HUWEZI TENGANISHA DINI NA SIASA - SHEIKH MUSSA KUNDECHA

  Рет қаралды 8,344

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Hii ni makala ya masaa mawili yenye simuliza nzito za mambo magumu aliyopitia Sheikh Mussa Kundecha katika harakati za kuipigania Dini ya Kiislamu Tanzania.Sheikh anaeleza mengi ambayo hajawahi yazungumza popote Kabla.
Tazama na tunaomba utupe maoni yako...Ahasante kwa kutazama.Usikae mbali mengi mazuri yanakuja.

Пікірлер: 43
@KadeejaKadeeja-ej4bu
@KadeejaKadeeja-ej4bu 6 ай бұрын
Mashallah alhamdulillah una mbaya shekhe wangu jilani yangu Allah akulipe
@salimamugeni3568
@salimamugeni3568 8 ай бұрын
Sheikh Allah akulinde
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 11 ай бұрын
Mash Allah na Alhamdulilah kwa Allah kutupa Shekhe mwenye hekima, weledi, busara, heshima. Shekhe Kundecha Allah akuweke akupe afya na umri mrefu wenye faida kwetu sote.
@kalamuMedia
@kalamuMedia 11 ай бұрын
Hujasahau jiingiza ktk Dua Maashallah 😀
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 11 ай бұрын
@@kalamuMedia Hahahha 😃😀
@daudimasasi-ht1yy
@daudimasasi-ht1yy 11 ай бұрын
Sheykh mussa kundecha Allah akulipe kheri......
@user-tt1by8ly2l
@user-tt1by8ly2l 10 ай бұрын
Mwenyez mungv akusimamie
@ramaofficial255
@ramaofficial255 11 ай бұрын
Masha Allah sheikh Kundecha amenizindua mnoo
@dinocastico8495
@dinocastico8495 9 ай бұрын
Huyu dada mie huwa nampenda sana wallah
@kalamuMedia
@kalamuMedia 9 ай бұрын
Dada Gani
@jumangosho7569
@jumangosho7569 Жыл бұрын
Hongera za muuliza nampa nyingi Allah amzidishie elimu na maarifa kauliza maswali yote na yana tija
@ramygichero1016
@ramygichero1016 3 ай бұрын
Hongera dada yetu kazi nzuri
@aminamotto5349
@aminamotto5349 Жыл бұрын
She Kundecha yuko vizuri sana
@mohamedkhan2895
@mohamedkhan2895 Жыл бұрын
Jazakallahum kheir ❤
@user-oz1in2es3p
@user-oz1in2es3p Жыл бұрын
Nikupongezeni sana Kalamtz kwa kufanya jambo hili, natumai huu ni mwanzo tu huko mbele tunataraji kuwafahamu na kufahamu mengi zaidi kwa Sheikh na Wanaharati wengine wa Kiislam kwa Historia za maisha yao na jitihidi walizofanya mpaka hapa tulipo katika kuipigania dini na jamii nzima kwa ujumla insha'Allah
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
Tutajitahidi in sha Allah, ahsante kwa mrejesho
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 3 ай бұрын
@nassorkibauri8829
@nassorkibauri8829 Жыл бұрын
jambo jema sana kwa kalamtz
@mornasaidtindwa3622
@mornasaidtindwa3622 Жыл бұрын
Alhamdulillah
@omarymswaki7447
@omarymswaki7447 Жыл бұрын
Mashaallah,kongole kwa uongozi wote wa Kalamutv,na sheikh wetu Mussa Kundecha kwa ujumbe mzr, Ni speech nzuri kwa watu wote uwe muislamu au asiekua muislamu,hekma,busara,weledi mkubwa umetumika,maneno kama hayo ni afya kubwa katika maisha ya kila mwanaadamu, M/mungu azidi kuwazidiashia waloandaa kipindi hiki
@omarymswaki7447
@omarymswaki7447 Жыл бұрын
Ni masaa mawili lkn ni kama dakika ishiri kusikiliza very interesting.
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
Aaaamin... Ahsante
@mohd39789
@mohd39789 Жыл бұрын
Maashaa Allah. Naomba namba za mtangazaji
@chidiomari.65
@chidiomari.65 Жыл бұрын
Kipindi kizur sana sana ,lkn kunguru wanakera sana kelele nyingi sana
@denisschacha4971
@denisschacha4971 Жыл бұрын
Nimemuelewa vena kabisa
@abumakuwani8506
@abumakuwani8506 Жыл бұрын
siasa ya kiislamu (sharia) ndiyo inachanganywa na dini ama siasa demokaria ni haramu katika uislamu sasa utachanganya vp dini na haramu?
@malcommshana3955
@malcommshana3955 Жыл бұрын
Sheikh wangu Kundecha kama kawaida yake hajawahi kuniangusha. Katika hii Clip hapo kwenye kuanzia dakika 1:51:05 amenikosha sana. Nadhani walimu wetu pamoja na wazazi tulifanyie kazi hilo suala la kuona uislamu unatufundisha nini katika kila sehemu ili kuwafundisha watoto wetu kwa mapema kabisa.
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
Tumependa ulivyo detailed
@ismailchongera9812
@ismailchongera9812 Жыл бұрын
Sauti bado sana
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
Hatujaelewa Al akhi,sauti ipi baba
@yuschhhhcdxddddddxd896
@yuschhhhcdxddddddxd896 Жыл бұрын
Background noise zipo juu kuliko saut ya mzungumzaji
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
@@yuschhhhcdxddddddxd896Tuombee dua Allah atujaalie uwezo tupate vifaa Bora zaidi vitakavyotusaidia fanya kilicho Bora zaidi.
@yuschhhhcdxddddddxd896
@yuschhhhcdxddddddxd896 Жыл бұрын
Allah awawafikishe ktk kher
@akimzeli5030
@akimzeli5030 Жыл бұрын
Admin, nimeona watu wengi kule twitter wamechukua baadhi ya clip za interview hii wakizipost na kuwaambia watu; mnaona! kumbe dini na siasa ni vitu havitenganishwi halafu nyinyi mnatuambia tusichanganye dini na siasa". Kiujumla hii interview inatrend kule twitter. Ningeshauri twitter nako kuwe na ukurasa wenu ili kuwafikia watu wengi zaidi.
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
Ahsante kwa ushauri,ila tunayo account Twitter mda tu
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
Bado tuna tatizo kwa mfano Mama aseme kweli kama unamapungufu lakini siuachi mungu atatufanyia nini kama taifa? Nilidhani shekh atashauri kama mkataba mbaya uachwe na kama mzuri uendelee. Waislam tuna tatizo kama shekh Kundecha anavyosema na tatizo kubwa kuto kuwa wakweli. Na huenda wengi wetu hatuto iona pepo. Mambo mengi ameongea kwa uwazi ila bandari kafunika. Shekh anaelimu zote mbili ausome mkataba halafu aswali kwa mungu Wake na aape kusema ukweli halafu atwambie je mkataba unatufaa?
@mussataturu7189
@mussataturu7189 Жыл бұрын
Oyo uyu sio mwanasiasa kama unataka mambo ya bandali kamsikilize mwambusi,lissu sio kila jambo uchangie
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
@@mussataturu7189 Mimi pia sio mwanasiasa ila bandari kwangu muhimu. Na amesema huwezi kutenganisha siasa na dini. Sasa wewe kalaga baho naona hujielewi.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
dini yetu sisi haijakataza siasa na nabii suleiman alikuwa kiongozi wa nchi na nabii pia Yussuf vile vile Omar swahaba na kiongozi wa nchi na wengine sasa dini yetu haijakatakaza ila imehimiza uadilifu kwa viongozi
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
Hata mimi naamini hivyo lakini sasa kuna tatizo la kukosekana uadirifu kwenye mkataba wa bandari mbona sisi waislam tunatetea? Tumeona watetezi wa mkataba kwenye serikari wanapandishwa vyeo hiyo ni rushwa je uislam unakubali rushwa?
