HOUSE GIRL SEASON 02 INTERVIEW

  Рет қаралды 83,958

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

#bongomovie #housegirl

Пікірлер: 962
@ReginaAli-f3d
@ReginaAli-f3d Ай бұрын
Jamani mlikuwa na wasisi eti movie inahenda kuhisha na ukweli aujajulika like hapa tujuwane 😂😂😂. Kumbe season two ipo
@carolinenyadzua2458
@carolinenyadzua2458 Ай бұрын
Kai,Zuu, Bibi YA zuu,Baba kai,Mr Tasha nawapenda bure🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@MR_RAMSATZ
@MR_RAMSATZ Ай бұрын
Nawakubali wote tunaofuatilia house girl maana sisi busati tv tunawapenda sana tunahitaji mambo moto
@AgnesDavidmtalemwa
@AgnesDavidmtalemwa Ай бұрын
Nmependa interview yevu kiukweli mnaweza sana mungu pia azid kuwaongoza kama unapenda tim gonga like
@MagreneMathias
@MagreneMathias Ай бұрын
I can't wait to see season 2🥰😍🔥🔥🔥from ghana...wakanda forever😅😅
@RosekinanuGitari
@RosekinanuGitari Ай бұрын
Jameni mko smart mnakaa kuiva kuiva pia mko beautiful and handsome men congratulations all kazi smart nawapenda buure mungu awabariki mnaenda mbali kwa upendo wa mungu
@AminaSuleiman-sr4oo
@AminaSuleiman-sr4oo Ай бұрын
Kaz nzuri sana tumejifunza mengi sana tunasubl kwa ham
@JilyaChangu
@JilyaChangu Ай бұрын
Kendi na zuu nyie ndo noma sana. Wengne mhh hawafikii kendi we nomaaaa unajua sana kuigiza roho mbaya
@JustinMarcus-h7w
@JustinMarcus-h7w Ай бұрын
Zuuuh nataka uolewe na kaka angu unnaonekana. Unaadabu san😊
@AminaSuleiman-sr4oo
@AminaSuleiman-sr4oo Ай бұрын
@@JustinMarcus-h7w hahahaha wee unataka umpokonye Kai kipenz Chak atakubal kwel
@catherinemnyani78
@catherinemnyani78 Ай бұрын
Nmempenda bi zuuh Leo kapaka lipstic kapendezaa❤❤❤
@user-ic8oj1fy7q
@user-ic8oj1fy7q Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-oe7xe1dv3w
@user-oe7xe1dv3w Ай бұрын
Am very much ready for season 2 house girl na natengea nikiwa Kenya 😅😅🎉like hata 10 BSI nizidi kuji feel proud na hii movie 🎥❤❤❤❤
@user-on8cb8qq9o
@user-on8cb8qq9o Ай бұрын
I’m watching from 🇺🇸 USA I love you guys ❤❤ yani hii move hua naifstilia sana. Sipendi iniache kabisa I can’t wait for season two
@BeckyKerubo-254
@BeckyKerubo-254 Ай бұрын
Mimi huyu mpumbavu mwenzangu na mkewe nawapenda sanaa❤❤❤❤❤
@salamaodette1575
@salamaodette1575 Ай бұрын
😂😂😂😂
@nurufatsaidy
@nurufatsaidy Ай бұрын
Hongeren sana kwa kazi nzuri hakika mnajua sn mmetuelimisha na kutufunza mengi tunasubir msimu wa pili
@zawadisaid3454
@zawadisaid3454 Ай бұрын
Jamani mimi hapo sijamuona sania na babake kai plz😢😢 Jamani wako wapi Nawapenda bure nitoke busati TV niende wapi hapa toki mtu hapa❤❤❤
@user-hv3xu9sw6g
@user-hv3xu9sw6g Ай бұрын
Tuliza komwe 😂 anakuj
@Mamygumbo
@Mamygumbo Ай бұрын
