Tunawapenda sana Wote ambao mlikuwa na sisi Kuanzia SEASON ONE na mbaka sasa mpo na sisi SEASON TWO na bado mkiwa mnazidi kusimama na sisi... All team CHADO tunasema TUNAWAPENDA SANA MASHABIKI ZETU ❤️❤️
@ZubedaMbegu15 күн бұрын
Lahaula cheus nakubal xan 🤛
@PiusGeorge-l9x15 күн бұрын
Kaka
@FaidhaKalembo15 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@AleniAlanusi15 күн бұрын
@@Madam255Vp
@enoshmhemakapaya15 күн бұрын
Lahaulaaaaaaaaaaaa
@SingahKE15 күн бұрын
Im singah ke🇰🇪Chado ni mwanangu nafagilia movie zake ila toka nicomment akuna mtu amelike comment zangu sijui nizingue
@TZHASHMAN15 күн бұрын
Lia😂
@YohanaSiame-d1t15 күн бұрын
From Tanzania kila Anae fuatilia chado masta filam mungu amfungulie milango
@OliechPaulo15 күн бұрын
Mimi Sina mengi chukueni maua yenu team chado kwa kufanya vizuri kazi yenu 🎉🎉🎉❤❤
@HamisMbury15 күн бұрын
Wanaosema mission inposible itaingia kwenye historia ya movie kali gonga like🙌
@Zahara-or3cf15 күн бұрын
Wanaoharibu hao wanariadha wanaokimbizana kila siku
Mungu awabari sana kazi yenyu ni nzuri endeleni kutuburudisha nikiwa🇰🇪🇰🇪
@JanepherBudodi15 күн бұрын
Leo mapemaa alafu anaependa mahusian ya mzee wa misumar na jojo like zetu wap
@GraceannerSilayo14 күн бұрын
jaman chado kusalitiwa yeye ndo aanze udalali kwenye vyumba vya watu😂😂🙌🙌🙌 kitengo ww noma
@veronikajoseph627115 күн бұрын
Mungu Mbariki uyu anaesoma comment hii mwaka huu amiliki kila anachohitaji
@Latifa0Tayfa15 күн бұрын
Inshallah
@AbdallahIsmail-vh1tb15 күн бұрын
Amen
@MinaahDequte15 күн бұрын
Amiina
@LivenKinoti15 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@BimNondo15 күн бұрын
Amiin
@JamesReuben-gt8up15 күн бұрын
Sema zungu kaecti kwa hisia sanaa big up kwakee
@fatmaathumani711615 күн бұрын
Ambia Chado yuko wapi? Watazamaji mko wapi? Team strong mko wapi? Na hizo like ziko wapi?😂😂😂😂😂
@ZainabMbarak-k8t15 күн бұрын
Tuko apa team strong
@OmanOman-gz6bp15 күн бұрын
Ambia team strong chado awasamehe wenzie😂😂😂
@MkasyswallehsaidSwalleh15 күн бұрын
Team strong tupo twendeni nalo 😂😂
@fatmaathumani711615 күн бұрын
@@OmanOman-gz6bp 😂😂😂 ambia Chado ya kazi ya udalali atuachie sisi team strong tutamlipa kwa Rial
@priscamlyuka553115 күн бұрын
😅😅😅
@NickMichael-f9t15 күн бұрын
Ngwengwe vs chado ni bonge ya kolabo baraa san❤❤
@RynetWeller15 күн бұрын
Mm ndio wa kwanza leo naomba like zenyu alafu chado tu naomba group ya WhatsUp wanao niunga mkono 👋
@Diprismkanagana15 күн бұрын
👋
@SubbyDaudy15 күн бұрын
🎉
@MwajumaKhamisomar15 күн бұрын
Ilo kwel tuungie group
@IbrahimMkwama-m3n14 күн бұрын
Kitu kizur kweny hii season kuanzia one na hii two, kuna vitu tunajifunza kianzia maisha marafiki hata utafutaji wetu pia kwenye mapenz nd usiseme big up team nzima....!!!! 🎉🎉🎉🎉
@AbdulyMtanga15 күн бұрын
Good bless my big brother season Kali sna hiii nakukubal sna afu mi kila siku nakometi sijapewa at mauwa yangu at siku Moja naomba Leo at like mbil
@AMIRIRAJABU-ld5ry13 күн бұрын
Unyama sana 👑👑👑👑 chado master respect sana
@NgwengweMasta-s4v15 күн бұрын
Kama mnaamin tunafanya Vizr kwa sababu kwa neema zake mungu wacha comment Kazi mnaona nafanya vizr au bado sana🎉🎉
Mzeee had vyiumba unataka upangishe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hatarrr sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@WaridiSaidi15 күн бұрын
Jaman waliyopenda kumuon ngadaya kwa mara nyingine wagonge like hapa 😂😂😂❤️
@MARYMAREGEMDAKU15 күн бұрын
Mimi napenda udaku ya jeusi
@WaridiSaidi15 күн бұрын
@@MARYMAREGEMDAKU 😂😂 cheusi media
@HassanAli-uw5mx14 күн бұрын
Dm
@WaridiSaidi13 күн бұрын
@@HassanAli-uw5mx 😊
@JosephIsacka-w2w14 күн бұрын
Jaman muhuni akipenda hua anapenda kwel chado maua yako
@johnkombe538415 күн бұрын
Chado master kweli big up bro napenda character Yako ni fun kutoka Kenya naeza tamani kuact nawe
@cleophassinde135915 күн бұрын
Daaah hii Leo noma...unabeba vitu vyao...alafu unakodi vyumba vyao...KITENGO BABA
@cleophassinde135915 күн бұрын
Muhuni akipenda ...daah
@marydavid269415 күн бұрын
😂😂😂hiyo ndio kitengo sasa
@Jastne-j1x15 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@Jastne-j1x15 күн бұрын
Mmmh!!! Chado baba weee nomaaa tena nomaaa sasa siunatka watu wakimbie hcho kijiji jmn weee mbn umekuwa mbongo jmn vitu uchukue ww na vyumba unakodisha ww 😂😂😂😂😂
@AishaMfuru15 күн бұрын
Chado namimi nataka chumba🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌 cha anko wake na mwarabu nikumbukie mizagamuano ya mwarabu w msewe na njicho🤣🤣🤣 Kodi sh ngapi👌
@kelvinmashel283214 күн бұрын
Hahahahahahahahha ni Mimi apah dalali chado vyumba vipo maaan watyu wameama 🙌🙌🙌🙌🙏 chado inatosha cc
@BatraohP14 күн бұрын
❤❤mbaka sasa mpo na SlSl
@AMREAL_KE14 күн бұрын
Kwa wale tunao support chado masta na ngwengwe mpite na like alafu sote tuseme wahuni hatunaga kufeli😅💪tukisema tumesema na hakuna wa kutupinga na iyo ndo sheria yetu👊💯💪..sisi ni "TEAM KITENGO"❤
@m.calfan843515 күн бұрын
From kenya ...kila anaesoma hii comment Mungu amjalie mwisho mwema inshallah
@swaumually830215 күн бұрын
Amiin🤲🤲
@BudaMwalimu15 күн бұрын
Ameen
@HassanMasha15 күн бұрын
Amen🙏
@mohamedyusufkk25415 күн бұрын
Ameen
@MwanaidiYahaya-l1c15 күн бұрын
Inshaallah
@patrickwetaa6414 күн бұрын
Niliulza hii song ya maumivu ya mapenzi inatesa iliimbwa na nani, ila saumu shape lake nimelipenda mie🎂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Khadijaahmadi-y7d15 күн бұрын
Wakulya mnaitwa uku na mjomba ake ngwengwe😂😂😂😂
@ShabuMttenga-f9e15 күн бұрын
Kaka chado masta awajasema bado mpaka waseme maana ya kitengo dalali chado umetisha kaka chado mauwa yako hayo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Mwanamisi-q6y15 күн бұрын
Mashallah kazi nzur ❤❤❤🎉Allah awape ubunifu zaidi y hapa...🤲🤲🤲ila sijapata ata like moja jmni
@zarinasospeter-ms9ic14 күн бұрын
Ila Ngwengwe 😂ety Mkuu😂 ila hongera 🎉👏unajuwa na unajitahidi san Mashallah Allah azidi kukubariki kipaji chko ufike mbali,, Amiin
@Tessoboe15 күн бұрын
Mwak mwingine tenaa,, chadoo master anazid kuuwashaaa motoo🔥🔥🔥,,, GONGA LIKE KAM UNAIKUBAR TEAM NZIMA YA CHADOOO MASTER 🥰🥰
@ShekiTedy14 күн бұрын
noma san chado master pamoja na ngwengwe
@MustaphaRamadhan-n3y14 күн бұрын
😆😆😆😆Hila kaka wa mama ngwengwe do alikuwa wapi huyu toka mwazo
@Haleema-dg5bo15 күн бұрын
Sasa chado hasira za mapenzi wazimaliza kuibia wtu vtu vyao kosa ,la mtu mmoja jaman eti 😂😂😂😂😂
@BmClassic-y5j15 күн бұрын
Jaman kila siku sipewi like, wapi like zanguu jamn wadau
@dayakaahtz15 күн бұрын
Kwani mnafanyiaga nini
@DerrickGodwin-c9i12 күн бұрын
Unawez
@DerrickGodwin-c9i12 күн бұрын
Chad mast kipenz cha wat
@LollvGreyze15 күн бұрын
Mungu awabariki wanafamilia ya mission impossible 2025❤❤❤
@BarakaMunga-n8q14 күн бұрын
Mpeeni namba zangu najma😅😅😅 kadem kasenge kweli😂😂
@mygetz6815 күн бұрын
Tuliojuwa swaumu atamkataa chenga tujuane hapa. ❤
@Official-sj6kw15 күн бұрын
😂😂❤❤❤wapi bro chado Aya mnipe like zang nimekua wa kwanza
@Hilalimalidayi-qs6sw15 күн бұрын
Sijawahigi kupata ata like mbili jomon naombeni kwa leo BAC na yeyote atakaye like APA Mungu ampe maisha malefu ❤nyote
@EngomaFidèleFidekasrapper14 күн бұрын
From USA 🇺🇸 Hapa nawapata vyema.
