
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 34 МЛН
APOCALYPTO 2006 FULL MOVIE SUB INDO..
2:18:22
Sheva.05
Рет қаралды 13 МЛН
HEKIMA ZA MFALME SELEMANI
55:28
Mzee wa upako
Рет қаралды 22 М.
MAPENZI KATI YA MAJINI NA BINAADAMU |
22:04
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 10 М.
ufafanuzi wa chapa ya 666 na habari za ayubu mzee wa upako
1:01:38
Mzee wa upako
Рет қаралды 17 М.
NEBUKADREZA MTAWALA WA DOLA YA BABELI  .
58:16
Mzee wa upako
Рет қаралды 15 М.
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН