HOUSE GIRL EP 11 | S3 | Love Story 💕💞

  Рет қаралды 10,449

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

HOUSE GIRL SEASON 3

Пікірлер: 268
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 3 сағат бұрын
Utakayesoma hii coment mungu akuhamshe salama wachaw 😂wakija usiku wasikuone😂🤲🤝🙏🤲🤝🤝🙏🙏🙏
@JestinaSukwa
@JestinaSukwa 2 сағат бұрын
Amina
@KautharTwaha
@KautharTwaha 2 сағат бұрын
Aminaaaaa
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 2 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@Bintnailah
@Bintnailah 2 сағат бұрын
Amina 😂😂😂😂😂ila hapo kwa kuonwa na wachawi 😂😂
@JestinaSukwa
@JestinaSukwa Сағат бұрын
Kwa Nini
@WardaSuleimn
@WardaSuleimn 2 сағат бұрын
Àsalam aleykum kila atakae soma comet hi Allah amuashe akiwa na frah tele yenye ijumaa njema
@EagerRedRose-ee6xr
@EagerRedRose-ee6xr 2 сағат бұрын
Walaykum salam warahmaturah wabarakatuh Ammiiiin
@mejumaaamohamed2151
@mejumaaamohamed2151 3 сағат бұрын
Niwai ila watu wachoyo wa like,tokea kipindi kianze mpaka kilipofikia watu zii
@EverlineTyra
@EverlineTyra 3 сағат бұрын
Nimejikaza Leo.......naombeni like jamani alafu kandy na sania mnaboo❤😂😂😂❤
@Phoebenafula
@Phoebenafula 3 сағат бұрын
Batuli utajua haujui , Wa kwanza kutoka kenya🇰🇪🇰🇪
@victoriangasa
@victoriangasa 2 сағат бұрын
Jomn kipochi manyoya tena Mchungaji Chiko 😂😂😂❤🎉yote kwa yote niwatakie usiku mwema Na ALLAH awalinde wote watakao soma comment na kulike🎉
@JestinaSukwa
@JestinaSukwa 2 сағат бұрын
Umeonaeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@GloriaNahimana-x8p
@GloriaNahimana-x8p 2 сағат бұрын
Tunao penda Tacha ndoa yake ipite na zatiti tujuane🎉🎉🎉
@كامليا-ر7ز
@كامليا-ر7ز 2 сағат бұрын
Kiramba umenichekesha leo ety batuli anataka mikwaju😂😂😂😂weka like kwa kiramba 😂😂😂😂
@NoorEesa
@NoorEesa 47 минут бұрын
😂😂😂😂😂😂😂hata mm nilikua sijaelewa hapo kumbe anamaanisha mikwaju😅😅😅
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 сағат бұрын
Kilamba una Mungu ww, ungekufa leo
@EsterEster-mo3hd
@EsterEster-mo3hd 2 сағат бұрын
😂😂 kweli
@TanashaPamelah
@TanashaPamelah 2 сағат бұрын
Kama unaamini kendi atarudi Kwa mamake akilia na Sania atamruka naomba tu salamu 😂😂🙏alfu niko single 😂🤭
@SarahRichard-iv2dl
@SarahRichard-iv2dl 3 сағат бұрын
Oyoooooo me wakwanza leo
@GracianaChatanda
@GracianaChatanda 2 сағат бұрын
Jamn move inaendelea candy na shoga ake hela zinaisha mtazingukumbuka 😢😢😢😢😢😢😢 sisi yetu macho
@AlineBaby-m5l
@AlineBaby-m5l 2 сағат бұрын
We kai na tasha mbon munatak kwenda wote, wata watega awo wapumbafu
@OfficialEmmy-b8r
