HIV/AIDS TREATMENT | TIBA YA UKIMWI | SWAHILI | SBK

  Рет қаралды 10,996

SANIRU TV

SANIRU TV

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@asteriashios1852
@asteriashios1852 28 күн бұрын
Watu wamepona Dr msigwa ndo mwenye kujua dawa wee hutajua ngangana na Arv tuu
@sanirukimweri9275
@sanirukimweri9275 28 күн бұрын
BaasI sawaa😊...watu waponee ni jambo jema
@ElizabethNdalahwa
@ElizabethNdalahwa 5 ай бұрын
Huna jipya wakala wa Arv kodi shamba uanze kulima dawa ipo kwa tr msigwa shindwa na ulegee.
@sanirutv2300
@sanirutv2300 5 ай бұрын
Eeeh Mungu nifundishe kunyamaza🤗🤗🤗. Nimependa complement yako.
@GuyoAli-ky7jp
@GuyoAli-ky7jp 2 ай бұрын
Nipe number yako
@sanirutv2300
@sanirutv2300 2 ай бұрын
​@@GuyoAli-ky7jp0767265466
@graceshayo5763
@graceshayo5763 8 ай бұрын
Hakun dawa lasmi lkn watu wanajitib na wanapona kbx
@ireneAidan-v1p
@ireneAidan-v1p 7 ай бұрын
Hi
@sanirutv2300
@sanirutv2300 7 ай бұрын
Asante sana Mtaalam...hii ndio maana ya dawa rasmi Mtaalam Grace...Virusi vya UKIMWI ni virusi pekee ambavyo vinatumia muda mrefu sana kusababisha kuumwa baada ya kuingia mwilini (miaka 10 mpaka 12) tunayoiita incubation period. Sasa ukitumia dawa za kupunguza makali vizuri (ARV) unaweza kufikia kipindi hata vipimo havisomi kama una shida, baadala yake inasoma 'undetectable' au negative. Hii haimaanishi kama uko negative. Na kwasababu VVU vinachelewa kuonekana ugonjwa unaweza kujisahaulisha ukahisi umepona. Nashauri kabla hujahitimisha kuwa umepona/amepona ukae/akae angalau miaka 10 tuone matokeo kama amepona halafu mtaalam aje kwenye scientific pannel atujibu maswali yetu kwa vitendo (practical) ili tupate nguvu ya kutetea hoja.
@LeyaWiliyam
@LeyaWiliyam 2 ай бұрын
Kwaiyo wasubil walio pona kwa msigwa wasubil miaka kumi watakuanaotena au duuuukazi ipo
@sanirutv2300
@sanirutv2300 2 ай бұрын
Virus vya UKIMWI kwenye kundi lake (Retrovirus) ndio virus pekee ambavyo vinapokuambukiza vinatumia muda mrefu sana kuonyesha dalili za ugonjwa (miaka 10 mpaka 12). Hii ndio maana tafiti zake zinahitaji ufuatiliaji wa muda mrefu sana kabla ya kuhitimisha ufanisi wa tiba au vitendanishi vyake. Hii ni kwa Taaluma ya matibabu ya kisasa (Modern Medicine). Sijazungumzia kuhusu tiba asilia (Traditional medicine) ila mimi ni muumini mzuri wa kusapoti kitu ambacho kitasaidia wagonjwa wetu wapone. Mimi ni mwalimu wa utabibu na uchunguzi wa Maabara kisasa (Modern Laboratory Medicine) sio mwalimu wa Tiba asilia (Traditional Medicine) lakini sisi sote tuna lengo moja la kumtibu mgonjwa wetu. Kwahiyo hapa ni sayansi tu najaribu kurahisisha yale ambayo yanaelezwa kitaalamu sana tukashindwa kuyaelewa vizuri. Tuyaelewe. Halafu mwisho tutajenga vizuri hili jengo letu la utabibu na wataalam watakuwa na weledi mzuri wa fani zao na watatutibu vizuri. Kwahiyo taarifa ninazoeleza hapa ni za utabibu wa kisasa tu (Modern Medicine) ule ambao unaenda hospitali kama KCMC au Bugando au Muhimbili au Aga Khan, baasi huo ndio nauelezea hapa ndugu. Asante.
@ElizabethNdalahwa
@ElizabethNdalahwa 5 ай бұрын
Utajua hujui
@sanirutv2300
@sanirutv2300 5 ай бұрын
Kweliii🤗🤗🤗
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 26 күн бұрын
Usiseme hakuna dawa sema dawa zipo za kutibu h I v
@sanirutv2300
@sanirutv2300 26 күн бұрын
Hilo unapaswa kusema wewe ambaye una uhakika!!! mimi vyanzo vyangu na taaluma na uzoefu wangu unasema hivi nilivyosema. Angalia kwenye description nimekuwekea tovuti za kukazia haya maarifa ya namna hii ndugu yangu...
@YudaDonald
@YudaDonald 7 ай бұрын
Huna jipyaaa suruhisho la ukimwi lipo kwa try msigwa
@mendradajoseph
@mendradajoseph 7 ай бұрын
Nimecheka kumbe unamfatilia msigwa
@sanirutv2300
@sanirutv2300 7 ай бұрын
Hahahaaaa...bado hujasema badoo...utajitahidi kama viral load ikiwa undetectable level usije ukasahau kuwa hiyo siyo negative mtaalam ....hahhaaaa
@EuniceGeorge-jm9ms
@EuniceGeorge-jm9ms 5 ай бұрын
Anapatikan wap huyo try msigwa
@sanirutv2300
@sanirutv2300 5 ай бұрын
@@EuniceGeorge-jm9ms @YudaDonald
@Kanga-pu6yl
@Kanga-pu6yl 4 ай бұрын
Wapi waliopona Kwa msigwa. Wacheni sarakasi. Toa orodha kamili na yote yatafika kikomo.
@FrenkMatei
@FrenkMatei 2 ай бұрын
Binga nitr msigwa pekeyeke
@sanirutv2300
@sanirutv2300 2 ай бұрын
👍👍👍✊✊✊
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 Ай бұрын
Naomba muongozo nampataje?
@JamesNgole-ls6ig
@JamesNgole-ls6ig Ай бұрын
Nampataje huyo msigwa
@sanirukimweri9275
@sanirukimweri9275 Ай бұрын
kzbin.infoUpwfE6IUuQw?si=0q0SemxDQOINg-qx
@msongeomary6195
@msongeomary6195 18 күн бұрын
Huo msigwa anapatikana wapi
@AnathIssa
@AnathIssa Ай бұрын
Ushindwe na ulegee toa mapepo yako acha hunafiki hunadhani autakufa wewe
@sanirukimweri9275
@sanirukimweri9275 Ай бұрын
Duuh imekuwaje tena Anathlssa...
"MWENYE UKIMWI HAWEZI KUAMBUKIZA WENGINE"
5:32
Wasafi Media
Рет қаралды 3,9 М.
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 84 МЛН
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,8 МЛН
The Future of HIV Treatment
16:51
Community Health Network
Рет қаралды 24 М.
PIPI KIFUA (TOPICAL MINT) INANOGESHA MAHABA CHUMBANI
4:20
Wasafi Media
Рет қаралды 354 М.
DAWA MPYA YA UKIMWI IMEANZA KAZI KWA WAGONJWA
6:27
Jambo FM Radio Tanzania
Рет қаралды 9 М.
MFANYIE IVI, ILI AKUTOMBE VIZURI ❤️
6:08
Betty Chanzi katuku
Рет қаралды 127 М.
FAHAMU KUHUSU WATU AMBAO HAWAWEZI KUAMBUKIZWA UKIMWI
4:20
Afya Tips
Рет қаралды 351 М.
TR MSIGWA MTAFITI WA DAWA ZA BINADAMU AFUNGUKA
1:09:51
Bongo5
Рет қаралды 21 М.
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 84 МЛН