HOTUBA YA RAIS ENG. HERSI KWENYE MKUTANO MKUU WA MWAKA 2024

  Рет қаралды 56,792

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

#daimambelenyumamwiko #timuyawananchi

Пікірлер: 126
@SaidAlly-zi1tv
@SaidAlly-zi1tv 4 ай бұрын
Hongera sana team yangu ya familia Babu yanga baba yanga mm yanga na kizazi changu chote yanga
@nayopamlimbatv1382
@nayopamlimbatv1382 4 ай бұрын
Safi sana hii timu kubwa hata mimi babu yangu Yanga,baba yangu,na mimi ni Mwanachama kamili ninaelipia ada kabisa
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 4 ай бұрын
Mr President Engineer HERSI SAÏD YOUR ARE THE BEST 💛💚💯💥🌟💫⭐
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 4 ай бұрын
MUNGU ni mwema hongera Sana Engineer Hers kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 4 ай бұрын
Raisi wa mahana saana sana... Mi Simba saana ila siwezi kuacha kusema ukweli wewe ni kioo cha mtu yeyote mpenda maendeleo kuweza kujitazama na kujirekebisha... Hongera saana kaka, na mwenyezi akubariki saana..
@LupimoclinicBlogspotsanitarium
@LupimoclinicBlogspotsanitarium 4 ай бұрын
Hotuba ya mh Engeneer Heris rais wa Yanga,hotuba zako mara nyingi huwa zimeshiba, binafsi huwa najivunia sana kuwama.m/kiti kama wewe Mungu akutunze na Mungu ailinde Yanga yetu Ameen!
@paraxedjoseph5174
@paraxedjoseph5174 4 ай бұрын
Good speech from a brilliant president ❤
@PeterNgeresa
@PeterNgeresa 4 ай бұрын
Big presdar,hongeraaa sana sana hakika kaz yako inaonekana.keep it up bro!!.
@bernardgervas768
@bernardgervas768 4 ай бұрын
Tunakuombea maisha marefu rais wetu
@HasnaNassoro
@HasnaNassoro 4 ай бұрын
Nipo kagera ngara
@EllyVicent-om6fz
@EllyVicent-om6fz 4 ай бұрын
Hongera sana timu ya udogon mwangu ha di sasa ni mtu mzima asante sana young africans
@esterkibuta7330
@esterkibuta7330 4 ай бұрын
Hongera raisi wetu wa yanga uko vizuri mbunifu mchapakazi busara nyingi da hongera sana tunzidi kukuombea ufanye zaidi ya hayo.
@SinzaRobert
@SinzaRobert 4 ай бұрын
Dah mungu atusaidie wana yanga
@ShomariHamisi-vn1xl
@ShomariHamisi-vn1xl 4 ай бұрын
Hongera Eng.Herisi kwa uongozi imara na mazubuti,yanga oyeeeeeeeee!!
@GodfreyMidello
@GodfreyMidello 4 ай бұрын
This what we call mind focus. Eng. HERIS.
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 4 ай бұрын
Allaah Akbar
@LemomoRiano
@LemomoRiano 4 ай бұрын
Hongereni sana wanainchi wa yangu kwa kufanya maturity kweny mkutano mkuu wa mwaka ila mimi sijafutiwa na rasi alivyo simama kwa wakati mrefu mimi Nanna ingependeza sana uwe na mwakilisha ili usimame kwa dakika za heshima japo kazi nzuri ila iwapo utakuwa na wakati mrefu ya kuzungumuza hataka Mazur kiasi gani. Tuatambua kuwa wewe ndio unaetenda ❤
@FurahaEdward-q9e
@FurahaEdward-q9e 4 ай бұрын
ukasimame wew
@FurahaGolden
@FurahaGolden 4 ай бұрын
Najivunia Kia mwananchi 💚💚💚💚
@BoKiMASTER-v5v
@BoKiMASTER-v5v 4 ай бұрын
hongereni chama la wana👍👍👍👍👍
@JastineJasto
@JastineJasto 6 күн бұрын
Kiongozi bora anatoka kwa mungu na sisi yanga tunashukuru kutupatia kiongozi bora
@YonahMwamanenge-hy7fe
@YonahMwamanenge-hy7fe 4 ай бұрын
Asante Rais Eng Hers Said huna baya endelea kuchapa ya kujitolea na Mungu atazidi kukubariki,
@KinanaManjura
@KinanaManjura 4 ай бұрын
Engineer Tunakuombea tufike mbali❤❤
@HusseinBabuwakichina-xb1bu
@HusseinBabuwakichina-xb1bu 4 ай бұрын
Kitengo cha habari mko vizuri kongole kwa Ally kamwe na jopo lako lote
@AnnastaziaDominick
@AnnastaziaDominick 4 ай бұрын
Naipenda sana timu yangu🎉🎉🎉🎉
@MserbiaMbunjai
@MserbiaMbunjai 4 ай бұрын
Nice speech...
@ErastoKibus
@ErastoKibus 4 ай бұрын
Mungu aibariki yanga
@MossesKasanie
@MossesKasanie 4 ай бұрын
Hongera xana team yanga ya family Babu yanga baba yanga mam yanga na kizazi changu chote yanga
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 4 ай бұрын
❤❤❤❤jongera sana yanga ❤❤
@JumaIssa-f9r
@JumaIssa-f9r 4 ай бұрын
😮Hongera sana kwa hotuba nzuri yenye matuini makubwa na maendeleo kwa timu yeti hongera sana raisi wa timu ya yanga
@HusseinMustapha-n2n
@HusseinMustapha-n2n 4 ай бұрын
manara ndoanafaha kwenye kitengo hicho ata viwanja avijahe raisi wetu na tunafanya vzur manara washirikian na alikamwe tunawapenda ote🎉🎉
@ZenaisKimario-dp1ox
@ZenaisKimario-dp1ox 4 ай бұрын
Mungu akuweke miaka mingi
@FurahiniMbise-cb6uf
@FurahiniMbise-cb6uf 4 ай бұрын
Big brain 💪
@MossesKasanie
@MossesKasanie 4 ай бұрын
Naipenda xana yanga ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@RaphaelMayoro
@RaphaelMayoro 4 ай бұрын
Nipo pamoja nanyi asante
@JumaIssa-f9r
@JumaIssa-f9r 4 ай бұрын
Yanga tutachukuwa makombe miaka kumi mfululizo mpaka mokolo waseme poooo raisi wetu umefanya kazi kubwa sanaaaa hongera sanaaa
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 4 ай бұрын
❤❤❤shere ilifana kweli
@KalsonLameck
@KalsonLameck 4 ай бұрын
Mungu awabariki viongozi wetu
@MudyRajabu-m5q
@MudyRajabu-m5q 4 ай бұрын
Mungu akubaliki rais wewe unatifaa
@MbeziAthumani
@MbeziAthumani 4 ай бұрын
Nakupongeza San injinia na mungu akulinde na WAbaya
@shukranionesphoro7744
@shukranionesphoro7744 4 ай бұрын
Mm ni Simba ila Hawa jamaa wamefika mbali, kzr Zaid mambo yanaenda Kwa weredi sana, duuu Simba yangu
@RamadhaniIghondo
@RamadhaniIghondo 4 ай бұрын
Safii sana
@LukasVakule
@LukasVakule 4 ай бұрын
🎉tupambane tujenge uwanja wetu yanga.mbele mbele.daima.
@AlfredyDon-v2w
@AlfredyDon-v2w Ай бұрын
Yanga oye
@Delickmuchunga
@Delickmuchunga 4 ай бұрын
Mtu making sana
@maxwellmarko7007
@maxwellmarko7007 4 ай бұрын
Uyu ni rais asee
@sumaidgasto4721
@sumaidgasto4721 4 ай бұрын
Kumbe yanga ipo na watu nyuma yake
@MzeewaYanga-wj4tt
@MzeewaYanga-wj4tt 4 ай бұрын
🎉🎉🎉mr president
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 4 ай бұрын
Tuna Imani na wewe Rais wetu ya kwamba utatufikisha Inchi ya AHADI
@JafetiTngogoNgogo
@JafetiTngogoNgogo 4 ай бұрын
good
@aploniamichael
@aploniamichael 4 ай бұрын
Mungu ibarik yanga
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 4 ай бұрын
Jamani mimi sina kadi lkn ni kipenzi cha yanga tangu utotoni kwangu, nakumbuka nilinyimwa maandazi na kaka yangu kisa sikukubali kushabikia simba. Enzi hizo kijjn kulipata andazi hadi litoke mjini.