@OfficialEmmy-b8r 3 сағат бұрын
Jaman na mm Leo nmewah like tano tu
@ZamzamMusa-ve5tc
@ZamzamMusa-ve5tc 3 сағат бұрын
Wakwanza nipewe like ata moja jamani😢
@Ummyrahy6666
@Ummyrahy6666 3 сағат бұрын
Afu unaenda kutoa kwa mpesa au tgo pesa my😂😂
@ZamzamMusa-ve5tc
@ZamzamMusa-ve5tc 2 сағат бұрын
@@Ummyrahy6666 Eeeh naenda towa nkanunuwe nazo vitu🤣🤣🤣
@Agatha-g6v
@Agatha-g6v 3 сағат бұрын
Me watatu leo jmn like kwangu😢
@JestinaSukwa
@JestinaSukwa Сағат бұрын
🙏🙏🏾🙏🙏🙏🙏🙏🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@JestinaSukwa
@JestinaSukwa Сағат бұрын
Naombeni like🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ElishaClaude
@ElishaClaude 2 сағат бұрын
Nilikuwa naomba 🙏🙏🙏ongezeni dakika
@priscahmahenzo642
@priscahmahenzo642 3 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤𝘸𝘰𝘰𝘰𝘸 𝘮𝘰𝘷𝘪𝘦 𝘺𝘦𝘵𝘶 𝘱𝘦𝘯𝘥𝘸𝘢𝘢🎉🎉🎉🎉𝘪𝘭𝘢 𝘣𝘢𝘵𝘶𝘭𝘪 𝘶𝘯𝘢𝘤𝘩𝘦𝘻𝘦𝘢 𝘮𝘰𝘵𝘰 𝘸𝘢 𝘣𝘪𝘣𝘪 𝘻𝘶𝘶 𝘩𝘶𝘵𝘢𝘸𝘻𝘢😅😅😅
@JestinaSukwa
@JestinaSukwa Сағат бұрын
Hamjui uyooooo
@JudithMuhingi
@JudithMuhingi 3 сағат бұрын
Mimi ndio Wa Kwanza 🎉 from Kenya
@AshuraKigoma-vf7wb
@AshuraKigoma-vf7wb 3 сағат бұрын
Wakaanza jamn like na mim leo nipeww😢
@Liliankerubo-ye1le
@Liliankerubo-ye1le 2 сағат бұрын
Sania kweli alienjoy ile kitu ya ng'onde ako tayari kumpea tena 😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 сағат бұрын
Haki ya Mungu 😂
@JamillaWesonga
@JamillaWesonga 26 минут бұрын
😅😅😅😅😅😅anataka tena
@EvaluluMpandagoya
@EvaluluMpandagoya 3 сағат бұрын
Wa kwanza leo jmn🎉
@FaisalAlrefai-u2y
@FaisalAlrefai-u2y 2 сағат бұрын
Kumbe chiko kazi yako nikuchukua nyama za watu na kupeleka mochari sikuli nyama tena
@MrsHamadi
@MrsHamadi 22 минут бұрын
😂😂😂😂Nimecheka kwa hiyo siku zote unakula nyama za mochari aaahhh hatari hii
@FaisalAlrefai-u2y
@FaisalAlrefai-u2y 19 минут бұрын
@@MrsHamadi hahaha 😂😂😂😂😂
@MrsHamadi
@MrsHamadi 13 минут бұрын
​@@FaisalAlrefai-u2ySiku nikija kwako tafazali wali maharage umetosha 😂😂😂😂kwa nyama Asantee
@JacklineMazonge
@JacklineMazonge 3 сағат бұрын
Urafiki wa cand na sania wakinafki sana aisee
@djbngudukwimba5682
@djbngudukwimba5682 3 сағат бұрын
Kitambo 2
@HappyJumwa-h9e
@HappyJumwa-h9e 2 сағат бұрын
𝕜𝕝𝕒 𝕒𝕟𝕒𝕪𝕖 𝕥𝕒𝕫𝕞𝕒 𝕗𝕚𝕝𝕒𝕞𝕦 𝕙𝕚𝕚𝕚 𝕄𝕦𝕟𝕘𝕦 𝕒𝕞𝕝𝕚𝕟𝕕𝕖 𝕟𝕒 𝕒𝕨𝕖 𝕡𝕞𝕛𝕒 𝕟𝕒𝕖 𝕦𝕤𝕜𝕦 𝕙𝕦𝕦 𝕨𝕒 𝕝𝕖𝕠 🙏🙏🙏
@TabuAthumani-i4o
@TabuAthumani-i4o 2 сағат бұрын
Anaesoma coment hii allah amlaze xalama na amuashe salama akiwa na nguvu tele ya kuswal swal ya jumaa
@shamillahsuleiman3431
@shamillahsuleiman3431 3 сағат бұрын
Mmmm..much love❤❤❤leo top 10🎉😊
@sifamaureen2792
@sifamaureen2792 3 сағат бұрын
Yaaani kama kunawatu wamenisinya kwaii movie,ni sania, candy na batuli Aka somoe
@MrsHamadi
@MrsHamadi 24 минут бұрын
na bila wao movie haingekuwa inawaka kiasi hiki 😂😂😂😂ila msinirushie mawe
@sifamaureen2792
@sifamaureen2792 3 сағат бұрын
Weeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@buru1235
@buru1235 3 сағат бұрын
Waah Leo top 50 Mashallah Alf nyieeeh kwn Candy alutapeliwa ayiii 😀😀🫣
@reginakulwa4494
@reginakulwa4494 2 сағат бұрын
Jaman chiko watukosea kumuita Mr Tasha wetu kipochi manyoya😂😂
@MRSSUMAILI123
@MRSSUMAILI123 3 сағат бұрын
Watano mimi nahomba like japo 10
@amosmacompyuta1015
@amosmacompyuta1015 3 сағат бұрын
Katibuni Kwa Amos macomputer muendelezo umetoka
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 3 сағат бұрын
Oya jishikilie wakwanza from meru Arusha 🏃 🏃 🏃 🏃
@reginakulwa4494
@reginakulwa4494 2 сағат бұрын
Mimi wa mwisho Leo na Mimi naomba like nimeisubir hii movie sijalala
@mapesaomary-ip3vf
@mapesaomary-ip3vf 3 сағат бұрын
Mliopo busy kwa pididy tutawasimulia 😂😂
@Nancy-l5e
@Nancy-l5e 3 сағат бұрын
😂😂😂😂 kabisaa 🫵🫵
@irakozeshela1809
@irakozeshela1809 2 сағат бұрын
koma wewe sisi hatutaki wee baki na p didi wako uko😂😂😂😂😂
@mapesaomary-ip3vf
@mapesaomary-ip3vf 2 сағат бұрын
@@irakozeshela1809 😀😀😀😀
@Úngwa-j9m
@Úngwa-j9m 3 сағат бұрын
Nipeni like zangu ❤️
@sadahamad6158
@sadahamad6158 Сағат бұрын
pesa za candy zaliwa bata nyie duh atarudi kwa mamake yuwasota mwenyewe wigi kama indome 😂😂😂😂😂😂
@LatiffahAbdulmalik
@LatiffahAbdulmalik 51 минут бұрын
𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚
@4revertv523
@4revertv523 3 сағат бұрын
gonga like leo nime wahi sanaa😂😂
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 3 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤kazi nzuri sana nawapenda bure ❤❤❤❤❤
@adamsalim587
@adamsalim587 Сағат бұрын
14:26 Ungefungwa, tungefungwaa. .😂😂😂😂 Hapa candy kaupiga mwingii jamaniii😂😂😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Сағат бұрын
Ila wanaume jaman😮 yani kilamba stress za mpumbavu mwnzko zimekuisha hadi wataka pewa pass ufunge mwnyw 😂😂...alafu tasha na kai mwafaa kuekana wazi sio kuvamiana ivo ntauwana kwa presha
@Ummyrahy6666
@Ummyrahy6666 3 сағат бұрын
Mpumbavu wehhhhh umenimlzaa😂😂😂
@MasauShida
@MasauShida 2 сағат бұрын
Kazi nzuri sana team Busati tv🇹🇿
@NajmahBebbsy-uw5iz
@NajmahBebbsy-uw5iz 2 сағат бұрын
Jamn house girl nowdays mnatoa episode fupofupi sana 😊😊❤one lov kama unakubaliana na mm gonga like tukisonga
@majumamusa8972
@majumamusa8972 Сағат бұрын
batuli myiramba mwenzangu kumbuka fathila za zuu lekite danda yanso mau weee😂😂😂😂
@MwanamisiSuleiman
@MwanamisiSuleiman 2 сағат бұрын
Kwaju😂😂😂😂
@sarafinamochache8269
@sarafinamochache8269 2 сағат бұрын
Mwachiko jamani hilo jina kipochi manyoa la kufaa wewe sio mr tasha 😂😂😂😂😂😂 Vile unavyo litamka
@AshuraHamiss-g1l
@AshuraHamiss-g1l Сағат бұрын
Sas candy somoyee unamtumia location kwenye cm gan😂😂😂jmn enewey guys nawapenda
@ASHANDEGWA
@ASHANDEGWA 2 сағат бұрын
Jaman mtu akikwambia ukiwa na D mbili ndio utaelewa,huwa anamaanisha nin
@Zenabeby
@Zenabeby Сағат бұрын
Ukipata jibu niambie mpenzi 🥰
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v Сағат бұрын
Candy wala raha na pesa ya nyumba 😂😂😂acha iishe utulie juu ndo umemnunua batuli akamue zuu acha kiwarambe mpka mshangae
@mumfaraji5034
@mumfaraji5034 Сағат бұрын
Huyu chamkondee nae kutwaaaa kuwaza waganga,bichwa kubwa mwili mdogo 😏
@umentco9600
@umentco9600 2 сағат бұрын
😂😂😂😂 kilamba kikwanzo si kuraisi leo umesahau muchijiga mwesangu
@HarrietNeema-d9v
@HarrietNeema-d9v Сағат бұрын
Sania na kendy mwadanganyana lakini nawapenda ❤❤❤❤ Kwa maigizo yenu🎉🎉🎉
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 3 сағат бұрын
Wana BUSATI TV na washabiki wenzangu Ninawapenda saan, Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ❤❤❤❤
@EstherMzungu-b4n
@EstherMzungu-b4n Сағат бұрын
Jamani chiko usimwiite mwenzako kipochi manyoya😂😂
@careenmponzi8823
@careenmponzi8823 3 сағат бұрын
Yani candy na sania ngoja ardhi ipinduke watajuta hawamjui bibi🎉
@NadiaRamadhan-q1m
@NadiaRamadhan-q1m 3 сағат бұрын
Waka naomba like
@FatumaJuma-vk8nv
@FatumaJuma-vk8nv 3 сағат бұрын
Mambo yameanza kuchangamka😂😂😂😂 Kama unaamn weka like apa🎉🎉🎉🎉
@asmasultan7414
@asmasultan7414 3 сағат бұрын
Zuu izo nywele fungua zatisha ndipo😂😂😂
@AnnahNanjala-xh6ov
@AnnahNanjala-xh6ov 2 сағат бұрын
Candy na sania mlisaliwa nani? Jamani vituko haviishi😂😂😂🎉🎉
@ZaitunIssa-w9p
@ZaitunIssa-w9p 3 сағат бұрын
Watuuu hatulali tunasubiri hii move jamani haipoii😂😂😂
@Nassrah737
@Nassrah737 3 сағат бұрын
Watu hamlali khaa dak3 watu wana kanyagana😢 ata sehem ya kupita hamna
@AishaRadjabu-mz7oz
@AishaRadjabu-mz7oz Сағат бұрын
Sasa jamen kendi akutapelew ten mbon sielew
@herveiratunga3656
@herveiratunga3656 3 сағат бұрын
Nawacukiya hawa wawiri kabisa
@agathashayo8907
@agathashayo8907 2 сағат бұрын
Waoooo Yan ni bandika bandua tushindwe sis tu😂
@MwanarusiRupia
@MwanarusiRupia 2 сағат бұрын
Mashaallah movie nzuri sana😂😂😂😂😂😂😂
@NyamweruAlex
@NyamweruAlex 58 минут бұрын
Hahahaaa et location we kendy una mambo baturi ana Kiswaswaduuu.
@fatumariziki7276
@fatumariziki7276 Сағат бұрын
Wee chiko wajua kipochi manyoya huku Kenya nimatusi ww😂😂😂😂😂😂😂😂
@MwanashaHemed-w3r
@MwanashaHemed-w3r 21 минут бұрын
Kabisa 😂😂 et kipochi manyoa
@gracenyevu8082
@gracenyevu8082 3 сағат бұрын
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
@JaneMhango-yl7xo
@JaneMhango-yl7xo 2 сағат бұрын
Mm namuomba mungu alinde ndoa ya zuu
@everlinenjuguna2281
@everlinenjuguna2281 3 сағат бұрын
From saudia leo nimewai❤❤❤
@Zaitunrashid-c7q
@Zaitunrashid-c7q 2 сағат бұрын
Chiko usije ukakatwakatwa wewe
@MarykwambokaNyamboye
@MarykwambokaNyamboye 3 сағат бұрын
Sania Ako na nguvu ya kumpa mganga 😅😅😂😂
@Joslyn123-pu3cw
@Joslyn123-pu3cw 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@MaimunaNangabo
@MaimunaNangabo Сағат бұрын
😂😂😂we chiko huna adabu unamuita Mr Tasha kipochimanyoya na wewe hizo ndevu zako unajioma kweli😂😂😂 ovyo 😗😗unachokitafuta utakipata Mr mandevu😂😂ila hongera🎉🎉❤❤❤❤
@MoureenmohWabwire
@MoureenmohWabwire 2 сағат бұрын
From Saudi Arabia,, Riyadh ❤❤
@Viviankemunto-p4k
@Viviankemunto-p4k 19 минут бұрын
Nafurahi kuona kiramba karudi kwa Hali yke Sasa ❤❤❤..ila somoe ww umeingia cha kike hpo hutoboi uliangukia mikono mbaya bibi zuu atakuonyesha
@adamsalim587
@adamsalim587 Сағат бұрын
14:26 Ungefungwa, tungefungwaa. .😂😂😂😂 Hapa candy kaupiga mwingii jamaniii😂😂😂😂😂
@Jenniffer-m9k
@Jenniffer-m9k Сағат бұрын
jaman ila candy n sania wanamambo pesa kdgo .candy ashajiona wakishua gfla 😂😂😂😂😂
@Kimwana255
@Kimwana255 2 сағат бұрын
Chiko ivi unamuita mwenzio kipochi manyoya uñajua maana yake kweli😅😅😅😅
@sweetgirl2209
@sweetgirl2209 3 сағат бұрын
Dani
@FaisalAlrefai-u2y
@FaisalAlrefai-u2y 23 минут бұрын
Tasha wewe ni mwanaume acha kuwa muoga bana 😂😂😂umenichekesha kweli 😂😂😂😂
@HhUhh-io8ix
@HhUhh-io8ix Сағат бұрын
Kilamba haaa Tena mkwaju😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr 2 сағат бұрын
Tasha sikiliza kai usije ukatekwa jamani unajitia kwenye mutego wa chiko😢😢😢
@JacklinaKajuna
@JacklinaKajuna 2 сағат бұрын
Jamani house girl bila candy na sania hainogi nawapenda japo ni wakorofi 😂😂😂❤❤❤
@JaneJane-h2i
@JaneJane-h2i Сағат бұрын
Kendy na sania wake😂😂😂😂😂😂 hawajui dunia inaelekea wapi😂😂😂😂😂 hadi huruma jamen
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o 2 сағат бұрын
Tunawashukuru busati TV kwakuendelea kutupa mafundisho na burudan
@HoHo-l1r
@HoHo-l1r Сағат бұрын
Batuli nakuita mala 3kitachokukuta wallah hutokuja kusahau maisha yako yote na huyo candy sania wote watakuluka utajua pa kukimbilia...
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 2 сағат бұрын
Candy kajiona wakishuwa gafla baada ya kuogeleya ktk swimming pool
@aishajuma439
@aishajuma439 2 сағат бұрын
😀😀😀hatar
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 сағат бұрын
Ni fala sana😂😂😂
@mouna6920
@mouna6920 16 минут бұрын
Ila hawa wadada wanabamba😅😅
@Mwanajumahassan-tg3zg
@Mwanajumahassan-tg3zg Сағат бұрын
Candy nasania wanakula raha tu wee mr tasha kua nakini ati sania wamuamini😂😂😂much lov busat tv❤❤❤❤
@SharonMokeira-ij7iq
@SharonMokeira-ij7iq 59 минут бұрын
Wee pesa ni nzuri na ni mbaya ka hujui kutumia 😂😂😂sania pesa sikiisha ataenda zake😂
@NgalamnyaziScolasticah
@NgalamnyaziScolasticah 54 минут бұрын
Tasha na zuu mungu awalinde na awaepushe na Kila mitego inshallah 🙏🙏❤❤
@fatfat9093
@fatfat9093 2 сағат бұрын
Mr Tasha funguka sania simtu poa atakuangamiza na chiko.n kendy
@Rehemasidi-n3p
@Rehemasidi-n3p Сағат бұрын
😅😅😅ila huyu mupumbavu anataka kuanguka na batui😅asahau mupumbavu mwenziwe
@pillymakambi9133
@pillymakambi9133 2 сағат бұрын
Sijachelewa sana team strong nipen like zanguu naona kendi na sania wanakula life😂
@AmaniRodah
@AmaniRodah Сағат бұрын
Zuu n kilamba wananusia kifo😂😂😂 kilamba ww unataka kunywa uji y mjamzito
@MariamNshimirimana-uk2hu
@MariamNshimirimana-uk2hu 45 минут бұрын
😂😂😂😂ila kendi bwabwa kweli ati nabia zangu unakunywa 😂😂😂
@LoiceLoice-c1b
@LoiceLoice-c1b 2 сағат бұрын
Mr Tasha ndie kipochi manyoya chiko kazi unay 😂😂😂😂
@Bintnailah
@Bintnailah 2 сағат бұрын
Kiramba una nyege tayari eeeeh😂😂😂😂😂😂😂😂hadi unataka kupeana ukwaju
PLAN B _ Episode 18
40:31
kp wa Aquino
Рет қаралды 30 М.
MY MOTHER EP 18  | Sad Story 💔💔
23:02
BUSATI TV
Рет қаралды 17 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН
PLAY THIS MIDNIGHT BATTLE PRAYER EVERY NIGHT AS YOU SLEEP | APOSTLE JOSHUA SELMAN
3:57:37
HUBA LEO USIKU ALHAMIS TAREHE 26 SEPTEMBER 2024
24:46
MECKY NOVELA
Рет қаралды 6 М.
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 12 МЛН
MTOTO WA SHEIKHE (Ep 30)
23:59
Comedy Plus
Рет қаралды 25 М.
GB 64 AWAKA WALITUMWA KUMUUMIZA ATEBA, SIMBA HAZUILIKI KWENYE MAWINDO
16:13
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН