Alhamdulillah. Allah awalipe kheri. Niulize tu, kuna hekma yoyote ya kumwita mtoto wako Dhulqarnayn? Hasa ikizingatiwa maana ya neno hilo ni pembe mbili? Pengine lisilete maana nzuri katika jamii?
@nelsonchambila46725 жыл бұрын
Othman Haji دس حص فني
@mahsinhussein3 ай бұрын
Mapokezi ya shekhe Yousuf kidago akitokea maka kuhiji
@venancegaspatv19613 жыл бұрын
Yajuja na Majuja ndugu zao wachina na warusi na wamongolia
@abdulhakimallynassor19145 жыл бұрын
ASALAM ALEYKUM SHUKRAN BARAKALLAHU FIYKUM NA OMBI ILIMU HII MUNGEITOA KWA KUCHAPISHA KITABU LUGHA YA KISWAHILI ILI TUFAIDIKE ZAID
@ahbaabrasuulitz49635 жыл бұрын
Kipo kitabu.
@abdulhakimallynassor19145 жыл бұрын
ahbaabur rasuul tnaweza kukipata vipi.
@ahbaabrasuulitz49635 жыл бұрын
Wasiliana na 0715 939260
@venancegaspatv19612 жыл бұрын
yAAJUJA NA MAAJUJA inasadikiwa ni Wamongolian,China ya Kaskazin na warusi
@venancegaspatv19613 жыл бұрын
Gogu na Magogu au Yajuja na Majuja kwa utafiti wangu ni Warassia, Nimesoma Surat-Alkalf kuhusu Yajuj na Majuja juu ya wapi wapo na Ukuta aliojenga Dhulqarnain kuwazuia Magog wa Magog,japo Quran haisemi ni wapi Yajuj na Majuja lakini uwepo wa China Great wall ni ushahidi Yajuj na Majuja walikuwepo wanaishi Urusi na Nchi za Kisoviet.Tanzania wamefanya Yao.