Hizi ndizo SILAHA ambazo BIDEN ameiambia UKRAINE inaweza kuzitumia kuishambulia URUSI! Zinatisha!

  Рет қаралды 32,217

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 207
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 3 ай бұрын
To day mm niwa tatu naomba like jmni🎉
@ramadhaniseifuledi513
@ramadhaniseifuledi513 3 ай бұрын
Wakwanza mie naomba like zunu sns
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 3 ай бұрын
Zinakusaidia nini like sorry lakin ??
@MsodokiTheson
@MsodokiTheson 3 ай бұрын
Mambo ya kichoko kuomba like
@markomapessa9536
@markomapessa9536 3 ай бұрын
Sasa kama wakwanza unaata faida gan
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 3 ай бұрын
Ali Masubi hatariiiii...jamaa ni mwingiii 🔥
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Uyu jamaa ally masudi inabidi aende jeshini mana anaufahamu sana na mambo ya kivita safi sana.. mashalah
@danchisunga4506
@danchisunga4506 3 ай бұрын
Na akawa saidiye Rusia kupigana ukrain
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 3 ай бұрын
Kabisa
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 3 ай бұрын
​@@danchisunga4506😂😂😂
@kwisa4899
@kwisa4899 3 ай бұрын
kuna watu wanajua zaidi yake
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
@@kwisa4899 iyo Sasa nichuki...mungu akimpa mja wake heshim na ukubali ..acha roho mbaya na nongwa
@pascalmanyama2304
@pascalmanyama2304 3 ай бұрын
Hakuna jipya hapo,hizo storm shadow na ATACMS Russia anazitungua kila wakati pia kule Syria ameshakutana nazo ndio maana unamuona Assad bado anadunda.Kinachofanyika hapo ni biashara tuu na kitafanya ukraine iongezewe dozi ya mapigo kitu ambacho ni hatari kwa maisha ya watu.
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 3 ай бұрын
Facts 💯
@mathiaslaurent756
@mathiaslaurent756 3 ай бұрын
Na wakifanya hivyo basi urusi itabidi iwaze kumuua rais wa Ukraine
@user-ko4ix1ye7e
@user-ko4ix1ye7e 3 ай бұрын
Kiukwel ally masubi anajua sana na huwa namkubali sana anaongea Kwa upana sana na huwa Hana ushabiki katika kuzungumzia haya mambo kiukwel jamaa anajua sana🔥🔥
@samirhumud7408
@samirhumud7408 3 ай бұрын
Ushabiki anao
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 3 ай бұрын
Kaka Aliy masubi wewe ni level nyengine kabisa unastahiki heshima kubwa sana
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 3 ай бұрын
Asanteni sana kwa taarifa za kisayansi
@hudumablack9339
@hudumablack9339 3 ай бұрын
Pamoja na hayo yote, bado Urusi itaendelea kuyachukua maeneo mengi zaidi ya Ukraine.
@AjudeKaluwa-bp1zz
@AjudeKaluwa-bp1zz 3 ай бұрын
Asante sana kwa taarifa
@user-es7jn7cp5d
@user-es7jn7cp5d 3 ай бұрын
Asante mchambuzi kutupatia elimu wengi hatujui Mambo tumekalili urus mpaka tunasema Putin ni mungu waka mungu hazihakiwi na kitu chochote hapa dunia🙏🙏🙏
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 3 ай бұрын
Kwani marekani ndie mungu ,Ukraine ilishashindwa kitambo inategemea msaada wa nje ndo maana NATO wanahaha kwa uoga.Putin baba wa dunia.
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 3 ай бұрын
​@@africanmandetraveler2847Imagine Ukraine ilikuwa hairuhusiwi kulenga ndani ya Urusi. Vp kama Ukraine inaruhusiwa kulenga ndani ya Urusi tangu zamani?
@martinisadru9899
@martinisadru9899 3 ай бұрын
​@@africanmandetraveler2847sasa! Ndugu yangu,, hivi kweli sisi wabara tukawavamie wazanzibar? Kisa wanajitenga, hivi inakujia akilini mwako nini kitatokea, Ukraine ni ka, inchi kadogo sana,,, kasipo omba msaada wataangamizwa kwa muda mfupi sana. Hata tz bara tukiivamia zanzibar, wataomba msaada tu.
@toymadebho7048
@toymadebho7048 3 ай бұрын
ally your the best all the time
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 3 ай бұрын
Hatari
@MsodokiTheson
@MsodokiTheson 3 ай бұрын
Kuomba like ni mambo ya kichoko
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 ай бұрын
Sijui wazipeleke wapi
@DanjeseGaaray
@DanjeseGaaray 2 ай бұрын
Wacha waombe like
@ibrahimmakata2111
@ibrahimmakata2111 3 ай бұрын
Yaan mambo yote haya /bidii yote hii/umahiri wote huu wakutengeneza vifaa vyote hivi kwahyo lengo la binaadam ni kuuwana sisi kwa sisi ...Mwenyezi Mungu anatumuvilia kwa mengi sana wallah😢
@sadikihamisi7491
@sadikihamisi7491 3 ай бұрын
Nando mana alo leta kifo ni binadamu!!!!
@bensonphilip9673
@bensonphilip9673 3 ай бұрын
Jamaa alisha tanguliza satellite ku disturb gps ili isi run
@user-jy4pm3hh9s
@user-jy4pm3hh9s 3 ай бұрын
Aatarr
@user-tg3ev7fo9i
@user-tg3ev7fo9i 3 ай бұрын
Hongera sana kaka
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 3 ай бұрын
Daaah,marekani anapesa
@sadikihamisi7491
@sadikihamisi7491 3 ай бұрын
Marekni hana pesa bali ana makaratas,....
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 3 ай бұрын
Aisee vita ni biashara kubwa kuliko maelezo ndio maana watu hawataki viishe
@danchisunga4506
@danchisunga4506 3 ай бұрын
100%
@danchisunga4506
@danchisunga4506 3 ай бұрын
Nchi zina ingiza hela sio mchezo
@user-jy4pm3hh9s
@user-jy4pm3hh9s 3 ай бұрын
Ally unajua kuchambua siyo kama dj smaa yupogi kishabiki sana
@mangiclaus
@mangiclaus 3 ай бұрын
Kuna watu wanakuja kuomba likes hapa.... Mimi naomba ndege za F16 5 kuna jirani yangu ananisumbua huku wazo
@denislramadhani7857
@denislramadhani7857 3 ай бұрын
Urusi anawatazama tu kwa mbali
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
HANA LOLOTE🤣
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 3 ай бұрын
​@@atutweve4160sawa kijana ngoja tuone
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 3 ай бұрын
Anatazama na huku anaumia
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 3 ай бұрын
Kama hana lolote mbona wameshindwa mpaka sasa😂😂😂​@@atutweve4160
@sbboymkaliofficial9108
@sbboymkaliofficial9108 3 ай бұрын
Makombora yote urusi anayaharibu yakiwa kwenye ma gara kabra haja fika uwanja WA vita 😂😂😂
@user-jy4pm3hh9s
@user-jy4pm3hh9s 3 ай бұрын
Uu
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 3 ай бұрын
Taifa la kushindana na marekani katika Dunia hii Bado halijazaliwa toka utawala wa Roma ulivyoanguka
@nizarrama225
@nizarrama225 3 ай бұрын
😂 upo gizani unadanganywa na media, marekani shughuli yake imeshaisha hafurukuti kwa Urusi na yeye ndio chanzo cha huu mzozo, nayeye ndio anayepigana na Urusi nchini Ukraine kwakushirikiana na NATO yake lakini bado ameshindwa kufua dafu mbele ya Urusi! Urusi ni super power angalia walivyowafurusha ufaransa marekani ukanda wa Saheel Africa kuanzia Niger, Mali, Burkina Faso, Senegal sasahivi Chad! Marekani wameshindwa kuzuia uchaguzi wa uraisi nchini Urusi na raisi keshaapishwa hvyo dunia tuliyonayo ni tofauti na dunia ile aliyokuwa anatawala marekani nandio maana unaona BRICS ilianzishwa na Urusi na bado marekani alishindwa kuizuia 😂😂 hvyo ukiwa unaongea uwe unaongea facts
@KibwanaJunioh
@KibwanaJunioh 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hakuna kitu kama hicho haya ni mawazo yako tu
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 3 ай бұрын
Asante kwa maoni yako na ndoto zako feki.
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 3 ай бұрын
Sahihi kabisa na aseyekubali ukweli huu akajitie kitanzi😂😂😂😂😂😂
@HamadJuma-kj5td
@HamadJuma-kj5td 3 ай бұрын
Wewe umeshiba propaganda za magharibi jiangalie wasije kutowa hicho kinyesi
@barakamalinga
@barakamalinga 3 ай бұрын
👏
@AderickPutin-jm9kb
@AderickPutin-jm9kb 13 күн бұрын
urusi Ina mfumo mzuri sana
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 3 ай бұрын
Pesa wanazo marekani
@Mumewangu
@Mumewangu 3 ай бұрын
Ukrein sasa itaangamizwa na urusi
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 3 ай бұрын
Siorahisi kamaunavyofikili
@bonifacemeela5247
@bonifacemeela5247 3 ай бұрын
​@@user-yw3qh6qj8gAtaangamizwa Vibaya sana Zielensky anatafuta balaa
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
UNAOTA ANGESHA ANGAMIZA ILA ALIJUA NATO GANG WATAMFANYA MBAYA,SASA NDO MBAYA ATAFANYWA
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 3 ай бұрын
​@@user-yw3qh6qj8g Nyie subrin muone Ukraine arushe bomu ndan ya urus ndio tutapata majibu sahh ndio ombeen na mkifrah
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 3 ай бұрын
​Hivi ta nato hawezi kutoboa hiii wekaakilini
@jamessiame5169
@jamessiame5169 3 ай бұрын
Safi sana Ukraine vitisho vya vula avimuzuwii,tembo kunywa maji
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 3 ай бұрын
Silaha hizo ni hatari kwa majeshi dhaifu... lakini zikikutana na majeshi madhubuti ya URUSI zinafanywa kuwa biscuits
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 3 ай бұрын
Atuna shaka na urussi.ulaya na marekani iyali yao kuhishi watu au mbwa,putini kasema.
@mchinatz9335
@mchinatz9335 3 ай бұрын
NIKO HAPA NASUBIRI HAYO MASHAMBULIZI YA UKRAIN KWA URUSI ALAFU MTAONA MAJIBU YA URUSI KWA UKRAIN
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 3 ай бұрын
Siyo yeye mwenye nuclear tu atachapika
@mathiaslaurent756
@mathiaslaurent756 3 ай бұрын
Nina mashaka sana na mfumo wa ulinzi wa makombora wa nchi ya urusi!!
@hajiameir8688
@hajiameir8688 3 ай бұрын
Mimi nauliza tu vifaru hatari vya ambrahams viko wapi navyo vilitutisha sana lakini sasa hatuvioni
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 3 ай бұрын
Tunaelekea kipindi ambacho Urusi itarusha kombora USA
@dasilvajr9647
@dasilvajr9647 3 ай бұрын
Huyu jama anajua kuchambua kama anachambua mpira
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 3 ай бұрын
Hawana uwezo wakupigana Na Amerika kwasai
@djmaxbeatztz
@djmaxbeatztz 3 ай бұрын
Hapo bado silaha za kibaiolojia za magonjwa
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 3 ай бұрын
Jamamani lisije likarushwa likaja uku kwangu kitaruka kivumbi
@veraisaria
@veraisaria 3 ай бұрын
Huyu jamaa anaetusimulia sio mtu wa kawaida ni wa systim haiwezekani mtu wa kawaida tu ujue hivi vitu halafu awe mtaani tu huyu jamaa ni mwanajeshi yupo mtaani ni systim
@emanuelidamiani2943
@emanuelidamiani2943 3 ай бұрын
Aiseeeeeee kwa gharama hizo kuna kufilisika taifa. Yaaani manyang'au hawaoni hata aibu nchi zote hizo mnapigana na nchi moja na inawapa shida hivyo!!!! Ama kweli Mungu akiwa upande wako, mbona maadui watatawanyika kwa njia saba. Ngoja tu inyeshe tuone panapovuja. Ila Putin naye apunguze upole sasa, washavuka redline sana, washamlaghai sana ila yeye anavumilia, hao sio watu hao watamnyea akiwaendekeza.
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 3 ай бұрын
URUSI na yeye alishaumia sema basi tu ni sili ya Inchi,
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 3 ай бұрын
Silaha ni hatari mrusi .wenyewe kashituka yataMfikia
@claudejc8648
@claudejc8648 3 ай бұрын
Bro acha tufe wote tu maisha yenye magumu
@milanozanzibar
@milanozanzibar 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@amonezekiel4893
@amonezekiel4893 3 ай бұрын
Mtaaramu shusha newkilia kivu, chap, acha kucherewa, unatuangusha, sie warusi, waafrica,
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 3 ай бұрын
Mjomba siorahisi kihivyo
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 ай бұрын
Wana sns Huwa hawatuangushi
@rashidiiddi2433
@rashidiiddi2433 3 ай бұрын
Haimas ilipigwa sana na Russia mdamrefu sana
@AliAbdallah-yo8dx
@AliAbdallah-yo8dx 3 ай бұрын
Hivyo ni vita vya dunia tu sababu Ukraine hawana watu watakuwa na ujuzi wa kutumia hizo sila .......
