SIKU YA IJUMANNE TUNAPOST FINAL YA BABA YANGU KIPOFU ILI TUITAMBULISHE MOVIE MPYA KWENU ASANTE KWA USHIRIKIANO WENU NAWAPENDA SANA
@ErastoMsemwa2 ай бұрын
Kweli iishe maana mliaza kutuboa sasa na candiy
@AishaJafari-sh4pe2 ай бұрын
WAOOO LIKE KWA BABA KAROBO JAMNI BINGWA WA KUTULETEA MAMBO MATAMU HAPOI❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@rehemajuma32502 ай бұрын
hiimovie nitamusana kwani bl
@BabyeSaumu2 ай бұрын
Hapo sawa maana mnaitoa ladha hii movie ..sasa niya kuhusu mapenzi ila sio baba yangu kipofu tena, mnatuchanganya.
@lucienkanfwa72092 ай бұрын
Ongera sana baba joan ❤
@SalomengandiNzungu-it5ph2 ай бұрын
Patronise wallah umenigusa ww aki na hicho kinyimbo Big up mdogo wangu❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@afrahafrah94602 ай бұрын
Kwakwel n mm amenipamba kinom ❤❤
@AndrewAgustino-b5o2 ай бұрын
Patronaiz komaa mdogo wangu uko vizuri Acha mashabiki tukupandishe nidham ndio siraha ktk mafanikio
@CarolyneMalala-o6x2 ай бұрын
Ki kweli hata kama mtapost ya mwisho imekuwa namafunzo mzuri sasa,jamani mpewe maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ Ila naombeni kujua vile nitazipata hizo nyimbo nawashukuru👏👏👏👏👏
@batuli-n8e2 ай бұрын
Skuwa na moods yakuendelea ila patronize ndo ywanipa moral 🎉🎉🎉nan mwenzngu anaesukumwa na kipaji cha patrossnize❤❤❤natoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@annetmunuve58142 ай бұрын
Hi five kwa patrossnise❤❤❤ako na kipaji kwa kweli
@batuli-n8e2 ай бұрын
@@annetmunuve5814 hatuboeshi
@JacobKipeno2 ай бұрын
Huyo mkaka yuko sawa nana
@Mwanamisi-q6y2 ай бұрын
Walahi huyu mkaka amewwza san ❤❤
@elizabethcatherine-jm8frАй бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉
@Lovelysha20242 ай бұрын
Wapi likes za patronize ana kipaji kizuri tumuonyeshe upendo ❤❤❤❤❤
@RukiaManga-z1t2 ай бұрын
Mtandao wa kijamii anaitwa nani ana kazi nzur sauti yake nzur pia big up kwake PATRONIZE
@orsianawej92192 ай бұрын
Name the song of patronize
@MRIAMUKIRINTONY2 ай бұрын
Patoro naiz mdogo wang nakuombe kwamng uenderee kukitunza kipaj chako mng akubarik sana nyimbo zako zinamfunzo❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@kokenye90032 ай бұрын
Very nice song exactly 💯💯 asiye fuzwa na mamake ufuzwa na ulimwengu
@The.glstvshow.The.glstvshow2 ай бұрын
Nani anamkubali kakake mama karobo big up bro kama unampenda mamako eka like hapa tujuane ❤❤
@SarahWanyonyi-nu5zc2 ай бұрын
Na sikuhizi amepotea sana hapataikani kirahisi❤❤❤❤❤
@rukiamohammed-g7b2 ай бұрын
♥️❤️❤️♥️
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj2 ай бұрын
Hyu kakaeke mama karobo yko sawa sana
@hawajaa93792 ай бұрын
🎉❤❤❤🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉
@MAdh-q5x2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@watichogutu41622 ай бұрын
Waw Naombeni Like Zenu Wa Kutoka Kenya
@MariamMgate2 ай бұрын
Safiiiiiii❤❤❤❤❤patroniz wimbo una ujumbe mzur xanaaaa pia hongera xana baba joan
@VenantieGIRUKWISHAKA2 ай бұрын
Kabisaaa Muimbaji mzuri, unaimba vizuri ,kile mtu Asie funzwa Na Mama e, anakifunzwa Na ulilwengu. I love all team Baba Karobo Mmetupa mafunzo ya hekima mnoo'oo, God Bless You. From🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tunawafuata everday
