HOUSE GIRL EP 15 | S4 | LOVE STORY 💞💕

  Рет қаралды 60,623

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 610
@busatitv
@busatitv 2 күн бұрын
Join WhatsApp group 👇👇 chat.whatsapp.com/JyrN7hIxoagKiVTISAAdm0
@Mwanauru
@Mwanauru Күн бұрын
Kwan mulichoka mm nije niwasaidie😂😂😂
@SasherKhamisi
@SasherKhamisi Күн бұрын
Tuelekezo ilo group linakuaj
@mumfaraji5034
@mumfaraji5034 Күн бұрын
Uskute wakaacha kuturushia hpa KZbin
@lovenessmallya816
@lovenessmallya816 Күн бұрын
Mimi naomba namba ya Biko dereva wa Mwanaume mshamba anaenda kuuwa mwanaume mwenzie kisa mwanamke
@eunicezawadi5268
@eunicezawadi5268 Күн бұрын
02😮
@QweenNickson
@QweenNickson 2 күн бұрын
Mungu azidi kumbariki na kumpa kila lenye kheriii mwenye ata like na kusoma comment hii 😍😍.
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 Күн бұрын
Amina
@nismaali2982
@nismaali2982 Күн бұрын
Amiin🤲
@busatitv
@busatitv Күн бұрын
Amina
@Mwanamisi-q2v
@Mwanamisi-q2v Күн бұрын
Amiin inshaallah
@MwanapiliCharo-s2n
@MwanapiliCharo-s2n Күн бұрын
Amiin In shaallah
@EdinaMuhibu
@EdinaMuhibu Күн бұрын
Wanaotaman kai wasimfumanie gonga like
@EuniceKayila
@EuniceKayila Күн бұрын
Tupo pamoja na Belina mpk bibi zuu atakapomfundsha adabu 😂😂
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 2 күн бұрын
Waliofurahia kumwona CHIKO shetan jela like 😂😂😂
@busatitv
@busatitv 2 күн бұрын
😂😂
@NeemaLucas-i5y
@NeemaLucas-i5y 2 күн бұрын
Mnacherewesha sana kutoa kazi jamani
@riziki8406
@riziki8406 Күн бұрын
😂😂😂😂
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 Күн бұрын
Wasanii walikua sikukuu nao wanafamilia jaman sorry​@@NeemaLucas-i5y
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 Күн бұрын
​@@riziki8406😂😂
@BilhaNato-kf9uz
@BilhaNato-kf9uz 2 күн бұрын
wenye tulikua tunachungulia kila siku utube kama kuna episode mpya gonga like tukisonga all the way from kenya
@busatitv
@busatitv 2 күн бұрын
Poleni sana ❤❤
@rizikisam6481
@rizikisam6481 2 күн бұрын
​@@busatitv Asante kwa kweli maana
@Saidahkims
@Saidahkims Күн бұрын
Nilikua na shida uku aki
@BilhaNato-kf9uz
@BilhaNato-kf9uz Күн бұрын
@Saidahkims mm nlikua nmeingoja sana
@JoyceRichard-qo4gn
@JoyceRichard-qo4gn Күн бұрын
Mama Tasha jukua maua yako mm uko very good kuingiza ww ni muingizaji muzuri sana mungu Akupe wepesi ufike mbali❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Күн бұрын
Amina
@FestusJuvinary
@FestusJuvinary 2 күн бұрын
Duuuuu waoo hatimae imerudi Tena movie yetu pendwa na imeanzia pazuli sana huwa mnasikia Raha napoona chiko anateseka 👏👏👏👏👏💐💚🙌🇹🇿🔥💕🤜💯💯🤝💥🤝
@busatitv
@busatitv 2 күн бұрын
😂😂😂
@ElemistaThomas
@ElemistaThomas Күн бұрын
Bust mshaanz kuboa maan kariba mwenz ht hamtoi.move
@RabiaRashidi-y6d
@RabiaRashidi-y6d Күн бұрын
Belina mbakaji...jinga kabisa sikupendi 😅😅
@RoseMeshack-c9x
@RoseMeshack-c9x Күн бұрын
Hatimyae move ninayoipenda imerud waoooh 🎉🎉🎉🎉🎉
@JmaexChambo
@JmaexChambo Күн бұрын
Kai anazingua anashindwa kuvaa nguo za maji zitakauka mbele kwa mbele
@sadahamad6158
@sadahamad6158 Күн бұрын
Belinda unachomtafuta bibi zuu utakipata mda siyo mrefu😂😂😂
@SharonMokeira-ij7iq
@SharonMokeira-ij7iq Күн бұрын
Hiii ndo nilikuwa natafuta walah naomba bibi afanye Ile kitu ...Niko na hasira ya kweli kwa Kai 😮kweli anakera sana bibi yako huwez enda uombe nguo kwa jirani ili ifike kwa bibi daaah Kai bana naeza kujia hapo
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Күн бұрын
😂😂😂subiri
@LightnessMwakafwila
@LightnessMwakafwila Күн бұрын
😂😂 meitafuta sana hii coment
@SharonMokeira-ij7iq
@SharonMokeira-ij7iq Күн бұрын
@@LightnessMwakafwila 😂😂😂icho kimwanamke kinatoa smile saii ila siku ikifika tu aisee atajua bwana wa wenyewe sumu
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 2 күн бұрын
❤❤ wote mnaoangalia move hii mwenyezi Mungu awabariki 🎉
@busatitv
@busatitv 2 күн бұрын
Inshaallah
@NeemaJumanne-h5d
@NeemaJumanne-h5d 2 күн бұрын
Busati siku hzi mnazingua sana yaani tunasubiri mpaka Tunasahau
@ZawadiThebosslady
@ZawadiThebosslady Күн бұрын
Jaman bibi zuu upoapi na sambongo wako mbn kama hammuoni Kai anavyo teseka
@barackaGaspal
@barackaGaspal Күн бұрын
Ila nanyi bsat tv mnachelewa sana kutowa mme kamaa kaa kimya sana nani anaekubaliana mimi kwenye hili naomba leki ata moja kutoka kwenu mashambiki wa bsati tv
@susanchebet3298
@susanchebet3298 Күн бұрын
Si walisema wanaenda likizo jamani, au haukuelewa
@AgneceGeorge
@AgneceGeorge Күн бұрын
WANAOKUBALI KAI KAYATIMBA KILA SEHEM ANAKOSA MSAADA GONGA LIKE HAPA WAACHANE2😂😂😂😂😂😂😂
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh Күн бұрын
Iyo ofis ya mwanaume wa belinda sjaielewa😂😂😂😂tena na bodger ju😂😂
@busatitv
@busatitv Күн бұрын
Alikuwa bar bhana hahah
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh Күн бұрын
@@busatitv akha apo sw boss
@Nathashacolette
@Nathashacolette Күн бұрын
😂😂😂 kai vaa nguo za maji uende
@UmaziMdzomba
@UmaziMdzomba 13 сағат бұрын
Hongereni sna kwa kazi nzuri
@GinaFaruqueFaruque-e6j
@GinaFaruqueFaruque-e6j 2 күн бұрын
Zatiti wetu Badoo kujifunguwa tumekumisi sana ata tashaaa piya❤❤
@PhilbertHabonimana-o1z
@PhilbertHabonimana-o1z 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂wanaofulahishwa nachiko kumuona jela mnipe like
@busatitv
@busatitv Күн бұрын
😃😃😃
@Shabanerick
@Shabanerick Күн бұрын
Oya zuu ni mrembo leo asubuhi nilimuona kariakoo sema nilimuita akueza kusikia
@busatitv
@busatitv Күн бұрын
Samahani
@ميريم-ط1س
@ميريم-ط1س 2 күн бұрын
Mlkula crismas na mwaka mpya mpaka mkasahau 😂😂aya nmefrai Sana 🎉🎉❤
@FaudhiaNgoya-k3i
@FaudhiaNgoya-k3i 8 сағат бұрын
Chiko wacha kikulambeee maana umemuudhi boss wako,xx na hutolewijela maana umemuumiza mtoto w bosi,wanaoamin hvyo ujuane
@mariammwinyiali
@mariammwinyiali Күн бұрын
Kai kweli zumbukuku Wallah,Unashindwaje kuchkua nguo zko zenye maji ukavaa nakuenda,,unampa points uyo mwanamke kuendelea kuongea PUMBA HAKY KAI UNANISINYA SANA HAUSIMAMI KAMA MWANAUME MWENYE HASIRA NA MSIMAMO.unanitia hasira sana
@MarianaMwakatoga
@MarianaMwakatoga Күн бұрын
Anaogopa kuloana 😂😂
@mariammwinyiali
@mariammwinyiali Күн бұрын
@MarianaMwakatoga hanaga ujasiri wakiume kama MR. TASHA just imagine ety hatak amevimba na ameingia bedroom amekaa Kwa bed Ako xw kweli. Xx Wacha aingie Kwa tatzo la wahun xx Kwa akili zake majimaji😏😡
@Phoebenafula
@Phoebenafula 2 күн бұрын
First One from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️🎉🎉🎉🎉
@JenisterLeonald
@JenisterLeonald Күн бұрын
Jmn mm nimem miss da masozi na chisa nijue wanaendeleaje saivi
@JoyDama-hg7cd
@JoyDama-hg7cd Күн бұрын
Noma san hio msikae sn kutoa ingine natak kumona huyu kai akifumaniwa😅🎉🎉
@AdelaideWanyonyi
@AdelaideWanyonyi 2 күн бұрын
Afadhali sasa roho imetulia asante sana
@Zeinabmea
@Zeinabmea 2 күн бұрын
Jaman belina kumbe mbakaji amembaka kai 😂😂😂😂😂 sijapendraa
@enesiasungu7872
@enesiasungu7872 Күн бұрын
Waoooo
@enesiasungu7872
@enesiasungu7872 Күн бұрын
Kai alivyotoa macho kama kabanwa na mlamj
@neemamukeyuzi-nm4jf
@neemamukeyuzi-nm4jf 22 сағат бұрын
🤣🤣🤣 kmbe na wanaume hubakwa🤔😅
@MariamMZIMBA-zf5ev
@MariamMZIMBA-zf5ev 2 күн бұрын
Mnazingua mbona mnachelewesha sana
@FaithJoshua-n8n
@FaithJoshua-n8n Күн бұрын
Pole Sana Kai kitakupata
@HijaHassan
@HijaHassan Күн бұрын
Mnazigua mnakaaa Sana paka sopowa😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@geofreymaseke8630
@geofreymaseke8630 2 сағат бұрын
Wanaoamini Baadae Baba Kai Atamuoa Mama Tasha Gongeni Like Hapa...
@AryonWambui
@AryonWambui Күн бұрын
Ety boss chiku na huko jela 😂😂😂 tulia hapo
@Teresia-bg9dt
@Teresia-bg9dt 2 күн бұрын
Wao Asanteni sana kwakutuletea hii movie nyetu wenye wamefurai Kwa busati tv ku back to New year tujuane na like tafathari
@SalumMathias-bt2us
@SalumMathias-bt2us 2 күн бұрын
Hizo like sijui Zina maana gani emb na mm naomba mnipe Ata moja angalau
@busatitv
@busatitv 2 күн бұрын
😂😂😂
@commanderbadar1642
@commanderbadar1642 Күн бұрын
Hivi movie hi ni house girl kweli au tuipe jina lingine
@Marlenapilikitsao-gk9je
@Marlenapilikitsao-gk9je Күн бұрын
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉
@HanifaHabibo
@HanifaHabibo 10 сағат бұрын
Jamani mpaka Leo Mr Tasha ajapona pole Kai kwa majanga usikamatwe tuu
@HenryNuhu
@HenryNuhu 2 күн бұрын
Zatiti unaweza sema anamimba kweli Ila ukimkuta tiktok aaaah
@VianeChaula
@VianeChaula Күн бұрын
😂😂😂😂😂
@sasharora36
@sasharora36 2 күн бұрын
Biko the driver 😂
@JaneKimani-f2r
@JaneKimani-f2r Күн бұрын
Watuchelewashea house girl sana mpaka tunasahau
@benjamin-o1f5j
@benjamin-o1f5j Күн бұрын
ongereni sana
@aishaomar9621
@aishaomar9621 16 сағат бұрын
Yaani kai uwafeli kila sku unapaswa uwe jasili jamani ona hasira hasara😢
@Lovekidoti32
@Lovekidoti32 2 күн бұрын
Jamani Kai amebakwa na belinda 😂😂😂😂
@MARYNAGUJustin
@MARYNAGUJustin Күн бұрын
True
@VianeChaula
@VianeChaula Күн бұрын
😂😂😂
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 14 сағат бұрын
Ila wifi zatiti iyo mimba imempendeza na amejuwa kuchoka na kufubaa😂😂
@MayPatrick-j6u
@MayPatrick-j6u Күн бұрын
Kai zumbukuku kweli 😂😂😂❤
@OlivierOlivierIsmail
@OlivierOlivierIsmail 2 күн бұрын
Jamani nyinyi wa choyo ata like moja akuna 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@JamilaRutasingwa
@JamilaRutasingwa Күн бұрын
Mnachelewa sana aisee
@MARYAMSHABAN-l5w
@MARYAMSHABAN-l5w Күн бұрын
Mambo tayali ❤
@joycemlay5762
@joycemlay5762 Күн бұрын
Mnachelewesha sana
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 2 күн бұрын
Dah! Haya nimekuja tena Maana nimechungulia hadi huruma ila sio mbaya kazi nzr❤
@busatitv
@busatitv Күн бұрын
Pole sana 🙏🙏
@RizikiZiki
@RizikiZiki 2 күн бұрын
Jamani tulikua tume wa miss ndugu zetu natamani niliye kwa furaha ❤❤❤
@busatitv
@busatitv 2 күн бұрын
❤❤❤
@JoyceJohnson-t5z
@JoyceJohnson-t5z Күн бұрын
Uyo belina mtoe kabisa kwenye ausgel anaboa sana
@OmbeniJosephat
@OmbeniJosephat Күн бұрын
busati mnachelewesha sana sahv
@nyakenandaBrian
@nyakenandaBrian 2 күн бұрын
Movie tamu kweli
@gracemakuja9876
@gracemakuja9876 Күн бұрын
Tunasubiri movie mpka tunaka tamaa .mnatusubirisha sana.
@MaryamAlmandhari-e5m
@MaryamAlmandhari-e5m Күн бұрын
Zatiti jamniii kama kwer unamimba😀😀
@VianeChaula
@VianeChaula Күн бұрын
Khaaaa jamaaan chiko nlikumic😂😂😂😂
@TRIPPLEKMEDIA-f1e
@TRIPPLEKMEDIA-f1e Күн бұрын
Kudadadeki msimu wa 4 HOUSE GIRL ni zaidi ya moto.......hongera kwa waandaaji wote mungu awabariki wsanii wote wa HOUSE GIRL
@busatitv
@busatitv Күн бұрын
🙌
@JamilaBocha
@JamilaBocha Күн бұрын
Finely baada kutueka hzo siku zote hatimaye leo mmeachilia
@HappynessKimwaga
@HappynessKimwaga Күн бұрын
Mimi ni shabiki wenu sana ila mmenivunja moyo nimetapatapa mda mrefu nikisubir duh msiwe mnachelewesha kias hiki😢
@ShamimShamy
@ShamimShamy Күн бұрын
Mauwa Kwa Shani 🎉🎉🎉 nimependa ulivyomfwnyia belina upended mwingine pole kayi Kwa kinachokukuta Tena Mungu Yu pamoja Na wew
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 14 сағат бұрын
Uyo dereva ameingia mwenye gari ilatingishika 🤣🫣
@mary-lx3hr
@mary-lx3hr Күн бұрын
Ila huyo dereva 😂😂
@زينه-ل4ح
@زينه-ل4ح Күн бұрын
Nimekuw nawamis san wachabik wet😊❤❤
@ShadyaMerick-md9qw
@ShadyaMerick-md9qw Күн бұрын
Weeeee jeiva chiko kumbe upo jamni pole hahahaha ndo ukome sasa kinzid kukulamba
@ArietBosibori
@ArietBosibori 2 күн бұрын
Kai akitoka naondoka niende 😢😢😢😢
@SalmahLuvuno
@SalmahLuvuno Күн бұрын
Kai hajapendezwa kushout😂😂
@MaryMyumbilwa
@MaryMyumbilwa 19 сағат бұрын
Waliofurahia chiko kua jela kama mimi like
@SasherKhamisi
@SasherKhamisi Күн бұрын
Tunaomben msitucheleweshee jamn movie tam lakin....😢
@MARYAMSHABAN-l5w
@MARYAMSHABAN-l5w 16 сағат бұрын
Zatiti tumbo limechosha jmn 😂😂😂😂
@NoorEesa
@NoorEesa Күн бұрын
Mnatucheleweshea sana
@JescaMarykarisa
@JescaMarykarisa Күн бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉
@aisha770
@aisha770 2 күн бұрын
Belina ni kinganganizi kwel 😂😂😂😂
@busatitv
@busatitv 2 күн бұрын
Yani
@CatherineTambwe-m5g
@CatherineTambwe-m5g 2 күн бұрын
Kama zuchu Kwa mondi
@MariamKanze
@MariamKanze Күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nilikuwa nimemiss Sana house girl
@RozaliaStanslausRaphael-zw7zj
@RozaliaStanslausRaphael-zw7zj Күн бұрын
Jamani mnachelewa mnooo, hadi mnaniboa
@FatumaMtwana
@FatumaMtwana Күн бұрын
Marafiki zako Wa Saud Arabia tumekumiss😅😅
@busatitv
@busatitv Күн бұрын
😃😃
@jamalsultan6868
@jamalsultan6868 Күн бұрын
😂😂😂
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 Күн бұрын
Nice movie 🎥❤❤❤❤
@Mwanajumahassan-tg3zg
@Mwanajumahassan-tg3zg Күн бұрын
❤❤❤busat muko back sio tuliwamiss 😂😂😂😂kai ww ukoje vaa nguo za maji na uende
@حسنا-ض3ز
@حسنا-ض3ز 23 сағат бұрын
Much love from Kenya ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😮😮😮😢
@RukiaKhamis-pu9zv
@RukiaKhamis-pu9zv 2 күн бұрын
Waooooo wa mwanza
@busatitv
@busatitv 2 күн бұрын
❤❤
@RukaiyyaHassan-n5b
@RukaiyyaHassan-n5b Күн бұрын
Hongersni kwa kazi nzuri zana
@Mtembori
@Mtembori 2 күн бұрын
Finally my favorite movie iko back happy new year guys
@BongeChichii
@BongeChichii Күн бұрын
jmn mmetucheleweshea sana
@DianaMagesa
@DianaMagesa 2 сағат бұрын
Iv kwann kila xku ni kai tu kwan zuu yeye hana mabaya kila xku kai ndo mbaya
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 Күн бұрын
Next ❤❤❤❤🎉🎉
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s Күн бұрын
Melina una fosi mapenzi una kera mnoo muache mume wa zuu wetu bibi uko wapi ufanye mambo uko Kay anapata shida uko jamani
@gracenyevu8082
@gracenyevu8082 16 сағат бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪
@AnnaJohn-d6y
@AnnaJohn-d6y 2 күн бұрын
Pole kai yamekukuta
@JULIETHGORWA
@JULIETHGORWA Күн бұрын
Au bibi naomba umsaidie Kai maana atafanyiwa kitu na Hawa magaidi
@SalmaKasanga-j9p
@SalmaKasanga-j9p Күн бұрын
Wahoo.zatit penda san
@PredigandaMshomba
@PredigandaMshomba Күн бұрын
Jaman kaiii chungaaa sanaaaa
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s Күн бұрын
Kay mkomeshe uyo endeleya nauyo msimami wako hivo hivo safi sana
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 2 күн бұрын
Wow wa tatu mie jaman 😂😂😂😂😂 furaha kama yote nataman ep16 ipo pia 😂😂 kazi nzuri sana tulio subir nakuchungulia like hapa
@busatitv
@busatitv 2 күн бұрын
Asante sana🙏🙏
@BongeChichii
@BongeChichii Күн бұрын
yan brenda ni mbwa jmn na kanikera sana cijapenda kabisa alichomfanyia kai
@SbsBts-g3v
@SbsBts-g3v Күн бұрын
Next plz 🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂
HOUSE GIRL EP 16 | S4 | LOVE STORY 💞💕
21:16
BUSATI TV
Рет қаралды 42 М.
BINTI MASKINI 💞 DADA MUUZA MATUNDA  PART 29 | Love Story
20:08
Twizy Dady Tv
Рет қаралды 21 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
BEFORE I MEET YOU 💔 { 11 }
27:48
Donta Plus
Рет қаралды 52 М.
MISSION IMPOSSIBLE [36] SEASON 2
25:50
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 204 М.
WAKE WENZA S01 EP 02
18:45
Juma Zomboko
Рет қаралды 11 М.
MY DAUGHTER  I ep 14 I
17:04
CLAM VEVO
Рет қаралды 261 М.
GHOST IN LOVE | ep 05|
11:46
NGAGESA ONLINE
Рет қаралды 3,5 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН