EXCLUSIVE: AFANDE WA AMAPIANO ASIMULIA MAMA YAKE KUMKATAA, KUWA OMBA OMBA MPAKA KUCHEZA BAR.

  Рет қаралды 456,083

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 818
@Gmavoicetz
@Gmavoicetz Жыл бұрын
Naujua uwezo wako mwanangu Sana, nikikufahamu kwa jina la NYORI wakati ukiwa Tabata zidi kupambana mwanangu, kweli maisha yanachangamoto kwa nilivyokua nakuona sikujua kma ulinipitia changamoto Kama hizi Mshikaji wangu zidi kupambana na mungu akutangulie katika haso zako🤝👊💪🙏👨‍🍳
@rashidymussa1320
@rashidymussa1320 Жыл бұрын
Huyo dogo atafika mbali sana ukiacha historia yake ya maisha nilichokipenda kwake ni utulivu wa maneno yake anapokua anaulizwa na kujibu vzr anaonekana kabisa ananidham sana maana hana lugha chafu, big up sana
@shammybeybe1825
@shammybeybe1825 Жыл бұрын
Very true, anajibu kwa utulivu na sio ulimbukeni
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 Жыл бұрын
Yuko Smart kwa chumba chake hadi raha yaani,hongera sana kijana,Mungu aibariki kazi yako,hongera hata kwa mama yako,ni anakupenda sana,ndiyo maana mpk leo upo alichagua uishi,hakutoa mimba yako❤❤❤ ,sema umebarikiwa busara na upendo mdogo wangu,
@lewisleonard3672
@lewisleonard3672 Жыл бұрын
Yaani nimesikiliza interview yote kwa furaha ila hapo kwenye kumpenda mama yako nimejikuta nafurahi hadi machozi yamenitoka Mwenyezi Mungu akubariki zaidi 🙏🏻❤️😍😍❤️❤️💌🎉
@bashwekajoswam9306
@bashwekajoswam9306 Жыл бұрын
Be blessed
@SaifKhan-zi6xt
@SaifKhan-zi6xt Жыл бұрын
Kila jambo lina sababu yake my dia kumbe vile mamake alivyokua anamwambia vile ndo ilimpa nguvu ya kupambana mamake alijua akienda mjini ataharibikiwa
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 Жыл бұрын
Umeniliza 😢 mdgo wangu mwenyezi Mungu akupe maisha malefu na uwe mtulivu hivo hivo usi msahau rafiki yako mlikuwa mnapiga vigoma mtaani ❤
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 Жыл бұрын
Nami kanitoa mchozi! Hiyo stori yake na mama yake imenigusa sana. Hakika ashikamane na yule mwenziye wa kupiga vigoma mtaani. Huyu kijana ana moyo mkunjufu na yupo makini katika shughuli zake!
@JoyceStai-ep8zx
@JoyceStai-ep8zx Жыл бұрын
😂😂❤❤
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 jamani nimejikuta natokwa machozi kwa furaha ya kumuona huyu kijana .namfahamu sana tena sana, nyie watu maisha yanachangamoto sana, mama na huyu mtoto nilipanganae nyumba moja huku mbagara kijichi njia ya ng'ombe, rakini mateso aliyokuwa akipitia kwa mzazi wake mama eda hayakutulizisha kama wazazi wenzie, alikuwa na watoto watatu wakiume wawili wa kike mdogo sana ambae ndo wa mwisho na jina rake eda, ila marezi aliyokuwanayo huyo mdada kwa huyu mtoto wake maiko utasema hakumzaa yeye, ilifikia mpaka kutwambia siyo mtoto wake ila binti wake wa kazi akatuambia furu ukweli kwamba ni wake, kwa kifupi nimefurahi sana kumuona tena baada ya kumsafirisha tu kapotezana mda sana ila nimeamini kweli mungu siyo mwanadamu hata amtupe mjawake 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 du🤔🤔🤔asante mungu
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 Жыл бұрын
Kwanini hukumsaidia hata Elfu 10
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 Жыл бұрын
@HalimaMaiko-vn8ss Pole sana ndugu sasa tujifunze isije kutokea kwa watoto wetu Mungu atuasaidie tu
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr Жыл бұрын
​@@sabinaonline6575😂😂😂wenae khaa
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr Жыл бұрын
​@HalimaMaiko-vn8ssduu pole sanaa
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
​@@sabinaonline6575yap roho zinatembea Sana Nami nimepitishwa kwenye mazito na wazazi wangu so napambana nisitese wanangu kwani kuna mda nahis nawachukia Ila alhamdullillah mume Wang anapambana na hiyo hali
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
😢😢😢mama yako amezaa kijana mwema mwenye hekima Mungu akutunze na azidi kukutunza
@Mihamemusic
@Mihamemusic Жыл бұрын
God abless
@lambaboy
@lambaboy Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/navEi3xorrigaJo
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Jamani wanaume mpaka wapate pesa wanapitia magumu wanawake waeshimuni wanaume god bless you kijana mungu akutangulie
@bajosdamour2347
@bajosdamour2347 Жыл бұрын
Ameen 😊
@JAMHURI_IMARA-dl4ln
@JAMHURI_IMARA-dl4ln Жыл бұрын
Point👍
@Dj2nyi
@Dj2nyi Жыл бұрын
Umenena vema
@ngaukamaita3979
@ngaukamaita3979 Жыл бұрын
Hakika umenena
@boscokikoti
@boscokikoti Жыл бұрын
Kabisa dada yangu
@ZulekhaMiraji
@ZulekhaMiraji Жыл бұрын
Kijana anaongea kwa utulivu Sana Yuko poa Sana Mungu amuendeleze apate nyumba na magari na kila anachohitaji
@personpeter2221
@personpeter2221 Жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU humpatia mjawake anacho stahili kpata na cyo anachoktaka mja
@asiamerey9081
@asiamerey9081 Жыл бұрын
Amen Inshaallah
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Жыл бұрын
Amen
@AntidiusRudo
@AntidiusRudo Жыл бұрын
Mung atamjalia xna
@lambaboy
@lambaboy Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/navEi3xorrigaJo
@peninajohn4721
@peninajohn4721 Жыл бұрын
Wow Nakuombea upate mafanikio makubwa zaidi na zaidi kaka Mungu akubariki sana❤❤❤
@tukamuhabwaeunice1859
@tukamuhabwaeunice1859 Жыл бұрын
Jmn mimi naenda samaki samaki kwa sababu yako afande...pambabana. mdogo wangu.
@adammbarouk4379
@adammbarouk4379 Жыл бұрын
Hongera sana umepitia magumu,mwenyezi mungu ni mwingi wa rehema.ushauri wangu tafuta chumba cha laki jaribu kutunza pesa na usiwe muwazi saana hasa unapoulizwa juu ya kipato...watu tunahusda
@photography403
@photography403 Жыл бұрын
Kwangu Mimi hii ndiyo best best interview since nimeanza kufuatilia Ayo Tv🔥🔥🔥 🙌
@johanescharles5313
@johanescharles5313 Жыл бұрын
Hakuna kosa la mama wala mjomba,walihitaji asizulule awe sehemu inayoeleweka
@mussomachupa7252
@mussomachupa7252 Жыл бұрын
Dogo anachekesha😅
@leganmichael6148
@leganmichael6148 Жыл бұрын
Hongera sana,kijana wewe ni shujaa wa maisha yako. Mungu kila mmoja humpitisha njia zake.
@erickatilyosylyavala5885
@erickatilyosylyavala5885 Жыл бұрын
Pole, Hongera sana Mwanangu. Ila wanaume tunapitia magumu sana. Mungu aendelee kukuinua mwamba. Na usiache kuwapenda waliokukataa maana hao ndio walikupa nguvu zaidi ya kupambana
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 Жыл бұрын
Mwanamke mwenzangu naona aibu Mimi pamoja nakua unapokea msaada wa mtoto muombe msamaha ulimuonyesha chuki mbaya kama hujamzaa 😢😢😢
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 Жыл бұрын
Kbs hadi aibu mi natamani kuwa na kijana km huyu kijana ana moyo sana na mapenzi Kwa mama yake pamoja na kufanyiwa chuki bado anampenda mama yake
@rebeccamayo911
@rebeccamayo911 Жыл бұрын
@@winnifridaashery4449 hata Kama wanasemag mzazi hakosei Ila hapo duuh amebugi
@rosemaryjoseph768
@rosemaryjoseph768 Жыл бұрын
Sio kwa ubaya aliamin akienda kwababa yake atasoma atamsaidia hakutaka awe mdhuluraji ndochuki ilipoanzia nayeye Alikuwa ataki kukaa kwa mama wakambo kisa mateso
@tammysalum5475
@tammysalum5475 Жыл бұрын
Imagine,
@agustinomatefu4277
@agustinomatefu4277 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mdogo wangu Keep going Maisha ni Safari ndefu SANA wewe endelea Kumwamini Mungu na kumtegemea Mungu...Bila kusahau Kufanya Kazi Kwa Bidii na Kujituma Lazima Utoboe Mungu Si Dhalimu ata Aseme uongo...Nakuthibitishia Lazima Ufanikiwe Sana...Sana Kabla haujarejea Kwa Mungu.
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu azidi kuku funguliya njia mdogo wangu duniyani kila mtu ana mapito yake
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Funzo kwetu sisi kina Mama, tuache kukaza kwa watoto wetu. Ipo siku watakuwa watu kama wengine, Mwenyezi Mungu akujaalie Afande Mura👏👏
@dennisngonyani1795
@dennisngonyani1795 Жыл бұрын
Sometimes wengine ili watoboe wanapitia magumu mengi
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Жыл бұрын
Kukaza
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
Hiyo kukaza pia ni njia ya kumfanya apambane. Pengine asingefika stage hiyo aliyo
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
@@maymunamakungu6265 nikweli pia
@nuruurio8319
@nuruurio8319 Жыл бұрын
​@@maymunamakungu6265hiyo ni kweli
@amosdaniel1327
@amosdaniel1327 Жыл бұрын
Kuna Watanzania' wana mioyo miema sana" be blessed,,
@venancelinus
@venancelinus Жыл бұрын
one of ther greatest interview of the year from humble and real man
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Mwanangu mimi nakuombea sana Kwa allah akuongoze vyema Aamen
@aishadotto3640
@aishadotto3640 Жыл бұрын
Sura yako tu jeshi tena MP❤
@aminakipande5645
@aminakipande5645 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@aminakipande5645 🤣🤣🤣🤣🤣
@mayramayra7945
@mayramayra7945 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@danielmlanda2546
@danielmlanda2546 Жыл бұрын
Kichwa wewe nimejikuta nacheka kwa nguvu sana
@dennisngonyani1795
@dennisngonyani1795 Жыл бұрын
Tumepitia magumu mengi... Ya kwako nakupa. PHD
@norbetosolano1823
@norbetosolano1823 Жыл бұрын
Daaah, pamoja na stress zote za kukataliwa nyumbani lkn mzee ukaona kigoma kinapigwa mzee ukakifuata kutoa stress! Music is always good! Pambana kijana utafika mbali sana.
@inviolatamalifa6871
@inviolatamalifa6871 Жыл бұрын
Mungu akubariki mwanangu abariki kazi yako nilikuwa nikiipita hii story kumbe ngumu hivi nimelia sana sababu na mimi nimama sina uwezo maombi yafike juu yako
@massachussets4582
@massachussets4582 Жыл бұрын
This guy is so humble and he’s going to achieve more than he can imagine. Despite the challenges he didn’t resort to illegal activities.
@IreneChristian-b3o
@IreneChristian-b3o 11 ай бұрын
We have the same history nataman sku moja name nimpgie mamaang na tuongee vzur 😢😢😢 ntapambana amen
@likeestarfashiontz-xv9ri
@likeestarfashiontz-xv9ri 11 ай бұрын
Atar sana mngu akusaidiee sana 🙏
@SalomeLuge
@SalomeLuge Жыл бұрын
Nyolii kaka angu nimelia sana kwa uchungu mdg angu ila umeni kumbusha sana ila na amini mungu hato kuachaaa kaka angu🙏🙏🙏
@bakshmabrouk8621
@bakshmabrouk8621 Жыл бұрын
Dogo anakitu atafika mbali👏👏👏 roho aliyo kua nayo ndo inamfanya anafika mbali daah noma sana
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Жыл бұрын
Niliangalia nuru nikaacha leo nimekuja kuimalizia kaniliza huyu kijana alivyo aende kwa mama na vitenge nimemkumbuka mama anu😢😢😢hongera kijana kwa kuwa na moyo wa kusaheme kujishusha una hekima sana naa Mungu akipanga binadamu awezi kupangua na ndomana Mungu anakufungulia riziki sababu ukuwai kumkasirikia mama ndomana neema zinashuka uko smart sana chumba kisafi mashallha
@catherinerugano3465
@catherinerugano3465 Жыл бұрын
❤❤ Mungu akuongoze ufike mbali
@Ebendentalclinic
@Ebendentalclinic Жыл бұрын
very humble guy.chino mtu wa watu.
@adammbarouk4379
@adammbarouk4379 Жыл бұрын
Hongera sana umepitia magumu,mwenyezi mungu ni mwingi wa rehema.ushauri wangu tafuta chumba cha laki jaribu kutunza pesa.
@nyotajules1732
@nyotajules1732 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie kaka yangu ❤❤❤❤❤❤❤
@ericndeki9522
@ericndeki9522 Жыл бұрын
This guy is a vibe, He always put a smile on our face tukiwa wavuvi or Samaki or Kuku kuku, jamaa ana vituko, Keep spreading that love brother
@timotheoinnocent4189
@timotheoinnocent4189 Жыл бұрын
Daah pole sana dogo
@onesmokalembwe1220
@onesmokalembwe1220 Жыл бұрын
Papenda filimbi yake tu
@hassanallkambenga3570
@hassanallkambenga3570 11 ай бұрын
🚦📌📌📌
@sasquaremusic3140
@sasquaremusic3140 Жыл бұрын
Mungu atakubariki utazidi kufika mbali ..nmnakubali mapambano yako
@salaamibahsan3063
@salaamibahsan3063 Жыл бұрын
Greatest interview of all time
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki
@irealyxchamdori596
@irealyxchamdori596 Жыл бұрын
Very humble 😌 Mungu azidi kukuinua❤
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 Жыл бұрын
Bora ulifukuzwa na Mama, ila ungefukuzwa na Baba wallah maneno yangekuwa mengi sana
@sherrymeddy6398
@sherrymeddy6398 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
😂😂wababa wanahukum zao.maana wamama makosa yetu hayaonekani
@MuhammedBurhan-v5c
@MuhammedBurhan-v5c Жыл бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉 you are brave and god bless you
@marthamushi9390
@marthamushi9390 Жыл бұрын
Dah! Maisha yana siri kubwa sanaaa the way huyu kijana anavyoongea hapa anaonekana anajikaza tuu anaonekana kabisa ana uchungu mwingi moyonii🥺🥺 Wallahi angekuwa ni mtoto wa kike angelia mno sema Mungu ni mwema sana anatujua kesho zetu sisi waja wake,Pole sana mdogo wangu endelea kupambana utafika mbali zaidi kuna kusudi la Mungu ndani yako🙏
@kasigwabyaru9609
@kasigwabyaru9609 Жыл бұрын
@Afande nyori nakupenda mshkaji wangu tena sana, maisha ni kumuomba Mungu na kuweka mbele plans zako mbele.
@rahymaaa4357
@rahymaaa4357 Жыл бұрын
Nimependa room yake na yupo very smart nguo zote katundika na henga hadi raha wakati wa mungu huwezi kuupangia❤
@BizeddOfficial
@BizeddOfficial 4 ай бұрын
Kamfulie
@NasmaSaidy-zt4ly
@NasmaSaidy-zt4ly Жыл бұрын
Mashaallah kipenzi changu mungu azidi kukupa umri mrefu ❤❤🙏
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Wakati wa Mungu n wakati sahihi Sana zidi kumshukuru Mungu mdogo angu 🙏
@mashairiyamachinga2379
@mashairiyamachinga2379 Жыл бұрын
Watu wenye moyo mzuri huwa hawalipi kisasi
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
Hongera sana kumsamehe mama yako ushauri wangu tafuta chumba cha bei nafuu ili pesa unaeipata uwekeze ili ununue kiwanja ukishapata kiwanja kwa pesa unae ingiza nina uhakika utajenga Mwenyeez Mungu akufanyie wepes umri unaenda usipofanya sasa baada utazikumbuka na kusema ningejuwa milado mshauri kijana afanye hivyo
@allymngwaya2831
@allymngwaya2831 Жыл бұрын
Analipa hela nyingi sana kwenye chumba
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
@@allymngwaya2831 tatizo la vijana hawaangalii maisha ya baadae rizki nyingine hazidumu lazima ujiongeze pale Mwenyeez Mungu anapokujaalia tunawaona baadhi ya baba zetu kaka zetu wajomba zetu sasa hivi watu wazima hata makazi hawana waishia kupanga ukikaa nao au ukiwasikiliza hiatoria zao utasikia zamani nilikuwa mfukoni sikosi 50 na kuendelea huyo kijana anahitaji ushauri huenda akalifanya hilo kweli kaka gharama ya chumba ni kubwa sana sie tunamshauri ataangalia mwenyewe
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 Жыл бұрын
Kwa kweli laki nanusu kubwa sana Cha alf50 tu kinatosha❤
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Yaaaaaan nimejitaidi niangalie mbaka mwishi aise nimepata funzo kubwa ❤
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Mungu azid kukuzidishia baraka afya njema na uhai mlefu ndugu yangu
@nabirabakary4209
@nabirabakary4209 Жыл бұрын
😢😢😢😢 nimelia kwa uchungu mtoto katambua thaman ya mama ake japo alikua hamtak
@sarahjoseph9258
@sarahjoseph9258 Жыл бұрын
Mungu nimwema naataendelea kubaliki mdogo Wang💯♥️👏
@joycesanga4378
@joycesanga4378 Жыл бұрын
Mungu akufanyie wepes wa maisha yako
@dppd4219
@dppd4219 Жыл бұрын
Unaweza ukapitia changamoto na unajuwa kabisa unaonewa lakini kila kitu uja kwa makusudi ya MUNGU na itafika wakati unamshukulu kwa kukupitisha
@personpeter2221
@personpeter2221 Жыл бұрын
Ila umenchekesha eti babayako alikwa ameoa mwanamke mweupe watotowake wote weupe mimi ukijiangalia mweusi pekeako ndomana ukakimbia kwa babauako😂😂😂😂😂❤❤❤❤nmeipendasana hyo
@Jostany
@Jostany Жыл бұрын
😂😂😂😂
@FatmaHashim-bq7bo
@FatmaHashim-bq7bo Жыл бұрын
Dah appreciate you bro big up to u afande 🫡🫡 una moyo wa kipekee sana jmn so saad🥺🥺 na utafika mbali saaana kwl maisha ni kupambana kwl umepambana bro
@nasraalmasy
@nasraalmasy Жыл бұрын
Yaani hiyo inaitwa tafuta pesa uwe mtu mwenyezi mungu azidi kukubariki InshaAllah.
@miamia6155
@miamia6155 Жыл бұрын
Amin inshaaAllha mwenyezi MUNGU atambariki amna dhiki wa dhiki baada ya dhiki faraja
@marthajohn9120
@marthajohn9120 Жыл бұрын
Wajina wa mwanangu Michael haya maisha m2 unatoka mbali sana MUNGU atakubali sana atakuinua kutoka chini na kukuinua viwango vingine, Dah 😌😌😌😌nimeumia sana kama mzazi umepitia changamoto nyingine sana
@suncheafrica
@suncheafrica Жыл бұрын
This is very nice , we want more contents like this Millard
@rehemaramba5166
@rehemaramba5166 Жыл бұрын
Mungu akutunze aisee,una utulivu wa Hali ya juu,utafika mbali,Mungu ana kusudi na wewe
@ModestaTemu
@ModestaTemu Жыл бұрын
Mungu zaidi kubariki kipaji chako
@vincentmvuyekure5920
@vincentmvuyekure5920 Жыл бұрын
😂😂Duuuhh kivumbi leo Bro .mungu akubaliki i wish uwe na hela kutokea na upambanaj uko nao mi niko cape town niko na pambana naamini mungu anatuona thx ayotv.
@isayaamulike
@isayaamulike Жыл бұрын
DAAAA😢😢😢😢dogo kapambana Mungu amtimizie haja za moyo wake
@furahaadam723
@furahaadam723 Жыл бұрын
Kuna kitu najifunza kutoka kwako
@hassanjecha5069
@hassanjecha5069 Жыл бұрын
Pole sana afande amin Mungu atakusaidia
@ramayonline2281
@ramayonline2281 Жыл бұрын
Godbless you Afande Mura🙏
@experiuskamugisha6722
@experiuskamugisha6722 Жыл бұрын
Hongera sana kijana maisha ni kupambana
@idreamfoto
@idreamfoto Жыл бұрын
I like this kid, yuko smart sana and humble
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 Жыл бұрын
ahsante sana Millard Ayo kwa upendo wako nimefurahi sana kumuona tena Mike kaka yake Eda na kaka yao joshowa kama cjamsahau jina rake huyo kakayake mkubwa nazani ritakuwa hilo na mama yao kwa mara ya mwisho alifanya kazi basi la runga hivo
@emmanuelmalale5418
@emmanuelmalale5418 Жыл бұрын
❤❤❤VIDOX JAMAAA UPOLE WA ROHONI KBS LKN MISANII YA BONGO
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
🤣🤣
@habibaraphael6583
@habibaraphael6583 Жыл бұрын
Mungu nimwema mungu akubaliki inshallah ❤❤
@GetrudePaul-s7y
@GetrudePaul-s7y Жыл бұрын
Yaani nimelia nimesikitika. Mama anakupenda sababu una kitu. Nimecheka sana sana unamuona demu ila yupo na mwamba mwingine
@bahatikyusa8864
@bahatikyusa8864 Жыл бұрын
Daah nimempenda sana kijana
@lovenessfrancis5547
@lovenessfrancis5547 Жыл бұрын
Imenitoa machozi Mwenyezi Mungu usiye bagua namwombea kijana huyu umbariki umwinue umsaidie atimize ndoto zake,wama msiwe mnatoa laana za hovyo hovyo kwa watoto wenu bila kujua madhara yake
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Жыл бұрын
Mungu atusamehe
@jimmymbella997
@jimmymbella997 Жыл бұрын
sahih kabsa loveness
@aweyuumbise8087
@aweyuumbise8087 Жыл бұрын
yaani kwakweli waache hiyo tabia ya kutoa maneno ya laana
@KamiliusLembele
@KamiliusLembele Жыл бұрын
Mungu akuongoze ktk maisha yako umetomka mbali sana
@STAVOO_WIZZIE
@STAVOO_WIZZIE Жыл бұрын
This is saddest and emotional story but motivational too❤❤❤❤GOD IS GREATEST🎉🎉❤❤
@allymngwaya2831
@allymngwaya2831 Жыл бұрын
Kept me crying
@STAVOO_WIZZIE
@STAVOO_WIZZIE Жыл бұрын
@@allymngwaya2831 that's what we call life
@Mack_marcel24
@Mack_marcel24 Жыл бұрын
Nyoli wanna man.. wewe ni star
@aysherbenta5426
@aysherbenta5426 Жыл бұрын
Daaaah mbona hii story inauma sana uwiiiii
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 Жыл бұрын
Du, pole mwanangu ni wachache wenye moyo kama wako wenye upendo mungu akuzidishie
@farajakatikilo281
@farajakatikilo281 Жыл бұрын
Dah maisha haya hii story imeniumiza ila yotekwayote mungu akucmamie sana
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 Жыл бұрын
Kumbe kuna mam washenz.......😢😢😢
@edithantirugelegwa9534
@edithantirugelegwa9534 Жыл бұрын
Unapambana Sana mdogo wangu,jitahidi kutafuta chumba cha bei nafuu ili pesa unayoipata kipindi hiki iweze kukusaidia kufanya mambo mengine ya msingi soon unaweza pata familia pia maisha yanabadilika natamani ufike viwango vingine
@welumchauru8188
@welumchauru8188 Жыл бұрын
Unapopata chumba bei kubwa ndo akili yako inazid kufanya kazi vzr acha kuogopa maisha
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 Жыл бұрын
​​@@welumchauru8188weli kabisa... mm kipindi nlikuwa chumba cha 30k nlikuwa nachulia ela simple tuu na maisha yanaenda.. kumbe nlikuwa najiongopea. Na nilijua baada ya kuhamia chumba cha 120k., sasa napiga madil ya pesa ndefu na nawaza kuwa na usafir
@vumimushi6714
@vumimushi6714 Жыл бұрын
Kweli kabisa kuna mambo mengi na ya maana ya kufanya.
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Жыл бұрын
Dar mambo mengi kuna vibaka kuna umbali unakuta anatoka bar saa 9 akienda mtaa hatarishi atakabwa na vibaka nadhan ni vyema aangalie usalama wake kwanza
@EdwardSeme-is2yy
@EdwardSeme-is2yy Жыл бұрын
Beautiful Story in a very hard situation !!
@Bboy_cantara
@Bboy_cantara Жыл бұрын
Nzuri iyo hakuna kukata tamaa mzee wangu mm nisha acha mtihani wa 4 watu wapo chumba cha mtihan mm nipo na tengeza crew yang kweny majumba ma bovu but now j_combat_crew uki uliziya tu Zanzibar hakuna wasio tujuwa py tuna fanya kazi grece 🇬🇷 mambo yana enda kwa kucheza tu never give up 💪
@rashidbakili4353
@rashidbakili4353 Жыл бұрын
Pole sana aya maisha tunapitia meng sana wanadam. Ila ukiamin Mungu na kutokata tamaa ipo sku Mungu atakuinua
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
Masha Allah ❤ 33:33
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 Жыл бұрын
Kwenye ndege umenikumbusha mimi nilikuwa sikulala kwenye ndege had nafika 😂😂😂😂safar ya masaa 9 sijalala nyie nyie 😂😂😂ila saiz kawaida tuu mungu ni mwema sema broo anamoyo balaaa nakumbuka mm nilikataliwa na mzaz wangu lakin mimi nilivyotoboa ndy kila kitu na nimsamee maisha yaendelewe hivyo tuu 🙏😍
@officialkalengotalent2014
@officialkalengotalent2014 Жыл бұрын
Mungu anaona hustle zetu 🙏🙏 one day yes 🙏🙌
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Dogo anaongea ukweli lkn waandishi muangaliage vya kumuuliza mtu kwenye media sababu mnaweza kutengenezea mtu uadui. Sijui km ni ethics. Lkn pia dogo Mungu akusaidie sana na uwe makini
@EmanuelManase-b2d
@EmanuelManase-b2d Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mdogo wangu
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Daaaa 🙆kwer kira mtu anaistory yamaisha yake😢Ongera sanaaa ila nimeona umetoka umesahau kuzima TV❤❤❤❤
@personpeter2221
@personpeter2221 Жыл бұрын
😂😂😂alird akazma
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
@@personpeter2221 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zulfaomari2045
@zulfaomari2045 Жыл бұрын
Hogera sana kaka mungu akufanyie wepesi
@aishayosuf3531
@aishayosuf3531 Жыл бұрын
Hii tabia Wamama Wengi tunayo tunapenda kubagua Watoto yani adi watoto wanajijua kuwa mimi napendwa mimi sipendwi sio vzr 😭😭naushahidi apa kuna mmama adi anakela ata ukimuelekeza aelewi ote ni watoto Wako
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 11 ай бұрын
God keep blessing him 🙏 👏
@USWAZITVONLINE
@USWAZITVONLINE Жыл бұрын
Haya mambo ya kutengwa na mama yametukuta wengi. Mimi nilitoswa na mama nikiwa hata sijitambui mama akaja zake Dar na baba mpya, Nimekuja kukutana na mama baada ya kumaliza O'level, Mimi ni miongoni mwa wale wasiobahatika kudeka.
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Kama Mimi, nliachwa na miezi 9 tu, mpk leo hanipendi Wala kunisikia na kunipa kesi zisizo na dhamana. Ila Mungu alinitetea kote nikavuka, hata wajukuu zake hawataki
@aweyuumbise8087
@aweyuumbise8087 Жыл бұрын
​@@easternyerembe7271pole sana jamani
@neemakawogo5479
@neemakawogo5479 Жыл бұрын
Mungu anipe NEEMA ya kumpenda mwanangu kwa namna yoyote Ile
@zainabkazige7388
@zainabkazige7388 Жыл бұрын
🙏 amen
@gloryalphonce5058
@gloryalphonce5058 11 ай бұрын
Mshukuru sana mama may be alikuwa na kusudi lake mama ni Mungu wa pili ona sasa matunda yako saivi mama anayafirahia maana ulipambana kiume ❤❤❤❤
@basumaadam2686
@basumaadam2686 Жыл бұрын
hongera kijana Mungu atazidi kukubariki, ila mama ana roho ngumu sana hata kama mtoto kakosea hutakiwi kumfukuza nyumbn
@aweyuumbise8087
@aweyuumbise8087 Жыл бұрын
yaani huyo mama alikosea
@HildaKazeze-cs7hl
@HildaKazeze-cs7hl Жыл бұрын
Hizo roho za kumkataa mtt ni akina baba hata mama nimeonaa ajabu Sana we mama aibu hiyo
@Dosibohazi
@Dosibohazi Жыл бұрын
Nimekujua toka ukiwa tabata matumbi 2likua 2nakuita nyeusi na ulijiweka wazi ulionesha kipaji chako ila leo mungu kakujalia boy kikubwa kukaza
@musajuma6443
@musajuma6443 Жыл бұрын
Inaniuma sana tena kiukweli Kina mama wengine wanaumiza mno pigana mdgo wangu maisha ni popte
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Mie Ni mama huwa najiuliza huo moyo wa kumfukuza mtoto unatoka wapi
@babchudu
@babchudu Жыл бұрын
binafsi najaribu sana sana kuufunza moyo wangu kusamehe, japo ni ngumu sana. umenipa nguvu ya kutaka kusamehe.✊
@lameckmatonya
@lameckmatonya Жыл бұрын
Nimeipenda sana. Kongole sana. Kikubwa zaidi Siri anaijua ya maisha. Na siri hiyo ni Amri ya nne ya Mungu
@esterpallangyo3156
@esterpallangyo3156 Жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi kwa kila Jambo, kwa hekima uliokua nayo na upendo ulionao kwa family yako kwa kweli mungu akujalie Sana
@AishaOmary-s2l
@AishaOmary-s2l Жыл бұрын
Daah inaumiza kwel Allah barik kizaz changu nipende watoto wangu Ila ubaguz
HISTORIA YA MILLARD AYO NA SIRI YA MAFANIKIO YAKE.
52:04
KINDII MEDIA
Рет қаралды 14 М.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,7 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,7 МЛН