HIZI HAPA NYUMBA MBILI KAJENGA CHINO MOJA KUMPA MAMA WA RAFIKI YAKE ALIYEFARIKI KWENYE AJALI

  Рет қаралды 91,559

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 212
@sonicaghendewa9886
@sonicaghendewa9886 10 ай бұрын
Dahhhh nimeliaaa 😢😢😢 MUNGU akubariki Chino. Wewe ni Mwana, Rafiki wa kweli 🎉🎉🎉 We love you Chino❤❤❤
@RoseeyRoseey
@RoseeyRoseey 10 ай бұрын
Huyu chino atafanikiwa sana wachache wenye moyo kama wake Mungu akubariki na akuepushe na kila baya.
@AminaAmine-v4m
@AminaAmine-v4m 10 ай бұрын
Mungu namie nipe riziki niwalee watoto wa mdogo wangu allh amurehemu😢😢😢
@Lassana755
@Lassana755 10 ай бұрын
Ameen
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 10 ай бұрын
Amiin yarab Allah akufanyie wepesi yarab
@saidibanda8347
@saidibanda8347 10 ай бұрын
Pole sana
@mohamedally5225
@mohamedally5225 10 ай бұрын
Mbn km hiyo sehem inaingia maji
@bernaberna4159
@bernaberna4159 10 ай бұрын
Pole
@FazilaAali-r8d
@FazilaAali-r8d 10 ай бұрын
Chino kaka angu utafanikiwa sana mungu akupe baraka uzidikupata zaidi yahicho itakua biliget kaka aminia chino ❤❤❤❤❤❤
@reisedyy4910
@reisedyy4910 10 ай бұрын
Toa namba chino tukutumie chochote. Wewe ni mtu katika watu🙌🏾
@juniorsonofgod5675
@juniorsonofgod5675 10 ай бұрын
Nikweli kbs
@jamilally3916
@jamilally3916 10 ай бұрын
nikweli
@StephenMiyeye
@StephenMiyeye 10 ай бұрын
​@@juniorsonofgod5675😢😢
@NanyondoJoseph
@NanyondoJoseph 10 ай бұрын
😂ila watu
@aisharamdan8358
@aisharamdan8358 10 ай бұрын
Sana nikijana mdogo anamoyo wakipekee Sana
@shamsaali982
@shamsaali982 10 ай бұрын
Pure gold heart and genuine person may l Allah blessing you and family inshaallah big respect ✊ love you brother peace love and unity always ❤
@EzekielMolel-c4f
@EzekielMolel-c4f 10 ай бұрын
V😮
@estakapufi7582
@estakapufi7582 10 ай бұрын
Kafanya kitu kizuli sana, hichi kitu kakiwaza usiku na mchana kwakuwa kampoteza mtu anaempenda safi sana mungu azidi kukupa umli mlevu sana.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 10 ай бұрын
Mungy akubariki sana mtoto Chino kwa kumjali mzazi wako na kumjali kumjengea rafiki yako marehemu Dereva wako wazazi wake Mungu akupe nguvu zaidi
@ezekiamgimbaofficial5694
@ezekiamgimbaofficial5694 10 ай бұрын
Blessed 😇 Chino watu wajifunze kwako😢😢😢😢😢😢
@YoungllyNonga
@YoungllyNonga 10 ай бұрын
I support you bro chino god bless you long life 😊
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 10 ай бұрын
You wil never luck Chino huwa nakukubali sana Allah azidi kufungulia Mashallah...much love frm mombasa kenya❤❤❤
@twalebleboss9687
@twalebleboss9687 10 ай бұрын
NAPENDA VIJANA KAMA...#CHINO...UPEO WA AKILI NA MTAZAMO..PAMOJA NA HURUMA NA UTU...#MAASHAALLAH ..Allah azidi kukuongezea....#AMEEN 🙏🤲🙌
@shalifahaly7162
@shalifahaly7162 10 ай бұрын
pole kaka na ongera kwa kuanza kuitimiza ahadi iliyo aid Mungu akujalie na akuongoze
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 10 ай бұрын
Kama ni mapenzi ya Mungu, ubarikiwe sana, ila kama ni kafara ushindwe kwa jina la Yesu.
@Grtudajunior-cw5zp
@Grtudajunior-cw5zp 10 ай бұрын
Ishi chinno be blessed with your family unamoyo pure sanaaa mungu akuweke sanaaaa
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 10 ай бұрын
Kafanya jambo zuri sana kumkumbuka mama wa rafiki yake hakika ni faraja nzuri sana, bigup to chino 👏👏
@annawinstone9426
@annawinstone9426 10 ай бұрын
Mungu bado anawatu wake hapa dunian jamani 😍😍😍😍 hii imeniliza
@sabraali1118
@sabraali1118 10 ай бұрын
Mungu akuzidishie uwe na Imani hiyo hiyo ktk maisha yako yote mashaallah ❤
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 10 ай бұрын
Sabra
@maryamChumas
@maryamChumas 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Kokafamil
@Kokafamil 10 ай бұрын
Acheni imani potofu jamani yeye na Mungu wake ndio anajua kama ni kafara au ni kudra za Mungu don’t be so quickly to judge
@sonicaghendewa9886
@sonicaghendewa9886 10 ай бұрын
Urafiki wa Wanaume huwa ni urafiki hasaaaaaa wa kweli kabisaaa. Sisi wanawake sasa🙌🙌🙌
@boscokikoti
@boscokikoti 10 ай бұрын
Hahah
@mrsinia3064
@mrsinia3064 10 ай бұрын
nyie wachawi😂😂
@faridaabdallah7424
@faridaabdallah7424 10 ай бұрын
Tunaroho mbaya hatupendi mwamamke mwenzako akuzidi tuna urafiki wa kinafki
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 10 ай бұрын
Sio wanaume chino anaroho nzuri
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t 10 ай бұрын
Inategemea mm nilikua na rafiki yangu hata sain ameweka ktk hat yang.
@khamisramadhan686
@khamisramadhan686 10 ай бұрын
Mungu akuzidixhie brother🎉🎉🎉🎉🎉
@asyahassan2656
@asyahassan2656 10 ай бұрын
In Shaa Allah Mwenyezi Mungu akuzidishie. Akubarik. Ameen
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 10 ай бұрын
Dah we kaka Mungu awe nawe milele ❤❤
@pizzycrazzy
@pizzycrazzy 10 ай бұрын
God bless you kaka🙌🏻🙏🏻
@ZuberSalum-mq4jy
@ZuberSalum-mq4jy 10 ай бұрын
Bro we ni bora sana kwaku hoji unaweza kuwafanya watu watoe mashauzi kwenye majibu bali jibu kuwa funzo kwa mpokeaji kabisa rstcp
@StimaOfficial
@StimaOfficial 10 ай бұрын
Mchizi ana moyo wa ajabu sana Atafanikiwa sana🎉
@ChenchiKing
@ChenchiKing 10 ай бұрын
Kweli Ahutukwazi Tajiri Mungu Akupe Maisha Marefu Kwa Kweli Na Moyo Kam Huu Na Wasanii Watu Wajifunze Hapa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JohnRossan-pk5cl
@JohnRossan-pk5cl 10 ай бұрын
Chino mungu akuzidishie ktk utaftaji wako kubwa sana hilia
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 10 ай бұрын
Mungu yupo pamoja na wewe kwa Kila jambo kadri na Nia Yako mungu atakufikisha mbali na tutaona ameen
@StivemarleyBaruswage-sx6gd
@StivemarleyBaruswage-sx6gd 10 ай бұрын
God bless u chino kid akuwekee wepesi katika mitikasi yako
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 10 ай бұрын
Bigup to chinno kidd. He's loyal❤
@patriciatumain172
@patriciatumain172 10 ай бұрын
Chino wanna man mungu akubariki katika kila Jambo lako ufanyalo
@emmanuelmwansasu347
@emmanuelmwansasu347 10 ай бұрын
Dah initia uzuni na faraja chino mungu akuzidishie umeonesha moyo wa huruma sn na upendo
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 10 ай бұрын
Ubarikiwe zaidi Chinno, endelea kuwa na moyo huo huo
@Gabonfreeman
@Gabonfreeman 10 ай бұрын
God bless you brother 🎉🎉🎉
@wolframmwalo2432
@wolframmwalo2432 10 ай бұрын
Nakuunga mkono chino nawe ukifika level ya rangi Venco Group Limited tutakupa rangi bure
@lisaabdallah1415
@lisaabdallah1415 10 ай бұрын
Dah nimetoa machozi ila chino mama amekuzaa na una moyo wa mama ako sio rahisi wamama walio toka kwenye dhiki akakubari kufanya hayo ubalikiwe sana na uzidi ulipo pungua inshallam
@zubeaslay6566
@zubeaslay6566 10 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki #Chino💯🙏✨Love from 🇺🇸
@JosephMoses-y5p
@JosephMoses-y5p 10 ай бұрын
Huu ndio ubinadamu big up sana
@fauzenkassim8424
@fauzenkassim8424 10 ай бұрын
Mashaallah M-mungu akusimamie InshaAllah 🤲
@BHALEEALI
@BHALEEALI 10 ай бұрын
Mungu akupe ulipo pungukiwa na akupe umri mrefu wa mafanikio
@agreyjonas5015
@agreyjonas5015 10 ай бұрын
Ish sana mwanang chino una moyo wa kipekee sana 😢😢😢😢 ni wachache sna
@yousufyousuf5963
@yousufyousuf5963 10 ай бұрын
Oya big up bro allah akuzidishiye kwa moyo wako
@hanifamziray277
@hanifamziray277 10 ай бұрын
Hongera sn sn unamoyo wa kutoa broo alkah akuzidishie
@bernaberna4159
@bernaberna4159 10 ай бұрын
Hongera sana mungu akufungulie Tena riziki ❤❤
@MgeniMawazo
@MgeniMawazo 10 ай бұрын
🎉🎉Mungu akubariki na akuraisishie kwa kila unaco kifanya
@florahhemedy4053
@florahhemedy4053 10 ай бұрын
Pure heart ❤️ wee chinooo
@mrsinia3064
@mrsinia3064 10 ай бұрын
Wew ni mfano wa kuigwa chino very congrats for that 👊👊
@bongo39
@bongo39 10 ай бұрын
Hongera kijana mungu atakubariki zaidi
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 10 ай бұрын
Mungu akuzidishie kwa roho Yako inshallah
@skyscapeinternational9658
@skyscapeinternational9658 10 ай бұрын
chino mungu amjalie kikubwa kwakuwa ana moyo uliokuwa saaafiii
@Zubaiba
@Zubaiba 10 ай бұрын
Seleman kinyonyi Mbona una mpiga mungu ,kazi ya mungu haina makosa,ila mungu akusamehe ktk kauli yako
@alizaharan1471
@alizaharan1471 10 ай бұрын
MUNGU ALUONGEZEE KWAKWELI NA PIA MAMA ANAMOYO KAMA WAKWAKO AU UMECHUKUWA MOYO WA MAMA YAKO MUNGU AKUSIMAMIE
@hassanmasuke5078
@hassanmasuke5078 10 ай бұрын
Utafika mbali bro mungu akuweke
@venusmillonge4240
@venusmillonge4240 10 ай бұрын
Sasa hawa ndio watu hata wakiomba mchango mnawachangia sio wale wanapost only gud times......chino toa number tukushike mkono
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 10 ай бұрын
Pure gold heart
@salamaalihemed6220
@salamaalihemed6220 10 ай бұрын
Mashaallh mungu akupe nguvu n umri mrefu
@wilsonjaphet5547
@wilsonjaphet5547 10 ай бұрын
Iyo sehemu msingi wangenyenyua juu kidogo Inaonekana mvua ikinyesha maji yanatuwama
@Officalnaph
@Officalnaph 10 ай бұрын
yaaah inaonekana ni sehem ya maji hivyo msingi ulitakiwa kuwa juu sana
@feezdidthis2220
@feezdidthis2220 10 ай бұрын
Sharo pia alifia apo apo.. Kuna nini apo kabuku
@NapatNapat-x6i
@NapatNapat-x6i 9 ай бұрын
Yaan kk chino mungu akuvuwe hili na jengine
@albertmalenge-cs6zy
@albertmalenge-cs6zy 10 ай бұрын
Daaah very emotional aiseeeh👏👏👏😢😢
@ZainabuIddy-r1o
@ZainabuIddy-r1o 10 ай бұрын
Congratulations ❤
@Zubaiba
@Zubaiba 10 ай бұрын
Mungu akuzidishie
@1czay
@1czay 10 ай бұрын
Mungu amzidishie mara dufuu❤❤
@InnocentRichard-qs8ux
@InnocentRichard-qs8ux 10 ай бұрын
Why mtangaze hizi?
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@MwanjiNzala-mo5ni
@MwanjiNzala-mo5ni 2 күн бұрын
Na asingemtoa mwenzie kafara mpaka leo.angekuwa anasota sema nn ela.zinahitaji ujasiri sana
@hamischitanda3693
@hamischitanda3693 10 ай бұрын
Wasanii waongo unasema tulikuwa tunawashangaa au ndio watu wa kwanza kuja kuwaokoa
@maryamChumas
@maryamChumas 10 ай бұрын
Barikiwa sanaaa chinoo❤❤❤❤❤❤❤
@dulahshabani8159
@dulahshabani8159 10 ай бұрын
Siku zote ukitoa kwa moyo mungu anakupa zaidi hivyo chino ni mfano mzuri so tujifunze kutoa
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 10 ай бұрын
Cha kusema innallilah wainna ilaih rajiun Allah amepanga na anachotaka anafanya ndugu umeongea kwa moyo safi Allah akufanye uwache music urudi ktk dini ya haki ambayo ni uislamu kwa utafaulu
@halimamwaita2929
@halimamwaita2929 10 ай бұрын
Mungu akuzidishie.inshalh
@GladnessSanga-ek6wd
@GladnessSanga-ek6wd 9 ай бұрын
Mungu akubarik jmn
@AderickErick
@AderickErick 10 ай бұрын
Dah so pain jinsi brother anavyoelezea kwel n kutoka moyon mung atasimama na wewe chino
@BarackaSaim-ev3gk
@BarackaSaim-ev3gk 10 ай бұрын
Hongera sana bro
@omanmct135
@omanmct135 10 ай бұрын
Subhanalllah neno lamungu halina makosa
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 10 ай бұрын
Mariooo mama yake hana nyumba ila kamjengea paulaaa .hiii ndio bongoooo
@ChoroTesla
@ChoroTesla 10 ай бұрын
inawezekana wakati wa ajari jamaa alipata internal bleeding yawezekana kichwani au kwenye maeneo ya kifua na kupelekea kupoteza uhai wake ndo mana chino anasema jamaa livyotoka akawa anajishika kichwa
@Zubaiba
@Zubaiba 10 ай бұрын
Ndugu zangu mlio.na imani ya uganga,muamini mungu,maana mnampatisha marehem dhambi,hakun mtu anayekufa bali ni ahadi yake ishafika
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 14 сағат бұрын
Miez mitano mbele marenji manini kama sio kafara nini?
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 10 ай бұрын
Chino kaka wewe unaroho nzur sana ,,ila punguza show off mala nyingi watu sio wema na sio wazur,,,acha kuonyesha mafanikio yako kwanza na kama ukitoa misaada ,,mala nyingi watu sio wema,,ila ongera na mungu akubariki kaka mana unaroho nzur sana
@mrsinia3064
@mrsinia3064 10 ай бұрын
ila so kwaubaya anatak kuwamotivate nawengine
@jamesmwamakula6684
@jamesmwamakula6684 10 ай бұрын
Kwan ww ungejua kama kafanya haya? elewà màaña ya kuwa msanii±kioo cha jamii!
@asyahassan2656
@asyahassan2656 10 ай бұрын
He is a very nice guy, no doubt
@salimmwabundu958
@salimmwabundu958 10 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki
@djjackdjjack5055
@djjackdjjack5055 10 ай бұрын
God bless you chino
@JacksonMwanyamba
@JacksonMwanyamba 10 ай бұрын
Chino mungu akubariki sana.
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 10 ай бұрын
MUNGU Akubariki chino'
@kiosoomastory
@kiosoomastory 10 ай бұрын
Duuuh dunian watu kama ww hawafik 100,una moyo wa utoaji sana
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 10 ай бұрын
Wasanii wanapo Anza hua Wana Moto Safi. Shida hua nipale wanapo taka kikubwa ndo na mikataba ya kuzm inaanzia hapo
@SwaleheAlly982
@SwaleheAlly982 10 ай бұрын
Allah huma amiin 🤲🤲🤲
@RahimuOmari-n3y
@RahimuOmari-n3y 10 ай бұрын
Kifo ni siri ya mungu tumuachie yeye muumba alie tuumba basi waliopona poleni sana na huyo aliefariki mungu ampumzishe mahali pema
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 10 ай бұрын
Jambo jema Sana Chino 💥🦵🎼🎶🎵👊🖐🏽💯
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 10 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah ❤
@happynkya9770
@happynkya9770 10 ай бұрын
ajali iskie tu brouh, hukumbuki chchte humkumbuki yyte akili inakuwa ishapanic
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana sana chino
@jastinikessy
@jastinikessy 10 ай бұрын
Jembe sana Mungu akubariki sana
@jacksondaniel5577
@jacksondaniel5577 10 ай бұрын
Mbona baba simsikiii akizungumziwa?
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 10 ай бұрын
Wewe uoopo sahihi sio wasaniii wengine wanaigoza maisha
@GefreySamson-ch5sn
@GefreySamson-ch5sn 10 ай бұрын
God bless you brother man
@Emmymajula5838
@Emmymajula5838 10 ай бұрын
Mungu akubariki brother
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 10 ай бұрын
Wowowo 😢😢😢😢alf pazuri sana
@emanuelmsolopa2018
@emanuelmsolopa2018 10 ай бұрын
Bless chino❤
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Steve Mweusi
Рет қаралды 191 М.
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 27 МЛН
Wait for it 😂
00:32
ILYA BORZOV
Рет қаралды 6 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,9 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 12 МЛН
Jaivah x Marioo - Buruda (Official Visualizer)
3:48
JAIVAH
Рет қаралды 6 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 27 МЛН