HOUSE GIRL EP 08 | S4 | LOVE STORY 💞💕

  Рет қаралды 23,797

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 284
@ChancelineNimpaye
@ChancelineNimpaye 6 сағат бұрын
Wenye tuko pamoja na Kai ngonga hapa.alaf mung atujalie sote kufika mwaka 2025
@MejumaaKinono
@MejumaaKinono 6 сағат бұрын
Amiin yarabby
@riziki8406
@riziki8406 5 сағат бұрын
Amiin ya rabbi
@Happiness-p3r
@Happiness-p3r 4 сағат бұрын
Amina
@janetngash2886
@janetngash2886 4 сағат бұрын
Amin
@Happiness-p3r
@Happiness-p3r 4 сағат бұрын
Poa poa tuko pamoja
@BikyeombeLubembela
@BikyeombeLubembela 6 сағат бұрын
Wakwanza Leo atakae soma Ihi comment mungu ambari afike mwakani 🎉🎉🎉❤
@tizzyjayguercham1070
@tizzyjayguercham1070 Сағат бұрын
Guys naomba niwakumbushe kwamba Mwana mukee mjinga hu jivunjia ndoa yake namikono yake miwili zuuh usipende kuchukuwa maamuzi ukiwa nahasira jifunze kuchunguza jambo kabra hau jachukua maamuzi Kai ume upiga mwingi Safi sana broh 👍 zuu umenikera sana amezingua sana yani zuu umesahau kwamba kendi ni aduwi wamaisha yako jitahidi kupambania ndoa yako nasiyo kuonyesha wepesi namna hiyo simama kama mukee mwenye hakiri timamu ❤ otherwise Wil love you so much guys im from Zambia ❤❤
@helenajoseph6381
@helenajoseph6381 5 сағат бұрын
Yan zuu mwenye nilitaman nikupige kofi ahsante kai umenisaidia jaribu kuwa mwelewa basi but thanks much housegirl jamaam❤❤❤
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 6 сағат бұрын
Subiri leo niwatafute magaid wenzangu km watanioa like😂😂😂
@Swabrina-
@Swabrina- 6 сағат бұрын
😂😂😂 tuko hapa
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 6 сағат бұрын
@Swabrina- pande zipi kipenz
@Swabrina-
@Swabrina- 6 сағат бұрын
@@Fathasssane-vs2th Riyadh
@Benti-f3o
@Benti-f3o 5 сағат бұрын
Tupo kipenzi sema wifi Zapata shida na wakenya hahaha 😆 😂 🤣 😅 😄 😢😂
@ImaeImae-p3v
@ImaeImae-p3v 4 сағат бұрын
😂😂😂
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 6 сағат бұрын
Waooo leo mapema sana ❤ Pole sana kai yote Yana mwisho Mungu yupo atajibu❤
@EmanuelLubala
@EmanuelLubala 3 сағат бұрын
Mungu awabariki wote wanaofuatilia hh muvi Mungu atujarie tumalizie mwaka salama na tufugue mwaka salama like kwa wingi
@MPeter-c2e
@MPeter-c2e 6 сағат бұрын
Wa pili Leo from Kenya 🇰🇪🇰🇪 Kai usijali shush wa mizimu atasaidia
@shamillahsuleiman3431
@shamillahsuleiman3431 4 сағат бұрын
😂😂😂shosh wa nini😂😂jamani hii pepo chafu inatembea kila mahali
@NeemaEli-wl1dz
@NeemaEli-wl1dz 6 сағат бұрын
Wakwaza leo naombeni laiki zangu
@mariammuslim2987
@mariammuslim2987 5 сағат бұрын
Ukwel ni kwamba zuuu alikuwa mzuri Tu kipindi hajaolewa ila kumbe wa hovyo kabisa Hana subra na hajitambui anakurupukia mambo tuuu,,,anakera Kwa kwe
