maisha yetu yote tumeishi ivyo subhanallah izo dalilizote ziko
@HashirunaSwabirina4 ай бұрын
Aslm alykm me shekhe nikiota ndoto mara nyinyi inatokea kwel kwa mfano niliwahi kuota nimeachika si kukaa siku nyiny ikatokea naomba unisaidie nin tatizo
@musabwengo4237Ай бұрын
I am in kenya. Mombasa and I would like to buy some of your commodities. ie. Seiful jini. please advise
@hafsazaitun8980 Жыл бұрын
Ma sha Allah nigipenda mafusho na gaino ya wamama shigi gapi
@athumanikhamisi33772 жыл бұрын
Shukraan 🙏🤝
@WinifredaJumaАй бұрын
Naomba Dua
@KarimaNoor785 ай бұрын
Shekh asalam aleikum tuna tatizo ya majini kwa nyumba 😢
@maryamjamah2522 жыл бұрын
Yani munatabia ya kuacha ujumbe na namba za simu na munaahidi watu wakutumiyeni mesege mtawasaidia ila ata mkitumiwa mesege hawajibu sivizuri hi nitabia ya mashekh wengi si vizuri
@abdillahkamarade672 жыл бұрын
Aww vp hl sheikh mm nikisikiliza ruqya .mwili mzima unaniwasha kama pilipili.sasa hapo sababu linakua nini.ao nifanye aje?
@husseynali10512 жыл бұрын
Nimekuewa shekh mm np Zanzibar niatalipatajee?
@yasminyusuf1718 ай бұрын
mihata nahama kwa iyo nyumba miezi 2 naona kama mwaka
@BaruaniRM6 ай бұрын
Naomba namba yako shekhe nipo morogoro
@BaruaniRM6 ай бұрын
Naomba mawasliano maana Nina uhitaji ustaadh
@slimbanks87082 жыл бұрын
Shilingi ngapi fusho hilo na kama sisi wakenya twazipataje na sisi
@mwanahawariko8728 Жыл бұрын
Pesa ngapi iyo fush
@BaruaniRM6 ай бұрын
Hawajibu bei gani, Pia Mimi nimeomba namba ZAO sijapata