Nakupenda sana mama tasha♥️♥️♥️♥️Mungu anijalie nami niwe mama bora na mwenye hekima kwa kijana wangu baadae kama ww😘 inshaallah 🙏
@HappyTimotheo2 ай бұрын
Yaan kwakweli Mama tasha apewe mauwa yakee🎉🎉
@Marlenapilikitsao-gk9je2 ай бұрын
House girl vitu moto kitugani hakijakaa vizuri Kwa Kai🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣✊💪🫸🫷🫂kai Na zuu hamjaacha kupunga Moyo Wangu🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@YunucKhalid2 ай бұрын
Namuonea huruma Tasha jmanii mpeni like zke
@AAl-r1s2 ай бұрын
big up sanaa mama Tasha nakupenda bure❤❤
@MR_RAMSATZ2 ай бұрын
🔥 ila jamani zatiti kipnz changu anapitiwa wakati mgumu mpaka namuhurumia
@GloriaNahimana-x8p2 ай бұрын
Mwenye anataka zatiti na tacha waingie kwenye ndoa tujuane🎉❤🎉❤
@JoywillyImbenzi2 ай бұрын
Mm hpa
@GloriaNahimana-x8p2 ай бұрын
@@JoywillyImbenzi Thank you
@SubiraShaibu2 ай бұрын
Asalam alaikum warahma tullah taal wabarakat Kila anae tazama house girl mungu amlinde Kwa Kila jamb semen allahum amiiiin Kwa like 5❤❤❤
@Nuru-e1w2 ай бұрын
Amiiin
@HhUhh-io8ix2 ай бұрын
Allahuma ameen
@HusnaX-u6q2 ай бұрын
Allaah Huma amiiin
@ignitiussilungwe79302 ай бұрын
Waleykumu salamuwalha matullahiwaba rakatuh Amiin
@aishabakari46862 ай бұрын
Amin Allahumma Thuma Amin 🙏🙏Nawe pia Mpenzi Mungu akulinde inshallah
@khadeejamct20962 ай бұрын
Nitapenda nikion zatit natasha wako kwenye furaha❤❤❤
@PurityMwongeli-p9f2 ай бұрын
Dogo leo aki. Yaan Tasha kutoka mwazo hadi mwisho. Wewe
@genz1stqualityfilmproducti1402 ай бұрын
Naona dada wa kazi ashaanza kuchoka hmuangaliii mume
@abimavalayo92002 ай бұрын
Wakwanza mm leo❤from Kenya 🇰🇪
@Themignosaith2 ай бұрын
From Rwanda 🇷🇼 munipe zangu like namba moja
@janethbwilinde90172 ай бұрын
Jaman Kai mZuriii hana kasoro wanaokubaliana na me gonga like🎉🎉❤❤❤❤
@NeemaMariana2 ай бұрын
Unahuakika Hana kasoro kweli 😂😂
@NuruAshery2 ай бұрын
Umalaya tu kutulia aaah
@FatimaFatimaFatimaFatima-q2dАй бұрын
😂😂😂@@NuruAshery
@KuvunaGonda2 ай бұрын
Jamani Malaika ww huwezani na Mr Tasha hata dakika moja 😂😂
@ZenaAfreka2 ай бұрын
jamani habar wapendwa wanabusati kazi nzuri walau 2nakosa mda wa kuangalia mapema lkn a2lali mpk 2iyone house girl penda sana ❤❤❤
@FammaMaboko2 ай бұрын
Waouh 🎉🎉🎉dakika 6 tu nimewahi wanao penda Busati TV mlete like zenu apa makopa ❤❤❤❤kwa wingi eeeeh
@KhadijaKhadija-mj5ub2 ай бұрын
❤❤❤❤
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk2 ай бұрын
❤❤❤
@TumainiJaphary2 ай бұрын
Kwan Tasha anatak nn Kila mwanamke sio sahihi kwake bc ashuke malaika mbinguni amuoe☹️☹️☹️☹️km unapenda Tasha amuoe zatiti weka like apo
@modestajamada34962 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@MetrineNelima-i4w2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Mapenzi yanaitaji moyo mm hapa miaka 13 sijapenda nko single naenjoy
@modestajamada34962 ай бұрын
@@MetrineNelima-i4w 🤣🤣🤣🤣 awe
@Shuubebe2 ай бұрын
😂
@CarolyneNyanchama-yk1gf2 ай бұрын
Dada zuu anaitwa malaika natamani amuoe
@JuliteNabwire2 ай бұрын
❤❤Tasha na zatiti naomba muwe bibi na muke tupiliya mbali kamukonde
@LighySteven-gd8wo2 ай бұрын
Dah tasha jaman apate amani ya moyo sasa genius na mshauri mzuri lakn mapenz yanamtesa
@FaidhaRamadhani-p6i2 ай бұрын
Niko na mm mapema sana nipewe mauwa yangu🎉🎉🎉🎉
@FinindyFiana2 ай бұрын
Jamani me bando langu Leo limeisha,wanakamati naomben mchango et😂😂😂
@MwanamisiMuna2 ай бұрын
Mashaallah mama Tasha ww n mm bora kwa kweli n maneno yko y busara hao,,yaan hta kma mtu yko n majonzi anafarijika hongera sna,Mr Tasha acha kusema hivyo zatiti mwenyew nywajikaz juu huu chiko amekuja kumrudishia kidond tn hebu muelewe,,mm n kuaminia sna genius fanya mmbo umuumize n yy chiko kwa thaman aliosema haizai
@jaymapepefatma59362 ай бұрын
This is love From Mozambique 🇲🇿❤💞
@saumodzumbo96712 ай бұрын
Mbona haya mapenzi ya daa zatiti na mr tashaaa ni majaribu 😢😢😢😢😢😢
@Agyy6282 ай бұрын
Siku zote kitu kizur kukipata lzm upitie majaribu😂😂😂😂😂
@Sofiashabani7802 ай бұрын
Dakika moja mshaajaa tayari hee
@NasibuAlly-wb9uv2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@YusuphLichela2 ай бұрын
Kwa wale wanae ona dk wanazidi kupunguza gonga like hapa
@Claragesaidisfamily2 ай бұрын
Tasha na Zatiti shida zina wakumba sana
@fatmaubwa-z8s2 ай бұрын
jamani sasa ata kama ni malaika hushushwa 😂😂😂huyu ilikuaje akashushwa huku kutuaribia kwa mr tasha na sisi kizatiti cvhetu tunakipenda😂😂😂😂😂😂😂😂
@lutfiyahsaidi66662 ай бұрын
😂😂😂 huyo hajashushwa huyo kadondoshwa
@jumabintie2 ай бұрын
Nakupenda bule mama tasha ❤❤❤ umenikosha na maneno yako 🐟🐟 kapike supu upozee koo😂😂😂
@ShamimAbdul-tf3fw2 ай бұрын
Tasha. Pole na yanayo kukuta lkn elewa mungu hamtupi mja wake wew na zatiti zawad toka kwa mungu🎉🎉❤❤❤❤
@fatumaabdalla31022 ай бұрын
Ahsanteni san tunawapenda 🎉ila hii imekua ndogo
@asiamwachega2 ай бұрын
Tunaoomba Tasha na zatiti wawe mke na mume gonga like hapa
@samuelnthia88582 ай бұрын
Like
@uwimanalidiascheilla32562 ай бұрын
Ni lazima
@PaulOjiambo-p1f2 ай бұрын
lazima🎉🎉
@asiamwachega2 ай бұрын
@@PaulOjiambo-p1f ukipenda
@asiamwachega2 ай бұрын
@@uwimanalidiascheilla3256 ukipenda
@fatmahaji76392 ай бұрын
Tasha msamehe Zatiti Maisha yaendeleye ❤❤❤
@faridadondo21032 ай бұрын
Wakwanza leo naomba lake zangu 😂😂
@BoscoListon2 ай бұрын
Wanao amini Mr tasha ni anajikurupukia na maamuzi gongs like hapa
@franktodory2 ай бұрын
stak nyingi mbili tu zinatosha
@fatumabakari26402 ай бұрын
Umepata za zaidi hizo nyengine nipe mm
@JosephDevis-s6o2 ай бұрын
Saiv mnatoa Dak chache alaf kipande kimoja shida nn
@ManfeitaShahbani2 ай бұрын
Jmn mbn kila cku dkk zinapungua tu au ni mm tu nimeon
@raineryponera32782 ай бұрын
Jmn watu kama chiko wapo
@AshaMkayala2 ай бұрын
Jamani me candy anavonipa Raha kwenye house girl nampenda hatar
@eunicejohn39942 ай бұрын
😂😂😂😂kashangamsha move sana huyo dada
@jokhainaally74232 ай бұрын
Napenda Candy anavoendana na uhusika wake bila ya Candy tamthilia isingekua nzur
