Acha kuwapa watu zambi je unataka kuniambia hizo like zako na views ni sawa???? Acha kutupa zambi za namna hiyo....Futa hii comment hakika utaulizwa ulikuwa na maana gani KUANDIKA MANENO HAYO?
@sifamugwaneza87742 жыл бұрын
Amen Amen Amen nina imani kua Mungu yupo nakilasiku namuona kupitia matendo na makuu yake 🙏🙏kama unaamini kama mimi like hap jmn
@eddy_dejongeddie14312 жыл бұрын
Kama unaamini Mungu yupo nipe like na weka neno Ameni🙏🙏
@blandinemasilya9889 Жыл бұрын
Amina
@amabokochaloo-ql9mk Жыл бұрын
Mungu yupo milele ndio mkuu wa wakuu mfalme wa waflme mungu mkuu
@ZENIZER9797 Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN
@stellazawadi1088 Жыл бұрын
Ameni
@josephnjoroge153311 ай бұрын
Amen
@bensonbarnaba14312 жыл бұрын
KAMA UNAAMINI YESU NI MWANA WA MUNGU SIO BINADAMU , Gonga like👍
@blandinemasilya9889 Жыл бұрын
Ndiyo! Na amini ivo kbs
@kennethjunior6071 Жыл бұрын
Yesu ndio tegemeo langu
@rayyanothumanmohammed82619 ай бұрын
Hata mm na ww pia ni mwana wa mungu kwa mujibu na maneno ya Yesu Yohana 20:17
@saddybrezzy97776 ай бұрын
Mungu akusamehe
@InnocentMikhailo-k2b5 ай бұрын
❤
@mamuoman78492 жыл бұрын
Kama unaamini Yesu ni nabii toa like tujuane waumini wa kweli👍
@danielmlwafu43802 жыл бұрын
Unabii unatoka kwake
@naweytagawa2 жыл бұрын
Na'am masii Issa bin mariam
@sumayimahule27482 жыл бұрын
Yesu mwana wa Mungu aliye hai
@mamuoman78492 жыл бұрын
@@sumayimahule2748 sisi waislam tunajua kama Yesu hayupo hai Alishapaa mbinguni long time... Uhai wake ni upi ndug wakat mnasema aliuliwa msalabani
@simeonmimuofjudahfirstmedia2 жыл бұрын
He is not just a prophet ,,,but almasihi
@issamakau58412 жыл бұрын
Hata ikiwa ni ukweli Yesu aliwahi kusafiri nchi hizo ila sio kwa ajili ya kutafuta elimu sababu tayari alikuwa mwenye upeo wa juu aliojaaliwa na Mungu hata alipokuwa mchanga alipomtetea Mama yake kwenye shutma za uzinzi...Mungu ndiye aliye mkhiari na kumpa elimu hiyo angali mtoto na hivyo kwenye usafiri aloufanya,Mungu alikuwa yuathibitisha ubinadamu wake na na si eti alikuwa yuaitafuta elimu...Naomba upafanyie research zaidi hapo ili usijejipata ukipotosha wengi kwa kupitia vitabu vya watu wasomjua Mungu na kuwafanya kama mashahidi wa Historia ya Yesu... Shukran kwa research Ila usiegemee sana vitabu walivyoandika watu unaposimulia visa vya Manabii
@yesuyuhaipectv91762 жыл бұрын
Ninashukuru sana kwa ushauri uliotoa ( kwa hiyo anataka kusema Yesu alisomea kutembea juu ya maji.)
@sleeprelaxation84312 жыл бұрын
hata sasa hivi tunaona wasomi wakubwa hapa duniani bado wanaitafuta elimu, unapo zani wajua ndipo unajikuta ujui, pia hakuna sehemu inayo sema alikua akitafuta elimu tu badi alikuwa akiwafundisha pia, umelewa?
@castorymagehema84292 жыл бұрын
Nimependa ulicho andika
@Markhomestz2 жыл бұрын
Ukimsikiliza vizuri Kwanza hajabase na nadharia yoyote Pili hajasema alikuwa anajifunza bali alikuwa anawachallenge na kila alipo pita wanashangazwa na upeo wake
@jacksonsimbibalegana77582 жыл бұрын
@@sleeprelaxation8431 😀
@richardkonzo57172 жыл бұрын
Ushauri wangu kwako Jamal! Achana na story za Yesu kwenye story book. Waachie Theologians, na wahubiri.zungumzia story zingine kabisa.
@dostovan51422 жыл бұрын
Yes u are right, watu wengi ana wapotosha
@Ezammwakisambwe Жыл бұрын
Anahitaji ashuhudiwe Mana hajui kilicho Cha roho hakitafsiriki kilimwengu/kimwili fixion story
@AlkadoNkundwe-wb3of10 ай бұрын
Waoga wa kweli,, muovu huogopa kweli
@selemanmaganga-le4zg5 ай бұрын
Kwanini unaogopa changamoto? Hata yeye ajataka kwenda deep kwakukataa mambo kama haya usemayo wewe, Ila soma saana ufunuliwe.
@IsackIsacksamson4 ай бұрын
Wala theologia hawana majibu halisi kumzungumzia Yesu kristo Yesu ni spiritual all of us no one will understand him except who he believe spiritually Yesu hamilikiwi na wanatheologia ni wa kila mtu atakaye amin kuwa Yeye ni Bwana
@thevoiceofdeliverance60612 жыл бұрын
Yesu alizaliwa kwa uweza wa Roho mtakatifu aliongozwa na Roho mtakatifu alifundishwa kila kitu na Roho mtakatifu na mwisho wa yote Yeye Ni Mungu ambae alijuwa MAMBO yote ndiyo maana katika umri mdogo miaka kumi na miwili aliwashangaza viongozi wa Dini waandishi na wanazuoni kwa akiri kubwa alikyokuwa nayo.
@kilalasalu3612 жыл бұрын
Nadhani bado upo gizani
@msangiramadhan19112 жыл бұрын
Kwaiyo mungu alikuwa anafundishwa
@mastaplan2 жыл бұрын
Hiyo miaka mingine alikuwa wapi? Ila Issa ni mtu poa sana
@naahnicky46822 жыл бұрын
@@kilalasalu361 ww ndo upo gizan
@dostovan51422 жыл бұрын
@@kilalasalu361 wewe na Jamal wenu ndo mpo gizani
@tranqyiltranqyil7822 Жыл бұрын
Eee Mungu wangu uliye hai,E Yesu kristo ee Roho mtakatifu ikikupendeza funua neema yako anaesoma na ataesoma ushuhuda wangu akujue na akupokee,Amen
@saddybrezzy97776 ай бұрын
Pole sana NA mungu akusameh
@T.B.JOSHUALEGACYLIVESON30yrs2 жыл бұрын
Nachoamini YESU NI MWANA WA MUNGU❤️😍
@Baharia922 жыл бұрын
Wewe umesema yeye muhusika anasema ni mwana wa adamu
@philipojohn1912 жыл бұрын
😍😍
@violetsangamysongs18152 жыл бұрын
Yesu ni mwana wa Mungu aliyejuu
@flova7022 Жыл бұрын
@@Baharia92 wewe unaamini nini... mbili Jamal ni jina la kikristu au kiislam. ...povu ruksa
@Pedeshee01 Жыл бұрын
@@flova7022 jamal ni jina lenye asili ya kiarabu,Kuna majina yenye asili ya kiarabu lakini wenyewe siyo waislam ukitaka kujua hili labda fuatilia nchi za mashariki ya kati mfano Lebanon,Siria,Palestina na Iraq.Kuhusu hilo la Issa(yesu)kuwa mtoto wa Mungu ni suala la imani ya kikristo ambalo siwezi kuliingilia.Kwa sababu naheshimu imani ya wengine,Kwa sisi Waislam tunaamini vingine kuhusu yesu na Kwa upande wa wakristo pia wanaamini vyengine kuhusu yesu(Issah)mlengwa ni mmoja huyo.Kwa waislam pia Tunamuamini yesu(Issah) kama nabii wake na ni moja ya nguzo ya imani ya kwenye uislam,zipo sita mojawapo ni hiyo kuamini mitume na manabii wake,Ukisema mimi yesu(issah)simtak lakini Mussa(moses) ama wengine nawataka automatical utakua umetoka kwenye uislam.Hatubishani ni kupeana tu ama kufahamishana.Mwisho sisi ni watanzania kumkashifu mtu kwa imani yake siyo miongoni mwa jadi ama asili yetu,muasisi wa taifa letu Nyerere alitujenga tuishi kwa umoja mpagani mkristo,muislam na wengine ndiyo maana tumeishi kwa amani mpaka leo.Sema kuna baadhi tu wapo kwenye kuhatarisha amani kama tuonavyo nchi nyengine za wenzetu.🙏🙏🙏🙏
@josephatsebastian69102 жыл бұрын
Wajumbe leo na mm nimewah nipen like zangu wajumbe
@rehemajohn35532 жыл бұрын
Sawa bhn
@allydavy69192 жыл бұрын
Kutoka Burundi but naishi Nairobi nampenda huu jama kupitiliza mnipee like plz
@Gospel2Youth2 жыл бұрын
Mtoto wa kiume unaomba like,dada ako ataomba nini?
@catherinemuhagama73382 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@kiningashukran51772 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@fadhililipegea41732 жыл бұрын
Ila we jamaa ni critically thinker
@mpmp31952 жыл бұрын
🇧🇮
@petermaroaofficial2 жыл бұрын
Yesu ndiye njia kweli na uzima wa milele hakuna mwingine tena
@violetsangamysongs18152 жыл бұрын
That is very very true
@hamzafishten95602 жыл бұрын
Rudi shule ukasome
@mcmc3445 Жыл бұрын
Akasome nn? Yesu ndio ukweli na uzima ,ukimuamini yeye hutaangamia, akasome nn tena
@kennethjunior6071 Жыл бұрын
Yesu ndio njia
@saddybrezzy97776 ай бұрын
Lete andiko
@geographicalworld19942 жыл бұрын
Hii kazi anayofanya prof. Jamal ni ngumu sana, just imagine kila wiki inabidi afanye research juu ya story flani mpya, then katika hiyo story anachimba sana. Hata wahadhiri wa vyuo vikuu kazi zao sio ngumu kama hii maana wao hurudia topics zilezile zilizofundishwa mwaka uliopita. Hakika huyu jamaa anahitaji pongezi sana👏
@saidissa47412 жыл бұрын
Saaaaaaana
@valentinekigahe97072 жыл бұрын
Alishakusanya material na kwenda kupeleka kwenye TV it means hadithi zote anakuwa nazo kinachobaki ni kutoa tu
@Jitu_Lisilofikirika.2 жыл бұрын
@@valentinekigahe9707 ila si tayari umesema alikusanya.? So bado amefanya kazi kubwa, bila kujali ni lini amefanya.
@Officialpiejotv2 жыл бұрын
Hakika😍
@Officialpiejotv2 жыл бұрын
@valentine kigahe sio kweli bhana, hawezi Sanya kila kitu. Me ntakataa katukatu.
@OmegaNelson-ho1no Жыл бұрын
move hizi n nzuri sanaaaaa zinafundisha zaidi katika njia ya imani endeleeni kuzirusha ili tujengwe kiroho kupitia move hizi za Yesu mwana wa Mungu
@epmzmusifiwar66942 жыл бұрын
BWANA YESU CHRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI APEW SIFAA TENA Yeye Ni Bwana Mpaka Usio Kuwa Nakipimo🥰🥰🔥🔥
@foncetec2 жыл бұрын
Amen
@violetsangamysongs18152 жыл бұрын
Amenii
@kifarumathiasm8051 Жыл бұрын
Amen
@rayyanothumanmohammed82619 ай бұрын
Yesu alikataa kusifiwa lkn nyie kina nani usifie ? Hebu soma Yohana 17:3 ndiyo utamjuwa mungu wa kweli
@ShaskaMakota Жыл бұрын
Yesu. Mwana wa daudi. Mfalme wa wayahudi. Aliyewakomboa watu wake na dhambi zao. Ni neno aliyeshuka akakaa kwetu.
@saddybrezzy97776 ай бұрын
Kumbe sio watanzania😅
@osodojunior34362 жыл бұрын
I really love this Man like nothing else 💝💝
@johndingi25042 жыл бұрын
Nchi zote hizo yesu alitumia usafiri gni kufika
@hellenjelimokiplagat56152 жыл бұрын
Now I can agree that the Bible was truly corrupted.
@osodojunior34362 жыл бұрын
@@hellenjelimokiplagat5615 yes indeed
@mainabenson5173 Жыл бұрын
Unapenda aje mwanaume mwenzako....He dsav respect not love
@naimabdul123111 ай бұрын
Huyu jamaa unaweza ukasema hakunaga...ni wachache sana wenye kipaji kama hiki mfano wakr kama othman maalim vile anakuhadithia kitu mpaka unaijengea picha ile story anakuhadithia, may allah bless and protect you Jamal we proud for you brother...❤
@MariaShehemba2 ай бұрын
Ndio kabisa anajua kupangilia uongo mtamu mpaka watu wanakubali kudanganyika kama unataka kujua Yesu ni nani soma biblia Yesu alitabiriwa kuzaliwa kwake kuishi kwake kufa kwake na kufufuka pia. Isaya 9:6-7, yer 23:6Mika 5:2-4, isaya 53 sasa ukweli wa Yesu usome biblia tena kwa lengo la kujifunza Mungu atakusaidia kuelewa na uchaguzi utakuwa juu yako
@FestoLucas-lv9ig5 ай бұрын
Yesu miaka 18 alikuwa ana pewa mafundisho na alifanyiwa majaribia mengi ambayo wewe nami atuyawezi atunaaja yakuyajua ila jua yesu alishinda naalikuwa teyari kukuokoa sisi kiroho na akawa teyari kubeba dhambi yawe nami jambo ambalo sisi limetushinda kama unaungana nami like comment yesu ndio mshindi naanapaswa kuabdiwa kama mungu alivyo mwamin amina
@kdloon20304 ай бұрын
Yesu sio mungu na hafai kuabudiwa,anae faa kuabudiwa pekee ni Mungu muumba wa mbingu na ardhi!Kipindi Yesu yupo tumboni mwa mamaake,nani alie abudiwa?
@mselledamas9078Ай бұрын
YESU ndie MUNGU na anastahili ibada hata wewe kuna siku utamuabudu@@kdloon2030
@siriyamwanamkemkakamavu2 жыл бұрын
I don’t like Wasafi TV, but because of you, i am watching. Endelea kuleta story kama hizi. Stay blessed indeed 🙏🏾💕
@davidcurtis175 Жыл бұрын
Ndio maana unaambiwa wasafi ni kama maji usipo yanywa utayaoga
@yangatv2264 Жыл бұрын
Hupendi mbona unafatilia sasa hayo ni maswal wazungu wanatuzungusha kma kichwa maji utajikuta unachuki moyoni kisa dini kumbuka tumeletewa ili tuibiwe africani amkaaa ww
@amourworldbeats2 жыл бұрын
Hakika mimi Naamini Mungu Yupo Na Ni Mmoja Hana Mshirika Wake,Hakuzaa Wala Hakuzaliwa Na Wala Hana Mfano Wake Na Ndo Maana Tunamuabudu Kwa Sababu Anasifa Za Kipekee Zisizofanana Na Kitu Kingine chochote.
@salimmalaka2562 жыл бұрын
HUO NDIO UKWELI WALA HAKUZAA WALA KUZALIWA.
@mamafifi-or6ou Жыл бұрын
Amiin allahumma amiin
@MosesOklan22 күн бұрын
Mungu ni uwepo
@MosesOklan22 күн бұрын
Kawni tunayeoneshwa hapo ni yesu au ni mcheza filamu na je sura halisi ya yesu ikoje??
@michelinebosibori40272 жыл бұрын
God bless you Jamal 🙏 you are the best stories teller 🥰🤝
@dostovan51422 жыл бұрын
Story fake
@nigananurunjema2 жыл бұрын
Narudia Yesu siyo Isa na wala hakuwa muislamu. Msimuingize Yesu Kristo kwenye dini zinazokubali kuwa majini ni rafiki zake. Yesu hakuwa na urafiki na majini. Mnapenda sana kuingiza Imani ya kistaarabu ya Kikristo na taratibu zenu jlimradi tu muweze kujifanya mko sawa lakini kwaujumla na uhalisia kila kitu kijulikane YESU KRISTO atabaki kuwa Mwana wa Mungu.
@boscomwanisongole91732 жыл бұрын
🤣🤣
@barakashaban96982 жыл бұрын
Toa ushahidi ww kuwa alikuwa mkristo
@salimmalaka2562 жыл бұрын
YESU SIO MUNGU NA MAPEPO NA MJINI TUNAYAONA.MAKANISANI 2 MISKITINI HAKUNA UJINGA HUO FALA WEWE TAFUTA MUME AKUOWE KANISANI DINI YAKO INAKURUHUSU.
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@barakashaban9698 ANATAKA KUOLEWA HUYO.
@barakashaban96982 жыл бұрын
@@salimmalaka256 kweli kabisa nakubali
@Mlangira1993-ge9es10 ай бұрын
Mimi Kwa akili yangu ndogo sana ya elimu ya kidini nasema kwa confidence zote Kuwa Yesu ni Mungu halisi aliyeziumba mbingu na nchi na kila kitu kilichomo. Alijifanya mtu akaiacha enzi yake akaja mwenyewe kutuokoa watu wake hivyo alizaliwa kama binadamu wote lkn kwa kuthihirisha Umungu wake mimba yake haikutungwa Kama zetu binadamu hivyo alizaliwa kwa uwezo wake mwenyewe (Roho mtakatifu ambaye bado ni yeye Mungu mwenyewe😀) akaishi kama binadamu akatufundisha yote tunayopaswa kujifunza ili tumjue kisawasawa na ndio maana miujiza yake haijawahi fanana hata Kidogo na ya mtume yoyote yule hapa ulimwenguni kwasababu yeye ni Mungu halisi. Na kuthibitisha ubinadamu wake alijaribiwa na ibirisi kama Sisi binadamu wengine tunavyojaribiwa na kubwa kuliko aliteswa akafa kabisa akazikwa kabisa Lakini kwa utukufu uliotukuka wa Kiungu alifufuka ambapo hakuna mtume mwanadamu aliyeonja mauti na akawa hai tena hivyo yeye sio mtume yeye ni Mungu halisi na baada ya ufufuko akawasihi sasa mitume aliowaacha kueneza habar njema zake yaani za Yesu kristo ambaye ni Mungu. Na akawaambia hatowaacha peke yao ila atawaachia msaidizi wake ambaye ni roho mtakatifu ambaye ni yeye Mungu mwenyewe ambaye hatotenda tena katika umbile la ubinadamu ila katika Roho tu na anaishi na kutenda kazi zake mpaka Leo katika Roho hahahahaha nyie kumjua Mungu ni Raha Sana. So conclusively, Mungu ni mmoja tu ila ametenda kazi zake katika nafsi tatu ambazo ni Baba, mwana(inadhihirishwa baada ya kuzaliwa na mwanadamu so Maisha yake ya ubinadamu lzm aitwe mwana kama Sisi tulivyo wana wa adamu (wanadamu), Roho ambaye kwasasa anatenda kazi zake katika Roho hivyo Mungu ni mmoja na watu wote tunatakiwa kulijua hili bila ya kujali Dini zetu maana hazitotupeleka mbinguni na hakuna dini bora zaidi ya nyingine ubora ni wako wewe mwenyewe wa kumuamini Mungu. Natamani Sana Kama wanadamu tungemtafuta Mungu kwa bidii zetu zote na tukaacha kuzitumikia Dini maana mbinguni hakuna dini wala dhehebu kinachoangaliwa ni moyo wako tu. Tuzidi kutenda mema na tumtafute Mungu kwa bidii Nawapenda nyote tubarikiwe sote na me I should tufike mbinguni Amina🙏
@thevoiceofdeliverance60612 жыл бұрын
Yesu hakuwahi kusoma dini yoyote na mbaya zaidi wabudha Ni Imani potofu ya mashetani . Lakini Yesu siyo Isa Bari kwa lugha ya kiyahudi Ni Yeshua yaani Mungu mwenye kuokoa jina Isa linatumiwa na wapinga Imani na kupotosha ukristo.
@feisaldasilvajr3112 жыл бұрын
Atakuwaje mungu ambaye amesurubiwa na wanadamu wake?
@barakashaban96982 жыл бұрын
@@feisaldasilvajr311 👍👍 Good question
@dostovan51422 жыл бұрын
@@feisaldasilvajr311hivi vitu kama huvielewi sasa utaelewa baadae
@alfredkayabu32107 ай бұрын
Yeshua ni mwana wa #Haruni toka ukoo wa #ibrahim baba wa imani. Na yesu ni mwana wa mungu kiimani aliyezaliwa kwa uwezo wa roho mtaka hai(mtakatifu). Yesu sio mungu bali anaonekana katika utatu mtaka hai(mtakatifu). Yesu pia alitukana wanadamu kwa majuto wa namna alivyojitoa kwajili yetu na bado tukawa tunawaza mabaya ""baba naomba kikombe hiki kiniepuke" imeandikwa bibliani. Budha sio imani ya kishetani bali ni watu wanaomba kwa uzingativu na ukimya kama anavyosema muumba kuwa ""muombe kwa utulivu na uzingativu pasi kelele" wao hufuata hivyo. Mungu hakuumba dini na wala dini haikupeleki peponi bali kukufanya kuwa na utaratibu wa kuwa karibu na muumbaji wako kwa kuongozwa na dini kutenda yampendezayo. Na kwa haki. Asante
@bernadvincent66082 жыл бұрын
Kaka yangu Jamal wee ndo king wa the story, ila plz keep it up, coz nilikuwa nakunywa pombe, kuona story hii hata bila kuisha kiu ya pombe yote imekata Kisha ninekaa kuangalia the story book yako but iyo story ya yesu kwenda India😂 nilicheka,na izo nchi zingine za uwongo but niko kawaida2 nakunywa zangu Pepsi not (jokes) sio tena pombe kama before but, God is Great for all peoples in the World, Bro ur the Best 🙏🏽🌍. 100% Mungu yupo pia ndo King Wetu.
@jacksonsimbibalegana77582 жыл бұрын
😃🤣
@maryamsadik34112 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@philipoloo97802 жыл бұрын
Mungu yupo ndiyo yesu mwana wamungu
@meshackmlaki20662 жыл бұрын
Yesu Mambo aliyoyafanya ni mengi San yasingeweza kuandikwa yote. Ata kama mbigu ingekuwa kratasi, miti iwe kalamu bahari iwe wino hakika wino ungekwisha
@masungamatumbi7212 Жыл бұрын
Hio sasa kufuru
@ephraimkabeya96482 жыл бұрын
Hii inanifanya niamini kwa kazi za watu wenye kipaji Cha kuonyesha makubwa kwa vitendo zaidi bila kuangalia vyeti wala historia. Kweli hii Ni kazi ya Professor
@JeremiahKazungu10 ай бұрын
Congratulations JAMAL una story yenye uzito mkubwa kweli mungu azidi kukuongeza ujuzi kaka nataman sana kuwa kama wew
@mkuudaudi18802 жыл бұрын
First Kenyan here🇰🇪🇰🇪
@charlesmwai94182 жыл бұрын
Am always here bro .
@danielpauljoho494911 ай бұрын
Jamal April hujui ni roho gani uliyo nayo. Utasema mimi nipo kazini na bla bla zote lakini nakuhakikishia kama kuna kitu utakijutia kabla ya kuondoka hapa duniani ni kuupotosha ukweli kuhusu Kristo iwe kwa kujua au kwa kuto kujua. Naomba Mungu wa mbinguni kwakupitia kifo cha huyo Yesu unaejaribu kumfanya aonekane wakawaida kwa watu AKUREHEMU na huo upofu wa fikra ukutoke Kwa jina la Yesu.
@hindujuma65242 жыл бұрын
Story ya Leo nzur 💋😘
@rehemajohn35532 жыл бұрын
Nan kasema mbaya
@nancyg86642 жыл бұрын
Nzuri sana hindu
@joachimlema7 ай бұрын
Hapa naona kuna ubishan mkubwa wa kidini ila naomba kila mtu aendelee kuamin imani yake mradi tu inampa mabadiliko kwenye maisha yake
@Gerardirankunda28852 жыл бұрын
Nilukua nimegukumbuka San aca nisikiliz mambo yako🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿
@shadrickmwanjabala46812 жыл бұрын
Nilitaka nishanga kweli bro ata kakufungia mwaka hautupi. Nimefurahi Sana shukrani 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@festosungura52512 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba yesu hakuwahi kwenda darasa lolote wala kufundishwa na mwalimu yoyote Yesu alikuja duniani neno analijua Tena, kwa muda mwingi ambao haukuzungumzwa Yesu alikuwa akifanya kazi ya useremala kazi aliokuwa akiifanya Mzee Joseph mume wa Maria mama yake na Yesu habari hizi hazikuandikwa ama hazikuzungumziwa kwa maana hazina muhimu sana katika ukombozi wetu wanadamu
@thekingdragon83587 ай бұрын
kwani ukisema babake utapungukiwa nin hadi useme mume wa mamake
@SichaliJuan6 ай бұрын
Glory to God 🙏🙏❤
@bashiryusuph71092 жыл бұрын
kazi nzuri Jamal, Yesu alikua Mtume wa Mungu na sio Mungu, kingine lazima muelewe kila mtu Mungu kampa atakavyo yeye, kusema Yesu alizunguka kutafuta elimu Sijambo la kubishana sababu Hata Mtume Mussa aliambiwa aende ktk makutano yabahari mbili atakutana na mtu mwenyeelimu zaidi yake, Lamsingi Mitume wote inatakiwa tuwakubali na kuwaheshimu, lamwisho Jamal hajatumia maneno yake yeye kafanya research ktk vitabu tofauti vya kale. kwaiyo kama unataka kujua zaidi nawewe unanafasi ya kwenda kusoma.
@raphaelonyango56902 жыл бұрын
Umenena vyema, lkn Ili ujue nafasi ya YESU katika uungu ni mpaka u some sana na kuuamini utatu mtakatifu. Nitakuacha na swali, Mwanzo 1:26 [26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; And God said, Let us make man in our image, after our likeness: Je hapa MUNGU BABA, aliposema "Tumfanye"..... " Wetu" Hapa tunaona nafsi zaidi ya moja, Je hawa wengine ni wakina nani? Katika kulitafuta jibu, utapata mwanga.
@jglaiser2 жыл бұрын
Kasimp tena
@yhwh3532 жыл бұрын
Emmanuel God with us ✝️🕊️🔥 Yesu Ni Mungu take it or leave it.
@salsashmomy2 жыл бұрын
@@yhwh353 astaghfirrllah
@yhwh3532 жыл бұрын
@@salsashmomy When "ALLAH -- The all knowing" got the "TRINITY" wrong!!! And when Allāh will say, "O Jesus, Son of Mary, did you say to the people, 'Take me and my mother as deities besides Allāh?'" He will say, "Exalted are You! It was not for me to say that to which I have no right. If I had said it, You would have known it. You know what is within myself, and I do not know what is within Yourself. Indeed, it is You who is Knower of the unseen. - Saheeh International (5:116) --- Surah Al -Maidah :116
@moses78022 жыл бұрын
Yesu aliishi maisha ya mwanadamu kwaiyo kufanya hayo yote hakuna ubaya kwa kuwa yeye ni mwana wa mungu, anastahilo kufanya hayo yote kwasababu alipitia njia ya kua mwanadamu ili afikishe ujumbe wa mungu kwa mwanadamu, 🙏
@gospelman37202 жыл бұрын
"Waeseni walikaa jangwani ili kujitakasa wakimsubiri Masihi, na mmoja wa wanafunzi wa Waeseni ni Yohana Mbatizaji". Father Ricardo Maria (2014).
@yhwh3532 жыл бұрын
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. Isaya 9:6 Kama mfalme Suleiman hakusoma chuo chochote na alikuwa na hekima kuliko watu wote Sasa Yesu Kristo ✝️ Ana hekima kuliko mtu yoyote aliwahi kuishi duniani kuwepo
@shedrackdamian28702 жыл бұрын
Wampenda kristo like💋💋
@kinasaba8 ай бұрын
Prof. Jamal, your research and reporting type is great than many others. Katika Tanzania upo juu kabisa. Unajua kuwianisha mambo mbalimbali hata ya kidini ambayo ni very sensitive. Your, research questions, are perfect than ever. All the BEST
@saimonjmai8012 жыл бұрын
Kila mtu abaki na Imani yake na moja ya sifa ya kuamini ni kutokuwa na mashaka, ndiomana hata msimulizi kasema kila mtu abaki na yake anayo ya amini.
@FilbertKalembe-fy4oq Жыл бұрын
Eyesu uliyejifanya binadamu ukiwa sehemu ya nafsi tatu tunakuomba utende miujiza kama ilivyo kawaida yako ww ndiye ujuaye ukweli kuhusu hilo nakuomba katika jina lako takatifu jifunue kwangu japo ninadhambi ilikuondoa huu upotoshaji unaotendeka juu yako japo mm sina hofu na ww namini ww ni mungu tenda ilikuondoa huu unafiki amina
@bernadvincent66082 жыл бұрын
God is the King 👑🙏🏽😇. Wish u Good Morning from Dubai 5:32 am👑.
@benjaminjackson85672 жыл бұрын
Hapa Kuna kitu ndani yake maana kwa Mim Profesa mdogo Kuna kitu nakiona kwa mbali sana juu ya Yesu na kimefichwa lkn nashindwa hata kidogo kukielezea Ila Mungu mwenyewe anajua maana mwanadam naona anakwenda lkn Kuna sehemu anakwama yaan kama Kuna pazia hivi na siku ikiwa wazi tu basi Yesu karudi, lkn big up Jamal April, Professor 🙏🏿🙏🏿
@Bondea-zj2yf Жыл бұрын
1. Kwani ninyi hajui kwamba Yesu alikua mwana pekee wa Mungu? 2. Kwani ninyi hajui kwamba Mambo Yote Yesu alifundisha alitowa kwa Baba Yake Mungu alie juu zaidi? 3. Kwani ninyi hajui kwamba Yesu alikuako kabla ya ABRAHAM na aliishi Mbinguni? 4. Kwani ninyi hajui kwamba Biblia ni Neno au barua kutoka kwa Mungu wa muingu , Yehova. Basi msikengeushwe na watu wasio chukua mda na kuisoma Biblia na kuitafakari.
@kennethjunior6071 Жыл бұрын
Once am with Jesus I will never die
@S1rb0ny2 жыл бұрын
Hakuna amjuae Baba Wala hakuna amjuae Mwana isipokua yule tu ambae mwana amependa kumfunulia ujui chochote kuhusu Yesu.
@MarryMush-j8u5 ай бұрын
i believe in jesus jamal thanks 4 give us a lot of story about jesus
@christonchristian74482 жыл бұрын
from Missouri U.S.A much lovee watz wenzangu
@wambuamwinzi2 жыл бұрын
Kenya twakupenda💗💟
@yurisongoro28952 жыл бұрын
Kwa sababu nna amini technology ina dumu🥰 nampenda Allah
@Im__hdmi2 жыл бұрын
Ameen
@com57662 жыл бұрын
We jamaaa daah! Utakuwa unajua mambo mengi sana2 sema hutak kuharbu iman za watu respect sana brooh
@zacharykuria57892 жыл бұрын
Iko sawa sana nipeeni hizo likes pls
@stephenmasawe1602 Жыл бұрын
Ingefaa jamal mustafa kuwa mkristo kweli kweli maana siku ya mwisho hukumu yako itakuwa kubwa zaidi maana uliijua kweli ya Yesu kristo
@gu-away52462 жыл бұрын
Mukubwa 💙 vraiment 🤗 Nakupa kumi juu ya kumi (10/10) Niko fan wako wakwanza kufata vidéo zako zote, Niko nafata elimu nisio ijuwa kwa kila atua 💪 👏🤝
@YAMUNGUKULWA-i4b19 күн бұрын
Mungu awabaliki mnaotangaza habali za yesu hakika Mungu atawabalik
@Hussein-ol4wn2 жыл бұрын
Itikadi yetu Waislamu kuhusu Yesu ni kuwa hajawahi kufa wala hakufufuka na wala hajawahi kusulubiwa Wala Yesu sio mtoto wa Mungu. Bali Ni Nabii wa Mungu aliyeletwa kupitia uzao wa Maryam(Maria) bila ya Baba Kilichotokea ni kuwa wakati Watu walipotaka kumuua Mwenyezi Mungu alimpaisha mbinguni(na ndipo alipo hadi sasa). Baada ya kupaishwa Mungu akampa sura ya Yesu mmoja kati ya wale watu na ndie waliemsulubu na akafa
@janaleokesho83742 жыл бұрын
Yesu wa waislamu na wa wakristu ni tofauti kuanzia kuzaliwa na pia malezi.
@Hussein-ol4wn2 жыл бұрын
@@janaleokesho8374 Yeah Hata kiitikadi. Sisi tunamuamini Yesu Kama Ni Nabii wa Mungu, wakristo wanamuamini kivyengine
@philipojohn1912 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@dostovan51422 жыл бұрын
wakristo Mohammed hatumjui kabisa
@kelvinbernard54532 жыл бұрын
Jamal your the best teacher in world, God bless you
@Metusi2 жыл бұрын
Leo nimependa content sababu mimi ni mkristo na naipenda sana dini yangu Na ninapoona muislamu kama jamal anapoongelea ukristo bila kukosoa bali kwa mema nafurah sana na ni kuonyesha kujal na kiheshimu iman ya mtu mwingne
@salimmalaka2562 жыл бұрын
ANA ZUNGUMZIA STORI YA ISA (JESUS) HATA QUR'ANI IMEMZUNGUMZIA PAMOJA NA MANABII WENGI WENGINE.
@madetetv65762 жыл бұрын
@@salimmalaka256 Quran haijamuandik hivo imemuandik tofauti
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@madetetv6576 QUR'ANI IMEMUANDIKA KAMA YEYE NI NABII NA HAJAFA M'UNGU KAMCHUKUWA YUKO MBINGUNI NA YUKO HAI NA ATARUDI TENA DUNIANI UNAPOSEMA QUR'ANI HAIJAMUANDIKA HIVYO UMEMAANISHA NINI?? ULITAKA IMU ANDIKE KAMA MTOTO WA MUNGU AU YEYE MUNGU??? YEYE NI NABII KAMA MANABII WENGINE 2.
@yhwh3532 жыл бұрын
@@salimmalaka256 Qur'an imechanganya vitu apo ukisoma vizuri utajua Kuna vitu haviko sawa ndugu imechanganya kuhusu story ya Mariam Mama yake Yesu na story ya Mariam wa kipindi Cha Musa
@yhwh3532 жыл бұрын
@@salimmalaka256 na pia Kuna kitu akikosawa katika Qur'an yaani Allah aliwadanganya wayahudi kwa kumfanya mtu Kama Yesu asisulubiwe na sio wayahudi, wayahudi na Mama yake Yesu Kristo wote wanajua Yesu amesulubiwa na si vinginevyo.
@younglunya-vy3xb5 ай бұрын
Kama unaamini yesu nibwana weka like
@jameskinuthia44802 жыл бұрын
Safi kabisa professor
@mohamedriziki19852 жыл бұрын
Jamal Nakupenda sanaaa... Yani hauja wai kufeli kabisaaaa... Nakukubali sanaaa
@mariaalmack36862 жыл бұрын
Unamkubali!!!!
@aisha_mohammed58252 жыл бұрын
prof jaamal♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@jumamstapha9558 Жыл бұрын
Namshukuru Kwa kujua kumbee yesu alikuani mwisilam inshaallah kama unaupeo wakutosha basi utakua umeelewa apo
@suzanrichard36482 жыл бұрын
Thnks for story Bro Jamal🥰🥰🥰🥰🥰
@Habaritrending.tanzania2 жыл бұрын
Dunia iko na mambo mengi sana nyuma ya pazia ambayo binadamu wengi atuyajui ayo unayoyajua yanatosha ukitaka kujua kila kitu kuhusu dunia utachanganyikiwa na utapoteza imani.. we amini kuna mungu tu inatosha
Ilove story of Jamal 💥 unanfanya niipende xna ,na io biti haswaaa
@wllsntim57402 жыл бұрын
Thank you for your education but always is JESUS,BIBLE,AND CHRISTIANITY now we want to be educated on MTUME MUHAMMAD S.A.W,QURAN AND ISLAMIC THANKS
@christiandayisenga37732 жыл бұрын
Jamal kama unamwamini Mungu basi nafurahi🙏
@orestsanga62942 жыл бұрын
Kusudi la kutunga vitabu zaidi ya hamsini vya injili na kutangaza uwepo wake, ni kudhoofisha vitabu vinne vya injili ya kweli na kuingiza udanganyifu uliokusudiwa na wapinga Kristo.📖📖📖
@yuathmtenzi21142 жыл бұрын
Indeed you're a professor. Thanks jamar one day we gonna meet! InshaAllah.
@yakoboesenga57542 жыл бұрын
JAMAL thenks 2 much love from usa Portland Oregon
@edgaramiani2 жыл бұрын
Thanks again i was waiting to hear from you
@annehaysanday92142 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kutuletea taarifa nzuri
@budaboss84352 жыл бұрын
Nakuombea uishi maisha marefu sana kaka Na Ubarikiwe sana ❤👍
@icon_masanaa4 ай бұрын
Imeandikwa,Mungu akasema Yousouph mchukue Mkeo na Mwanao Mkimbilie Misti,Maana Herode anataka Amuangamize, Kwahyo Yesu Alikimbilia Africa
@darkdhmafia86662 жыл бұрын
!!!!?😎💎🔥 Mungu ni mkubwa sana katika dunia
@DicksonMchapo5 ай бұрын
Erimu ya Yesu ni erimu ya kimungu mambo ya mungu ukitaka kuyachunguza yaitajika roh mtakatifu akushukie kweli kweli mungu achunguzwi ata kidogo yani
@dnx_Gr2 жыл бұрын
Mambo ya imani ukiyafutilia ni🤯🤯 ko yaacge kama yalivyo!! Be blessed bro🙏🏽🙏🏽
@bitishoriziki1113 Жыл бұрын
Asante sana njamani ahimidiwe kbs 🤗🥰 anaweza yote ubarikiwe mumishi wa mngu mpasha habari muzuri🎉
@moshantoj2 жыл бұрын
Asante sana kwa kuelezea History ya yesu kulingana na Elimu ya msikiti.
@nasramuhammad20462 жыл бұрын
Tumkimbilie Mola yy ndo alituleta duniani na yy ndo atatutwaa jina Lake litukuzwe,praise to God
@kilogreek40502 жыл бұрын
Nakukubari jamal super story🙏🙏🙏🇹🇿🇬🇷
@elizabethndaile89842 жыл бұрын
Aimen ubarikiwe 🙏🙏
@annachales96232 жыл бұрын
Kwa kweli nikisikia habari kama hizi nafurahia sana kwa kweli...
@samuelosembo30282 жыл бұрын
Kazi nzuri kufanya utafiti lakini tambua kuwa maisha ya yesu yamezungumziwa katika bibilia yote Kwanzia GENESIS .... REVELATION...so yesu ni mwenye upeo na hakuna shule aliohudhuria...
@jumamfinanga68672 жыл бұрын
Mashaallahh pr jamaal allah akuzidishie elmu na umrireefu wenye manufaa💓
@MasoudNyoni-g8o Жыл бұрын
Ahsante sanaaa tuuuu Kwa ujumbe kutoka The story book.
@clinton_leen2 жыл бұрын
Ila yesu aliwahi kufikia hadi kenya "fort Jesus" 😃