Jmn basi huo msimu wa pili msicheleqeshe jmn tyupo tyunasubiri house girl ni tamu sanaaa mauwa yenu washiriki wote wa house girl💐💐🌺🌺
@LadyKCG
@LadyKCG Ай бұрын
God bless you all kazi nzuri sana.niko tayari nawasubiri….Nataka hio T-shirt 🙏
@user-dy1wi7nk6p
@user-dy1wi7nk6p Ай бұрын
Namm nimeipenda hii t shert
@bupemtafya1686
@bupemtafya1686 Ай бұрын
Hata mm nimeipenda sana ingenifikia huku Tunduma mpakani na zambia jaman
@TeddyJames-rh6cl
@TeddyJames-rh6cl Ай бұрын
Kazi nzuri Sana Mungu awabariki 🙏🙏 tumejifunza mengi sana
@Husna-s5k
@Husna-s5k Ай бұрын
Jamani mm nilizani ushatoka kumbe Bado ila msijali mashabiki wenu tuko pamoja naye kazi nzuri sana mnayoifanyaa tunatumai kazi nzuri inayokuja🎉🎉🎉
@SharonCharo-i6r
@SharonCharo-i6r Ай бұрын
Hongeren Sana Kwa KAZI nzuri nwapenda bure...ila musichelewes hio nyengine bc nwapenda kinoma❤️❤️❤️❤️❤️
@user-iv2ni4bz6n
@user-iv2ni4bz6n Ай бұрын
jameni nipe likes hata 10 tu...... much love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 Gen Z
@SelemaniMalandi
@SelemaniMalandi Ай бұрын
Timu busati mko vizuri Sana, mnatufundisha nawapenda sana, Ila msicheleweshe season 2
@MejuSimba
@MejuSimba Ай бұрын
Kazi nzuri sana Wana busati TV mungu awatangulie katika kazi nzuri mnayotonesha
@HidayaHassan-g4h
@HidayaHassan-g4h Ай бұрын
Hongereni nyote kwa kazi nzuri tumejifunza mengi kutoka kwenu
@ChaguVeeNovida
@ChaguVeeNovida Ай бұрын
Shukran sana wana Busati Tv, Kazi zenu nzuri sana tumenufaika na mafunzo mliouonesha katika tamthilia hii titled House Girl........ Moto juu ya Motooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤ DaZuli❤
@priscilladama8686
@priscilladama8686 Ай бұрын
Pongezi kwa washirki wote aki mmecheza vzr tumejifunza mengi sn hongereni aki mnafaa tuzo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-vh7gw3we5z
@user-vh7gw3we5z Ай бұрын
waliopenda T -shirt ya house girl tujuane 🎉
@everlyneouma-ss5zc
@everlyneouma-ss5zc Ай бұрын
Kazi nzuri Sana , twangojea msimu wa pili kwa hamu❤
@user-mm2oe3tx4j
@user-mm2oe3tx4j Ай бұрын
Asante sana dada zuu tumejifunza mengi kupita kwako tujuane ambao tulikua kuanzia season 1❤
@clariszawadi2010
@clariszawadi2010 Ай бұрын
Tunawapenda bure busati TV,nyanyake zuu na babake Kai, nyinyi ni wazee wenye busara sana, nawapenda nyote na ninawasubiria sàna kwenye season 2,ila nmependa sana series yenu ❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@jacklineteresia2629
@jacklineteresia2629 Ай бұрын
Ongera Sana tunawapenda Kwa kazi zenu zuri...tunasubilia iyo Moto sasa🎉🎉🎉
@AdventinaAckrey
@AdventinaAckrey Ай бұрын
Tunawapenda wote na tumejifunza vingi hongeren Kwa Kazi nzur sana jman mlete basi tuna isubir Kwa hamu.