@JuliethMwanengo-w6b
@JuliethMwanengo-w6b 3 сағат бұрын
Jamaniiii mwachen zuu Kwan mapenz yanama na hasila siku zote hazinaga subra Kwan lazm aone wivu na mmew na kavumilia sana ujue ila japo si kwely ni uzish ila ameona kama kafanya sawa kumbe anmzihaki b Sahil wake nawapenda sana washabiki wenzangu wa house geli
@DevothaJohanes-i7g
@DevothaJohanes-i7g 6 сағат бұрын
Kilamba umeendana na somoe kweli mnafaa kuitana wapumbavu wenzio
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 4 сағат бұрын
Ushakosea ulikua useme mpumbavu mwenzangu 😂😂😂
@TheresiaRamadhani-f8h
@TheresiaRamadhani-f8h Сағат бұрын
Ila yaleo umeisikia eti mchepuko wangu 😂😂😂
@MusaMwafongo-sr7co
@MusaMwafongo-sr7co 2 сағат бұрын
Kai Leo kaniwakilisha vyema kwa wanawake wenye vinywa vichafu Kama zuu ni kipigo tuu 👏👏👏
@Mwanajumahassan-tg3zg
@Mwanajumahassan-tg3zg 5 сағат бұрын
Hiii episode ji nzurisanaa busat hoyee❤❤❤❤yani kofi zuu nisawa kisha hata nidogo angekupa mawili mjinga ww ndoa waitiadowa 😂😂😂😂😂😂😂ulikua wajifanya na heshima hivi mdofo mrefu chunga ndoa yako candy wamjua kila kitu muharibifu
@AnsaB-j2m
@AnsaB-j2m 6 сағат бұрын
Wa tatubleo naomba like za mama tasha🎉
@gracenyevu8082
@gracenyevu8082 6 сағат бұрын
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 Сағат бұрын
Zuuuu mbona anaanza kunikela sio muelewa kai Asante sana kwa kumuzibua maana ameanza kukosa eshima kama candy arivyo 😅😅😅
@TimeAly-z1l
@TimeAly-z1l 5 сағат бұрын
bibi zuu makofi kwako❤❤❤ kazi nzuri mno ila zuu jamani kuwa mvumilivu jamaniiii 😢
@oswardignas3277
@oswardignas3277 6 сағат бұрын
Waaaooo nimekuwa wamwanzoni pia naikubali sana house girl mpaka naumwa
@JescaMarykarisa
@JescaMarykarisa 4 сағат бұрын
Wenye tuko pamoja na kai tujuane tu🎉🎉❤❤
@SharifaRashid-tg9kx
@SharifaRashid-tg9kx 6 сағат бұрын
Yan wew zuuh nawe unatibua nyongo chefuu 😏😏
@QweenNickson
@QweenNickson 5 сағат бұрын
Wanao amini bibi Zuu atamsaidia Kai weka like hapaaa tafadhali 🥰🥰
@jamillawesonga7638
@jamillawesonga7638 32 минут бұрын
Kazi nzuri sana Wana Busati TV 🎉🎉🎉🎉🎉ila Zuu umeniudhi sana😢😢
@PiliRamadhani-cl6nw
@PiliRamadhani-cl6nw Сағат бұрын
Duuu iko vzr xaana msichereweshe kipande kinachofata
@NuraMunyasia
@NuraMunyasia 2 сағат бұрын
Fupi sana jamani ongezeni muda ama mulete episodes mbili kwa siku Kama hapo awali itakuwa bora zaidi In Shaa Allah ❤🎉
@GinaFaruqueFaruque-e6j
@GinaFaruqueFaruque-e6j 3 сағат бұрын
Jamani jamani mambo ni moto kikweli ❤❤❤❤
@yyuu-ye5bp
@yyuu-ye5bp 2 сағат бұрын
Wewe zuu,kai anakupenda sana chunga ndoa yako .kai wanaweke ni viumbe taifu. Usiwe na hasira sana.
@SwaumSungambisi
@SwaumSungambisi 4 сағат бұрын
Zuu acha kutukera Yale mafunzo alokupa bibi yote umeyasahau acha kuchukua mambo juujuuu jambo uliahakikishe ndo uchukue mamuzi ndoa ngumu inataka uvumilivu
@BOBGJUNIOR
@BOBGJUNIOR 4 сағат бұрын
🎉🎉Tunawapenda sanaaa from kenya❤❤❤
@Emmilyjuma
@Emmilyjuma 5 сағат бұрын
Wale wa gulf mko wapi.... Christmas yatupitaa tukiwa uku ...👋Candy bado hajarudi sawaa jamanii 😢
@BintiMambo-ry2vn
@BintiMambo-ry2vn 6 сағат бұрын
Leo nmewahi pia mungu ajalie Kila mmoja wenu aweze kuvuka mwaka mpya salama wa salmn
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 4 сағат бұрын
Kazi nzuri sana busati tv nawapenda sana chamsingi kumuomba Allah atuvukishe salama mwaka tuone mwaka mpya inshallah 2025 ameen thuma ameen yarab
@ShamimShamy
@ShamimShamy 3 сағат бұрын
Zuu na wew umezidi kila siku tunakupend okn ulipofikia s,, pazur yani unachukulia kay pouw umefanya vzr kay kumpa heshima zuuu love kay❤❤❤❤
@Selma-n4l
@Selma-n4l 6 сағат бұрын
Tulotoka kwa Kelvin tukaend kwa kijit n sasa tupo hapo tujuane😂😂😂😂😂😂😂
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 5 сағат бұрын
Yaani sijaimaliza ya kelvin nilikuwa ibadani ngoja nimalize hii kwanza
@Selma-n4l
@Selma-n4l 4 сағат бұрын
@MonicaMkombwe mungu akuongoze
@UmaziMdzomba
@UmaziMdzomba 42 минут бұрын
Hongereni sna kwa kazi nzuri ❤❤🎉
@Ashora-s2x
@Ashora-s2x 6 сағат бұрын
Wa10 leo🎉🎉🎉❤❤
@FredrickOnyango-d2p
@FredrickOnyango-d2p 6 сағат бұрын
Kali sana
@NestoryMhagama-ci5pq
@NestoryMhagama-ci5pq 3 сағат бұрын
Kwa mke aliye king'ang'aniz kama zuu ninge ng'oa meno ya sebren jmn😂😂
@FredrickOnyango-d2p
@FredrickOnyango-d2p 6 сағат бұрын
Episode's ziko poa..keep it up Busati Tv
@ShantelSharon
@ShantelSharon 6 сағат бұрын
Wakwanza Leo mnipee likes
@HappyNass-mu3lu
@HappyNass-mu3lu 6 сағат бұрын
Safi sana Kai mwanaume anatakiwa kuwa hiyo
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s 5 сағат бұрын
Zuu hilo Kofi Lina kuhusu kabisa umepata ndowa tu unakua jeuri huskiyi kwani kendy humjui wewe ni ngeni kwako kwanza nikicha tayari dishi limeyumba
@Tecrah
@Tecrah 6 сағат бұрын
Mim watatu😂😂😂😂 naomba like zanguuuuu jmn 🤣🙏🙏🙏🙏🙏
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna 2 сағат бұрын
Zuuuuriiiiii keeee hebu punguza jaziba mwenzio nywakuelezea lkn huelew hilo kofi angeongezea l pili kelele tu mpka wamliza n yy shangaz,alihamdulillah kwa alichokifanya bbi kuna watu wataumbuka
@mouna6920
@mouna6920 6 сағат бұрын
Jmn uyu candy angekua tuu chizi fresh yni n kivuruge hii season alifaa kutulia aacha watu wale raha zao khaa candy unachosha kwa kwel😢Kai Mungu yupo nawe❤❤
@HappyCityMap-vs2tr
@HappyCityMap-vs2tr 4 сағат бұрын
Somoe unaweza sana kwa kiramba ukwaju❤❤❤😂😂
@sifamaureen2792
@sifamaureen2792 4 сағат бұрын
Siku hizi zuuuu unaudhi saana,mbona akili Yako Iko namba moja?? Siuongeze akili ya kufikiria wewe,Acha kumueka Kai roho juu juu,kama hupendi muache Wala usimusingizie mambo ya uongo😮😮😢😢😢
@YusraMohammed-fs4tq
@YusraMohammed-fs4tq 3 сағат бұрын
Ww zuuu ukisikia kitu washika tayri nakulia 😅😅
@aishaomar2287
@aishaomar2287 5 сағат бұрын
Zuu zuzu😏 kumbe yale magoti ulikua wayapiga tu umpate kai sai humuheshimu...kua na subra ww!
@MiriamuMuro
@MiriamuMuro 56 минут бұрын
Zuuuu unakera acha kumkera mumeo. Na Kai ajakupiga vizuri .