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@husseinmkanga7794 sasa rushwa gani hapo hamna rushwa wewe hujui rushwa kuhusu mkataba wa bandari mimi sijui na sijawahi kuuona nausikia tu sitasema lolote nililoliona kwa watu ni kwamba hawawataki fulani ndo kinachogombaniwa sio moataba sio kweli
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 Tatizo ndugu yangu utaki kutafuta ukweli kwanza kinacho pingwa ni masharti yaliyo wekwa kwenye mkataba na mamlaka waliyopewa Dubai. Sasa tafuta mkataba usome vizuri. Rushwa ipo. Mwanamke au mwanaume akifanya mapenzi na kwa ajili ya kupata kazi au kupandishwa cheo inaitwa rushwa na ngono au zinaa. Wabunge wengi walipitisha mkataba kwa ajili ya kumfurahisha mwenyekiti wao ili wasienguliwe kwenye ubunge 2025 ili waendelee kupokea fedha wanazolipwa bungeni. Hiyo ni rushwa ya kulinda nafasi zao za ubunge sio kwasababu wanakubali mkataba ni mzuri. Ukiongea nao pembeni wanasema hawataki kiwakute kilicho mkuta spika ndugai kwakusema tunakopa sana tutauza nchi najua unayajua yaliyo mkuta. Hata spika wa sasa hakatai yanayosemwa ila kwa utetezi wake amesema sio mkataba ni makubaliano. Kwahiyo anakubali kwamba kuna matatizo kwenye hayo anayoita makubaliano. Sasa kwa sheria zetu za nchi makubaliano yeyote ambayo yanaweza kutumika kwenye mahakama ya kisheria ni mkataba. Sasa shekh Kundecha ana elimu ya kutosha ukimuuliza pembeni atakwambia huu ni mkataba na siyo makubaliano kisheria. Watu wengi wanachoomba vibadilishwe vipengele vyenye utata kama havibadirishiki hilo ni tatizo basi itabidi ufutwe wafanye maongezi mapya wasaini mkataba utakaolinda ya kumiliki na kusimamia lasilimali zetu kama taifa. Kama tunavyoipenda dini yetu tulipende taifa letu pia. Najua Dubai ni waislam wenzetu lakini tukumbuke Dubai sio Tanzania sisi ni waislam wa Tanzania tutetee taifa letu. Chakufanya waislam tusiseme tu hapa kuna udini tunatakiwa tuufanyie kazi kama kweli wanayosema wapingaji kuhusu mkataba ni kweli basi ubadilishwe au zibadilishwe sehemu ambazo hazifai maisha yaendelee mimi ni muislam lakini ninacho uelewa huu mkataba hivi ulivyo siukubali. Unajua hata Magufuri aliwambia wachina hayakubali masharti waliyoweka kwenye mkataba wa bandari ya bagamoyo wachina wakakataa kukaa mezani kubadilisha mkataba ukafa lakini umerudishwa tena kwenye mkataba huu. Kama ukiusoma vizuri. Shekh Kundecha anasema walitaka waislam tupate hii elimu nyingine ili nasisi tusipitwe maana tulikuwa nyuma.
kiumbe wa kwanza kutumia kiasi ni ibliisi je kiasi nikatika dini ?
48:12
Usimdharau usiye mjua  (Sheikh Kundecha)
4:59
hadaika Islamic
Рет қаралды 9 М.
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 40 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 53 МЛН
RUDISHA NGUVU ZA KIUME KISUNNAH bila kutumia madawa! By Maalim Qassim
7:38
MSHINDI WETU NDIYE HUYU KUTOKA ALGERIA
9:37
AL TIJARAH AL RABIHA TV
Рет қаралды 4,2 М.
Kisa cha Mwalimu Nyerere Kulishwa Sumu
12:13
Kalamutz
Рет қаралды 9 М.
Nyakati 3 Ambazo ni Haramu Kusali - Sheikh Mussa Kundecha
9:07
SIRI za ndoa za SIRI
20:09
Kalamutz
Рет қаралды 8 М.
Kamba ya Ndoa nyingi hukatikia hapa
17:52
Kalamutz
Рет қаралды 1,4 М.
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН