Movie kali sanaa kelvin unaonyesha utofauti sana katika movie zako ....Unastahili pongezi wewe na kundi zima ..Movie kali sanaa 🏆👑 .Bajeti imezingatiwa na movie inavutia .❤
@Dontatv2556 сағат бұрын
AYA JAMANI NA LEO NIMECHELEWA KUWEKA😢??
@AzizaAziza-w7k6 сағат бұрын
Umewahi sana❤❤
@SuzanA-up4pr6 сағат бұрын
@@Dontatv255 umewai asant sana
@narutonaruto43036 сағат бұрын
Umewah boss
@KhamisFakih6 сағат бұрын
Unachelewaaa
@AphurahBoakye6 сағат бұрын
Ndio lakin jua we your funs will never get tired . Anytime we are always ready to support you brother .May God protect you and give you strength to give us more#Donta tv always . watching from Uganda 🇺🇬 currently Doha Qatar 🇶🇦 ❤❤❤
@HaidaHachim-gf7xp5 сағат бұрын
Napenda kuona Tina hana amani yeye na familia yake wateseke zaidii ya hapo afu family ya kev warud kuw matajir na wawe nafurah zaidii
@JeannetteManirambona-o6m3 сағат бұрын
Niko upande wako
@NancyUngaye3 сағат бұрын
Pia Mimi
@AidathRweyongeza2 сағат бұрын
Kama mm 😂😂😂
@HijraSaleh2 сағат бұрын
Hata mimi
@ShukranMwakyambo2 сағат бұрын
Ndio tunakoelekea
@Platford6 сағат бұрын
Wanao appreciate mapenz ya loveness na kelvin gonga like hapo
@stellamwarimbo6 сағат бұрын
Wa kwanza Leo kutoka kenya nipeni likes na mm
@StephenNchagwa5 сағат бұрын
Tuko pamoja wote kutoka kenya.
@AronWaswa-s6z5 сағат бұрын
Kwan ndo meisho
@SimbaSportsClubMemories5 сағат бұрын
Wewe unayesoma comment hii Mungu pia akufungulie milango ya riziki na baraka tele.. Mipango na ndoto zako zitimie 🙏🤲
@uwimanaLatifa-q4u5 сағат бұрын
Amena
@AsifiweSegesela4 сағат бұрын
Amen
@PriscaShadrack-h4d4 сағат бұрын
Amen
@MamaKishki-i6l4 сағат бұрын
Amin
@Deloveally-o8g4 сағат бұрын
Amina
@Mwathethe-qx3de3 сағат бұрын
Mashabiki wenzangu mungu awabariki muuvuke mwaka Salama🙏🙏
@Zefaniajkihamba3 сағат бұрын
Amna🎉❤
@AindremeShena6 сағат бұрын
Dakika 11tu nakuwa wa 200?😂😂 ❤❤ like basi na mimi jamani ! Napenda sana Dontatv nakazi zenu zenye kujielewa 🎉🎉🎉❤
@magnusmethord2 сағат бұрын
Leo fasta nimewapenda Bure ila kuwasifia kwangu simanishi mrudie kuchelewesha ❤ sana
@JulianaMagodi-d3d5 сағат бұрын
Mungu atujari tumalize mwaka salama, Amina🙏🙏🙏
@AishaMohamed-q3l3 сағат бұрын
Ameena yaraaby
@BintAbdullah-b8u2 сағат бұрын
🙏🙏🙏
@AsilahHamad-e4f2 сағат бұрын
Amini inshaallah
@faithmoraa5993Сағат бұрын
Amen
@Shybabe1990-pd5yx2 сағат бұрын
Mwisho wa ubaya niaibu Tina 😮Kula chuma icho😅😅😅😅
@KulwaStephano-s6p47 минут бұрын
Hongereni sana kazinzuri sana kelvin, nawaombea mvuke salama mwakahuu ilituendelea kupata kazinzuri zaidi pia muendelee kucheza movie za kuelimisha kamahizi.
@Duz-backOfficialСағат бұрын
Lavnes Love celvin from Congo nipeni liké zangu 🇨🇩❤️❤️❤️
@RashidKhanOmarСағат бұрын
Wanangu leo nimechelewa kidogo lakini naombeni like zenu hatakama ni mbili tu❤
@RehemaAlkam3 сағат бұрын
Jaman mm tangu nianze kufatilia donta tv cjawahi ata kupewa like jamn nami naomba like japo 5 tyuu 😭
@LundikaPwagu6 сағат бұрын
Wakwanza mm Leo from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿, wanaonkubaly lovenez, gonga apo 👊 👊 👊 👊 👊
@Nicasaccessories5 сағат бұрын
Kesho happy birthday yangu tuliozaliwa tarehe kama ya kesho na mwezi December like hapa
@DoryAmos3 сағат бұрын
Nipooo❤
@ReubenMuthee5 сағат бұрын
Mimi hapa kutoka Kenya🎉 kipindi ni kitamu hiki kutoka nimekuwa nikifuatilia,,,barikiweni sana❤❤❤❤❤
@MikaPeter-kv1tz6 сағат бұрын
❤🎉 kama mnamkubal loveless na Kevin weka like
@CarolyneMalala-o6x2 сағат бұрын
Hahaha Tinna kwa raha zako, sasa unalia nini kama ni maji ulishaa mwaga kitambo sana na ulichokipamba kwa familia ya Kelvin lazima utakivuna
@DianaAnatos6 сағат бұрын
Wa kwazA Leo 🎉❤🎉🎉❤🎉🎉❤🎉🎉❤🎉🎉🎉🎉🎉❤🎉🎉🎉🎉🎉❤🎉❤🎉🎉🎉❤🎉🎉❤🎉🎉🎉🎉❤🎉🎉🎉🎉🎉😢❤
@FestorianMtakason6 сағат бұрын
Kazi nzuri lakini mnatucheleweshea sana episode familiya nawapata nikiwa 🇫🇷 France
@JoaomarcelinoRumba-sz3ql5 сағат бұрын
Jamani team DONTA yeyote atakaesoma hi coment naomba mungu akubariki uvuke mwaka SALAMA uwe na afia njema yenye mafanikio ♥️🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Pat139enZaeadic5 сағат бұрын
Pia nawe❤🎉🎉🎉🎉🎉
@ZuwenaZuzu5 сағат бұрын
Amina🙏🙏
@InvyolataIndasi5 сағат бұрын
Amina@@ZuwenaZuzu
@LucyPhilemon-vu4lu5 сағат бұрын
Amina mwenyez mungu akupe maisha marefu dia
@LazaroKereto-xc4zr5 сағат бұрын
Amina 🙏🙏🙏
@williethwilliam57386 сағат бұрын
Mm wakwanza leo🎉🎉🎉🎉 Mungu awabariki mashabiki wote wa Donta tv tuvuke mwaka salama
@Cheusi_media6 сағат бұрын
Bog up wote tunaozidi kutoa sapoti kwa DONTA TV 🎉🎉 LAHAULAAA team cheus gonga like twende sawa...
@EmmasonMasaba-e7q6 сағат бұрын
Nakukubali mnyamwezi wa kwetu 🎉🎉
@PrettySalmah-tt8bh5 сағат бұрын
Lahaulaa Cheusi Media kumbe huku upooo
@sulugmanmuhammad12314 сағат бұрын
Bonge mm hap😂😂
@NajmaSaid-sb2lh2 сағат бұрын
Nko hapa nakupenda bure cheusi wa chado 🤣🤣🤣🤣
@Recho-s6zСағат бұрын
Cheusi mpeya ubuyu 😂😂
@janethsanga-p6l4 сағат бұрын
Wooooow,, ila tinna unalia vibaya so pouwa ujue.. ila ndiyo kimekulamba ivooooo😂😂😂😂 acha si tutambe na wifi etu loveness ukuu
@Wamwakera2545 сағат бұрын
Aki loveness uko nabidii chidadaa kama huo ndio uhalisiya wako mungu akuzidishie baraka kipenzi 🎉🎉❤❤❤🇰🇪🇸🇦
@KhadijahKinyuri3 сағат бұрын
Hujui wanafuata walivyotumwa na director
@MartinaAgustino-fp5eo6 сағат бұрын
Wakwanza mm Kila mtu anaetizama season hii mwenyezi mungu amvushe 2025 Amina shwarikuu
@NaomyMwakibete6 сағат бұрын
Ameen🙏🙏🙏
@narutonaruto43036 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤
@HadijaVinyu5 сағат бұрын
Ameen🙏🙏🙏
@JohariMakinda5 сағат бұрын
Aminaa
@NadzuaMremaСағат бұрын
Amiin
@AishaH-e3k3w5 сағат бұрын
Masha allah kaz nzur ilaleo nimecheka na nimefurah sana kilasku zikenda muvi inazid uzur nani aliyeskia gamba katokwew na jinamiz ss nafk zawatu zinaanza kumsumbuw na laveness umependeza leo umekuw mweupe halafu nanialokuachia duka mzetupatupa mh saf sana unajuw hii muvi epsod zanyuma ilikua lavenes hayaoneshwa ilikuw haikomentiw lakn tangu aoneshwe laveness imekuw nzur kweli apew honger laveness
@Willyz550z6 сағат бұрын
WA Kwanza tena kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Willyz550z6 сағат бұрын
Mnipe like zenu basi
@JumaSaleh-fv1cp6 сағат бұрын
Wa Kwanza jamani kutoka Kenya nipeni likes kama umependa loveless kuwa na mahusiano na Kelvin
@hussainalajmi55113 сағат бұрын
Kwanini au ndio munakula utamu ww na nalihiyuuu😊😊 ok usijli hoja mutuweke tu kwautuwo ikiwemo sauti rangi nzuri n.k...❤❤❤
@mathatippe77815 сағат бұрын
Jaman Kama mnaamini loveness ni mpenzi wa kelvini nipeni likes 10 tyu
@jumbahudson38592 сағат бұрын
Waaaah,,,,,hongera,,,anzia jana nineshindia kuchungulia kwa notification window angalau nione episode hii😊😊😊usicheleweshe 47 tafadhali🎉
@ggfwtgg16525 сағат бұрын
Khelvin unachelewesha tena unadupa fupi sanaaa jiongeze kama litto la kiume 😅😅❤❤
@DoktaGidawida5 сағат бұрын
Dhulma ni mbaya sana jamn mzee hutakuw na amani maishan mwako na baba kevi kafa kwa ajili yako utalipia kwa hayo
@GraceGraceNoah-bs7ph4 сағат бұрын
Hakika
@HhUhh-io8ixСағат бұрын
Aki eeeii
@Deborah-v5q6k6 сағат бұрын
Wa kwanza kutoka Saudi nipe likes zangu
@fatfat909354 минут бұрын
Kelvin uko sw.bb mungu akuongoze nakikundi chako move inamafunzo.mengi.cn.tina subiri mariposa.yaja
@gadafimuemede29856 сағат бұрын
Wakwanza Leo from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@ROSEKABUE-s1b6 сағат бұрын
Nakuunga mkono
@AndrewFundi6 сағат бұрын
Wa congo 🇨🇩🎉
@AphurahBoakye6 сағат бұрын
Today am among the first , Likes kwa Kelvin and Loveness . watching from Uganda 🇺🇬 currently Doha Qatar 🇶🇦
@Kadii-o9s6 сағат бұрын
Nawakubali snaa kelvin na lovenes💖💖💖💖
@evanyawiraСағат бұрын
Mnachelewa Sana kuweka kelvin,, Tafadhali naomba msiwe mnachelewesha filamu.,, watching from Kenya
@edvoicemusictz29426 сағат бұрын
Wa kwanza leo jaman❤❤❤❤
@IreneWayua-t3o2 сағат бұрын
Hii movie nayo haisongi na mambo mapya Tena wanaikalixha muda mrefu ndio watoe next
@Beatrice-z4c5 сағат бұрын
Nani mwengine amelia na tina jamani😢😢😢😢 pole mwayaa ila ni funzo hili ❤❤❤🎉🎉🎉
@aminandurya2 минут бұрын
Sjajua nko Wa Kwanza au Wa mwisho Ila Allah atuajalie mwaka mpya mwenye mafanikio mema InshaAllah 🎉🎉🎉Kwa Donta Tv ❤❤❤
@NtirampebaEmmanuel-m8f5 сағат бұрын
Jamani wanao fuwatiliya kelvin na kundi lake kutoka Burundi/Makamba, tujuwane tena naomba like zenu
@Recho-s6zСағат бұрын
Tupo tu weng burundi bujumbur
@PhéniasdeDieu3 сағат бұрын
Yamemgeukia Tina kbsaaaa, kelvin na lovness nawapend saaaana, nipo na ninyi 5/5 kutok Burundi🇧🇮🇧🇮
@AishaMbuba3 сағат бұрын
Jaman keep it up 💕💯💯💯💯 ila mnachelewesha sana
@mariamabdulla7868Сағат бұрын
Adi huruma tima dah...team lovenes mpo kw raha ztu❤❤❤❤❤
@nshimiyimanaalex64676 сағат бұрын
Shukurani kbs Kigali turabakunda cyaneeeee ❤❤❤❤❤❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@agnessntiburella88165 сағат бұрын
Natwebye tulabakunda
@AngelaMunyao-v7j55 минут бұрын
Ak tupelekeni mpaka tuone mwisho wa familia ya gaba msituachie mahali pako na maswali.nawapenda sana wana donta tv kutoka Kenya
@OfficialDenge2 сағат бұрын
Namkubali sana lissa na kelvin aseee noma sana ila mbona mnacchelewa
@Liliankerubo-ye1le3 сағат бұрын
Tina wee lia tu kabisaah 😂😂😂iyo kitu ikutoke mm uku naenjoy kwa uzuni wako 😂😂😂
@ElikaShayo3 сағат бұрын
Na mm jamn japo ninechelewa naomben like hata tano
@RobsonMandeleСағат бұрын
Bonge la movie aisee❤❤
@helinasubila98725 минут бұрын
Yapili huyu Denis dio mtoto wa huyo mzee gamba na babake Kelvin walimua walimuthulumu mali yake dio Denis analipisa kisazi juu Denis alilelewa na babake Kelvin hatujajua babake Denis ni nani sawadi ikiwa hivio Kelvin na loveness mukuje kenya tuselekee kama itakua hivio mapezi ya Kelvin na loveness itadumu sana ila hapa naona karma inakula watu Familia ya gaba na Familia ya babake Kelvin Kuna kitu kubwa sana Wana siri kubwa hii mali ilikua ya thuluma karma hio❤❤❤
@WillyyLaizra-v7t5 сағат бұрын
WA Kwanza from Kenya wapi likes😊🎉🎉
@VictoriaNkole2 сағат бұрын
Amakweli majuto ni mjukuu yashaanz kumtafun sasa tina uwiiiiii, next pleaz🎉🎉
@ErastusOtunga5 сағат бұрын
Mwandishi Ako polepole sana naomba asikawie kwa muda mrefu,"loveness the queen of the movie🌹"🇰🇪🇰🇪
@Eliabthmwambeke4 сағат бұрын
Ndo hvyo ila tuvumilie😊😊😊 kenya tupo❤
@ErastusOtunga3 сағат бұрын
@@Eliabthmwambeke sawa 💪💪💝
@NasraIbrahim-dw1hr2 сағат бұрын
Jalufu nakupenda unavyopiga kaz❤❤, hiki kipande cha Tina na huy mkaka sijui katokea wap sijakielewa
@VictoriaKilamlya3 сағат бұрын
Ndio mnaachelewa saana had tunakosa hamu ya kuendelea kufatilia ,mjitahid kuwahii movie ni nzuri atari ila nd hivo msichelewshe jaman
@ChantalkilungukibukilaPharmaci3 сағат бұрын
Ongera sana kala kelvin.una cheza muzuri sana,Ila muko n'a Tia minute kidogo tafazali muongeze ukuwe ata 45minute
@JenifaLucas6 сағат бұрын
Kwani nyie mnaoomba like huaga mnafata movie au likes hum Ndan mana tumewachoka like n za kevi
@MalkaNinik5 сағат бұрын
Tena mimi nimewachoka zaidi ni like wakwaza sijui ina maana gani napia hawa uwabado hata kuangalia kinacho endelea
@JenifaLucas5 сағат бұрын
Cjui ni ushamba au laa sasa likes za KZbin zinawasaidia nn heeee@@MalkaNinik
@HadijaVinyu5 сағат бұрын
Watu wanakesha kwenye mtandao, Eny way love ness na kelvin nawapenda sana❤❤❤
@SoziSozi20206 сағат бұрын
15 min nimejipata wa 200🤭 but niheli kuchelewa kuliko kukosa from 🇰🇪 ni 🇸🇦
@Wamwakera2545 сағат бұрын
Walio chelewa tuko wengi tu
@malikahiribaeСағат бұрын
Pole sana tina umeonae mbio za sakafuni huishia ukingoni masiniki umepoteza kila kitu kwako kwa tamaa ilizokuwa nazo
@MaryMoraa-p7w6 сағат бұрын
Watching from gulf ❤❤🎉🎉🎉 team hamam hoyeee
@BabraWati5 сағат бұрын
Hoyee
@MbiirwaVolonte4 сағат бұрын
Unafanya vizuri sana kk mungu akujaliye na akupe ngufu una fanya vizuri natokeya apa DRC
@Platford6 сағат бұрын
The first hapa leo
@LatifaMohamed-r8d45 минут бұрын
Safi sana Tina hana uwezo wakushika mimba malipo ni hapa hapa
@AsiaSelemani-z7x6 сағат бұрын
Ata usijari ujitahid kuwahi mpaka basi maua yenu ❤❤❤❤❤❤❤❤allah awape nguvu
@nadiatanzaniaСағат бұрын
Uwahishage mnatesa mtoto wangu jaman anawapenda sana❤
@MariamoJamalDade3 сағат бұрын
Gosto muito da vossa atuação ❤❤
@AnnaDavid-f6sСағат бұрын
Umewah sana bro mpaka laha Asante ❤❤
@NAYPHATH6 сағат бұрын
Wakwanza jamani nipen like hata 20 tyuu❤❤🎉🎉
@RaelYekoСағат бұрын
Doctor nakukubali unavyomkejeli Tina maua yako🎉🎉🎉🎉❤❤umemwambia ukweli 😂😂
@JamesWisdomtz6 сағат бұрын
Wewe utakaye soma comment hii mungu akufunguliye Milango na family yako
@ChristinaMathew-b6q6 сағат бұрын
Nawe pia
@Naliakatv-t9s5 сағат бұрын
Amen
@sheillahLinsey5 сағат бұрын
Aamin
@HamzaRajabu-p3t37 минут бұрын
Oya nileteeni brawo umo move itakua Yamato zaidi
@bakaribingwa88496 сағат бұрын
Duh Leo nimechelewa ila naombeni like zangu
@WssWss-w3p2 сағат бұрын
Good job guys am watching from saudi Arabia 🇸🇦
@MaryBonareri-zs8vk6 сағат бұрын
Team strong Niko hapa jamani like ❤❤
@karekezifreedom6559Сағат бұрын
Nilikua natamani kuona kiliyo cha Tina 🤣😂🤣😂❤from🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@AnsaB-j2m6 сағат бұрын
Wa mwisho jameni naomba like ata kumi tu
@AthumanHalima2 сағат бұрын
Kumewaka sasa kwa Tina acha loveness na kelvin wa enjoy life❤❤
@Mary-cm3tt5 сағат бұрын
Ba tina na hizo ndoto zake bibie atadhania ni mshtuko na kumbe ndiyo anapass😅😅😅
nyamemgeukia Tina kbsaaa ,kelvin na lovness nawapend saaaaaaana ,nipo na niny6/6 kutok Burundi❤❤❤❤❤
@AgustaMswima-jd1jw4 сағат бұрын
Waooo ila nimefurahi umetuwaishia vinzuri nilikuwa naosha viombo Hadi nimeacha maana nilikuwa naisbiri Kwa hamu jamani wale ambao waliisubiri Kwa hamu walike
Saa nyiye mnao ombaga likes huwa mna zikulaga ao,maan sielewi,kila mmoja nipeni like dah yaan coment hazivutii alaa
@LucyPhilemon-vu4lu5 сағат бұрын
😂😂😂😂 wanakera badala watoe maoni
@Daltondagama6 сағат бұрын
Thenks your Donta tv. Napenda sana movi yenu, kaka kelvin,Thenk you,from mozambique 🎉🎉🎉🎉
@IreneMwinuka-u7z5 сағат бұрын
Kwani candy alilewa kweli!?😂😂
@MDMehndiHassan-ve9zyСағат бұрын
Sawasawa tina nungu kakuukumu leo bado baba yako ukamuuwe na presha kwaueogo wenu nauyodenisi usubili kilio chako ukimuwa mwezio kwaupanga nawewe utakufa kwaupanga 😂😂😂😂😂😂
@HalimaHamicy5 сағат бұрын
Mbna huyu Tiffa wa sasa hivi ana wivu wakati yule aliotoka alikuwa ana wivu kma huyu
@mwajumasaid730621 минут бұрын
Nilikua najiuliza kendy amepata wp pesa ya kugonga vyombo kumbe ameamua kujilipua😂😂😂😂😂
@JustinePascal-i1t6 сағат бұрын
Wa kwanza leo like zenu jaman, wewe unayesoma comment hii Mungu akujaalie uweze kufika salama mwaka mpya
@AishaMatsudzo5 сағат бұрын
Atutaki
@JustinePascal-i1tСағат бұрын
@AishaMatsudzo hautaki nini tena
@HdhHsh-y2e3 сағат бұрын
Muko sawa umetoa kwa wakati muzuriii sanaaa😂❤🎉 ila tina nafamiliya yako kitawarabaaa😂😂😂