Hongera sana rais wetu wa Tanzania Mh Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuriiii kwa taifa letu, Mungu ibariki Tanzania ❤
@levispaultitus8623 Жыл бұрын
Hongera kwa uongozi wako Mungu akuwezeshe kwa majukumu bora ya kujenga taifa letu❤
@DanielYohana-mt3bi Жыл бұрын
Our national our present lovely u mom.mimi nakukubali sana mama
@jaywi5681 Жыл бұрын
Ni kweli 2023 ulikuwa Mwaka wa Mageuzi. Tunakutegemea sana Mhe. Rais katika kutimiza matakwa ya Utekelezaji wa Mageuzi hayo Mwaka huu 2024. Amiin
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
KUDOS TO MAMA WE❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@obadiazabroni6518 Жыл бұрын
Kongore kwako mama,wakulima tunakutegemea sana
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Hongera kwa kupata raisi kama huyo NA hongera kwa wazazi wake walimlea heshma uaminifu NA akili NA anajiamini NA hijabu yake imempendeza hio ndio mafunzo ya kiislaam kweli anajua anaye fanya mungu ampe janat alfrdaus NA kila mtu atazungumza NA mungu wake na ataulizwa kwa umry wake mali yake dini yake NA makosa yake
@feiswalsalim21177 ай бұрын
um plz pthooreshaa ulifanikiwa kilimo nganii
@feiswalsalim21177 ай бұрын
m hizoo helee za subuu school vola ship ulixitosa lwa mfuko ngani ndio hataukiondoka upatee kuendelea
@bodyaman Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@seif3401 Жыл бұрын
Unawekeza Mali za bara unaijenga zanzibar
@amabilis-mariesangu9500 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫡
@clarencehilary5588 Жыл бұрын
Hotuba yako haitusaidii kabisa tanganyika yetu kwanza na bandari yetu turudishie