@barnabawilliams58615 күн бұрын
Mzee umeamua kwahyo unahamisha v2 unauza na chumba unakitafutia mpangaji pesa mala mbili mbli uongo aah hyo I like
@Scalpa95214 күн бұрын
Operation clear the street, watu lazima wapige nduru, wapi makofi ya chado masta na ngwengwe masta😂😂😂😂😂
@SHAZIMINA5515 күн бұрын
Kama umeanza mwaka kwawema kama hii movi . Shukuruu .napole ww uliye korofishana na waiguru wako tangu kuwanza mwaka pole😢😢 munguu atulinde aturudishe salama .shazimina from omani
@SaumuNyale-s6h15 күн бұрын
Jaman mm naipenda hii mission impossible kuliko chakula 😂😂😂 nyiee hamuogp 😂😂.. .nipeni like nimewahi leo jamoni 😊😊
@kharimjohneric549913 күн бұрын
Noma sanaa chado japo tupo kwenye mizozo na serekali kigoma🎉😅😂😢
@KHAIRATOSWARD13 күн бұрын
Kazi nzury mashallah ❤
@ClecensiaMtuka15 күн бұрын
Jmn wig la mama ngwengwe 🔥🔥🔥
@SifaBaranyizigiye-o4h14 күн бұрын
Kitengo baba unawaamisha watu bila manuwizi😂 iyo inaitwa operation safisha😅 uyo njo chado ss si mmemchokoza😂 dalali chado
@HamisiMpile15 күн бұрын
Amini mwanangu chado Aishi mpka iishe❤❤❤🎉
@gadinamahukuluroberto887515 күн бұрын
Kutoka 🇨🇩 mujini Lubumbashi Kaka kitengo wewe noma ceusi yuko wapi baba 😂😂😂 unahamusha watu bila lizaa yao dah Kaka kitengo !!!!!!❤❤❤❤❤❤
@Sambaaaboytz15 күн бұрын
Oya kitengo babaaaaa. Wanaomkubal gonga like apaaaaa😂😂😂😂😂
@EvansLangat-l6h15 күн бұрын
Kenya tupo likes zishuke kwa jirani❤❤❤
@patriciachangawa175415 күн бұрын
Daaah zungu prince kunitoa 😢😢😢kwakwe solo jiadae mna kikitoka kwa zungu ni ww
@letymange986815 күн бұрын
Nzuri sana ,yaani kama gusa ,achia twende kwao.,walioielewa onga like💚💛
@slokidog15 күн бұрын
yani toka nianze ku comment hiyi Filam sijawayi kupewa like hata moja 😢😢😢inauma
@RahmaNgasa15 күн бұрын
Uliwaza mbali sana chado hii mission impossible big up utafika mbali mungu akutangulie katika safari yako ya sanaa
@Yahyashassan15 күн бұрын
Mungu tufanyie wepes katk kila k2 amimn amimn 🙏🙏🙏
@Maryam-s6e14 күн бұрын
Sina cha kusema zaidi ya ❤❤❤❤❤❤❤❤
@JoyceRian15 күн бұрын
Jaman namim naomben like amjawai nip ata siku moja
@CathelineJuma12 күн бұрын
Zungu kameongea ukwel ❤❤
@OliverTwist-m3j14 күн бұрын
From Kenya we send greetings to you Chado ,,Chado to the world 🌎,,don't give up bro..
@ChrisRely-qk9jx15 күн бұрын
respect sanaaa chado master film 🎥🎥 ham poi, ham boi mna tupa rahaaa mashabik zenuu tuna wapendaa sanaaa🎉🎉🎉❤❤❤
@EzekielKyara-i1x15 күн бұрын
Nimekuja kugundua Mapenzi na Usaliti vinaweza kukurudisha katika maisha yako ya mwanzo eidha mazuri ama mabaya. Hii ndyo imemtokea KITENG9