@boniphace1
@boniphace1 3 ай бұрын
Kuna watu hawapo kwenye mifumo ya serikali ila wana uelewa wa mambo sana. Serikali ijifunze kuona watu nje ya Box.
@robertmhikwa8174
@robertmhikwa8174 3 ай бұрын
sahihi kabisa
@DavidCharles-yi1lq
@DavidCharles-yi1lq 3 ай бұрын
Gharama ya kombora moja ni billion nne afu inatungulia na ndege zisizo na ruban toka iran zenye gharama ya million 10 ndo maana marekan anaichukia sana iran
@sadikiwilibadi4533
@sadikiwilibadi4533 3 ай бұрын
Ukren edeleen kujitetea msionewe au msiwe mateka
@muhengamakunga
@muhengamakunga 3 ай бұрын
rasia ina bidi apige nyuklia ili apunguze mazoea uklein sio watu poa bora wafe kama ni vikwazo ulisha wekewa sasa urusi hana tena cha kupoteza
@danchisunga4506
@danchisunga4506 3 ай бұрын
Unafikiri, akipiga nyukiria wenzake hawana, ajaribu aone
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 ай бұрын
Ona sasa,angalia sasa!
@amanistudio467
@amanistudio467 3 ай бұрын
Hivi huyu Ally masubi Kuna ubaya gani akipewa uwaziri wa ulinzi
@HomeboyTZ19
@HomeboyTZ19 3 ай бұрын
mpe uwaziri wa familia yako, kwa hivi vi uchambuzi uchwara ndio unawaza uwaziri? we boya kweli
@vibetz9991
@vibetz9991 3 ай бұрын
Walipuane tu, tushawachoka
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 3 ай бұрын
Wakilipuana wanaumia nyasi
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 2 ай бұрын
Kwa gharama hizi tuendelee Kula bia vita haviishi ni biashara za watu hizi 😂😂😂
@rashidiiddi2433
@rashidiiddi2433 3 ай бұрын
Ujue Russia amejipanga Yani kabla yakuingia vitani alijua kabisa hatopigana na ukrein bali atapbana na NATO kiwanja cha mapambano Kiko ukrein nawenyewe wanaijua nguvu ya Russia ndomana hawamvamii kijeshi bali wamewapeleka wanajeshi wao kinyemera lkn Bado wanapigwa kwaiyo hayo wewe nimaoni Yako tu
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 3 ай бұрын
Urusi kiboko mpaka imebidi watume siraha zao zote kumdhibiti mrusi.Wasicho tambua Urusi amejipanga wakimwaga mboga mrusi anamwaga ugali.
@DanjeseGaaray
@DanjeseGaaray 2 ай бұрын
Mmmh hakuna anayejua
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 3 ай бұрын
Urusi hatopigwa Hadi mmarekani apigike na yeye🙌🙌🙌
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 3 ай бұрын
Wasitishane moto moto
@show...002
@show...002 3 ай бұрын
nuclear itumike tyu ili heshima iwepo
@user-rx6tx3zi7q
@user-rx6tx3zi7q 3 ай бұрын
Kwel
@HajjiSilima-rd3uh
@HajjiSilima-rd3uh 3 ай бұрын
Duhh! Ukrain anajitia kitanzi Sasa anakubali kizembe kujitoa kafara
@danchisunga4506
@danchisunga4506 3 ай бұрын
Ukrain, amesha isha, kuna nini tena chakuogopa, kama tinzi mbona muda. Groly to ukrain
@goodluckygobam4477
@goodluckygobam4477 3 ай бұрын
Hapa watu washaingia kwenye mfumo acha watu wanyooshwe kwanza
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 3 ай бұрын
Tupo tunaangalia viva Russia
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 3 ай бұрын
Zelensky hana la kusema anafanya kile ambacho Wamarekani wanamwambia.
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
🙄🙄🙄🙄🙄
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 3 ай бұрын
Urusi anatishia kutumia silaha za maangamizi....Hii inamaaniaha kwenye conventional war ameishiwa mbinu
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 3 ай бұрын
Wewe unaweza kupambana na Manchi yote ya NATO bila Silaha za Maangamizi. Wewe Mtu mmoja unaweza ukapigana na watu 40, lazima watakushinda tu otherwise utumie bunduki kujaribu kujitetea.
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 3 ай бұрын
@@kibwamoko8767 Nchi 40 Vipi? Wewe Kwa akili yako unadhani Urusi anapigana na nchi 40 za NATO? Ushawahi kusikia F 16, F 22 au Ggripen zikishambulia Urusi, ushawahi kusikia Subs za Marekani au U8ngereza zikishambulia Urusi. Ukraine hupewa msaada mdogo wa silaha za kujilinda Tena Kwa masharti asipige ndani ya ardhi ya Urusi. Urusi husaidiwa silaha na Korea Kaskazini, China, Irani, Venezuela, Azebaijan, Belarus, na husaidiwa Majeshi na nchi Kama Mali, Ivory Coast na Guinea Bissau. Urusi vita ya conventional ameshafeli maana mipango yake imekufa ndio maaana anatishia kutumia silaha za maangamizi
@HamadJuma-kj5td
@HamadJuma-kj5td 3 ай бұрын
Wewe ni kiziro ambacho hakina shaka ndani yake ety kaishiwa mbnu😂😂
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 3 ай бұрын
@@HamadJuma-kj5td Yah ameishiwa mbinu...Msaada mdogo anaopewa Ukraine una masharti lukuki, mfano haruhusiwi kupiga ndani ya mipaka ya Urusi. Yeye Ukraine anaruhusiwa tu kushambulia ndani ya mipaka yake hivyo humfanya Urusi kuwa mizani inayombeba. Mwaka Jana Finland imejiumga NATO bila kuogopa vitisho vya Urusi. Ukiona taifa lenye silaha za. Nuclear linatishia kutumia basi majinyamezid unga. Urusi husaidiwa na Iran, China, Korea Kaskani, Venezuela na hata nchi za AFrica ikiwemo Burkina Faso. Mipango ya Urusi imeshafeli..Taifa kubwa kupigana na taifa changa Tena lililopakana nalo na mpaka sasa miaka miwili ishapita na kutoamgusha dola ni dalili za kushindwa
@hajiameir8688
@hajiameir8688 3 ай бұрын
Mimi nauliza tu putin yy hana makombora ya kufika ndani ya kiev kama anayo basi kazi ipo
@user-qq1wn1sw5q
@user-qq1wn1sw5q 3 ай бұрын
Hapo NATO wanatangaza biashara ya silaha.mana walkwah kuwapa cluster bombs na Bado haijafua dadu
@MaugadoMaugado
@MaugadoMaugado 3 ай бұрын
sasa kam ymetengnezwa 370 why USA amptie Ukraine kwkuw makombala c machache
@khalidmdotta3843
@khalidmdotta3843 3 ай бұрын
Hiyo mkwara tushazoea walitamba na mavifaru kikowapi yaani ninachokiona vita hii itakuwa kubwa kwa ujinga wa marecani
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 3 ай бұрын
Ukraine bye bye Nato na Marekani wamekutoa kafara. Utakwisha na kusahaulika
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
UNAOTA 😳🙄🤣🤣🤣🤣
@daxenkiller6274
@daxenkiller6274 3 ай бұрын
Afe nato au ukrain mbon kam WANATAK UKRAINE iishe
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 3 ай бұрын
Hawo anao watisha pia wanazo marekan ufarasa uingeleza nk.
@clementsabuni75
@clementsabuni75 3 ай бұрын
Tatizo hao Marekani na uingereza ufarasa kwao hakuna vita ndo faida yao ni wachochezi tuu inatakiwa putini anatakiwa kushambulia nyumbani kwao.
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
@@clementsabuni75ANAUWEZO? Yani hakuna anachokijua hawachochei ni kwamba mrusi anatka kutake over europe hapo anapita njia akimaliza aingie nchi nyingine, mnadhani kwanini wanamzuia? Yani hamjui lengo la mrusi ????? Yani kama afrika atokee kiongozi anatka kuchukua Afrika yote ndoivo
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
@@clementsabuni75Hawachochei hamjui kitu,,wanajikinga sababu ana lengo la kuchukua ulaya yote hivo wakimuacha watatawaliwa kwani hamjui kitu na mnacoment nini? Unadhani wangemzuia wangejua kuna ka ugovi kadogo na ukraine? Wanajua anapita njia tu kwenda nchi zote za ulaya so lazima azuiliwe kwa nguvu ajue mipaka yake
@Makikokasongo
@Makikokasongo 3 ай бұрын
Wee atuu muongomuongo sana unaona wengine wajinga
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
@@Makikokasongo 🤣sio lazima uamini tumia akili yako 😉
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 3 ай бұрын
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇰🇪
@saidimdoe5246
@saidimdoe5246 3 ай бұрын
Urusi aipige marekani haraka bila kuchelewa
@mbembelatv
@mbembelatv 3 ай бұрын
😂😂acha bhangi kijana wangu
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 3 ай бұрын
Akuna kile Rashya wata fanya kwa Amerika
@josepheriah5977
@josepheriah5977 3 ай бұрын
Ukraine babalao
@e11said23
@e11said23 3 ай бұрын
Mzee tupe kidogo putin na taliban alio waalika.wageni wake
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 ай бұрын
Urus si anasema ana moto 🔥, sasa hata wenzake wana moto 🔥, awashe moto na wenzake watawasha moto 🔥😂.
@clementsabuni75
@clementsabuni75 3 ай бұрын
Makombora yatadunguliwa tuu
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 ай бұрын
@@clementsabuni75 ) acha wawashiane moto 🔥. Moto kwa moto 🔥😂😂😂
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
⁠@@zebedayokatamaduni9676wamemvumilia wamechoka miaka miwili sasa wanamtizama tu sasa hata mtu mpole upole hufika mwisho nahisi sasa umefika muda na wao kumuonesha kuwa jitafakari na utubu lasivo moto kwa moto, kweli mtoto akinunua wembe mpe
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 3 ай бұрын
Nina uhakika, wakitumia tuu haya makombora hypersonic missile zitahusika, nyuklia itahusika maana NATO hawatakua tayari kudhalilika
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
Kiufupi Watu weupe wote si watu wakujishusha so hapa hadi dunia ifike mwisho ndo mambo yataisha, watakaobahatika kubaki ama watapata kazi ya kujenga dunia na kutafuta madawa nk, wataaza kuishi kama babu zetu kwa kula madawa ya porini yani kuishi natural
@PatrickKagiraneza-ok8cw
@PatrickKagiraneza-ok8cw 3 ай бұрын
Naku haidi hivyo vyote havita fanya lolote...vita dunguliwa kbsa...
@rashidmaty7824
@rashidmaty7824 3 ай бұрын
Aly ww ni pro American,iyo ipo wazi
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z 3 ай бұрын
Putin ni kiongozi ambaye Haogipi Kwa chochot ni mtu wa vitendo tu
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
UNAOTA 🤣🫣😂😂😂😂NDO ANAVODHANI
@jahrean-tc8561
@jahrean-tc8561 3 ай бұрын
Kuna Chanel moja nimemuona zelenks anaiomba nato kuifosi Russia kufanya mazungumzo ya amani dj smaa uko wap
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 3 ай бұрын
Putin acha huruma igeuze Kiev majivu
@HajjiSilima-rd3uh
@HajjiSilima-rd3uh 3 ай бұрын
Imefika ahadi Putin kupambana na Hawa manyang'au wa magharibi ila Kiev anaelekezwa kuzimu ni Hawa jamaa
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 ай бұрын
HAWA WAZUNGU WAMETUWAI ENZI ZA MABABU ZETU KUCHUKUA MALI NYINGI KUJIWEKA VIZURI MPAKA MWISHO WA DUNIA SILAA ZOTE HIZO LAZIMA UPATE MADINI KUTOKA AFRICA MATILIONI YA MADOLLA WAMECHIMBA KWETU 😢😢😢😢😢😢
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
ULIZA VIONGOZI WAKO WALOWAKARIBISHA, WAGENI HAWANA MAKOSA
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 3 ай бұрын
Ukraine Wapambe usiwakubalii
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
Utakapovamiwa siku na Kenya au Kagame ndo utaacha mdomo 😊
@josepheriah5977
@josepheriah5977 3 ай бұрын
