Holy Trinity Studio - Uko Juu ( Official Music Video )

  Рет қаралды 186,559

HOLY TRINITY STUDIOS

7 жыл бұрын

KWAYA YA MAPENDO - KIGANGO CHA MWANDIGA
PAROKIA YA BIKIRA MARIA MSHINDAJI - KIGOMA MJINI
JIMBO KATOLIKI LA KIGOMA
WASILIANA NAO KWA +255 752 932 119

Пікірлер: 120
@eugendominick9129
@eugendominick9129 6 жыл бұрын
safi Sana nafurahi kuona kazi za nyumbani niko Mwanza ila nyumbani Kiganza kiukweri mko juu Na nyinyi
@neemataris3273
@neemataris3273 10 ай бұрын
Wimbo mzuri sana huu,unatafakalisha sana makuu ya Mungu anayonitendea
@christopherjumanne2714
@christopherjumanne2714 6 жыл бұрын
Jamani kanisa la watu wote takatifu Katoriki nalielewa sana jamani!!!!! Mbarikiwe sanaaaaaaa
@russiathomas9270
@russiathomas9270 5 жыл бұрын
Ningekuwa Malibu ningejiunga Mungu awabariki sana
@tostaostephano1761
@tostaostephano1761 3 жыл бұрын
Abarikiwe sana mtunzi wa wimbo huu kwa maneno mazuri yenye hakima ya ki Mungu!!
@floraphilipo2033
@floraphilipo2033 6 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana, mbarikiwe na Mungu. Endeleeni kufanya kazi yake kwa uaminifu mtafika mbali.
@oswaldnyanda2364
@oswaldnyanda2364 5 жыл бұрын
nawakubali sana,,,,,hasa album yenu ya kwanza ni hatari
@samwela.kasamalo2113
@samwela.kasamalo2113 6 жыл бұрын
Hongereni sana watumishi wa Mungu, hakika mmefanya vizuri saaana
@robsonngwasi7218
@robsonngwasi7218 6 жыл бұрын
Kweli mpo juu hakika uimbaji ni kipaji nimefarijika sana najivunia kuwa mkatoliki
@frankmwalembe332
@frankmwalembe332 3 жыл бұрын
Hongereni Sana Wekeni Na Zile Zote!Hasa Za Dioniz Kipanya Jamaniiii
@suzanakassiano9611
@suzanakassiano9611 7 жыл бұрын
nawapongeza kwa kazi nzur ndugu zangu
@ditrammgimba2759
@ditrammgimba2759 6 жыл бұрын
Organist,,,,,hongera zako,,,,kinanda kimetulia,,,,keep it up,,,,,
@neemataris3273
@neemataris3273 10 ай бұрын
Mungu awainue zaidi ili mzidi kumwimbia.
@jacksonkanzira9789
@jacksonkanzira9789 5 жыл бұрын
Katika tungo zote za Mwl Deo Nkoko ninazozifahamu, wimbo huu umenigusa kwa kweli. Hongereni
@francoisbalinda8320
@francoisbalinda8320 3 жыл бұрын
Aksanti sana kwa wimbo na Mungu awabariki.
