HOUSE GIRL EP 13 | S3 | Love Story 💕💞

  Рет қаралды 15,116

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

HOUSE GIRL SEASON 3

Пікірлер: 366
@MammyJlo
@MammyJlo 2 сағат бұрын
Tunaomba Busati kuachilia episode ingine leo 2 tujuane apa
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 3 сағат бұрын
Chiko tunayofurah chiko kufel mpango wake 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 17 минут бұрын
Huyu akawe mchungaji huko Kwa baba karobo huku atuachie zatiti wetu
@GloriaNahimana-x8p
@GloriaNahimana-x8p 3 сағат бұрын
Mwenye amefulai tacha kuokowa na kai tujuane 🎉❤🎉
@evarkhanaya7891
@evarkhanaya7891 15 минут бұрын
evar here
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 3 сағат бұрын
Jmn nawaomba Kwa siku muwe mnarusha mara 2 .kama mnaungana NAMI tujuane Sasa 🎉🎉🎉🎉🎉
@bennamush4616
@bennamush4616 3 сағат бұрын
Unataka watu wasilale washuti masaa 24 kwa wewe kuweza
@marynabwile4086
@marynabwile4086 2 сағат бұрын
Ukweli Moja usiku ingine mchana
@hajaronduko761
@hajaronduko761 Сағат бұрын
Mbona ile season ingine walikwa wanatuma 2
@hajaronduko761
@hajaronduko761 Сағат бұрын
Please tupee mbili episodes per day feel loved from kenya ❤❤❤❤❤❤
@ScolaNgwale
@ScolaNgwale 21 минут бұрын
Namimi nataka iwe hivyo​@@hajaronduko761
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 2 сағат бұрын
Assant saan Bibi ni nakupenda saan zaid ya kuku❤, mtandike Batuli huyo mchawi asojua utu, team Bibi mpoooo??? Oyoooooo🎉🎉🎉🎉🎉
@ShamieWise
@ShamieWise 2 сағат бұрын
Tupooooooooooooooooooooooo😂😂😂😂😂 kutoka Uganda
@Grace-w4r5n
@Grace-w4r5n Сағат бұрын
Tupoo ten tumejaa tele
@HhUhh-io8ix
@HhUhh-io8ix Сағат бұрын
Bi zuuu❤❤❤❤ asante muno heeeee batuli hana utu aki kimrambe Tena sana
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr Сағат бұрын
Tupooo 😂😂nilimwambia aca sasa kimulambe 😂😂😂😂
@TatuBaya-jy8jl
@TatuBaya-jy8jl Сағат бұрын
Tuko tunamfurahia bib yetu ❤❤🎉🎉🎉
@MRSSUMAILI123
@MRSSUMAILI123 3 сағат бұрын
Toka nihanze kuhangalia house girl sija wahi kutoka wakwanza namimi leo nahomba like please 🙏
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 3 сағат бұрын
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies BUSATI TV, ninafurah kila ninapo kutan na nyie Ninawapenda saan ❤❤❤🎉🎉🎉.
@BetyHaule
@BetyHaule 3 сағат бұрын
Xhida yako tasha mbishi xana bro pongez nying mno kwa kai🎉🎉🎉
@aliceaugustine1327
@aliceaugustine1327 44 минут бұрын
Anajikuta mjuaji kuliko kila mtu
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 минут бұрын
Ndio tujifunze
@AishaAbdoullah
@AishaAbdoullah 2 сағат бұрын
Bibi zuuu KAZI nzuuri hapo Sasa Filamu Ndo inaanza kuwa tamu jamani wanao subiri episode yakufata gonga like hapo Busati TV msitusaliti achiyeni nyingine tuone
@busatitv
@busatitv 2 сағат бұрын
🙏🙏
@Hapygideon
@Hapygideon Сағат бұрын
​@@busatitvMuwe mnatuwahishia mrushe hata viwili jamani Sasa mnatuletea muvi nyingi wakati house girl hamjamaliza
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 2 сағат бұрын
Wale tunaoamin batuli atamwambia zuu na kai ukweli na kai atamsaidia pesa.ya kumtibu mama yake batuli gonga like hapa tujuane 😅😅😅😅😅😅
