Kijana umeongea vizuri mno. Mungu akubariki sana katika ulimwengu wa siasa. Siku.moja utakuwa kiongozi wa juu katika taofa hili.
@MginaFiloteus13 күн бұрын
KONGORE SANA JOHN PAMBALU HOTUBA YAKO IMENITOA MACHOZI PAMBANIA SANA HAKI
@marieconnect638914 күн бұрын
Hadi leo nikisikia jina la Soka naumia roho sana japo sikumfahamu kabla hajapotezwa. Nilisikia moja ya hamojiano yake....alikuwa ni brain ya taifa hili mwenye mawazo tofauti mazuri na mzalendo wa kweli.
@marieconnect638914 күн бұрын
Kijana Usisahau kuchukua fomu ya UBUNGE baada ya reform itafanyika. Ukateme cheche bungeni
@emmanuelkapyela702714 күн бұрын
Kijana ametisha sana 🎉
@MussaGodfrey-s7k13 күн бұрын
Hakika mwamba mungu akulinde xana hiyo ndo hazina ya chama
@EmmanuelJeremiah-r2s14 күн бұрын
Hotuba iliyo jaa hofu ya MUNGU
@igulug545014 күн бұрын
Watu wa maana kabisa kwenye chama chetu hawapendi sifa hawajioni nimeanza nao haya mapambano mda mreefu hii ndo ilikuwa chadema wakati ule siyo sasa
@NayshatShareef14 күн бұрын
Maneno mazito mno
@kulwastima399314 күн бұрын
ccm wakisikia wanatamani watawapata wp vijana wa aina hii
@marieconnect638914 күн бұрын
Maokoto muhimu jamani 😅
@engjosephmfangavo433014 күн бұрын
Mwamba mwingine uyu
@florencejohn642714 күн бұрын
Soka kauliwa lini? Hapa karopoka
@TwahaShehe14 күн бұрын
Wewe umemuina wapi wambie wajue Kama Kuna sehem wajua yupo
@BabaFarzan-ml4er13 күн бұрын
Tuanze na wewe Maana umeropoka hapa inamaana unajua alipo kama hajafa 😢 Shame on you Kenge wakufugwa