HOUSE GIRL EP 08 || love story💞💕

  Рет қаралды 198,639

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 541
@symochanji6896
@symochanji6896 5 ай бұрын
Naomba Sana zuu aolewe na ule bwana na candy awe mfanyi kazi😂😂 much love from Kenya 🇰🇪 nipee ata likes laki moja tu
@GabrielMroso
@GabrielMroso 5 ай бұрын
😂😂😂😂nko pamoja na ww
@pilicharo4123
@pilicharo4123 5 ай бұрын
Tuko wengi kumbe😂😂😂
@priscilladama8686
@priscilladama8686 5 ай бұрын
Na mm pia
@MariamMonje
@MariamMonje 5 ай бұрын
wee hapo umeweza😂😂😂 from kenya
@MwanamvuaNassoro
@MwanamvuaNassoro 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@oman1oman179
@oman1oman179 5 ай бұрын
😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️pole sana mdogo wangu zuu ipo siku huo kend atalipia maumivu unao pitia
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Kabisaaa
@BerylAkinyi-jt3mp
@BerylAkinyi-jt3mp 5 ай бұрын
ᴬᵖᵒ sawa
@NuruanaYuda
@NuruanaYuda 5 ай бұрын
14:44
@victorymsenga333
@victorymsenga333 Ай бұрын
Hiyo nimuvi
@Fatumahassan-h5m
@Fatumahassan-h5m 5 ай бұрын
❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipeni like zangu nawapenda sana ndugu zangu
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Asante sana🙏
@omarsaid_1607
@omarsaid_1607 5 ай бұрын
🇰🇪😍
@LucyAllucy
@LucyAllucy 5 ай бұрын
Hivi ndo vitu vya kuleta kwenye jamii nimewapenda sana na zaid ya sana kitchen paty safi kabisa hii♥️♥️👌👌
@FatmaAyoub-mm6fu
@FatmaAyoub-mm6fu 5 ай бұрын
Wanawake hudhan kuolewa ni kwenda kufanya mapenz tu majukumu mengine ya mdada wa kazi Haya Candy mbn humzalii sasa
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Umeona eeeh kuna jambo la kujifunza hapa aiseee
@tobadinamhegele8055
@tobadinamhegele8055 5 ай бұрын
Alisema bongo hawana movie Kali kakosea Sana naona hajaona hii bado maana Ni 🔥🔥🔥🔥
@Zuonist-y3q
@Zuonist-y3q 5 ай бұрын
Zuu umepewa sin ngumu sana,ila hongera maana umeiweza zaid❤❤❤
@Roze-so4he
@Roze-so4he 5 ай бұрын
Wakwanza jameni kujeni gari linapita bye bye like zenu
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
🤣🤣🤣
@ananileameshack6177
@ananileameshack6177 5 ай бұрын
😅😅😅​@@busatitv
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Nimecheka
@SwiyamhiitiHiiti
@SwiyamhiitiHiiti 5 ай бұрын
😂😂
@maysaghjii5058
@maysaghjii5058 5 ай бұрын
😂😂😂😂Zuu hongera sana kipenzi ww ndomke nmefurai sana
@FatmaMama-qq7ye
@FatmaMama-qq7ye 5 ай бұрын
Nzuri saaaaaan,yani hutamani iishe,muendelezo bassin yani nampenda Baba pamoja na Zuu Mansha"Allah,Kaka Kai Big up saan, ila msicheleweshe muendelezo,je kwakin mise mnatoa miendelezo mi 2????
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Asante sana🙏
@chemsahakizimana
@chemsahakizimana 5 ай бұрын
Nawapenda wazee wabusara ❤❤❤zuu ipo siku uta enjoy insha'Allah 🫣 ❤❤❤
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Inshaallah
@mariamuhamisimwamrezi4832
@mariamuhamisimwamrezi4832 5 ай бұрын
Zuu relax ila nae kitamramba tu hayuko mbali nakupenda Sana da zuu❤❤
@irakozeshela1809
@irakozeshela1809 5 ай бұрын
wee zuuh mashavu yataoza kwa makofi jamani😂😂😂😂
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
🤣🤣🤣
@UmmiGanja
@UmmiGanja 5 ай бұрын
Nakuambia wee wananionea Jamani ila mazuri yanakaribia candy kitamramba
@PendoRobert-ph6ux
@PendoRobert-ph6ux 5 ай бұрын
Naomb like hata mm 😢cjalal nyie jmn
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Asante sana🙏
@PendoRobert-ph6ux
@PendoRobert-ph6ux 5 ай бұрын
Amen
@RehemaNgumbao-f1s
@RehemaNgumbao-f1s 5 ай бұрын
Hongera sana kai ila punguza kuwa kama zezeta huyu s mke ni mkeketa nasubr next part ila uspozba ufa utajenga ukuta😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@AishaSalem-g2v
@AishaSalem-g2v 5 ай бұрын
Bro wallahi mi nimwanamke lkn akuna mume bwege kam ww aki but nimafunzo kwa wale wakka wamelaliwa sana na wake😊mko vizur❤
@DinahNish-bm9sr
@DinahNish-bm9sr 5 ай бұрын
Kbs yani kalegea kama mrenda hajui kukaza😢
@mwanaidi-cn1dw
@mwanaidi-cn1dw 5 ай бұрын
Mm natoka 🇰🇪 huyu mke aaaa hata wabuke simpendi
@RehemeAlfonce
@RehemeAlfonce 4 ай бұрын
Alafu kanadanganya khaaa😂😂
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 5 ай бұрын
Move inamafunzo mazuri sana,keep it up🎉🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Asante sana🙏
@Mjamdaa
@Mjamdaa 5 ай бұрын
Kazi nzuri Mungu azidi kuwapa vipaji❤❤❤
@Lucy-t7n
@Lucy-t7n 5 ай бұрын
Nzuri jamani ya ni bamba❤🎉🎉🎉
@kalamapendo2701
@kalamapendo2701 5 ай бұрын
Hongera sana mnajua kutufurahisha mau yenu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@yoabuyoabu717
@yoabuyoabu717 5 ай бұрын
Haya bana zuu ni mwamba ata mh kanivuluga akiri yangu 😮
@AggyGaredy
@AggyGaredy 5 ай бұрын
Jaman sijachelewa hata like 5 tyu jaman 😢
@MaryamMoosa-g5s
@MaryamMoosa-g5s 5 ай бұрын
Kay Kazi nzuri. Sana ❤❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
❤❤❤💪
@MARYNAGUJustin
@MARYNAGUJustin 5 ай бұрын
Dada wakazi mrembo bwana wee sema marunzo huyo kijusoso hampati hata
@roda254totolapwani-ur3ur
@roda254totolapwani-ur3ur 5 ай бұрын
Kazi safi sana 👏♥️ila we are requesting for two episodes per day plzzzzzz movie tamu jitahidini angalau mtoe 2 episodes and we will appreciate much love from Saudi❤❤❤
@sawaAsd-cp3dr
@sawaAsd-cp3dr 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 kwa zuuu napenda Sana zuu maana mm pia na dada wakazi mm pia napitia
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Pole sana
@IreneMurush
@IreneMurush 5 ай бұрын
Natamani nipate bwana kama wa madam boss wa zuu🙊 hila nisiwe na tabia kama zake😅😅😅
@HappyDickson-wj9gb
@HappyDickson-wj9gb 5 ай бұрын
Huyu dada wa kazi ipo siku hata mchukua kai ❤❤
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 5 ай бұрын
Jaman nimewai mm wifi yake zuu kutoka Oman 🇴🇲 like Kwa wifi zake zuu sietie busat tv
@KhadijaShabani-iv4zl
@KhadijaShabani-iv4zl 5 ай бұрын
Sehemu gan jaman tujuane😂😂
@HEDRICKBAHATI
@HEDRICKBAHATI 5 ай бұрын
P​@@KhadijaShabani-iv4zl
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 5 ай бұрын
@@KhadijaShabani-iv4zl np masikat my dear
@KhadijaShabani-iv4zl
@KhadijaShabani-iv4zl 5 ай бұрын
@@Mwana85Mwana85-wz1ol nipo nakhal
@sumaidazuraiyh
@sumaidazuraiyh 5 ай бұрын
jamn hii muvi tam sana msitucheleweshee vipanda nawapenda sana wana busati tiv❤❤❤❤❤
@HopeMmbando-wb8ci
@HopeMmbando-wb8ci 5 ай бұрын
Thanks a lot busat tv mmeongeza muda wa kutosha wow much love from🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Asante sana kwa shukrani 🙏🙏
@ananileameshack6177
@ananileameshack6177 5 ай бұрын
Hongeren kwa kazi nzuri nimewapenda❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Tumekupenda piaaa
@RehemeAlfonce
@RehemeAlfonce 4 ай бұрын
Kuna la kujifunza jamani tambueni umuhimu wa dada wa kazi🙌🏾🙌🏾
@busatitv
@busatitv 4 ай бұрын
🙏🙏
@RehemeAlfonce
@RehemeAlfonce 4 ай бұрын
Movie kali sana big up sana👌🏾
@nismaali2982
@nismaali2982 5 ай бұрын
Nimempenda hawara wa candy 😅😅😅😅
@YussufChacha-xo6me
@YussufChacha-xo6me 5 ай бұрын
Mm WA mwisho nipen hata like moja😂😂😂
@FurahaMustapha
@FurahaMustapha 5 ай бұрын
Me ndo wa mwisho😂😂
@valerianedward6026
@valerianedward6026 5 ай бұрын
Hivi huyu baba yake Kai siyo baba yake mzazi Ringo kweli huyu au ndugu yake maana wamefanana sana 😊
@MariamRashidi-n7u
@MariamRashidi-n7u 5 ай бұрын
Mmmmh jamani naomba lik hata tano jamani nita shukuru kbs pls😢😢😢sijawahikupata jamani 😢😢
@MoodyMuzungu
@MoodyMuzungu 5 ай бұрын
Ila tuache masiala Zuu ni bonge la mke ana kila kitu namaanisha ni kiss balaaa
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 5 ай бұрын
From America kai pole we love you Zuu aolewe tuu
@Kai_busati
@Kai_busati 5 ай бұрын
❤️💪🏾
@Nelly-s3h
@Nelly-s3h 5 ай бұрын
Aaah zuuu leo kapata mtoko😂😂 na nguo zingine
@spicy001_
@spicy001_ 5 ай бұрын
Nyie acheni kuleta episode moja moja kwa siku,,,,achilieni zote kwa pamoja bwana
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Du
@LinusMsimbano-uq1kg
@LinusMsimbano-uq1kg 5 ай бұрын
Nimekupenda buree zuu alaf cendy acha roho mbaya Kai nakushauri umuoe zuu maana anaadabu sana
@yaredmdabuko
@yaredmdabuko 5 ай бұрын
Hii movie mmeigiza kwa uhusika mliouvaa hongereni sana.
@كامليا-ر7ز
@كامليا-ر7ز 5 ай бұрын
Mko vizuri sana ila km itawezekana tupeni vipand viwili ❤❤🎉🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Usijali tunalifanyia kazi hilo
@RechoMasele
@RechoMasele 5 ай бұрын
Kiukwel cendi sikupendi nakuchukia wew dada unaloho mby saan muone sula mby loho mby
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
🤣🤣
@shamilamaulidy545
@shamilamaulidy545 5 ай бұрын
Amecheza party yake vizur ndomana ukamchukia😅😅
@Sally-hamisi
@Sally-hamisi 5 ай бұрын
Wakwanza❤
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Hongera
@Jajakanjaniri
@Jajakanjaniri 5 ай бұрын
I Love You Very Much Guys From Burund 🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Tunakupenda pia
@ElizabethDennis-qv9nx
@ElizabethDennis-qv9nx 5 ай бұрын
Wooow aki mm mnaniachana uhondo 😅haya nasubiri episode 8
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Episode ya 8 ndio hii
@salomecharo1415
@salomecharo1415 5 ай бұрын
From Kenya 🇰🇪🇸🇦❤❤❤❤ move nzuri sana
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Asante sana karibu TANZANIA
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 5 ай бұрын
Kilaa cku mm tu ndiyo wamwishoo jamani daaa ilaa poa tuu zeen nawapenda sana zuuu pokea maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MekiAli-ub4ld
@MekiAli-ub4ld 5 ай бұрын
Kazi Masha Allah ❤ nipo apa from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@FatmaMama-qq7ye
@FatmaMama-qq7ye 5 ай бұрын
Kuweni mnatoa miendelezo mi 2,bas man mnakawa saan
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Tutajitahidi
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Ila mnapaswa mtupongeze kutoa kila siku siyo jambo dogo pia
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 5 ай бұрын
Jmn busati TV muko fresh movies tamuu kama nini mumeitendea haki kinoma ❤❤❤❤
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 5 ай бұрын
Cendy ww 🔥🔥🔥 Hila jaman tujifunze kitu hp Kwa ss mashagalq wallah yaan mm ingekuwa madamu yup kama cendy wallah sijui igekuwaje mm mwana nao kazi igenishinda wallah mm😂😂😂
@NasraLiana-vw8kp
@NasraLiana-vw8kp 5 ай бұрын
Oh my lord mama yangu leo nmkuona kazi nzr. Like ziend kwa mama angu kipenzi mama amina, aliyewaungnisha candy na cay
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Oooh Amina ww?
@NasraLiana-vw8kp
@NasraLiana-vw8kp 5 ай бұрын
@@busatitv Nop mie nasra. Yan at DP Uijui😊
@UmmiGanja
@UmmiGanja 5 ай бұрын
Naifatilia nikiwa Iraq naipenda sana Hongera kwenu nyote❤
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Asante sana 🙏🙏🙏
@UmmiGanja
@UmmiGanja 5 ай бұрын
@@busatitv karibu sana nyie pia asanteni sana mtuletee senema nzuri nzuri 💞
@Jackiline-kw3zq
@Jackiline-kw3zq 5 ай бұрын
Hii mov tamu sana hongeleni naipenda sana❤❤❤
@ananileameshack6177
@ananileameshack6177 5 ай бұрын
Wale wa kishua....jifunzeni kupitia zuuu🎉🎉.
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Kabisaaa
@UmmiGanja
@UmmiGanja 5 ай бұрын
Kabisaaa
@HadijaHamisi-yt3pn
@HadijaHamisi-yt3pn 5 ай бұрын
Mashaallah mko vizuri mno Alafu Amchelewi❤❤❤❤
@ChristopherLucky-m5h
@ChristopherLucky-m5h 5 ай бұрын
Much love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇿🇦🇿🇦🤗
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
🙏🙏🙏
@AggieNkyale
@AggieNkyale 5 ай бұрын
Asiye jua maana kweli usimpe maana iko poa sana ❤❤
@Shalom-f9j
@Shalom-f9j 5 ай бұрын
Me naomb kuigiza na niny jmn hta sceen moja tu jmn mbna kama mnanipuuzia toka nimeanz kuombaaa😭😭😭plz
@husnabilali3099
@husnabilali3099 5 ай бұрын
Candy jamn mweeee 😂😂😂😂😂😂😂😂mpk mam ako unaona atajaza ndan
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 5 ай бұрын
Wa mwisho mimi ndo kuingiya kuona mambo ya Candy n'a zuuu na baba mkwe Candy anavyo wacambuwa kama karanga😂😂😂
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 5 ай бұрын
Mmanga 😂😂😂 anirikodi vizur anasikiliza vizur Kwa makin San mpemba mpemba rafiki yako mabunga yup wap akili za mmanga na akili za kiramba mchuzi ukichagaja n dada Yao pili madishi yabayumba San
@abelimaganga417
@abelimaganga417 5 ай бұрын
Hakika mnafanya kazi iliyotukuka
@nurusaid4698
@nurusaid4698 5 ай бұрын
Wa Mwisho Nikowa Dda Wa Kazi From Qatar 😂😂😂😂😂
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 5 ай бұрын
Anayo yafanyakendy walasimageni aya ndiyo maisha ayoishi kaka yangu namke wake nimtiani tuuu😢😢😢
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 5 ай бұрын
Izo nywele za zuuh sas hapnaaaa candy mnyoe tu😂😂😂
@ZainabSaid-n3v
@ZainabSaid-n3v 5 ай бұрын
Candy mama mganga wako kiboko hiii bwana mjinga hvo hajali ht familia yake kweli zuzu huyo bwana had na mchukia
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
🙌🙌
@MwanaidiVedasto
@MwanaidiVedasto 5 ай бұрын
Jaman kaka kai na baba nawa penda sana mkofzuli sana
@JalVin-dt6is
@JalVin-dt6is 5 ай бұрын
Big up guys, mnaweza kazi movie ni nzuri na ina mafunzo
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Asante sana🙏
@JescaMlelwa
@JescaMlelwa 5 ай бұрын
Zuu jaman mme jitahid sana niwape mauwa yenu🎉🎉
@ZabibusuphianialisuphianiAlly
@ZabibusuphianialisuphianiAlly 5 ай бұрын
Kazi nzur sana aisee 🎉🎉🎉🎉ila Kai punguza uongo basi duh 😂😂😂😂😂
@rehemakatundu7027
@rehemakatundu7027 5 ай бұрын
Kazi nzuri sana hongereni wote 🥰
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 5 ай бұрын
Sijachelewa sana lakin nikiitwa naitika Jana na Leo Yan kama tupo shule yamsingi Hadi. Raha kwakweli haipoi
@LispaKadzoKalu
@LispaKadzoKalu 5 ай бұрын
Kai unadanganya sana hadi mdomo unakusaliti unatetemeka kaa ambae haujashtua mwili😂😂😂
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
🤣🤣🤣🙏🙏
@Frola-r9z
@Frola-r9z Ай бұрын
😅😅😅😅 kabisa kumbe na wewe pia umeona
@PudensianaVisenti-wr8pc
@PudensianaVisenti-wr8pc 5 ай бұрын
Ahahaaa nmemjua hawara ya candy 😂😂😂 Kai njoo
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
🤣🤣🤣
@aishakibaya7567
@aishakibaya7567 5 ай бұрын
Asanteni kwa kazi nzuri pia munaenda kwa wakati
@hlimaa5182
@hlimaa5182 5 ай бұрын
Masozi 😊😊 nafurahi kukuona hapa lakini kendy akuingiza mahali sipo kai kasikia kila kitu 😂😂😂😂palipo bakia aeka akili zenu kwenye uzani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
🤣🤣🤣
@Nisile-u3s
@Nisile-u3s 5 ай бұрын
Mhmmmmmmmmm ata mama anakuwa hajui unapokaa mhmmmmm candy unaroho mbaya wew
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Umeona eeh
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s 5 ай бұрын
Eti hili nilikahaba langu na lifaham eti na ndio mana unaishiya kutapa tapa eti goma langu duu mh hhhhhhhhhhhh
@MwanaMosha
@MwanaMosha 5 ай бұрын
Nipenda san Asee asokua na anacheezea alimasi
@aishahamis1609
@aishahamis1609 5 ай бұрын
Bwana mtu sumuuuuuuu panya we ungekufa fyeeeeeeee
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
🤣🤣
@SaumuAbdallah-tv6mw
@SaumuAbdallah-tv6mw 5 ай бұрын
Jaman hii movie iko vizur sanaaa❤❤❤❤
@MawazoJustin-fw2ws
@MawazoJustin-fw2ws 5 ай бұрын
Jamani nahipenda sana kweli yanizuu anavumiliyakweli
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Asante sana🙏🙏
@razigirazigi5437
@razigirazigi5437 5 ай бұрын
Zuu mungu hakutie guvu
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
🙏🙏🙏
@JullyanaMathiasy-nt8op
@JullyanaMathiasy-nt8op 5 ай бұрын
Jamaniii zuuh ni mrembooo aiseee na kashep kakeee sasa
@alsonmbwana8031
@alsonmbwana8031 5 ай бұрын
jamaa unatoa movie za kishamba sana
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Unafanya nini kwenye movie za Kishamba?
@AshaLidu-tx9ns
@AshaLidu-tx9ns Ай бұрын
Uyu ananjaa ilioungana na ukosefu wa hela 😂😂
@ZainabuHussein-w5i
@ZainabuHussein-w5i 5 ай бұрын
Aweeeee imeishia patamuui😊
@KhamisJuma-ni1vk
@KhamisJuma-ni1vk 5 ай бұрын
Mungu Azidi Kuwajalia Kipajichenu .. Mana Hadi Rahaa 😂😂
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Asante sana🙏
@SaeedhSaeedh-f6i
@SaeedhSaeedh-f6i 5 ай бұрын
Huyu Kai karongwa ama Nini pumbavu zake😂😂😂
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Itakuwa karogwa
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 5 ай бұрын
From🇰🇪🇰🇪nawapenda sana❤❤
@elisanteKombe
@elisanteKombe 5 ай бұрын
Nawapenda❤❤❤ pokeeni maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yenu kwa kazi nzur
@gracenyevu8082
@gracenyevu8082 5 ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@MwajuJuma
@MwajuJuma 5 ай бұрын
Yani hii move kuanza tu imeanza vizuri allah awasimamie kiukweli😢mnaweza
@ZainabSalum-tv2mu
@ZainabSalum-tv2mu 5 ай бұрын
Jmn at least town vioande viwli kwa siku plz
@tunuhumary11
@tunuhumary11 5 ай бұрын
Toeni angalau viwili jaman
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Kimojaaaa kitamuuu
@Priscillakagendo7
@Priscillakagendo7 5 ай бұрын
Ongera sana zuu mateso nia muunda
@Tumasalo99
@Tumasalo99 5 ай бұрын
Nmechelewa lkn nimefika🎉🎉🎉🔥
@busatitv
@busatitv 5 ай бұрын
Hongera sana
@pilicharo4123
@pilicharo4123 5 ай бұрын
😂😂😂candy eti hauna changamoto umeongea ukweli kabisa
HOUSE GIRL  EP 09 || love story💞💕
19:38
BUSATI TV
Рет қаралды 193 М.
風船をキャッチしろ!🎈 Balloon catch Challenges
00:57
はじめしゃちょー(hajime)
Рет қаралды 80 МЛН
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 2,7 МЛН
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 4,3 МЛН
See Ruto's priceless reaction after Rigathi was cheered
2:30
ONLINE COMMUNITY KE
Рет қаралды 43
HOUSE GIRL EP 09  | S3 | Love Story 💕💞
21:57
BUSATI TV
Рет қаралды 119 М.
SNAKE BOY  | SEASON TWO | ep 1-6
1:20:36
CLAM VEVO
Рет қаралды 849 М.
NDOTO YANGU. EP1
16:39
HRM FILMS
Рет қаралды 6 М.
HOUSE GIRL EP 59 | S3 | LOVE STORY 💞💕
24:19
BUSATI TV
Рет қаралды 75 М.
HOUSE GIRL EP 08  | SEASON 2 |  love story💞💕
20:04
BUSATI TV
Рет қаралды 141 М.
SNAKE BOY ( 6-11 )
1:02:26
CLAM VEVO
Рет қаралды 574 М.
HOUSE GIRL  EP 07 || love story💞💕
19:03
BUSATI TV
Рет қаралды 196 М.
BABAYANGU KIPOFU Full episode /2/ /#love
25:07
BabaJoan
Рет қаралды 862 М.