@AngelRobbertАй бұрын
Nikweli kabisa bila candy hainogi
@RuthTitus-qx1lq2 ай бұрын
😊😊😊smile ya zatiti❤❤
@NjoleZuma-ue9yo2 ай бұрын
Kazi juu ya kazi❤❤❤
@faithkalulu2 ай бұрын
wenye tunafurahia hii series inavyoletwa,goga like
@Harriet-g7c2 ай бұрын
Wangpi tumeanz kuwatch my mother❤
@nurufatsaidy2 ай бұрын
Hakika ni nzuri sn inatufundisha na kutuelimisha mnatupa Raha kiukwel
@hassankazungu17452 ай бұрын
Ila Candy....wanaomjua mtuambie ako hvyo kweli ama ni character imemuiva😂😂...gongeni like tukisonga wana busati
@dennisgichuki43672 ай бұрын
Character never change 😂😂😂
@NURUMWADUME-wq7ye2 ай бұрын
😂😂 Uyu candy Ana tabu kweli 😂
@NasraShaibu2 ай бұрын
Nampendaa saaan
@yusuphmkomwa34272 ай бұрын
Litakua hivyo hivyo tu danga hili😂
@Kissnellmoh2 ай бұрын
Just acting duuuh
@herveiratunga36562 ай бұрын
Tupa ata like tanu mimi kwanza
@rubenibernald61382 ай бұрын
Weeee maraikaa nijibu tenaa wimbo kaimba nani nijib kwa maandishii af acheni kivungaa kama hamzioni sms Zang sawaaa nawapenda sana iraa mnaniumiza hamniambii
@hajiussi92902 ай бұрын
Samhn mbna kila siku zikienda mbele vipande vinazid kupungua dakik hamuoni kama wat watacha kufuatilia
@MoïsePosta2 ай бұрын
Tu like❤️♥️ 2 kwa Wale tulio anza Season 1 mpaka hapa tulipo fikiya gongeni like❤ hapa
@Johar9032 ай бұрын
❤❤❤❤naomba Tasha msamehe zatiti ili muwe mke na mume ❤❤Tasha punguza Asira mke sahihi ni uyo Zatiti
@walteradera43362 ай бұрын
Happy to be the first today shower me with some likes guys
@loemasanzu71932 ай бұрын
Vijana wa hovyo washaanza kuzoom namba za simu za mama tasha
@lutfiyahsaidi66662 ай бұрын
😂😂😂
@HajraOmar-g1c2 ай бұрын
😂😂😂😂
@RoseNjoka_232 ай бұрын
😅😅😅😅 Umewaza kama mm 😅
@Nailaty5642 ай бұрын
Mie nazumu namba za Mr tasha😂😂😂😂😂😂😂
@DinaSamwel2 ай бұрын
😂😂
@RisikyCute2 ай бұрын
Mama Tasha nakupenda sana ❤❤nakuangalia nikiwa Saudi a
Swadakta Mama, Tasha Chukua Mauwa yk 🎉🎉🎉🎉🎉 Mwambie Tasha Asilegeze Kamba Twataka Tupeleke Posa Kwa kina Zatiti
@terimberejaliajalia82842 ай бұрын
wajama zangu wa 🇧🇮 mpooo!!
@MutabaziAmuri2 ай бұрын
Watanzania filam zenu ni nzuri Ila umaliziaji wenu ndiyo vurugu sasa naomba isiishi kabla hamjatuonyesha harusi ya zatiti n'a tasha
@FausterMwajiАй бұрын
Tasha na zatiti lazim waoane💕
@lucymbuma6812 ай бұрын
Kwakweli pole tashaaa duuh❤❤❤😅
@NiyokwizeraJulienne2 ай бұрын
Nawapenda🎉🎉❤❤❤❤❤ san vipenzi
@HoHo-l1r2 ай бұрын
Mambo yanazidi kupamba moto 🔥🔥🔥
@SaumuJumwa-u4v2 ай бұрын
Tasha acha kujipa stress zatiti hana chiko 😢😢usimhukum vibaya kabisa 🥹🥹zatiti anakupenda kumbuka kitu kizur lazima kiwe na mitihani 🥹
@bihadibavu2 ай бұрын
Wanao amini tasha atamuoa zatiti like hapa tukisonga wapi team busati🎉🎉🎉🎉
@sifamakiwa87412 ай бұрын
Ila mama Tasha una ushauri muzuri sana uko mama mweye ekima una aki yakuhitwa mama shika mauwa yako 🎉
@RehamAlmamari2 ай бұрын
mbna kitu jmn 😂😂😂❤
@modestazaver2 ай бұрын
Yani Bora muandae season three kuliko iyo my mother munafanya fyogoo kabisa kwasasa andaeni season three mutakua mumetukosha mashabi zetu haya like zenu tafazari ziwe zakutosha
@KhadijaMdee2 ай бұрын
Pole sana mista tasha
@saumJuma-q3e2 ай бұрын
Wa pili uwiiiii nilikuwa naisubir kwa hamu😊
@TumainiMunuo-s8p2 ай бұрын
Jamaani tasha mpaka namuhurumia daah
@linetkawishe-k5j2 ай бұрын
Wakwanza jmn wapendwa❤
@Hapygideon2 ай бұрын
Jamani Tasha usiwe na makasiriko tunawaombea muoane❤❤
@Jenniffer-m9k2 ай бұрын
🎉🎉tunao taman tash n zatiti wawe mke n mume munipee like jaman🎉🎉🎉
@NeemaChuwa-bm1ke2 ай бұрын
Jaman Kai zatit ndo mke Bora kwako owa uyo mwanaume mwenzio asikuogobeshe
@sadahamad61582 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 jaman hii movie haiishi vituko malaika nae yuwaniacha hoi
@elizanyamboba47532 ай бұрын
Kwa kweli nimejaribu kuwahi ila ndo ivoo like hata2 zinatosha😂
@DidaAlly-iz1it2 ай бұрын
Yaani hii movie bira candy hainogi mkae mkijuwa candy ndiye hanachangamsha humu ndani yaani mpk mtaani yupo hivi hivi candy ni mcheshi Atari 😂😂😂😂😂
@AminaMussa-bw2jhАй бұрын
Ukwel kabis ndo Ana changamsha
@RosebellahNambiro-gf5ot2 ай бұрын
Nampenda sana candy😂😂😂😂namumis pili maboga😂😂😂😂 salam zimfikie❤❤❤❤
@wemakorogwe69002 ай бұрын
Hakika mama tasha umeitendea haki nafas ya mama...
@halimakanga-u1j2 ай бұрын
Mama tasha anavidole vizur sana
@jedenecosta2 ай бұрын
Tasha chunga.malaika Asikupereke shimoni Zatiti.anakupenda sana
@كامليا-ر7ز2 ай бұрын
Ila zatiti nilembo kwel ❤❤❤❤
@magrethmodest-yp6fg2 ай бұрын
Mama Tasha mbn hajabadirisha nguo jmn
@Asyawaamidu-g7p2 ай бұрын
Ila zuuu jifunze kuvaa usivae. Km kipind upon Haus girl pls badirisha mavazi sasa na muonekano now
@buru12352 ай бұрын
Duuh hiyo part ya Zuu n Bibi Wa mkumbafffff khaaa 🙌🙌 kitu kipi mboo au Nini🤦😀😀😀🏃🏃
@SarahNelson-ej3sm2 ай бұрын
Leo nimewahi,,,,,,😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@AAl-r1s2 ай бұрын
Leo dakika zimepungua sanaaa 16😢
@Grace-kt3yp2 ай бұрын
Ebu tubet jaman vipi mma tasha akitoka or zatt itakuaje akiwakuta hapo napiaje tashaatamueleza thatt or inakuaje ❤toa maoniako
@AminaBakari-oy9eb2 ай бұрын
Tunao soma comments na kuwatch tujuane 😂😂ila cady nakupenda San unavyo kua kisiran na mwezio sania 😂😂😂nawapend san from Kenya to Qatar 🥰 mashallah ❤❤
@BertinaCatitiAdamu2 ай бұрын
Wanao sema zatiti na tasha wanaendana gonga like hapa
@PendoZakayo-b7y2 ай бұрын
Naona dakika zinazidi tu kupungua siku nyingne mtarusha dakika 5 nishaona😂😂😂😂😂😂
@moreenfelluzy32432 ай бұрын
Kam wew ni Kam kend aisee badilik mapem San mung hat hapend 💯💯💯💯
@ASAS-q9u9e2 ай бұрын
Mambo moto😂😂😂😂❤❤❤❤
@GraceOtieno-vo3sj2 ай бұрын
Hongera Mama TASHA
@AnnaAmanda-v4q2 ай бұрын
Nawaombea wote muwe na maisha marefu yenye baraka tele na afya njema ❤❤️🙏
@hajaronduko7612 ай бұрын
Naomba house girl isiishe
@hajaronduko7612 ай бұрын
True❤❤❤❤
@KambaleTemauzenge2 ай бұрын
Jamani taratibu tusikanyagane maan mbio mbio kila mtu anataka awe mbele