hotuba ya netanyahu/makubaliano ya amani ya siku 60 (sehemu ya pili)

  Рет қаралды 3,020

Maulid Mnukwa

Maulid Mnukwa

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@SalimMohamedFaraj
@SalimMohamedFaraj 3 күн бұрын
Shukran sana Sheikh Maulidi kwa taarifa yako nzuri sana
@denisrweyemamu
@denisrweyemamu 3 күн бұрын
Mwamba kama mwamba.....🎉🎉🎉
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 3 күн бұрын
Alhamdulillah tabasamu tumeiona Ila wasiwasi na pignyau na wenzetu wa gaza
@KarimAthumani-vj4pf
@KarimAthumani-vj4pf 2 күн бұрын
Uchambuzi ni mzuri lakini punguza matumizi ya lugha ya kingereza pasipo na ulazima, tumia lugha moja tu ueleweke vizuri kama ni kingereza tumia kingereza tu mwanzo mwisho n. k
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 2 күн бұрын
We acha uongo
@YohanaJoshua-h2j
@YohanaJoshua-h2j 3 күн бұрын
Hamas imekula kwao
@khalifanoti6974
@khalifanoti6974 3 күн бұрын
Hiyo sio ceasefire ni ubabaishaji tu wa muizrael kwani hisbullah bado hatujasikia chochote wakisema,kwani mwenye kuomba kusitisha mapigano ni muizrael .
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 2 күн бұрын
Nijua vita imeisha kumbe itaendelea
@RamadhaniMohamedi-de2vc
@RamadhaniMohamedi-de2vc 3 күн бұрын
Mm bwana kwaupande wangu naona kunaubabaifu tu hapo sasaivi kitawaka.
@WadySaidi
@WadySaidi 2 күн бұрын
Israel wamekungutwa vibaya mnoo na ndio maana Awana jipya
@yusuphhassan9619
@yusuphhassan9619 3 күн бұрын
Assalaam alaykum,mimi sijaelewa kwa nini hizbullah wamekubali kusitisha mapigano wakati sababu yao kuishambulia Israel ilikuwa kuwasapot Hamas na watu wa Ghaza kwa ujumla.Mimi ninaona kama watakuwa wamewasaliti Hamas na watu wa Ghaza
@NoelNjementi
@NoelNjementi 3 күн бұрын
Jmn hii ndio asali ya wazungu nawarabu iliyo Wario tuachia ktk ubongo wetu ebu tizama
@NoelNjementi
@NoelNjementi 3 күн бұрын
Kunanduguzetu wanauwawa kama wanyama na makabira ya kiarabu Tena wabantu yani cc watu weusi uko sudani kote sudani dafuru uwo mgogoro uyu mchambuz ajawai kuuzungumzia kbs kbs uyu mchambuzi
@denisrweyemamu
@denisrweyemamu 3 күн бұрын
Hahah... We jamaa bhana mi naamini huyu mwamba hataacha kuuzungumzia ni kiasi cha kumpa muda Tu. Huyu jamaa ndo mtanzania nliyemuona kaongelea saisa za mabara yote kuanzia America kaskazini, kusini, Africa, ulaya, na hata Asia. Kwaiyo ni muda Tu mtakuja kuniambia
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 2 күн бұрын
Sasa kama ni siku 60 mbona walio kimbia Lebanon wanaanza kurudi ..na Netanyau hatanii zikisha anakiwakisha kama kawaida King 👑 of East....
@hassanisaidi5422
@hassanisaidi5422 2 күн бұрын
Anakiwasha wakt yeye nd kaomba pooh
@KhalidiBoaz
@KhalidiBoaz 3 күн бұрын
LENGO LA HIZBULLAH NI KUUNGA MKONO HARAKATI ZA HAMAS,SASA NASHANGAA KUONA WAMEKUBALI WAKATI GAZA BADO KABISA
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 2 күн бұрын
Uliona hivo Kuna jambo nyuma ya pazia ndio maana hizbollah hawajatoa taarifa yyte
@paschalcharles3617
@paschalcharles3617 2 күн бұрын
Hezbollah Bado wapo wapo sana ni Suala MUDA TU wazee watarudi mzigoni🙌
safari ya Rais Putin Kazakhstan na Lloyd Austin visiwa vya Fiji
15:30
Maulid Mnukwa
Рет қаралды 3,2 М.
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 8 МЛН
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
Yay😃 Let's make a Cute Handbag for me 👜 #diycrafts #shorts
00:33
LearnToon - Learn & Play
Рет қаралды 117 МЛН
Ιωάννης Μάζης: Γεωπολιτικές Δυναμικές στην Μεσόγειο
2:17:56
Σάββας Καλεντερίδης
Рет қаралды 60 М.
SI UCHAGUZI, NI OPERESHENI NYAKUA MADARAKA
8:24
SK Media Online TV
Рет қаралды 14 М.
"Kama WADHAIFU Msiambiwe, CAG Hajakosea, Lazima Mkosolewe" - YUSUPH
5:04
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 8 МЛН