@johnkellybrown492
@johnkellybrown492 3 жыл бұрын
Nice song, Mungu yuko juu kabisa
@lucasbenjamin6732
@lucasbenjamin6732 7 жыл бұрын
Kazi nzuri sana mungu awabariki kwa huduma yenu nzuri
@agerpityswai1555
@agerpityswai1555 6 жыл бұрын
Mumeniispire sana hongera sana nkoko utunzi mzuri mungu azidi kukubariki
@anatolialusasi4411
@anatolialusasi4411 5 жыл бұрын
Wanakwaya... pongezi kwenu kwa kuimba vizuri ... nyimbo zenu ni nzuri
@honestevansiana5380
@honestevansiana5380 3 жыл бұрын
So nc nimebarikiwa Sana na huu wimb
@pricydomue5943
@pricydomue5943 6 жыл бұрын
Mwl. Deo pongezi sana, wanakwaya mmeutendea haki wimbo hongereni sana
@felisterjonas818
@felisterjonas818 4 жыл бұрын
wimbo huu unanifaliji sana hakika uko juu
@donatusmkuyu793
@donatusmkuyu793 6 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na wimbo huu,I real proud to be catholic
@anatolialusasi4411
@anatolialusasi4411 5 жыл бұрын
Kaka Deo Mungu huyu aliye juu azidi sana kukunyenyekeza ili mwisho kabisa akujalie Mbingu yake tukufu iliyo juu
@bujunebusanya3966
@bujunebusanya3966 4 жыл бұрын
Dada Anatolia Lusasi, neno bora kabisaa
@jacquelineshabani597
@jacquelineshabani597 5 жыл бұрын
Kweli kabisa mungu yupo juu
@isaackgabrieltv5514
@isaackgabrieltv5514 6 жыл бұрын
hongera holy trinity mnazidi kun'gaa
@davidamundala9720
@davidamundala9720 7 жыл бұрын
Baba Mungu asifiwe kwa ukubwa wake Baba sababu mi kweli. Mupewe baraka ya Mungu kwa uyu wimbo nzuru sana yenyi kutangaza ukweli Wa utukufu Wa Mungu. Asante sana. D. Alphonse Marie.
@leopordbosco4221
@leopordbosco4221 7 жыл бұрын
Mbarikiwe sana wanakwaya wangu nawapenda sana Mungu awajaze upendo wa ajabu kama jina lenu lilivyo
@aloycefabian4953
@aloycefabian4953 7 жыл бұрын
amina mwalimu wetu
@milliamleonceelias8427
@milliamleonceelias8427 6 жыл бұрын
nyimbo tam sana hongeren
@philipmilenganilo6324
@philipmilenganilo6324 6 жыл бұрын
nimebarikiwa na wimbo huu penda sana mapendo kwaya yangu,mungu azid kutupa afya tele ili awamu ijayo tuwe pamoja.by paulina anderson
@franciusfabian7176
@franciusfabian7176 6 жыл бұрын
Asanteni kwa uimbaji mzuri Ndg zangu,nipo nafarijika na kubarikiwa kwa wimbo huu mziro
@orinarichard5293
@orinarichard5293 6 жыл бұрын
Kweli mko juuuu sana.Mungu awabariki mzidi kuieneza neno mkisaidiwa na Roho Mtakatifu
@joeljoseph785
@joeljoseph785 5 жыл бұрын
Mzidi kubarikiwa kwa uimbaji wenu ulio tukuka
@edwinbikolela419
@edwinbikolela419 7 жыл бұрын
kazi nzuri sana jamani!
@janethmillinga4998
@janethmillinga4998 6 жыл бұрын
Hongereni sana waimbaji, mtunzi pia,, organist safi sana,, ni nyimbo ambayo inanigusa sana,, mbarikiwe sana kwa kazi nzuri
@philipobarnaba8991
@philipobarnaba8991 5 жыл бұрын
Mmefanya vizuri Sana sichoki kuangalia
@suzannakipapy5951
@suzannakipapy5951 6 жыл бұрын
Hongereni saaanaa Kwaya ya Mapendo. Nimebarikiwa na uimbaji wenu.
@elielepetit8107
@elielepetit8107 6 жыл бұрын
asante saana kwa nyimbo izi
@GeorgeAlexSadallah
@GeorgeAlexSadallah 2 ай бұрын
Asante sana wimbo mzuri
@mcdady5649
@mcdady5649 6 жыл бұрын
hatari sana aseeeeee
@winifirdamayara2419
@winifirdamayara2419 6 жыл бұрын
nabuludika kwelikweli safisana
@dafrozanestorymjasilimali3312
@dafrozanestorymjasilimali3312 3 жыл бұрын
Nimewamiss Sana kwaya ya mapendo nitumiemien dvd yenu dat
@mugoohsulumbi517
@mugoohsulumbi517 6 жыл бұрын
hongeren saan wanakwaya wa kigango cha mwandiga kigoma kwa kuimba vzr, lkn pia Trinity studio hakika mmeitendea haki n
@robsonngwasi7218
@robsonngwasi7218 6 жыл бұрын
Nimewapenda sana kweli uimbaji ni kipaji hongereni sana
@fukijunior1747
@fukijunior1747 7 жыл бұрын
hatariiiii saaana kazi nzuri
@annastaziamushi6974
@annastaziamushi6974 6 жыл бұрын
dah huu wimbo narudia mara kumi kumi...I cant explain cwtness yake dah ukichanganya na clear yapicha zenye matabasamu wallahy unaiona mbingu hii hapa..Big up sana mtuzi wanakwaya wenyewe nakubwa zaidi production.
@marymalley8870
@marymalley8870 6 жыл бұрын
Mungu azidi kuwaimarish Kwan hap mnasali mara mbili
@donatusmkuyu793
@donatusmkuyu793 6 жыл бұрын
Hongeren sana mbarikiwe kwaya ya mapendo wimbo mzuri sana
@venancekababaye2265
@venancekababaye2265 6 жыл бұрын
Ah, nimewakubali! Hongereni sana.
@kulwamathias1735
@kulwamathias1735 6 жыл бұрын
so nice God bless them
@albertokebeje1365
@albertokebeje1365 6 жыл бұрын
Hongereni mmeimba vizuri sana.
@norbertsam5430
@norbertsam5430 7 жыл бұрын
Hongera HT - Studios kwa ubora wa picha. Hongereni saana. Pia nawapongeza wanakwaya wote kwa kuimba vizuri bila kumsahau my bro Nkoko kwa utunzi wake. Barikiweni!
@aloycefabian4953
@aloycefabian4953 7 жыл бұрын
asante sana
@zachariamagolanga8178
@zachariamagolanga8178 6 жыл бұрын
Kweli yuko juu.Tuyakubali mapungufu yetu na hekima ya kimungu ituongoze tufike huko juu aliko.Hongereni wa Mwandiga.Mwl.Nkoko uko juu na kazi nzuri.
@luvisa2472
@luvisa2472 4 жыл бұрын
Hii record companyinayojiita Holy Trinity Studio waache kuweka introduction ya nyimbo yao katika kila nyimbo walizo record, yaani inaudhi unapo taka kusikiliza nyimbo lazima kwanza usikize introduction ya sauti yao kitu ambacho kinaboa. Tunajua mmerekodi hii nyimbo sasa hakuna sababu ya kutufanya tuwasikilize nyinyi kabla ya nyimbo.Rajo na Verony na Tanganyika production hawaweki signature sound yao, unakwenda straight kwenye music. Makampuni makubwa ya kurekodi wahaweki introduction ya nyimbo kwenye musiki walio record Mnasound mpo patronize and hungry to be known and recognized
@martinjohn7382
@martinjohn7382 6 жыл бұрын
Ni nyimbo zuri sanaaa pongezi kwenu na Mwenyezi Mungu awabariki, lakin nawezaje kuipata CD yenu m npo udom
@mkuyu-ben.6746
@mkuyu-ben.6746 6 жыл бұрын
Fantastic!
@mema4357
@mema4357 6 жыл бұрын
Wow! Amazing, kastaili flani Hivi ka Uimbaji nice Offcourse
@jacquelineshabani597
@jacquelineshabani597 5 жыл бұрын
Wimbo huu unanifariji sana
@omarygesa2884
@omarygesa2884 4 жыл бұрын
Hakika wimbo mtamu sana
@philipmilenganilo6324
@philipmilenganilo6324 6 жыл бұрын
nawapenda sana wana mapendo.nawamis sana, mungu awabariki sana kwa kazi nzuri.mungu azid kuwapa tena na tena ili mzid kumtumikia.
@aloycefabian4953
@aloycefabian4953 6 жыл бұрын
amina
@wernerkahemela3455
@wernerkahemela3455 3 жыл бұрын
That's catholic Bwana, hapana chezeaaa, tafakari kubwa Sana, mbarikiwe
@winifirdamayara2419
@winifirdamayara2419 6 жыл бұрын
safi sana wapendwa
@rizy6
@rizy6 7 жыл бұрын
Naomba niwe wa 4 kuwapongeza mtandaoni najua wengi walishawapongeza kwa kazi hii Nzuri sana. Sauti zipo vema sana, tabasamu nk hongereni sana wana Mwandiga Mungu awabariki sana
@henrikoyilima5723
@henrikoyilima5723 6 жыл бұрын
hongereni sana kwakaz nzurii sana pia nampongeza sana mtaalamu De Nkoko anaandika vtu vzurii
@emmanuelevarist7377
@emmanuelevarist7377 6 жыл бұрын
mungu awabaliki sana natamani nipate CD yenu kwakweli
@oscarmhagama3688
@oscarmhagama3688 5 жыл бұрын
Thanks im blessed through your tallent
@alansixbert4653
@alansixbert4653 5 жыл бұрын
Huu wimbo ni Mara ya mia ngapi Sijui naurudia na Kila Mda Naona mpya tu...
@eugendominick9129
@eugendominick9129 6 жыл бұрын
mlakeze yani mbaninipa raha
@lawrencejohnson5537
@lawrencejohnson5537 4 жыл бұрын
God bless them,
@kanisiusmarko7852
@kanisiusmarko7852 6 жыл бұрын
Pongezi kwa wanakwaya, holly trinity video production, kaka mtongole umefanya kazi nzuri sana. Ila mwl Deo Nkoko jamani nyimbo zake zimezingatia utunzi wa kisanaa yaan jina la wimbo wawezalikuta mwisho ama katikati ya wimbo, mfano ni nusu kwa nusu, upo juu, ipo juu, ipo tu, ni shangwe tu na mdogomdogo.
@kanisiusmarko7852
@kanisiusmarko7852 6 жыл бұрын
Nimejikuta nauangalia huu wimbo kila siku iendayo kwa Mungu asante Mungu kuwajaalia watumishi wako sauti za kukutukuza
@benwabiblia
@benwabiblia 7 жыл бұрын
Naomba niwe wa kwanza kuwapongeza ndugu zangu HOLY TRINITY STUDIOS, The Actual Catholic studio in Tanzania. Video quality mmeitendea haki sana. Video is clear, Animations ziko safi. I love it. Lets Keep on the good work. Amina!
@kaigamutongore8791
@kaigamutongore8791 7 жыл бұрын
Asante
@bihogorakaroli9691
@bihogorakaroli9691 7 жыл бұрын
studio mko zaidi ya safiiiii honera kwenu trinity
@kibelatv3654
@kibelatv3654 6 жыл бұрын
Hongera Deo nkoko kwa kazi
@jacksonruitiari9245
@jacksonruitiari9245 4 жыл бұрын
Where can I get this album? Watching you frm Mombasa.
@nagagwanagagwa9591
@nagagwanagagwa9591 7 жыл бұрын
roman Catholic penda sana dhehebu langu.
@eugendominick9129
@eugendominick9129 6 жыл бұрын
kama namuona mtu WA Kiganza nkoko
@elihurumaobura8482
@elihurumaobura8482 7 жыл бұрын
Good art work kaka. Keep it up
@kaigamutongore8791
@kaigamutongore8791 7 жыл бұрын
Elihuruma Obura asantee
@benjaminmasala7638
@benjaminmasala7638 7 жыл бұрын
Mko vizuri Hongera Mwalimu Deo Nkoko kwa wimbo mzuri
@adriyoutube5672
@adriyoutube5672 3 жыл бұрын
Fr. Adrian Ichaka Kazi nzuri Mungu awabariki kwa upendo na majitoleo yenu, msirudi nyuma!
@odilojohn5028
@odilojohn5028 7 жыл бұрын
with this quality, i dare to say you are good, your the best.....
@philipobarnaba8991
@philipobarnaba8991 5 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 7 ай бұрын
❤❤❤❤
@eugendominick9129
@eugendominick9129 6 жыл бұрын
kila siku Kama mpya
@robbiirene2980
@robbiirene2980 6 жыл бұрын
Amina
@elvisishengoma7384
@elvisishengoma7384 7 жыл бұрын
safi sana naipata vipi CD hii,hongera HT
@aloycefabian4953
@aloycefabian4953 7 жыл бұрын
Asante na utaipata DVD punde tu baada ya uzinduzi, tutajitahidi zifike sehemu zote
@gervasvitus1925
@gervasvitus1925 5 жыл бұрын
HD ya nguvu mbalikiwe sana kanisa dogo lkn mambo yake makubwa@
@ROBERTBALAMA
@ROBERTBALAMA 6 жыл бұрын
Iko vizuri sana, Je kwa Jimbo la Iringa tunaipataje DVD?
@litandadrakama3959
@litandadrakama3959 7 жыл бұрын
Kazi nzuri Bro.mutongole tuweke nyingine bs.
@litandadrakama3959
@litandadrakama3959 7 жыл бұрын
okay
@jdidjejeixjjrrj3220
@jdidjejeixjjrrj3220 4 жыл бұрын
@@HOLYTRINITYSTUDIOS في
@jdidjejeixjjrrj3220
@jdidjejeixjjrrj3220 4 жыл бұрын
صباح يوم
@jdidjejeixjjrrj3220
@jdidjejeixjjrrj3220 4 жыл бұрын
The one of
@jdidjejeixjjrrj3220
@jdidjejeixjjrrj3220 4 жыл бұрын
@@HOLYTRINITYSTUDIOS 0 0, ,,., bbb66000q to00
@paulmutunga
@paulmutunga 6 жыл бұрын
what a wonderful music....love love this song so much, How can I get the full album?
@paulmutunga
@paulmutunga 6 жыл бұрын
am from kenya
@paulmutunga
@paulmutunga 6 жыл бұрын
When Do we expect it it Nairobi
@jacobtomas7729
@jacobtomas7729 7 жыл бұрын
mko vzur
@juliusmushobozi2564
@juliusmushobozi2564 7 жыл бұрын
iko vizuri
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 7 ай бұрын
❤❤
@linturevocatus8159
@linturevocatus8159 6 жыл бұрын
wapendwa nyimbo hii ntaipataje?
@MchainaT2
@MchainaT2 7 жыл бұрын
Kwanza niwapongeze HT kwa kazi nzuri hakika mnafanya kazi katika ubora wa kimataifa niwashauli kitu kimoja tu sasa niwakati wa kutafuta adsence kwenye akaunti yenu ya youtube ili muendelee kufanya kazi kwa manufaa ya kwaya husika na manufaa yenu pia, tupanue wigo wa biashara mtandaoni jitahidini mlifanyie kazi hili.
@kaigamutongore8791
@kaigamutongore8791 7 жыл бұрын
mchaina Tv tunalifanyia kazi mkuu. thanks so much for ur advice.
@danielmadembwe5920
@danielmadembwe5920 5 жыл бұрын
nitapataje mziki wake nota
@kafulyawilson8567
@kafulyawilson8567 5 жыл бұрын
ingia swahili music ipooooooo.......
@ilonginusmbele8935
@ilonginusmbele8935 6 жыл бұрын
M
@thomasjovita9203
@thomasjovita9203 5 жыл бұрын
Mungu mwema awabariki Sana kwa mahubiri kwa njia ya wimbo huu
@christopherjumanne2714
@christopherjumanne2714 6 жыл бұрын
Naomba mnitumie wassp. 0769469057. Tafadhari nawapenda mno ndugu zanguni Mwenyezi Mungu awabariki sana.
@hassanzaniru3699
@hassanzaniru3699 6 жыл бұрын
asanten saaana nataman niipate cd yenu,nko tanga,0689246920
@florakazunga9814
@florakazunga9814 7 жыл бұрын
hongereni sana matamshi yanackika na mmeimba kwa utulivu.
@mcdady5649
@mcdady5649 6 жыл бұрын
hatari sana aseeeeee
@mcdady5649
@mcdady5649 6 жыл бұрын
hatari sana aseeeeee
@mcdady5649
@mcdady5649 6 жыл бұрын
hatari sana aseeeeee