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr Сағат бұрын
Mamaake batuli haumwi ulikua muceza wakina candy ule nimasozi amejifanya mamaake batuli
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 3 сағат бұрын
Honger San Kai kwa kumsaidia tasha🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 сағат бұрын
Kai maua yako kwa kuwa pamoj na Tasha hakik mganga hajigang sas hv tash anashindwaj kujiendesha
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 сағат бұрын
Jaman kiramb umenifurahisha San umezimia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Maua yako kiramb🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 10 минут бұрын
Na anavopenda kuzimia uyo presha yake itakuwa anapresha ya kuzimia zimia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MariamHamisi-h4g
@MariamHamisi-h4g Сағат бұрын
Yani kaibey umeweza leo ongera kwa kuokoa MR TASHA🎉🎉🎉🎉
@Jajakanjaniri
@Jajakanjaniri 3 сағат бұрын
Kai Hongereni Sana ❤❤❤❤ Leo Unanifurahisha Tena Sana Kbx 🤸🤸🤸 Simama Kama Mwanaume Tena Cukuwa Mauwayako 🎉🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹🧡🧡🧡🧡🧡
@omarsaid_1607
@omarsaid_1607 2 сағат бұрын
Umeona eee😂
@anniesylivester4100
@anniesylivester4100 Сағат бұрын
🌹🌹🌹🌹🌹😁😁💯🔥
@كامليا-ر7ز
@كامليا-ر7ز 2 сағат бұрын
Mashabiki wa busati nawasalimia hallo . Weka like kwa kiramba kumwomba zuu ruhsa ya kuzimia😂😂😂😂😂
@MwanamkasiBakari-pb2gw
@MwanamkasiBakari-pb2gw 17 минут бұрын
We huogopi😂😂
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 3 сағат бұрын
Haya sasa wanaosubiri kuumbuka kwa dada wa kazi na akina candy 😂😂😂 twende kazi na house girl yetu moto ndo kwanza umeanza
@HappyJumwa-h9e
@HappyJumwa-h9e 2 сағат бұрын
yaan natamnii saan
@GodyphreyMsite
@GodyphreyMsite Сағат бұрын
😅
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 3 сағат бұрын
Tulio furahia Sania kugunduliw na tash 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 3 сағат бұрын
Honger San bib zuu kwa kumumbua batuli maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FaridaMousa-xy2rk
@FaridaMousa-xy2rk Сағат бұрын
Baturi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 piga kelele kwa bibi zuriiii weweeeeeeeeeee
@anethkihombo1432
@anethkihombo1432 Сағат бұрын
Bibi zuu apewe maua yake🎉🎉🎉
@MwanamkasiBakari-pb2gw
@MwanamkasiBakari-pb2gw 18 минут бұрын
We weeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅
@OLEDAUDI
@OLEDAUDI 2 сағат бұрын
shemeji naomba nizimie kusema ukweli kazi nzuri kikubwa ongezeni ubunifu zaidi ❤❤❤
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 3 сағат бұрын
Batul leo umetiwa adabu 😅😅😅😅😅😅😅😅😅 kazi nzur bib zuu
@ShamieWise
@ShamieWise 2 сағат бұрын
Jamani mimi mambo yakutekana yana nisikitisha moyo jamani 😢😢
@SelinaChristopher-h7b
@SelinaChristopher-h7b 3 сағат бұрын
Siku hizi Mnachelewa Kutuma Halafu Na Movie Kuna wakati inaharibika Kidogo Mara Muiweke Sawa Hata Sielew
@HoHo-l1r
@HoHo-l1r 2 сағат бұрын
Batuli nilikwambia lazima uwangukie pua huo ni mwanzo tu utajuta kwa hayo uloyachuma....
