Ustadh Shafi Amlipua Shk Mbogo "Sisi Waislam Hatumfuati Nabii Suleiman Hadithi Uliyoitoa Ni Dhaifu"

  Рет қаралды 6,864

QIBLATEIN ONLINE

QIBLATEIN ONLINE

Ай бұрын

QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM KZbin @QiblateinOnlineTv)
🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
FACEBOOK👉👉 profile.php?...
TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com/creator-center
Changia Kupitia M pesa +255 764 182 518
Airtel Money +255 687 816 688

Пікірлер: 61
@migwa100
@migwa100 Ай бұрын
Sheikh Shafii tupe ilimu tumepotea sana ushirikina umekuwa sifa sikuzi Allah atuepushe na mitihani ya Dunia na akhera
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 Ай бұрын
Shidakubwa mashekh zetu wanataka maisha mazuri sana wakotayari kufanyalolote atakama litamuudhi mungu
@HusseniMadebe
@HusseniMadebe Ай бұрын
Mashaaallah, wallah tuko pmja naww shekhe shaafii, Allah akuhifazi huyu Ghana shekhe sule Ana kiburi,
@SeifHassan-wl7ur
@SeifHassan-wl7ur Ай бұрын
Sheikh shafii wewe ni unajua mashallah Allah akupe umri mrefu inshallah 🙏
@gasorekassim5499
@gasorekassim5499 Ай бұрын
mashaallh sh shafii, tunamsubiri na mazinge nayy aseme
@allyway999
@allyway999 Ай бұрын
Shekhe shafi Akili zako ziko 💯 kabisa yule best ake ndacha mwache ajinadi kwa sadaka zetu
@moureenkamau8697
@moureenkamau8697 Ай бұрын
ukosawa sheik shafi mpe elimu mungu amuongoze amuondole kibir ashaalla
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi Ай бұрын
Shekh shafi unaifanya kazi ya maana sana kwa sababu hao wapotoshaji wangewapoteza sana waislamu. Swali la kwanza hiyo qur'an kashushiwa suleyman au kashushiwa Mtume saw. Kama unataka kumfuata Suleyman tafuta vitabu vyeke uvifuate.
@user-dt5wp5qo4n
@user-dt5wp5qo4n Ай бұрын
Sheikh mbogo na shafi achaneni ukafiri njooni kwa yesu ndie njia iliyo sahihi kufika kwa mungu,
@MassaweFrank
@MassaweFrank Ай бұрын
yesu wa roma😂
@abiomar1652
@abiomar1652 Ай бұрын
Subhaanallah sheich kweli maneno Allah SW Akuhifadhi
@FadhiliMagana
@FadhiliMagana 21 күн бұрын
Wallah masheikh wachawi mtaenda chomwa nyinyi mnasema et mapete cjui majini huo n uchawi acheni bwana
@munirayassin6103
@munirayassin6103 Ай бұрын
❤ Allah akuifadh
@user-yh2mb8mb2c
@user-yh2mb8mb2c Ай бұрын
Ustaz uko vizur sana Allah akulinde Sanaa , na hao washirikina wape elimu hadi mwisho wa uhai wako ishaalah
@BURUNDIB
@BURUNDIB Ай бұрын
Uwongo
@swaleheswaleheamri5911
@swaleheswaleheamri5911 Ай бұрын
Shafii Allah atakulipa. Acha dunia iwameze hao washirikina.
@abdallahjuma2608
@abdallahjuma2608 Ай бұрын
Nakukubali sana shfi ❤
@user-qx1nm8kp9b
@user-qx1nm8kp9b Ай бұрын
Shukuran shekh wag kutukumbusha allah akup umur murefu weny khr nambaraka
@migwa100
@migwa100 Ай бұрын
Sheikh naomba kama kuna dawa ya kisuna jina la ogonjwa sinuses naomba unijibu in box insh-Allah
@FetymaaJuma
@FetymaaJuma Ай бұрын
Allahu Akbar Usichoke kutufundisha tupo nyuma yako na Allah atakulinda na hasad za Hao mushrik
@user-vy4zy9gp8n
@user-vy4zy9gp8n 23 күн бұрын