@CarolyneMalala-o6x
@CarolyneMalala-o6x 5 сағат бұрын
Kazi nzuri ila Zuuu hata kama uko na hasira dadangu usiliye ukiwa umembeba mtoto
@KWIZERAJOSELYNE-z5m
@KWIZERAJOSELYNE-z5m 4 сағат бұрын
😂😂😂😂 jamani kend bado kicha kabisa
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 5 сағат бұрын
Huyu kilamba naomba msiwe mnampa kipande kirefu maana sioni vingi vya kujifunza kwake, anamambo ya cjui nisemeje, ila isiwe kesi
@ZawadiMumba-xw3uf
@ZawadiMumba-xw3uf 6 сағат бұрын
Nimewahi leo kutoka Kenya 🇰🇪
@HhUhh-io8ix
@HhUhh-io8ix 6 сағат бұрын
Zuuu haaa kuwa na moyo wa kuvumilia kwanza😮😮😮
@Phanny-Nyonge
@Phanny-Nyonge 6 сағат бұрын
Mambo yamenoga kweli😊 nipeni like hata 5 jamani
@زينه-ل4ح
@زينه-ل4ح Сағат бұрын
Kendiy wew bwan unaniuwag san walah😂❤❤
@IshimweAisha-x6z
@IshimweAisha-x6z 2 сағат бұрын
Kai Leo kafunza mtu adabu😂😂😂
@MwanashaMwinyi-j9n
@MwanashaMwinyi-j9n 3 сағат бұрын
ALafu somoe na kiramba mwapenda kusengenya😂😂❤
@MenzaSuleiman
@MenzaSuleiman 6 сағат бұрын
Ila kendy bana kamuandama sana Kai hata naogopa❤❤❤
@zarihaSalum
@zarihaSalum 6 сағат бұрын
Kwanzaa😂😂😂
@MshefaMshefa
@MshefaMshefa 3 сағат бұрын
Nmechelewa but nmefika❤❤
@NiyonsabaTheogene-pd6pi
@NiyonsabaTheogene-pd6pi 5 сағат бұрын
I'm in Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 I love tanzanian movie particularly this house girl
@Elizabeth-p3d
@Elizabeth-p3d 6 сағат бұрын
Waooo nimewahi na mimi
@SalmahLuvuno
@SalmahLuvuno 4 сағат бұрын
Jaman tunataka huu wimbo mzur sana mashaallah
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s 6 сағат бұрын
Safi sana bibi zuu ulikua umetusahau bibi yetu waonyeshe hao ichunge familiya Yako bibi nakupenda sana sana bibi
@mesamesa3698
@mesamesa3698 Сағат бұрын
Kimewaka uku team kai 😂😂😂😂hatulali ebu nipeni like japo 5 nawapenda sana ❤❤❤
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 3 сағат бұрын
Ndoa hii ya kai na zuu inabamba😂😂😂
@EvethaSimba-i1c
@EvethaSimba-i1c 3 сағат бұрын
Zuu acha kumuhukumu kai hajafanya chcht,Afadhali bibi zuu jamani ita wasambongo umsaidie kai jamani,Kai safi sana asipande kichwani ,Yaani candy unanikera ungejua wewe
@افلينافلين-ي9ك
@افلينافلين-ي9ك 2 сағат бұрын
Candy ni chizi waukweli 😂😂😂
@KhadijaJuma-c9q
@KhadijaJuma-c9q 4 сағат бұрын
Kai pole sana kaka angu hiyo ni kipimo Cha Imani yataisha
@HhUhh-io8ix
@HhUhh-io8ix 6 сағат бұрын
Yes bi zuuu hapo sasa asante munoooo
@nismaali2982
@nismaali2982 6 сағат бұрын
Jaman da masozi yuko wapi tumemmisi😢
@JaneJane-h2i
@JaneJane-h2i 4 сағат бұрын
😂😂😂😂 ya Leo Kali jamen next
@GlycerySadkin
@GlycerySadkin 6 сағат бұрын
Mko vizuri tu watu wangu🎉
@SalamaRajabu-c6h
@SalamaRajabu-c6h 4 сағат бұрын
Hongeren busat tv kazi inanoga🎉🎉
@Asma-hn1jk
@Asma-hn1jk 5 сағат бұрын
Zuu kuamin mumeo n bora zaidi kuliko kuamin uogo wakati unajua fika Candy toka mwanzo😢sijapenda
@riziki8406
@riziki8406 5 сағат бұрын
😂😂😂candy kichwa chako nati hazija kuwa sawa bado wachana na kai wetu afurahie ndoa yake na zuu wacha kutupa presha plz ukweli umejulikata sasa sijui utafanyaje😏😏
@FzvvzChhxgdgd
@FzvvzChhxgdgd 6 сағат бұрын
Aah kwn nyi mwalala humu humu au😂
@Mamuuu-y7z
@Mamuuu-y7z 3 сағат бұрын
Mtoto kaona mmke amepigwa amelia😂
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 3 сағат бұрын
Jaman mnamboo ongezeni mda ila cedy ww kivurunge cha ndoa ya mwenzako
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 4 сағат бұрын
Candy angali chizi hajapona vizuri
@AishaSalum-m4i
@AishaSalum-m4i 4 сағат бұрын
Mnaweka vipande vidogo sana
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 6 сағат бұрын
Nimewahi sio mchezo🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@KamekoChristine
@KamekoChristine 3 сағат бұрын
Wa 15 leo naomba ❤❤ zangu
@JescaDenis-d2r
@JescaDenis-d2r 5 сағат бұрын
Tumemuona sahili jaman kafanana kweli na baba yake😂😂😂😂
@HamisJinda
@HamisJinda 3 сағат бұрын
Uko vizuri kai
@HagabimanaIrène
@HagabimanaIrène 4 сағат бұрын
Zuri amekuamgomvi kiasi hicho we zu uwe naadhabu leo unanikela sana kbs we sikiliza we amini mme wako
@ShakuurRayyan
@ShakuurRayyan 6 сағат бұрын
Kw mara y kwanz Leo Kai kasimam Kam Simba w nyumb nakupongez San kw hili❤
@RehemaWandaty
@RehemaWandaty 5 сағат бұрын
Team strong 💪 ya Allah iatujalie tufike 2025
@NuraMunyasia
@NuraMunyasia 2 сағат бұрын
Zuu ndio anaudhi sana maanake yy ndio anafaa kumuamini mumewe Kai lakini sasa yy ndiye wa kwanza kumhukumu mumewe 😢anaudhi sana na machozi yake ya kinafiki. Housegirl ni housegirl tu akili ndogo
@SaumuWanje
@SaumuWanje 4 сағат бұрын
Mambo moto🔥🔥
@Phoebenafula
@Phoebenafula 4 сағат бұрын
Wa mwisho kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🎉🎉❤❤❤
@janeburu6538
@janeburu6538 6 сағат бұрын
❤❤❤ watu wangu chch unabwilu 😮😮😮
@RahabuKal
@RahabuKal 4 сағат бұрын
Daaaah kwani ni kweli Zuu alikuwa Na mimba🤣🤣
@subiraisaka7227
@subiraisaka7227 3 сағат бұрын
Nnacho omba dakika jamani mumepunguza mpaka basi
@افااقع
@افااقع 4 сағат бұрын
Wee zuu sasa ni zuzu unaniudhi sana
@GidamonJaneth
@GidamonJaneth 4 сағат бұрын
Huyo candy anatuchanganya bhan😢😢
@Violethmsafiri
@Violethmsafiri 5 сағат бұрын
mungu yu pamoja nawe kai
@MariamuKulumba
@MariamuKulumba 6 сағат бұрын
Zuu umeandza kubore sasa mbna usiwe muelewa angeongeza kofi la pili😂😂
DUNIA (EP 33)
21:00
ASMA FILMS
Рет қаралды 133 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
MAMA WA KAMBO | 4 |LOVE STORY💞 mwisho | FLOWER GIRL
19:47
Bongotime Media
Рет қаралды 2,2 М.
MY DAUGHTER | ep 9 |
17:54
CLAM VEVO
Рет қаралды 284 М.
HOUSE GIRL EP 67 | S3 | LOVE STORY 💞💕
26:14
BUSATI TV
Рет қаралды 109 М.
BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW
1:01:31
BongoStarSearch
Рет қаралды 8 М.
HOUSE GIRL EP 07 | S4 | LOVE STORY 💞💕
21:24
BUSATI TV
Рет қаралды 52 М.
BINTI MASKINI 💞 DADA MUUZA MATUNDA  PART 13 | Love Story
21:59
Twizy Dady Tv
Рет қаралды 15 М.
PENZI LA MUME WA BOSS  EP 14 | SO1 || Love Story 💞💕
21:15
Kiwango Media Films
Рет қаралды 3,7 М.