Putin afe
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 3 ай бұрын
Chambua athar na madhara yake katika kusababisha vita,wachambua siraha tu jamaa angu
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
ZINALIPUA KILA KITU KUTOKANA NA ENEO LILIPOSETIWA
@LylyShaban
@LylyShaban 3 ай бұрын
Huyu ally ni pro_west hamna kitu leo nimeamua kumchana kabisa tuletee dj smaa wetu ndio katufanya tuwe hapa sns
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini 3 ай бұрын
acha ujinga wewe wasilisha wewe sasa kama waweza mbona dharau nyingi sana
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
Hhhhhhhh ANAONGEA UKWELI NA NI MSOMI MKOME ALLY NA UMUACHE MTIZAME
@mbembelatv
@mbembelatv 3 ай бұрын
Sepa t af unsubscribe uone km kuna kitakachoharibika😂
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 3 ай бұрын
Russia na yeye ampe Hizbollah makombora aweze kuipiga Israel
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 3 ай бұрын
Islaeli ataipiga urusi
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 3 ай бұрын
Mikojo yako
@jamessiame5169
@jamessiame5169 3 ай бұрын
Urusi anaogopa islael
@nizarrama225
@nizarrama225 3 ай бұрын
​@@jamessiame5169😂 unafurahisha
@nizarrama225
@nizarrama225 3 ай бұрын
​@@hamidamussa-sy4fm😂 unafurahisha
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 ай бұрын
HAYO MADUBWANA YAMETENGENEZWA NA MAGARAMA MAKUBWA YA KUULIA KUWAUWA MINADAMU NAKUWALIBU NCHI SASA DUNIA TUNAELEKEA WAPI 😢WEKENI PROGRAM MOJA NDUGU ZANGU CHANNEL YETU MUIPE JINA ICHO KIPINDI DUNIANI TUNAELEKEA WAPI???????😢😢😢😢😢😢😢😢
@danchisunga4506
@danchisunga4506 3 ай бұрын
Mbona naye putin, anayishambulia Ukrain kutoka aridhin mwake? Sawa kabisa ukrain ishamburiye tu. Pun ana dhani yeye, ndo yeye, atachapwa tu
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
URUSI KAWAONEA SANA UKRAINE JAMANI MIMI SIPENDI MTU MUONEVU NA ANATAKA KUWA MBABE, MUNGU TUSAIDIE KIUKWELI WATU WAIVI WAZUIWE KWA NGUVU SANA 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@ManyaSumaili
@ManyaSumaili 3 ай бұрын
Wewe nakuunga mukono ata mimi sipendi mutu kaoneya mwenziye
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 3 ай бұрын
Lipo taifa lililouwa watu kama marekani?
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 3 ай бұрын
ukapimwe akili kwanza ndiyo uje ukomenti​@@ManyaSumaili
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 3 ай бұрын
ukapimwe akili kwanza ndiyo uje ukoment
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
@@hajiramadhanihaji355 MAREKANI ndo mkombozi wa wanyonge hakuna unachokijua 🤣yani yule ni God Father ukionewa anakuja KIRANJA MKUU
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 3 ай бұрын
Pigaaa ao urusi nyie mnashambulia ukreni mnaona sawa yeye urusi akipigwa sio swa subiri muone chamtemakuni vita sio masiara pigaaaaa ao warusiiiiii wapuziii urusi ameingia chooo chaa kikeee
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
SIJUI KWANINI WATU WANAONA SAWA URUSI KUVAMIA UKRAINE AMEWAKOSESHA WATU MAISHA, watoto wamebakwa wanawake wamekufa nyie watanzania nmeamini ni watu waajabu mno, bora wewe umeongea tofauti
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 3 ай бұрын
dogo ukapimwe akili kwanza ndiyo uje kukoment humu.
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
@@PAULNYANDILE POVU🤣🤣🤣🤣🤣
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 3 ай бұрын
@@atutweve4160 nope swala siyo povu dogo ila inshu ni uwelewa wa uhalisia au mambo ivyo tu, ila kwa kiwango cha upeo wako wa kufikilia ndiyo umeishia hapo na kuona kwamba nipovu et.
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 3 ай бұрын
Putin acha huruma igeuze Kiev majivu
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
HANA HURUMA HANA UWEZO UO FAMILIA YAKE INAISHI NCHI ZA NATO ATAIUA PIA 🤣🤣🤣🤣
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 33 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,8 МЛН
Så ska du tänka om du vill investera i biotech
22:57
EFN Ekonomikanalen
Рет қаралды 1,4 М.
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 33 МЛН