@husseynomar9523
@husseynomar9523 4 ай бұрын
Bi Fatma Karume 🎉❤❤❤
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 4 ай бұрын
Eng . Upo vizuri sana Ila tengeneza mfumo ya task force ya matangqzo kupitia TV,Radio,na kila siku ya match kuwepo na hamasa ya kusajiri wanachama wapya .
@remidiuswilliam7494
@remidiuswilliam7494 4 ай бұрын
Hakika Uongozi tunao,,ila wanachama tunazingua tuamke tuko nyuma sana
@ImanueliMwakajinga-ry8ig
@ImanueliMwakajinga-ry8ig 4 ай бұрын
Maisha marefu kwako Mr president
@HassanNgota-b5o
@HassanNgota-b5o 4 ай бұрын
Naomba timu ya wanawake,simba wanatamba sana malizani utawala wao kama kaka zao
@paulnzilo7252
@paulnzilo7252 4 ай бұрын
More 💕💕 engineer unastahili kuwa rais wa Taifa letu pia.
@veredianamassawe4935
@veredianamassawe4935 4 ай бұрын
👏👏👏
@abdoulmaridadi4868
@abdoulmaridadi4868 4 ай бұрын
Safi tupo pamoja eng
@flavianapeter494
@flavianapeter494 4 ай бұрын
Injinia heri ya tumbo lililo kuzaaa🙏
@DervishBaba
@DervishBaba 4 ай бұрын
Naona ccm watupu sasa huu ni mkutano wa yanga au ni mkutano wa ccm kasoro raisi
@NadiaSadam-u3i
@NadiaSadam-u3i 4 ай бұрын
Chuki binafsi hiyo itakuwa wewe ni kolo fc kwendaaa
@unclegmihale455
@unclegmihale455 4 ай бұрын
🔥🔥💚💚💛💛💪
@adrianobihabwa3464
@adrianobihabwa3464 4 ай бұрын
Jamani yanga mtatuua 😂😂😂😂
@DismasBasili
@DismasBasili 4 ай бұрын
Pongezi Kwa Raid wetu. Wana wa jangwani tumupe maua yake🎉🎉🎉
@AmurJecha
@AmurJecha 4 ай бұрын
YANGA HAPO HAIJAPATA HASARA SEMINI SERIKALI IMEPATA HASARA LAKINI HIYO SIYO ISHU ENDELEENI TU❤❤❤❤
@HofuLipamba
@HofuLipamba 4 ай бұрын
Yanga imenoga mpaka basi 🎉🎉🎉🎉🎉
@KennedyVorogwe
@KennedyVorogwe 4 ай бұрын
Mtu wa maana sana engineer
@DudeMtu2-dg1fs
@DudeMtu2-dg1fs 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 4 ай бұрын
Kwani duniani kuna timu inayoleta raha kama Yanga?
@patrickngalya5884
@patrickngalya5884 4 ай бұрын
Next time anaechukua video aache kutumia hiyohiyo camera kupiga picha unaondoa mvuto kwenye video kukwamakwama wapo watu special Kwa ajili ya picha za mnato pls
@rehemakotinjo7465
@rehemakotinjo7465 4 ай бұрын
Yanga tamuuu💛💚🖤
@gollowrukata5504
@gollowrukata5504 4 ай бұрын
Good
@VelestinaElius
@VelestinaElius 4 ай бұрын
Wow❤❤❤
@alfackisadimartine5133
@alfackisadimartine5133 4 ай бұрын
Hongera sana Rais wa kilabu bora
@goodlucknzunda6949
@goodlucknzunda6949 4 ай бұрын
hila yangaaaa🔥🔥🔥
@AmtaB4cussAmtaB4cuss
@AmtaB4cussAmtaB4cuss 4 ай бұрын
Daima mbele Nyuma mwiko
@innocentmmandago3029
@innocentmmandago3029 4 ай бұрын
Congratulations!!
@AmaniJulius-np2zx
@AmaniJulius-np2zx 4 ай бұрын
Sisi km washabiki wa yanga tunaenjoi tunapenda kazi mnayofanya
@DervishBaba
@DervishBaba 4 ай бұрын
Na mbona mambo yenu hayaingiliwi lkn simba mambo yao munawaingilia na kuwachafuliya roho mbaya tu
@ZaituniAlmas
@ZaituniAlmas 4 ай бұрын
Yanga raha mpka inakera
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 4 ай бұрын
EEEEE MWENYEZI MUNGU WETU BABA YETU WA MBINGUNI TUJAALIE SISI WAJA WAKO,TUWEZE KUWAONGOZA WANETU KUWA KWENYE TIMU YETU YA YANGA,WAPATE RAHA,🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 4 ай бұрын
😮iriiii kutanooo duuu rakimataaaifaaa sanaaaaa😅😅😅😅😅😅
@HamisiAthumani-on4iw
@HamisiAthumani-on4iw 4 ай бұрын
❤❤❤🎉
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 4 ай бұрын
👏👏👏👏👏👍
@ImanueliMwakajinga-ry8ig
@ImanueliMwakajinga-ry8ig 4 ай бұрын
Our president 🫶🏼🙌🏽
@MbeziAthumani
@MbeziAthumani 4 ай бұрын
Siwezi kupata kadi la uwanachama wayanga kupita oiln
@petromilanzi3219
@petromilanzi3219 4 ай бұрын
🎉
@athumanyusuph1099
@athumanyusuph1099 4 ай бұрын
Rais wa yanga
@ShabanMbegu-t2k
@ShabanMbegu-t2k 4 ай бұрын
Huna baya raisi
@dicksonmmary6140
@dicksonmmary6140 4 ай бұрын
Mimi Dixon Mmary ni Yañga Lialía"
@HasnaNassoro
@HasnaNassoro 4 ай бұрын
Sisi mikoan amtuthamin,kad tunaitakaaaa
@MzeewaYanga-wj4tt
@MzeewaYanga-wj4tt 4 ай бұрын
Upo mkoa gn
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 4 ай бұрын
🙏🙏🙏👏🏽👏🏽🇦🇺
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 4 ай бұрын
Sisi Simba tumewatimua wajumbe mpo
@AgnesKado
@AgnesKado 4 ай бұрын
Eee mora endelea kutufanya wenye furaha zaidi afrika
@DervishBaba
@DervishBaba 4 ай бұрын
Na mbona mambo yenu hayaingiliwi lkn simba mambo
@salimurashidi-gx1id
@salimurashidi-gx1id 4 ай бұрын
state sana yanga
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 4 ай бұрын
simba wa nalala wakiona ivi
@ChrisSimbert
@ChrisSimbert 3 ай бұрын
Haina baya..
@JacksonMahende-ho2wb
@JacksonMahende-ho2wb 4 ай бұрын
Hayo ni maono mazuri waige haya mazuri
@johnmgalilwa9136
@johnmgalilwa9136 4 ай бұрын
💪💪💪💪💪🔰🔰🔰🔰🔰
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 4 ай бұрын
Hujawahi kuona Mkutano Bora kama huu hahaaa😂..Rejea Mikutano ya Simba hapo hapo kwenye Ukumbi huo huo miaka 6 sasa
@EdwardSemwenda
@EdwardSemwenda 4 ай бұрын
Rais sio tu rais ni mtu wa mfano kuigwa anaakil ya kuona mbali ni mtu mwenye wered tunaomba utufikishe nnchi ya ahadi
@DervishBaba
@DervishBaba 4 ай бұрын
Na mbona mambo yenu hayaingiliwi lkn simba mambo yao munawaingilia na kuwachafuliya roho mbaya tu Hhhhh😅😅hhhhhhhhh😅😅😅😅hhhhhhhhhh😅😅😅😅😅hhhhhhhhhh
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 30 МЛН
WAZIRI MKUU ATUMA UJUMBE MKUTANO MKUU WA YANGA  2024
2:30
Yanga TV
Рет қаралды 15 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18