@Elasmo_mwinami2 ай бұрын
Ila zudiati hajui kununa , mwenzake kaomba msamaha kidogo tu , kashaa m samehe nimeipenda hiyo ❤❤❤
@EverNgilangwa2 ай бұрын
Co kamaa wanawake wa cku izii ananunaaa wikiii
@EzekielMasai2 ай бұрын
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪 nimewahi leo nipeni like 5
@Celestinniyonkuru-b8u29 күн бұрын
Namukubali baba kalobo muvie yak nzuli snaaa
@dhahabudeche9262 ай бұрын
Hongera sana dj unaimba vizuri Mungu akubariki na akuzidishie hio NEEMA❤❤❤
@AminaMohamed-td2bi2 ай бұрын
Mashaallah.uyo yukosawa.kabsa mungu mbariki kipajichake.tunakupenda pia wewe baba karobo na mwanao karobo.mungu awabariki nakazi yenu 🙏🙏
@SamwelSamike2 ай бұрын
Mbn me sijawahi kupata like hata moja naomben bac na me leo
@BlessMadempoz2 ай бұрын
Uyu kijana ana saut nzuri sana yakuimba congratulations brother ❤❤❤❤
@DamarisKawira-c4d2 ай бұрын
Leo nmewai dakika y 5 much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rodgersmwagu2392 ай бұрын
Tunaomba iyo nyimbo ya patronaiz itokee kabisa tumeipokea kwa kishindo iyo imeenda kaka
@GrandePiquiGrande2 ай бұрын
Naipenda sana kuona hiiii movie imeisha🎉❤❤
@DedanOchieng-m9vАй бұрын
Wow 😲😲😲😲😲 so interesting about patronize so talented and guiding.❤❤❤❤❤❤❤
@JoselineJuma-r7o2 ай бұрын
Kama umeguzwa na wimbaji wa Patronize gonga like
@Suzanapaskoqnkn2 ай бұрын
❤❤❤❤ sana
@JentrixShumilla2 ай бұрын
Naeza pata huu wimbo
@PerezQuenisha2 ай бұрын
Kabisaa
@FatumaZuberi-m8f2 ай бұрын
@@PerezQuenishainaitwaje nyimbo
@PerezQuenisha2 ай бұрын
@@FatumaZuberi-m8f hata mm imenibamba but cjui inaitwaje
@MarcelinaJoaoAbel2 ай бұрын
Nakukubali sana Patronize mungu akujalie kipaji chako uwe na maisha mazuri😅😅😅
@ASHAMWABAYA2 ай бұрын
Patronize wajua kuimba chukua mauwa yako❤❤🎉🎉🎉🎉
@esterkimalio88462 ай бұрын
Baba Joani,,,,,,lengo letu tulitaka kuona wewe ukeshaona,,,,na mama karobo ameumbuka na umekuwa na maisha yako ya awali,,,,sasa basi inatosha ❤❤❤❤❤
@qurthummrabdllh36352 ай бұрын
Tumehoshwa kwakwel na hii movie😂😂
@نجاةالعبري2 ай бұрын
Ime kua isidingo yan
@patriciachangawa17542 ай бұрын
Daaa patronise kweli umejua kuniliza😢😢 kaka hogera sana mungu akuzindishie kipaji🎉🎉🎉❤❤❤
@Leilah22 ай бұрын
Patronize you have nailed it💯the song is on hit🔥🔥keep it up,,
@CharlesNyandwi-l9z2 ай бұрын
Mimi niendelee kuwapongeza Kwa ushauri wenu kupitia igizo lenu natumaini mmejaribu kutuelimisha ipaswavyo Ambaye ana maskio na macho natumaini amejifunza zaidi Tuwape big up sana Mimi nilijitaidi kuifuatilia mwanzo hadi mwisho,nafikiri igizo lenu ni mambo tunayoyapitia kila Siku Baba Joan Mungu akusaidie zaidi❤❤❤❤❤
@mariaMgeni-e5fАй бұрын
Patronaiz upo vizuri sana mola akubaliki maisha marefu pia mungu akujali uwezekukuza kipaji chako wanaompenda huyu kijan usipite bila kuweka comment hp
@DivineIngabire-lj3sr2 ай бұрын
Patronize wimbo wako umenivutia sana kabisa
@Zebuu-kp2 ай бұрын
Unyama ni mwingi sana sapoti zenu muimu sna kwake anapat guvu ya kusonga mbele 🎉🎉🎉❤❤
@Phoebenafula2 ай бұрын
KP tuletea Mr money na plan b
@MillyYulemmoja2 ай бұрын
@@Phoebenafulakp mgani mwenye ako na subscriber 600. Original kp ako na 200 and above subscriber
@Phoebenafula2 ай бұрын
@@MillyYulemmoja what???
@LizzyBeb-m6s2 ай бұрын
Tunataka Mr money pia,,usikae xana bila kutuletea tumeingoja poa
@Phoebenafula2 ай бұрын
@@LizzyBeb-m6s huyu si KP nimeabiwa hivyo
@SelinaWilliams-z7h2 ай бұрын
Jamani nilikuja mapema sana naombeni hata kumi
@sergesntunzwenimana2 ай бұрын
Leo haki musinihangushe kutoka Burundi naomba like sana❤❤❤❤❤ nawapenda sana naomba like kama unapenda baba yangu kipofu
@JumaMswaki-r1y2 ай бұрын
Saw
@JaneGesare-x1p2 ай бұрын
Ina mafunzo mema❤❤
@AmenaMm-r5t2 ай бұрын
Ipo vzr kabisa
@sergesntunzwenimana2 ай бұрын
@@JaneGesare-x1psana
@kariukiveroveshferry8923Ай бұрын
Episode 55 sasa
@aminimwazani94832 ай бұрын
Big up brther patronize mungu akutimizie ndoto zako inshaallah
@EstherMrisa2 ай бұрын
Baba joan iyo nyimbo ya patronize itoke plz nimeipenda sana na ikitoka tujulusheni plz
@AbigailMulaa2 ай бұрын
Nimefika wa kwanza Leo toka kenya❤❤❤🎉🎉
@SIMON-z5k2 ай бұрын
Likes mnapea mastaa TU ila mimi nimewaomba kwa upole
@MariamMchomvu-q3s2 ай бұрын
Asante mdogo wa mama karobo unajua kuimba paronizi barikiwa sana🎉🎉
Wow congratulations patronize mwezi nyeMungu azidi kukuinua ufikie malengo yako nimependa sana kipaji chako❤❤❤❤
@aldandusha75852 ай бұрын
Nataka hata like 10 tu 😍❤️
@JaneGesare-x1p2 ай бұрын
Baba karobo n mtu mwenye utu so tuige mfano wake nawapenda sana❤❤❤❤❤Na kama n kwel eka like
@Mohamedak-yy3rd2 ай бұрын
Mimi ndo wakwanza leo natokea kenya 🇰🇪 wpi like zangu 😊
@HidayaAbdallah-l2l2 ай бұрын
Eeeh jmn wapili leo jmn ukuuuuuuuu wapi ukuuuuuuuuuu
@AshuraOscar-og9ed2 ай бұрын
Umeziwekeza wapi?
@HildaAludah2 ай бұрын
Hi na mchelewesha ila inafunza natazama kutoka nairobi Kenya likes zenyu jamani na mpole video zangu
@DeeDan-sj1mr2 ай бұрын
Wangap wanaamin kuwa mov yetu ixhapoteza radha waimalize watuletee nyngne
@ElinahChama2 ай бұрын
Hakikaa
@ElietEdwardАй бұрын
Mlio ludisha nyuma kusikiliza mala yapili nyimbo ya patronize kama mm gonga like congratulation 🎉🎉 patronize
@AllyManzi-qc4xc2 ай бұрын
Patronize pure talented big up dogo kaza KIPAJI chako kikubwa sana nakuona mbali sana soon
@MagrethMasauda-y6l2 ай бұрын
Jamani hongereni sana kwa kutoa tamithilia nzuri san pia inafundisha kwa ujumla maan mamb yote yahumo kwenye jamii yapo pia big up baba joan💪 na tunakupenda pia❤
@Angellahkwamboka2 ай бұрын
Wa kwanza kutoka kenya🇰🇪 nipeeni like
@EstevaomateusMateus2 ай бұрын
Naipenda sana movie comment usikose 🎉🎉🎉 from Mozambique
@LucyMugeko2 ай бұрын
Wa kwanza leo jamanii from Tz♥️😍
@JosephMusyoki-f9q2 ай бұрын
👋 hallo
@Babusori2 ай бұрын
Hebu naomben hata like moja tu jmn Leo nimewahi jamn plz guys 😔😔
@riziki84062 ай бұрын
Mashallah patrinise umeuwa kichenzi❤❤❤ big up mungu azidi kukuongoza
@lazaruswanjala78272 ай бұрын
Congratulations for the best/ good effort to all the crew members for Baba yangu kipofu. This program imekua na wingi wa mafunzo mango mno, kielimu haswa hali ya Karobo kua na damu na bidii kimasomo chamno nilifurahia mlipo fika sehemu ya kumcha Mwenyezimungu na kuweka imani yote kwake. Congrats to you all 🎉😊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ZulphaMsangi-s9g2 ай бұрын
Waaah kazi nzuri baba karobo ❤❤🎉
@AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u2 ай бұрын
Hii movie inatosha bana kama nawe kwako inatosha basi ii comment usikose like ajuwe 🎉🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@tabiteMomade2 ай бұрын
🎉🎉🇲🇿🇲🇿
@MARYMAREGEMDAKU2 ай бұрын
Friday ndio inaìsha
@qurthummrabdllh36352 ай бұрын
Haishiii ivoo😂😂
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Mashallah 🎉🎉zujat umependeza sana abaya shungi nikab vimekupendeza mno na uzuri wako umechangiya
@nshimiyimanaalex64672 ай бұрын
Kbs munatufrahisha sana 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Kigali Rwanda turabakunda cyaneeeee ❤❤❤❤❤
@officialtizedy42132 ай бұрын
From Zambia I progress with you . Big up all team members.
@ELECTAJOHN2 ай бұрын
Je suis le premier
@MargretIsiako2 ай бұрын
Wa kwanza toka Kenya 🇰🇪 nipe hata like moja
@SalomeKiarie-w1x2 ай бұрын
Kama una watch sasa hivi naomba like hata tano❤
@OmarNzohabonayo2 ай бұрын
Jamani Leo dakika 6 tuu nimewahii muwe na amani Ii🇴🇲🇴🇲🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@vivinenibitanga85292 ай бұрын
Omar uko mabella😂😂njoo pole pole mahi 😮Mimi nimechelewa 😢huyu mulima wa Al amerat siwezi
@OmarNzohabonayo2 ай бұрын
😂tene huyo mulima nimeupanda vyema mpaka amrati nimetulia
@vivinenibitanga85292 ай бұрын
@@OmarNzohabonayo weee usinambie🤔🤣🤣🤣🤸haya diha Mimi Niko hapa chini iyi Amerat ya kizungu😂😂wee huogopi
Nimependa huo wimbo wako patronize naeza upata vipi❤
@ChrisChris-w8z2 ай бұрын
Patronize Ni Kaka Yake Na Zudjati Wamefanana Sana
@LightnessUrio-fo7mq2 ай бұрын
Uyu dada alisahau atakam anamdog wake😂😂
@PaulKarisa-o4h2 ай бұрын
Munavyo iendeleza sana hii picha ndio mnazidi kuitoa utamu
@aishaomar22872 ай бұрын
Hujaona amesema final ni kesho kutwa...imeisha
@PaulKarisa-o4h2 ай бұрын
@@aishaomar2287 amesema baada ya ujumbe wangu
@Celestinniyonkuru-b8u29 күн бұрын
Namkubali xnaa baba kaloo😊😊😊
@SyombuaMuvengei2 ай бұрын
Jamani siku hizi mmenisusa amnipi like jamani nimekosea kipi angalau nipeni hata leo natokea kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤
@JimmynineManus2 ай бұрын
Aliefrah juu ya patronize kurd agong like hapo
@MercylineMutheu-l5t2 ай бұрын
Mwisho wa ubaya ni aibu ata nyinyi mnaona mama kolobo , alafu Kuna cendy yule wa kule Kwa house girl , ebu cendy asilete zile tabia zake huku 😂😂😂
@JudithSimiyu-ps7ee2 ай бұрын
Cendy😅😅😅
@gershomchallo2 ай бұрын
Dogo Patro....#UNAWEZA sana; hivi kweli watu walojaliwa vipesa kidogo, huyu dogo hawajamwona kweli. Niombeee mimi mdogoangu...dah, unaimba saaaaana ❤
@OmariJumaaWaziri2 ай бұрын
Patronaise hongera sana kwa wimbo mzuri❤🎉❤❤👍👍
@Dr.NasicheJuliahАй бұрын
Patronize nyimbo zako zinaweza sana....nawezaje pata nyimbo hizo kama audio Alafu naomba ufanye wimbo wa kumfariji mtu aliyesalitiwa na mpenziwe ,,,utanifaaa sana🇰🇪🇰🇪 Much love 💗💗💗
@WapoHao2 ай бұрын
Malipo ni hapa hapa duniani mama kalobo
@Boneandelopi2 ай бұрын
Mimi wa kwanza
@JoyceKorofia-xr9bz2 ай бұрын
Leo nimewahi 🎉🎉🎉🎉
@VeraCheronoАй бұрын
Wa mwisho from Kenya 🇰🇪🇰🇪😊
@AzizaQueen-lr8oz2 ай бұрын
Jmn good job 🎉🎉🎉🎉🎉
@JanetSimiyu-j9hАй бұрын
Mimi n wa mwisho kutoka kenya maana kila mtu n wa kwanza 😂😂😂😂naombeni likes jamani
@biommy67002 ай бұрын
Mwenye ameburudika na wimbo wa petronise,,, gonga dole kumsuport afike mbali... Nani km wazazi... Ishi na watu vzr mwisho wa ubaya aibu
@mohamedjonston8622 ай бұрын
Super super PATRONIZE naomba kama Albam yeke haihitaji tafadhali
@Shoka_boy2 ай бұрын
Mauwa yake apo baba karobo🎉🎉🎉🎉
@NyotaFrancisca2 ай бұрын
Apo mambo ni sawa cause mkienda kwenye huu mwendo itaisha vizuri 🎉🎉🎉🎉 mpewe mauwa yenu ❤❤❤❤😊
@Kingsureofficial2 ай бұрын
Team Baba joan mpk kieleweke
@MbogoSouljah2 ай бұрын
Excellent vile mama karobo acted aliporudiana na Fashion, this is wonderful ❤
@sylvanjosam34022 ай бұрын
Kumb patro yupp😂😂
@JameesJuma2 ай бұрын
Nawa salimaa watu wot mung awe nanyi 🙏🙏🙏🙏
@kingustarboe2 ай бұрын
mwanzo mpaka mwisho nipo nanyie ❤❤❤
@dadaamwazewe12992 ай бұрын
Ninaimani ssi wa dada au wanawake tumejifunza vitu kupitia hii movie ❤😂Big up bbakarobo and you team ❤❤🎉🎉
@ekimnkande28732 ай бұрын
Safi sana cinema inafundisha
@Asma-i1t2b2 ай бұрын
Hongra patronize Allah akuzidishie kwakwel umeupinga mwingi ❤jina la nyimbo❤❤❤🎉🎉🎉
@Linus-kn7tj2 ай бұрын
Wa kwanza kutoka Ruangwa
@SamwelSamike2 ай бұрын
Leo nimechelewa kuliko siku zote naomba like
@GabrielMaanga2 ай бұрын
Hongera sana
@Christina-i6c2 ай бұрын
Jamani Leo nimekuwa wa kwanza mnipe hata like 5 nawapenda ote❤
@Africanjr2542 ай бұрын
Kaka siuachilie hiii Ngoma iko na funzo kwa vijana na jamii i appreciate your work may God protect you and all your family to the industry