nimeipenda hiyo busara ya mama mkwe baada ya kujua mwanae ametenda makosa
@FranceJulias23 сағат бұрын
Hongera sana kurya kwa kazi nzuri tumejifunza mengi
@AkramElias-uo3od15 сағат бұрын
Apo good 😊
@MrsMariam-x2s21 сағат бұрын
Mama acha wongo uyo mfanya kazi ni mzuri sn kwakweli anakasura kazuri kwakweli
@bonhomebyamungu837411 сағат бұрын
Mama ni mama. Kiukweli ameamuwa kama mzazi. Mungu akubariki popote ulipo mama. Pia upewe mauwa yako 🎉.
@Janvier-y4r19 сағат бұрын
Mama mukwe kajikosowa sasa❤
@FrankLuhaha-p4lКүн бұрын
Kurya boy❤❤ movie kalii sanaaaa ❤❤pia inaujumbeeee kwenyeee jamiiii
@Janvier-y4r19 сағат бұрын
Mimi sijaipenda uyu jamaa ni Bwabwa, mimi siwezi nikamuruhusu mama mukwe anizalilishe kiasi hichi, nikuwatimua wote na mwanae
@GidionPhilipo-g1y18 сағат бұрын
Kiukweli ilikua poa sana kulya🤝
@robertburwe253716 сағат бұрын
Mama hatariii,Habibu uko vizuri
@MrsMariam-x2s21 сағат бұрын
Mama mkwe awo nni unamtukana tena Mme wa mtoto wako hhhhhhhh
@abasimsonge576516 сағат бұрын
Habiba kawa mpole had nimempenda tena
@AlsoAlso-mq3pu21 сағат бұрын
Wewe mama wewe punguza ukali kwangu uje na kunitukana unitukane 😢😢😢
@MrsMariam-x2s21 сағат бұрын
Uyu mama atakaye mkomesha niuyo begi tatu 2 ndio dawa yake hhhhhh mwanako naye hatuliyi kwenye ujumba wake anapigwa njee hovyo😊
@robertburwe253716 сағат бұрын
Kurya hiyo shoo ya mama unaiweza😂
@FadhilaElisha-t4k21 сағат бұрын
Habiba upo vizuli shoga angu
@MilcahKawazaКүн бұрын
😂😂😂😂mama wwee amlete shetani atampat wapj amani mbona hiyo adhabu kubwa sana
@robertburwe253716 сағат бұрын
Mama yuko vzr
@ndiaofficial28 минут бұрын
Habiba anatoa macho tuu
@FrankNkainaКүн бұрын
Umukungu Ono nekebe eeeee Bora kwasababu muv ilikua shamla shamla haipo
@NeemaEli-wl1dz18 сағат бұрын
Ongeri kwakazi zuri sana
@pendomwaringa759720 сағат бұрын
Hogera mama
@MrsMariam-x2s21 сағат бұрын
😢safi sana mama ndio anastahili kua hivo mzazi mzuri hua mkweli kwa wanawe wote 2 Mme mana mtoto sio mpaka ulipo jizaliya wewe kurya bingap Sana
@kuryaboyog19 сағат бұрын
Asante sana mariamu
@NYOTAWAMCHONGOTVКүн бұрын
My blood WA kwanza mm
@DanielngoivaМинут бұрын
god jop❤❤🎉🎉
@apostlejacksonmalonza375Күн бұрын
Haka kamama balaa😂😂😂😂
@MassoudMtumba5 сағат бұрын
Kwanin huyu mama kwenye kombolela kakosekana
@EdwardHojakalogi3 сағат бұрын
hahaha kwakweli man yupo moto
@sabatoagerКүн бұрын
any kenya here
@SadakaAmanКүн бұрын
Apo nimemkubali mama alipo mwita mfanya kazi wa huyo mwae na kumtuliza ili aujue ukweli apo nimeona umefanya vizuri nakupongeza sana mama maana huo ndio utu na heshima ya suruhisho la ugomvii nawapenda wenye mioyo kama iyo ,,,wamama eee igeni na kujifunza apo asante sana.