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is Ай бұрын
Kazi nzuri sana tumejifunza mengi sana ❤❤❤❤
@mwanaishadola1998
@mwanaishadola1998 Ай бұрын
Tasha na kai nakubali sana hongereni sana Kwa kazi nzr mnayoifanya big 👍 up na bila ya kumsahau zuuuu nawapenda ddn
@DommyMhumble
@DommyMhumble Ай бұрын
Fanyeni hiyo kitu Wana busati Mr Tasha penda ww Kwa ushauri mzuri ❤❤❤
@ifferallen8051
@ifferallen8051 Ай бұрын
Yan mnajua mnajua mnajua tenaa Yan mmewashinda had waigizaj w nje y nchiii mpo vizur n mmeupig mwing typo pamoj had kielewekee 🎉🎉🎉🎉🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@PetronilaIngosi-en1gh
@PetronilaIngosi-en1gh Ай бұрын
Candy anacheza vizuri part ake🎉🎉😂😂😂ila naomba kimrambe kabisaaa
@user-hz6se7vh4h
@user-hz6se7vh4h Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-lm1oi6es8x
@user-lm1oi6es8x Ай бұрын
Tuna subir kwa
@riziki8406
@riziki8406 Ай бұрын
😅😅😅😅
@MarymkonzaMarymkonza-jw7fj
@MarymkonzaMarymkonza-jw7fj Ай бұрын
😂😂😂😂hata mm nataka kimrambe❤❤❤😂
@LydiaCostantine
@LydiaCostantine Ай бұрын
Zuu 😂 umetuwakilisha vyema bush people 🥰
@AminaKavuo-gj3oc
@AminaKavuo-gj3oc Ай бұрын
Yani mim Anne Sina usemi 🎉🎉🎉🎉hila niko na furaa San kwa kunifunza mengi,, cha kusema mim nawaombea tu kwa mwenyezi mungu muwa na kazi njema,, 🎉🎉🎉🎉nawapenda tu nyote
@BenardGava
@BenardGava Ай бұрын
Shukran sana wanna busati kwa kazi nzuri sanasana kenti weee
@LawiyaMdhihir
@LawiyaMdhihir Ай бұрын
MashaAllah shukran sana kwa Nazi yenu nzuri..tunasubiria kwa hamu na ghamuu❤
@leahwambui863
@leahwambui863 Ай бұрын
House Girl team Congratulations 🎉🎉🎉🥰😍😘❤️ nimejifunza mengi sana , wait of season 2.. Mimi nataka hizo t-shirt 🙈🤭🤣
@bihatih
@bihatih Ай бұрын
Kazi nzuri sana nawapenda bure mzidi nakuendelea nakazi nzur sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-tj9gk6rr8w
@user-tj9gk6rr8w Ай бұрын
Hongereni sana tupo pamoja ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-ug7ui2cd3x
@user-ug7ui2cd3x Ай бұрын
Gongratulation dear I’m enjoying my favorite movie zuu na Kai ❤
@user-yw9tb6vl9g
@user-yw9tb6vl9g Ай бұрын
God bless you all tunaisubiri sana season 2 plz cheza hata leo🎉🎉❤
@BosiboriRodah
@BosiboriRodah Ай бұрын
KAZI zuri sana nawafatiria toka 🇰🇪🇰🇪naomba T-shirt jameni 😊
@phaustnephinias1285
@phaustnephinias1285 Ай бұрын
Mi nimeipenda sana story yenu japo namimi natamani sana kuigiza nanyie
@Cleaver-lx5fs
@Cleaver-lx5fs Ай бұрын
Ila jaman kilamba ananifurahixha sana the way anavozungumza kwa madoido huku akipindisha pindixha xhingo lake lakn mbal na hayo huwa anaongea maneno yenye busara na uxhaul mzuri . Kama unamkubal kiramba tujuan hapa much love 🙏🙏🙏🙏
@EstherAnyango-pl1cw
@EstherAnyango-pl1cw Ай бұрын
Msitucheleweshe na season two, nawapenda Sana Mungu azidi kuwabariki kwa mafunzo yenu. Kai I love you together with Zii. From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Hadija-o5b
@Hadija-o5b Ай бұрын
Mko vizuri sana ,nahitaji siidii ya house girl msimu wa kwanza wote
@user-yr1tj2yn3o
@user-yr1tj2yn3o Ай бұрын
Kaz nzur ❤❤❤much love from 🇰🇪🇸🇦
@sarafinamochache8269
@sarafinamochache8269 Ай бұрын
Number 5 to comment ❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@RoseKasichana
@RoseKasichana Ай бұрын
Nyote mko. Poa mnacheza part zenu vizuri hongereni sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-ws8xy5ls8h
@user-ws8xy5ls8h Ай бұрын
Hongera sana kwaote pia niseme akuna kazi inayokosa changamoto ila tu ,tumejifunza mengisana na pia bibi 🎉🎉🎉 jamani .
