Pamoja Na magumu haya yote Mungu atabaki kuwa Mungu,Mungu awe faraja kwen
@thomastarimo Жыл бұрын
Pole sana kaka
@ulimbokaaloyce75282 жыл бұрын
Mungu anawatafuta watu wenye imani kama wewe mchungaji mwakipesile ingawa roho inauma lakini Bado Mungu atabaki kuwa Mungu tu,
@micpaul35426 ай бұрын
Dunia ni Mahali salama kwa wenye haki ikiwa tu kiongozi wao ataisafisha kwa kutenga ngano na magugu ,,, Mapigo ya wadhalimu yatatoka kwa Bwana Hata kama unamchukia mtu haipaswi kufikia kutoa uhai wa mtu Mtu anathamani kubwa sana Machoni pa Mungu alie hai
@anenragnesmunis84904 ай бұрын
Yaan maisha siwez kila mtu anajaribu lake
@zawadikwalazi62136 ай бұрын
Nimejijuta nalia..pole sana🙏🙏😢
@helenachaula25982 жыл бұрын
Poleni sana Mungu atabaki kuwa Mungu
@mestonianatori72542 жыл бұрын
Yohana 3:16 Ilimbidi YESU mwana pekee wa Mungu Afe kwa ajili ya kuikombowa Dunia.. Na Shujaa wokovu Alitamani Atangulie kabla ya babà,na kumbe amewafia wengi, Du ramani ya Mungu ni ngum
Poleni sana kwa majonzi makubwa mwenyezi mungu ammpumuzishe kwa amani
@SalumuImamu6 ай бұрын
poleni sana mungu awatie nguvu
@martinaalphonse26422 жыл бұрын
Pole sana Kwa kumpoteza mpendwa wetyu wokovu mwenyezi Mungu akutie nguvu Kwa kipindi hiki kigumu👏👏😭😭😭😭
@suleshmacs12862 жыл бұрын
Pole kw msiba Bishop mungu akupe faraja kw wakti mgumu huu
@ElizabethObeth-jt7ky Жыл бұрын
poleni sana familiya ya baba mwakipesile
@macrinajoseph14222 жыл бұрын
Poleni sana waumini wote.pamoja.na.pastor..na.mke.wake.inahuzunisha.sana.huzuni isiyo farijika.na.mwanadam yoyote mungu mwenyewe.awafariji awape mioyo.ya ujasiri.kukubali kilichotokea sote. Tumetoka kwake na.kwake tutarudi mungu akujalie kupata wana wengine kama.ayubu. maana njia za mwanadam sio za mungu mungu awajalie .kushinda jaribu.hilo muweze kupita salama pamoja.na kanisa
@kilumiletvonline2001 Жыл бұрын
Poleni saana MUNGU awatie nguvu
@joycegideon82242 жыл бұрын
Yuko mfariji wa kweli awafariji
@happymbegalo29652 жыл бұрын
Duh jmn kifo ni fumboo la imani uwiii😭😭😭😭 tukeshee tukiombaa maana hatujui siku wa la saa
@Life-rmk2 жыл бұрын
Aliugua au, ni mdogo jamani
@annaelia40652 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭imeniumaa sanaa
@thomastarimo Жыл бұрын
Mungu wangu ata kufuta machozi mtumishi wa mungu
@khadejakhadeja97132 жыл бұрын
Pole dada nimelia Kama nipo karibu inauma Sana dunia tunapita poleni sana
@bupekalambo35132 жыл бұрын
Poleni wapendwa Mungu awape faraja ktk magumu haya
@Dreamer-wf9or2 жыл бұрын
Nenda shujaa, umeondoka kwa heshima.
@mercymutabe82062 жыл бұрын
Haki poleni sana
@joanithagidion97962 жыл бұрын
Bwana awatie nguvu katika hili pito ninacho fahamu ipo siku tutaonana na wapendwa wetu waliyo lala katika kristo yesu jipeni moyo ndugu zangu.
@ErastoMagaho11 ай бұрын
Aliugua au ilikuwaje jamani...
@noelmasawe30552 жыл бұрын
Matha mdg wangu pole kwa msiba wa mdg wako pia hongora kwa kazi nzur
@jackyluns82242 жыл бұрын
Aliugua nini huyo mtoto wa Mungu Jamani daah nimelia
@estershenene87872 жыл бұрын
Poleni sana
@pendomathayo26672 жыл бұрын
Pole Sana 😌😭
@leahbrown5912 жыл бұрын
Pumzika kwa amani wokovu
@linetwanjala42332 жыл бұрын
Poleni
@UlimwenguMilenga2 жыл бұрын
Twende mbele.
@romanamassawe8142 жыл бұрын
Mimi hata uniambie Nini, siamini Kama huyu mbarikiwa ni mzima, Mimi naamini huyu jamaa ni mwehu
@dorisfabian47762 жыл бұрын
Jamani kwani ana matatizo gani huyu mtumishi?
@romanamassawe8142 жыл бұрын
@@dorisfabian4776 huyu mtu ni mwehu kabisa, Kwanza amekosa adabu, mbarikiwa ni kijitu kisichokuwa na adabu hata kidogo, Kwanza mdomo wake ni mchafu, uwa anatukana watu bila kuogopa, kwa jumla ni kwamba huyu kijana Hana adabu, yupo Kama Teja mvuta bangi,
@ziadasadiki81966 ай бұрын
Siyo akili ya kawaida Yaani Mwanao anaumia kisa wewe mwenyewe halafu unasingizia watu, Sasa Kiongozi wa Dini na MUUNGANO wapi kwa wapi?? Kina Tundulisu nao wasemeje??! " Rohombaya haijengi" Viongozi wa Dini tupeni NENO LITUPONYE MSITUPANDIKIZE CHUKI ZENU BINAFSI HATUWEZI WENZENU TANZANIA 🇹🇿 YETU AMANI ❤
@deborahdickson81232 жыл бұрын
Huyu mtoto hawakumuaga mara ya mwisho au alkua amearibika jamn
@gabriellyadam94152 жыл бұрын
😭😭
@lucymwaijengo37902 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@fadhilikyandofadhilikyando56662 жыл бұрын
Polen
@hellenamdollo12312 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa, mungu awatie nguvi
@ommyhossea21762 жыл бұрын
Kipimo cha iman mungu akutie nguvu
@anetyjackson36172 жыл бұрын
Maumivu ayaelezeki mungu watie nguvu
@rosebrown5102 жыл бұрын
Alikuwa mdogo jamani, Mwendo umeumaliza mtumishi wa Mungu Wokovu
@bahatizuberi92652 жыл бұрын
Sasa hao waombolezaji wanapiga picha za nini? Hawatulii na hizo simu.