Asc ndugu zangu huyu sheikh Ako sawa hatufati mtume Suleiman lakini tuna amini kama mtume wa mweyezi mungu
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri Ай бұрын
Sheikh hapo ni sawa unfanya hikma na haqqi.
@SaidiBakari-kl1gu
@SaidiBakari-kl1gu Ай бұрын
WEWE SHEIKH NJAA INAKUSUMBUA. FANYA BIASHARA USITEGEMEE MASHETANI(MAJINI) KUKUPA MAISHA...MBONA KUNA MASHEIKH WANAFANYA BIASHARA HALALI....
@user-su7eu5yn6q
@user-su7eu5yn6q Ай бұрын
Safi sana shekh shafii wambie hao washirikina wasipoambiwa ukweli watapoteza watu nakuwatapeli
@SeifHassan-wl7ur
@SeifHassan-wl7ur Ай бұрын
Sheikh wangu Shafii Allah akuhifadhi upo sahihi huyo mbogo mbogo kweli hamna kitu kichwani mwake kama hajakuelewa haelewi tena huyo.
@baloziwaziri338
@baloziwaziri338 Ай бұрын
Upo sawa Ustadh wetu Allahumma akuhifadhi Ustadh wetu
@JustinKabila-ro5jt
@JustinKabila-ro5jt Ай бұрын
Mungu akulipe heri sheikh wale ma sheikh wengine wana tuvuruga tu congo tuna kupenda saana
@user-fp9ei8gg8s
@user-fp9ei8gg8s Ай бұрын
Haojamaa hawanaelim yakitabu Shekh shafiy wapedawa kaka Watakuelewa badae
@aliykhamisi1431
@aliykhamisi1431 Ай бұрын
Asante sheikh Shafi, umesahau Dua anayotaka kuwazuia watu kama yeye alivyoisoma akapewa maji na jini hahahah watu Wana njaa balaa
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Ай бұрын
SHAFI NAE KAAMUA KUWABOMOA JUMLA JUMLA
@RAMATHANI-eu5dk
@RAMATHANI-eu5dk Ай бұрын
Aslam alykum, vipi tutumiye majini na dua ziko? Sule tafathali aca uongo.
@FetymaaJuma
@FetymaaJuma Ай бұрын
Ustadh Shafi yani Hawa usiwaache maana wanapotosha waislamu wasio jitambua wallah. Sisi twakuombea, pesa zao za ushirikina zisikutishe
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 Ай бұрын
Nafikiri mbogo na suley waoneshe hadith sahihi au aya inayo thibitisha upamoja na majini
@pascalvirgilio7208
@pascalvirgilio7208 Ай бұрын
Kazi ipo wenyewe kwa wenyewe andaeni mdahalo mufundishane vizri maana quran ni iyo iyo lakini mnatfsr tofaut kuhusu majini
@rahimumustafa587
@rahimumustafa587 Ай бұрын
Shafi toa elim
@salhamudy2065
@salhamudy2065 Ай бұрын
Sheikh tupo na wewe pamoja madhali upo kwenye haki Allah akulipe khairy fy dunia wali Akhera
@user-yh2mb8mb2c
@user-yh2mb8mb2c Ай бұрын
Sule acha tamaa za kidunia jua Kila kaumu na kiongozi wake usipotoshe watu na hao vibaraka wako
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri Ай бұрын
Shekhee hhhh hajui Dua ya kuingia chooni wah!! Msiba huo
@zeharaz4116
@zeharaz4116 Ай бұрын
😅 Nakupa heko sheikh Shafi kwa ufananuzi wa Hali Ya juu wala musicho kutoa Elimu
@BURUNDIB
@BURUNDIB Ай бұрын
Uki acana na dini ya majini .Muhammad hakutunwa na mungu😂😂😂😂😂
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db Ай бұрын
Mbogo Acha ubabaishaj ww,Rud kw Allah ,Utachomwa,Nafs Yko Allah Anaijua upo jee,kwhy Acha kupotosha wt2,Kwh hyo Rukkya c Aya IPO ktk Quran na Ktabu kataremshiwa Muhammad,mpka zmekufkia ww,Sasa Akl huna Wal Elmu huna Rud Darasan,Ukjua Rukkya mana yke ucngesema hvy,,Tumeambiwa Tukmswalia Mtume kw Wng Tunapta thawab ,Sasa Kat ya Afya Za Rukkya na Thawab ,Bora nn hpo
@salhamudy2065
@salhamudy2065 Ай бұрын
Wamefanya dini biashara kwa makubaliano na majini yao mtume wetu ni Muhammad SAW ndio kiigizo chetu
@user-yj5es1jw8c
@user-yj5es1jw8c Ай бұрын
Kijana wa sule huyu , daaa
@BURUNDIB
@BURUNDIB Ай бұрын
Muhammad si mtume wamungu musipotee hakuna mutakayo saidiwa na mungu
@emmanuelmasatu
@emmanuelmasatu Ай бұрын
Acheni MUNGU aitwe MUNGU. Biblia inatufudisha kuwa nyakati zamwisho siri nyingi zitafunuliwa. Nabado tutayajua mengi kutokakwenu tena kutoka kwenye midomoyenu wenyewe.
@Fathertrucker
@Fathertrucker Ай бұрын
😂 Sadakta wape wape elimu Shekh Wangu wakomeshe Wao
@mussaabdulmalick2048
@mussaabdulmalick2048 Ай бұрын
Jaman kwanza ww unajua maana yakufata mtu ? Mbona tunachinja kama kumfata nabii iblahima
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 Ай бұрын
Swadakta
@user-bh5cu2jy6c
@user-bh5cu2jy6c Ай бұрын
Tunachinja Kama Ibrahim maana katufundisha Muhammad mwenyewe wap Muhammad katufundisha tutumie Majin?
@AbdulatifoSufo-tb2rn
@AbdulatifoSufo-tb2rn Ай бұрын
Uko poa nimefaidika sans. Mi nipo msubijj
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd Ай бұрын
Sule mpuuzi kwel kwel
@user-yj5es1jw8c
@user-yj5es1jw8c Ай бұрын
Huyju jamaa alievaa zambalau ,Bado sana
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi Ай бұрын
Suleyman akuweka mikataba ya kukufuru kama wao wanavyoweka makubaliano ya kishirikina na majini. Yeye alikuwa anawana na alikuwa akiwaamrisha sio kuwaomba usaidizi gizani usiku wa manane.
@mirzah117
@mirzah117 Ай бұрын
Mwaipopo alisema mengi ya kweli kuhusu huyo Sule mkamsakama sana ..kisa anatokea kwenye ukristo haya sasa achane unafiqun
@aliykhamisi1431
@aliykhamisi1431 Ай бұрын
Wafanye mdahalo wa kutumia maji tuone, sio mdahalo wa wakiristo tu, masheikh wawaite ktk mdahalo watetee mabodigurd wao wa kijini
@BabaFuraha
@BabaFuraha Ай бұрын
Sule.nimchawi namshukuru Mwenyezi Mungu kumuumbuwa sule nawachawi wenzake
@BURUNDIB
@BURUNDIB Ай бұрын
Hhhhhhhhhhhhhhhhhh we muongo sana shafi
@Mohaa4309
@Mohaa4309 Ай бұрын
😂😂, Sulleeee
@shabirimohamedi5380
@shabirimohamedi5380 Ай бұрын
Asalamu Alaikum mashekhe ivi wewe shafi , doctor sule ,mazinge, na wengine wote haswa wa waadhiri wote watanzania na wanje yanchi mnajua kwamba waislam woote wanaawamini juu ya uislamu na waislamu mmepatwa na nanini? Mnagongana gongana mmelogwa? Fanyeni kazi ya dawa watu wasilimu achaneni na dunia dunia silolote sichochote ndugu zangu.
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 Ай бұрын
sheikh shafi huyu pia unampa ushekhe ?anaupata wapi au hiyo kujua aya mbilitatu au kanzu ya zambarau kama padri puuza kabisa huyu mtu hana elimu
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 17 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 21 МЛН
DEBATE   SHAFII SHOMAR   BIBLIA IMEHARIBIWA
1:49:35
HABARI MOTO MOTO TV
Рет қаралды 138 М.
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 17 МЛН