@ElizaSanga-dl5vn
@ElizaSanga-dl5vn Ай бұрын
Tunawapenda sana❤️❤️❤️❤️wanabusati tv a.k house girl❤️❤️❤️
@EugeniaFrancisco-z5w
@EugeniaFrancisco-z5w Ай бұрын
Zuu nakupenda
@OfficialZuli-ve5kh
@OfficialZuli-ve5kh Ай бұрын
Nakupenda pia
@suzan2929
@suzan2929 Ай бұрын
Ata mm nakupenda ❤❤❤❤❤
@EugeniaFrancisco-z5w
@EugeniaFrancisco-z5w Ай бұрын
@@suzan2929 Asante
@Bikhadija69
@Bikhadija69 Ай бұрын
Bibi zuu na kupenda bure Mashaa Allah inafunzo kweli mungu awape nguvu na afya mueendelee
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s Ай бұрын
Jamani bibi yetu tunakupenda sana bibi yetu upo juu sana unacheza vizuri sana bibi
@ajuwazaglodim7645
@ajuwazaglodim7645 Ай бұрын
Nakupenda bure dada Zuu! Naomba hali ikiwa bado Kai hajafanya hivyo, jichunge usubiri harusi. Umetufurahisha sana kwa msimu wa kwanza. 🇨🇩 🇨🇩
@ZekaniS
@ZekaniS Ай бұрын
Kazi nzur ❤❤❤🎉🎉zuu kaka zuuu
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Ай бұрын
Twawapenda sana ❤❤❤ na hongereni sana kwa kazi nzuri
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s Ай бұрын
Yani kilamba ukwaju mie nakukubali sna sn ❤
@rishedynassor6170
@rishedynassor6170 Ай бұрын
Kaz zenu ni nzur sanah nimefatilia mwanzo mwsho na nasubiria kwa ham sana msimu wa pil na katika watu nimewapenda sanah UYU dada za titi na Tasha nimewakubal sanah ila kwa shukran zaidi wote mmecheza vizur sanah🎉🎉🎉🎉🎉
@MaryamMoosa-g5s
@MaryamMoosa-g5s Ай бұрын
Kazi nzuri sana. tunasubiri. Kwa ham🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@monarm9363
@monarm9363 Ай бұрын
Wow chumati Chana chidada changu zatiti wow❤❤❤❤ mashallah tabarakallah zatiti ni dem mrembo sana
@Laventa-pl5ux
@Laventa-pl5ux Ай бұрын
Much love from kenya ❤❤❤
@HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj
@HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj Ай бұрын
Waooo very nice ila tisheti zikopoa Mimi shabiki naomba haya tisheti nimezipenda jamani
@user-bq9zj5sm7i
@user-bq9zj5sm7i Ай бұрын
Hlf mashaallah wenye movie nyote n waislamu nawapenda sana jmn❤❤❤❤
@user-bt1vl8nu5n
@user-bt1vl8nu5n Ай бұрын
Ko umeskia hii mv inabagua dini kipome ww wangekuwa wakristo usinge watch
@BankuwihaZilfa
@BankuwihaZilfa Ай бұрын
Much love from south Africa 🇿🇦
@user-oy5fn8du4u
@user-oy5fn8du4u Ай бұрын
Nawapenda bure team zuu ❤nampenda zuu na bbke kai
@DaddyMsafi
@DaddyMsafi Ай бұрын
Asant san kwaote Ila musiharibu kwamana musimo wakwaza ulikuwa poa san asanteni ❤mupewemauwayenu🎉
@MonieNathan
@MonieNathan Ай бұрын
Candy umependeza leo umevaa nguo za heshima❤
@MaryBosibori-xm7us
@MaryBosibori-xm7us Ай бұрын
Dah kumbe nyie waislam nyote nawapenda bure congratulations 🎉🎉enyewe kama mm nilichienjoy sana na season ya kwanza nyote mko sawa kabisa be blessed na mwendelee kutupea vitu tamu kama za kwanza❤❤❤
@neemamsuya-sj8qg
@neemamsuya-sj8qg Ай бұрын
Du nilijua imeisha na subiri msimu wa pili kwa hamu sana na mpenda sana zuu na kai
@AryonWambui
@AryonWambui Ай бұрын
Hongereni sana tunatumai msimu wa pili candy hautaumiza zuu na kumnyanyasa jmn unaonekana kweli ni maumbile yako pia Kai kuwa mwangalifu mno kwa kuskiza mkeo kama anyone kwambia niukweli au uongo zuu hasije umizwa zaidi jmn nawaoombeeni kuzidisha vipanji vyenu zaidi ,tunasubiria msimu wa pili kwa hamu na ghamu
@MercylineObwogi
@MercylineObwogi Ай бұрын
Kaxi nzuri tumejifunza mingi sana
@NeemaNyamazuru
@NeemaNyamazuru Ай бұрын
Hongereni mmejua kutufurahisha🎉🎉
@SaquinaMinrage-m4o
@SaquinaMinrage-m4o Ай бұрын
Kandy nakupenda bure sijawai kukuchukia na wala sitakuchukia milele ❤ najua unaigiza kipenzi changu
@EdithAteka
@EdithAteka Ай бұрын
Tuko tunafuatilia vizuri tuko pamoja jamen❤tunawapenda na mafundisho yenu kutoka hapa Saudi Arabia asanteni kua na uo moyo wenu
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi Ай бұрын
Kweri da zuuu ata mimi nimejifuza vingi sana🎉🎉🎉
@OfficialZuli-ve5kh
@OfficialZuli-ve5kh Ай бұрын
🙏🙏🙏
@irenemwenda6374
@irenemwenda6374 Ай бұрын
Pamoja sana kazi nzuri mlioifanya muendelee ivo ❤
@ZahidahAli-ys1fg
@ZahidahAli-ys1fg Ай бұрын
Tunawashukur san nahis msim wa pili unaonekan pambe san kumb cedy mstarabu ivo nawapenda san
@AshuraAyubomar
@AshuraAyubomar Ай бұрын
Mmefanya vizur sana msimu wa kwanza tunatarajia msimu wa pili uwe bora zaidi
@BINTmohammed-fu9gp
@BINTmohammed-fu9gp Ай бұрын
woyooooo msichelewe basi ....love from Kenya 🇰🇪
@RazikeRara
@RazikeRara Ай бұрын
Congratulations 💐💐💐💐 nawapenda sana nyote
@RizikiZiki
@RizikiZiki Ай бұрын
Jamani wa tatu tuleteeni vitu jamani aceni kututiya uroho🎉🎉
@vinickemunto-sw6uw
@vinickemunto-sw6uw Ай бұрын
Hii house girl imefanana ya maria from Kenya keep it up tuko pamoja Hadi mwisho
@millicentwairimumuriuki8638
@millicentwairimumuriuki8638 Ай бұрын
Zuu wetu
@Tatufadhili-ud6se
@Tatufadhili-ud6se Ай бұрын
Waoo mashallah tunasubir yaan moto mungu awajalie kila la kher na kaz nzur❤❤❤❤❤❤
@AishaNibizi
@AishaNibizi Ай бұрын
Zou wetu tunakupenda tunasubili saaana kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@abibarehema-yn4gv
@abibarehema-yn4gv Ай бұрын
Ndiooo
@abibarehema-yn4gv
@abibarehema-yn4gv Ай бұрын
Ndiooo
@GhUy-u7s
@GhUy-u7s Ай бұрын
Kaz nzuri sana Mashallah nawapenda nyote ila candy
@user-sp2fm4qd2h
@user-sp2fm4qd2h Ай бұрын
kwenye huu mchezo candy ndio kafunika aisee...best actress ...ametisha
@omarsaid_1607
@omarsaid_1607 Ай бұрын
Usijali zatiti,,,, mume wako atakuwa Mr tashaa mwenyewe genius 😂😂😂😂😂in Sha Allah
@ZamzamMusa-ve5tc
@ZamzamMusa-ve5tc Ай бұрын
Jamani atukuchukii candy twajuwa ni kuigiza😂😂
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz Ай бұрын
Wee mm nilikua najikuta kumchukia kweli
@JusticeMjun
@JusticeMjun Ай бұрын
Dah tunaisubir kwa hamu nione harusi ya zuu na zatiti ata beba mimb au la
@AminaRehani
@AminaRehani Ай бұрын
ahsanteni vipenzi kwa kazi nzur ya mwanzo nasasa twatamani kuiona hio ya msim wa pili usituchelweshei twawapenda sana
@fhgj261
@fhgj261 Ай бұрын
Nasubiri kwa hali kuuu❤❤❤❤🎉🎉Nasubiri kendi Na kay...na..zuuu
@WinnieYokera
@WinnieYokera Ай бұрын
Naisubiri sana,asanteni kwa kaz nzuri mnayo ifanya
@abimavalayo9200
@abimavalayo9200 Ай бұрын
Wakwanza mm leo❤❤❤❤kenya woyy
@celinamboga581
@celinamboga581 Ай бұрын
Kazi nzuri kwa kweli sitamani iishe asanteni kwa kueka muendelezo na pia naomba msitucheleweshee sana jamani maana daa 🔥
@SECILIAEZEKIELMREMA-mu8xl
@SECILIAEZEKIELMREMA-mu8xl Ай бұрын
Msicheleweshe Sasa jaman
@MwanaishaChileta
@MwanaishaChileta Ай бұрын
Ongereni wapenzi nawakubali sana wacha wape mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂
MY MOTHER EP 09  | Sad Story 💔💔
20:55
BUSATI TV
Рет қаралды 19 М.
HOUSE GIRL EP 61 | SEASON FINALE | Love Story 💕💞
22:02
BUSATI TV
Рет қаралды 82 М.
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 43 МЛН
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 9 МЛН
OBINNA SHOW LIVE: DARK SECRETS  - Maveric Aoko
56:00
Obinna TV
Рет қаралды 449 М.
HOUSE GIRL SEASON 3 INTERVIEW
14:38
BUSATI TV
Рет қаралды 11 М.
THE HOUSE GIRL   EP - 1
9:36
MSALE TV
Рет қаралды 8 М.
HOUSE GIRL
3:53:48
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 280 М.
HOUSE GIRL EP 03  | SEASON 2 |  love story💞💕
23:57
BUSATI TV
Рет қаралды 142 М.
PAKA WANGU episode 1
15:29
MWAKATOBE
Рет қаралды 225 М.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 4
36:03
ZamaradiTV
Рет қаралды 30 М.
PLAY BOY FULL MOVIE || love Story💕💕
51:02
Tam Tam Tz
Рет қаралды 121 М.
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 43 МЛН