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 Сағат бұрын
Furaha yangu leo ni bibi kuja kumsaidia zuu wangu,,,halafu nyie BUSAT mmeanza kutucheleweshea na pia mmeanza kutuwekea fupi kwann?? Mnatukosea sana
@عباسعلي-خ3ص
@عباسعلي-خ3ص Сағат бұрын
Kiukweli Mr Tasha analindwa na mungu sana zidi kumuomba mungu Mr Tasha kamwe hatokuacha❤❤❤nawapenda bure na wewe Batali ushirikina wako utakuponza
@HappyJumwa-h9e
@HappyJumwa-h9e 2 сағат бұрын
butali RKA Samoeee sema ukwliii masn bibi atakunyooosha 😅😅😅😅😅 hlfu mbna kilamba ujilazmishe kuzimiaa mm nasbiri ukwli ktka kwa batulii ❤❤ nawepnda nyte mnatazma filamu hii Muwe na sku njemaaa🙏🙏 Mungu awe pmja nanyiiiii🙏🙏🙏🙏
@MustyNgongo
@MustyNgongo 3 сағат бұрын
Wakwanza leo woooh wowoh kutika Mozambique ata like kumi tu jaman
@EverlineTyra
@EverlineTyra Сағат бұрын
Nafurahia tasha amemskiza kai.....kama pia ww umefurahishwa ngonga like hapa❤❤❤
@MichelleMasinde
@MichelleMasinde Сағат бұрын
Hello busati family,aki all Kenyans tunafwatilia sna......twaomba episode....14...itoke lele.. wengine twakesha kungoja jamani
@ScolaMmas
@ScolaMmas 3 сағат бұрын
Wakwanza nipe like zang
@ScolaMmas
@ScolaMmas 3 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@LovenessJamesi
@LovenessJamesi 2 сағат бұрын
Malizeni movie bhn mnaanza kupoteza ladha ya mchezo jamneni😢
@AindremeShena
@AindremeShena Сағат бұрын
Kiramba kiramba kiramba nakuita marangapi ?😂😂😂😂😂😂🎉🎉 Kumbe anaye zimiya anaombaga ruhusa jamani !😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@EzekiaMsemwa-sk7ow
@EzekiaMsemwa-sk7ow 3 сағат бұрын
Bibi zuu umeshindwa kumsaidia mkewa kilamba
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 2 сағат бұрын
Sania ayo mafazi yako ujapendeza safi san kai n tasha umarafiki wenu mashallah 🌹🌹 hila kina judani mefeli tena mefeli namtazid kufeli msr tasha ni mtu wa mungu mashallah hila chico n jeshi lako mefeli mpumvu mwezetu pole san kumbe papa ndyo waliyomteka mpumbavu mwezetu sania sania kijishangazi cha ngonde ngode kimeupuka
@JohariKasim-r8d
@JohariKasim-r8d 2 сағат бұрын
Kipochi manyoya unajua manake😂😂😂😂
@carolineoganda4277
@carolineoganda4277 15 минут бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 2 сағат бұрын
Chiku Chiku 😅😅😅pessa hazi wakati mtu ana malaika wake 😅😅nimecheka hapo niende kwa batuli nimubaya bibi fanya kazi yako nakuamini huwezi kuniangusha unampenda mjukuu wako ❤❤❤❤
@FaidhaRamadhani-p6i
@FaidhaRamadhani-p6i 2 сағат бұрын
Sema candy me nampenda na vituko vyake anaichangamsha hii move kwakwel 😂😂😂🎉🎉🎉
@JaneveeThomas
@JaneveeThomas 3 сағат бұрын
Nimejitahd kuwahi Leo jamn busati tv mnaupiga mwingi 🥰🥰🌹
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 2 сағат бұрын
Asante bibi kwa kumuokoa zuu ila mfunze somoe asipende kucheza na maisha ya watu mbwa uyu
@SalomeNafula-ey9tl
@SalomeNafula-ey9tl 2 сағат бұрын
Bibi zuu muonyeshe huyo baturi mjinga katumwa nakenti
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 3 сағат бұрын
Sania anafanya watu wembamba waonekane wa ajabu mpumbavu anaomba kuzimia
@MagdalenaFrancis-up6wq
@MagdalenaFrancis-up6wq Сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 2 сағат бұрын
Wew chiko unamatope sio akili 😂😂😂
@EveKaari-r7r
@EveKaari-r7r 3 сағат бұрын
Sania mipango imefeli na mshajulikana wote
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi Сағат бұрын
Nimefurai kuona tasha na msimamo wako na kai alafu bstuli sema ukweli ujulikane jaman batuli wewe bizuu nakupenda sana mashallah kazi nzuri sana maua hayo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr Сағат бұрын
😂😂😂batuliii 😂umeyakanyaga leo nilikwambia tangu mwanzo ona sasa kilikukuta 😂😂😂😂hapo mwanzo hujaona kitu😂😂😂
@nevyStecy-g6v
@nevyStecy-g6v 2 сағат бұрын
Hongera xn kai,,,,sania kaumbuka😢
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Сағат бұрын
Batuli kanaswa na bibi zuu 😅😅😅😅😅bibi zuu ungemchapa mpka atakaposema ndio umuachie😅😅😅😅hapa patamu chiko huwezi kufaulu huo mpango wako😅 Mr Tasha Sania sio mtu mzuri umejionea sasa😢
@sadahamad6158
@sadahamad6158 2 сағат бұрын
😂😂 chiko sasa tasha ndio kipochi manyoa bibi zuu ❤❤🎉🎉 kiramba ukwaju huishi vituko 🤣🤣
@FelisterLikuda-y9e
@FelisterLikuda-y9e Сағат бұрын
Hio ni point km inawezekana kwa ck mrushe japo episode 2 itakaa poa sn
@berthashigela6638
@berthashigela6638 Сағат бұрын
Msimu uliopita ilikuwa na ep tatu kwa cku naomba na huku bc iwe tatu maana wengine hatulali na mi nikilala namwota Kai na Tasha ss jmni pls iwe dose bc mara tatu kwa cku
@busatitv
@busatitv Сағат бұрын
Inshaallah
@Mwanajumahassan-tg3zg
@Mwanajumahassan-tg3zg 56 минут бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂busat tv hoyee yani nimecheka mm leo hii move yani nitamu hadi basi...😂😂😂😂😂😂tasha na kai aki urafiki wenu ni wakusaidiana hongera nimechekeshwa na hao watekaji 😂😂😂😂😂😂😂😂wakimbia kila mtu upande wake 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤ loo na batuli kimekuramba wako wapi mabosswako
@MauaMbarouk
@MauaMbarouk Сағат бұрын
Ztt watah ili iwe fundisho kwa jamii, sanaa inafundsha jamii wafundisheni ukiach mwenzako anachukua ukidharau mwenzako hukithamini tasha kiokote kifaa ili jamii ujuwe tusionekane wanawake t hatuna uzzi buli na wanaume inatokezea ss wnawke sababu t tasha o🎉a na Mungu akupe pacha ili 1 mwimwite chiko 2 mwimwite rahma 💕💕💕💯
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 2 сағат бұрын
Kumekucha kwa batuli au somoy unajidagaja ww batuli acha unafiki ww ushsupuak ww chezee bibi zuu ww n kazi yake mashallah mau yako bibi 🎉🎉🎉 batuli batuli nikuamby ww kitakuramba tu muda umefika mwisho somoy somoy kula chuma hchoo kwa bibi zuuu nimependa hyooo 😂😂😂
@GloriaNahimana-x8p
@GloriaNahimana-x8p 3 сағат бұрын
Jamani leo nimewai naomba like 🎉❤🎉❤
@Hapygideon
@Hapygideon Сағат бұрын
Bibi zuu 🎉🎉🎉🎉umejua kunipa furaha,,huyo somoe mbaka aseme na sania na chiko na gang lenu liwakute jambo
@SdFft-j5g
@SdFft-j5g Сағат бұрын
Kwa hyo papa ndo aliyemteka mkewe kilamaba😢😢😢, tulikua tunasema tuu ni kendii kumbe noo, nimefuraha bibi yke na zuu kwa Kuja umuokoa mjukuu wke, alfu kilamaba unaomba uzimie mmh😂😂😂
@hutahuta1170
@hutahuta1170 2 сағат бұрын
😂😂😂😂naeapenda zuu nashemrjiyake nataka nizimie😂😂 bibi zuu hongela sana mungu atawalinda kai zuu tasha nazatiti
@HanifaHabibo
@HanifaHabibo Сағат бұрын
Safy Sana Bibi Yake Zuu mpe kibano batuli aseme vyote mbele ya Zuu na kilamba ukwaju 😂😂 chiko huo unao Fanya ni ushamba kubali matokeo😅
@mariaowenya8378
@mariaowenya8378 Сағат бұрын
Somoe uyo ni bibi umeweweseka wakat ulisema mapolisi wakikukamata hutowataja😂😂😂😂😂🏃🏃🏃
@DeeDan-sj1mr
@DeeDan-sj1mr Сағат бұрын
Sania kafikaje kwa masozy wakati alikua kwa chiko analaumiwa kwa kutokumteka mr taxha jaman pangen vzr ivyo vpande
@veronicahmomanyi
@veronicahmomanyi 2 сағат бұрын
Kwel sahii siwaelewi kbsa wanataka kualibu movie my mother ndyo wametangulia bado tumalize kwanza house girl
@PetronelaAdam-b9l
@PetronelaAdam-b9l Сағат бұрын
Nampenda kiramba ukwaju jamn kama unampenda kilamba. Ukwaju gonga like
@PetronelaAdam-b9l
@PetronelaAdam-b9l Сағат бұрын
Iike
@anniesylivester4100
@anniesylivester4100 Сағат бұрын
Anachokifanya chiko mpaka sasa sio mapenzi tena n ujambazi😂😂😂😂🔥
@SalamaRajabu-c6h
@SalamaRajabu-c6h 2 сағат бұрын
Nimefraishwa na Kai na bibi zuu hongeren Wana busati tv
@levinaernest4364
@levinaernest4364 51 минут бұрын
😄😄😄 kabisa
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o 2 сағат бұрын
Bibi zuu tunakushukuru sana
@marynabwile4086
@marynabwile4086 2 сағат бұрын
Aki muachilie hata mbili kwa siku tafadhali mnatuacha sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 3 сағат бұрын
Honger San bib zuu kwa kumumbua batuli maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EvelinMsagati
@EvelinMsagati 3 сағат бұрын
Leo nimekuwa wakwanza ❤❤❤❤❤
@FaithJoshua-n8n
@FaithJoshua-n8n 5 минут бұрын
Mimi nawakilisha wa Kenya,, tujuane jameni 🎉🎉🎉
@JohorahassanHadi
@JohorahassanHadi Сағат бұрын
Bibi yake zuu mshike batuli vizuri sana aseme kile kimemleta kwa zuri
@SaraUlaya-is2ch
@SaraUlaya-is2ch 3 сағат бұрын
Yaan kiramba we mwehu eti shemeji niache. Nizimie
@valentinembwika2321
@valentinembwika2321 2 сағат бұрын
😂😂😂😂
@ShakuurRayyan
@ShakuurRayyan 2 сағат бұрын
😂😂😂
@selestinakazuvi7213
@selestinakazuvi7213 2 сағат бұрын
😂😂😂 halafu ukizimie tenaa jamni
@MariamHamadi-z5l
@MariamHamadi-z5l 2 сағат бұрын
Huyu chiko ananikera hilo jina la kipochi manyoya hivi anajua maan yake au anaita tuu😅😅
@Neema-h4d
@Neema-h4d 46 минут бұрын
Aisee pambee tu mm nasubir batuli aseme ukwel
@abigaelabraham8629
@abigaelabraham8629 3 сағат бұрын
Kwa mara ya kwanza kbs Leo ninaomba like jamani
@AnnaEmmanuel-cw8hw
@AnnaEmmanuel-cw8hw Сағат бұрын
Naomba ni zimie😄😄😄
@JuliusMakau-er1fw
@JuliusMakau-er1fw 58 минут бұрын
Bna saizi mnatoa pole pole lakini
@AngelSebas-f2c
@AngelSebas-f2c 3 сағат бұрын
Leo nmewah
@lillyjames1481
@lillyjames1481 3 сағат бұрын
Jamani nipewe likes Leo nimewai
@christinewanga7385
@christinewanga7385 16 минут бұрын
Waah! hii Movie i say iko 🔥🔥 na Mafunzo kibao, umudhaniae siye diye, hio ni kwa Zuu na Mr.Tasha, 2, Urafiki kati ya Mr.Tasha, Kai na Kilamba ni wa kupigiwa mfano na kufaa❤️❤️🥳 3, Smtmes tusiwee na huruma ile ya sanaa na kuamini kila mtu licha ya kuona Redflag kiac kwamba tunasahau Adui ni wale tu wanaotuzunguka, anyway Busati T.V movies zenyu ni 🔥🔥🔥👏👏👏
@FghgRyy
@FghgRyy 3 минут бұрын
Batuli 😂😂😂😂 kimemrambaa leo Chiko achana na mipango yako bana hata ukienda mwenyewe huwezi 😂😂
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 2 сағат бұрын
Kiramba mchuzi eti sehem ukweli bibi hatakuzima hyooo somoy somoy kitakuramba au kishakuramba cend cend mwezenu 🔥🔥🔥🔥 unamuakia uku hila sania n cend mnapingia kelele m kijacho tu hap
@HarrietNeema-d9v
@HarrietNeema-d9v 27 минут бұрын
Hongera sana bibi zuu Kwa kazi yko nzuri ❤❤ movie tamu Kwa sasa❤❤❤❤ nawapenda bure team busati 🎉🎉🎉
@MwanakomboAli-p5e
@MwanakomboAli-p5e 2 сағат бұрын
Asante Bibi zuu😂
@sakina5550
@sakina5550 56 минут бұрын
Batuli batuli batuli nimekuita mara 3😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kilamba eti shemeji naomba nizimie😂😂😂😂😂😂
@PerezQuenisha
@PerezQuenisha 18 минут бұрын
Hongera sna Kai n bibi zuu
@ReneNzeyimana
@ReneNzeyimana Сағат бұрын
Jamani Léo wakwanza kutoka Burundi naomba like zenu wananzengu🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Betty-t9q
@Betty-t9q 48 минут бұрын
Hapo sasa Bibi kafanya lake,wangapie tunaamuunga mkono,tujuane kwa like🎉❤🎉❤
@FghgRyy
@FghgRyy 40 секунд бұрын
Kai bey Kai bey ❤ Nakupenda mpaka naumwa umejua kunifurahisha wewe ndio rafik mwema kabisaaa 🎉🎉
@busimebiringanine5800
@busimebiringanine5800 2 сағат бұрын
Pastor Chiko 🤣🤣🤣 hasira za nini
@adamsalim587
@adamsalim587 Сағат бұрын
9:30 Huyu ana matatizo maskini ya Mungu hana shida yoyote huyu binti bibi😂😂😂😂 Kilamba umeupiga mwingiiii aiseee
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 сағат бұрын
Jaman pap nae alogikiria nin kumteka Mke WA kiramb ili apate kend kiurahisi sas kend kamweleza kweli tunao amin Mke WA kiramb ataavhiliwa na pap tujuane
@sarafinamochache8269
@sarafinamochache8269 Минут бұрын
Batuli kikurambe kabisa 😂😂😂 mr chiko unafaa ujue hizo gharama hata ukiamua utumie zote zatiti ndio kusema
@Johar903
@Johar903 2 сағат бұрын
❤❤❤❤ongereni sana kwa kazi nzuri bibi zuu pambana akikisha zuu akimzuru kitu yeye pamoja na kai Somoe sema ukweli Mungu awabariki nyote
@MercySilvester
@MercySilvester Сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣kilamba ukwaju umenifanya nikacha paka waiguru wangu kaniuliza zimia 🤣🤣🤣
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 2 сағат бұрын
Wew mweu chiko pesa Gani unazotumia mavi wew hiyo Kaz inatumia pesa gan nyau wew mfyuuu unanileta hasila tu shenzi Zako
@CharoJohnson
@CharoJohnson Сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kiramba wewe akhi unafurahisha isay ,bibi zuuuu kula chuma hcho😂😂😂😂
@FatmaAli-wr7mm
@FatmaAli-wr7mm 3 сағат бұрын
Looh nkajua wa Kwanz kumb wa32 duh Ila you kwa yot hongren busat tv🎉🎉🎉
@elizabethdzuya
@elizabethdzuya 6 минут бұрын
Busati tv mnatukosha hii sio house girl tena n vita ya Mapenzi much lve🎉🎉🎉❤❤❤
@AlineBaby-m5l
@AlineBaby-m5l 17 минут бұрын
Kazi nzuri bibi zuu nafurahi kwakuwokowa familiya Yako Na uyo bakuli kinatak kimulambe😂
'MZIGO" Movie sehem ya 1 / Starling Tinwhite Ringo Masantula
25:59
WHITE FILMS
Рет қаралды 142 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 1,7 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 66 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 10 МЛН
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 37 МЛН
SIRI YA HUBA  { 22 }
12:48
Rk Movies
Рет қаралды 71 М.
DRUNKEN LOVE ❤️《03》
31:04
Boncena got Talent
Рет қаралды 13 М.
LAANA YA MAMA  EP 40                        Mother's curse part 40
12:29
KAPIPI OG VEVO
Рет қаралды 1 М.
HOUSE GIRL EP 11  | S3 | Love Story 💕💞
19:24
BUSATI TV
Рет қаралды 68 М.
PENZI GIZANI EP 3
23:28
SAYUKI TV
Рет қаралды 1 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 1,7 МЛН