Nimekufuatilia Ika tangu 2020 na nimejaribu recipe zako kadhaa, unatoka domain ya cooking waingia lifestyle, ni nzuri kwako, hongera!
@SalomeFrank7133 ай бұрын
Pole mwaya ❤❤❤
@azirajuma5533 ай бұрын
Pole mwaya😢huwezi jua Mungu kakuepusha na nn..yy ndio mpangaji wa kila kitu,pole ika
@lilianestephanie78813 ай бұрын
Me nakupenda tu kwakweli
@RaniyahAnwar3 ай бұрын
Poleee Ika you will get something much better 😊
@MurderChroniclesTrueWorldCrime3 ай бұрын
Mtu anipitie tugrow pamoja please ❤❤❤
@lilianestephanie78813 ай бұрын
Nayaenjoy maisha yako ika malle
@marwasabrisaid51733 ай бұрын
Ucjal pengn utapata nyumba nzur zaid ya iyo
@marystephen11833 ай бұрын
Achana na hiyo nyumba mwaya huwezi jua Mungu kakuepusha na nn
@SalomeFrank7133 ай бұрын
Mamy umenoga umependaza sn ni miaka mitano ss toka naangalia video Zako mwaya Kuna vitu vingi nimejifunza hasa kupika na usafi love ❤
@lilianestephanie78813 ай бұрын
Yeah you never know kweli Mungu kakuepusha na nini
@esthernjuguna67133 ай бұрын
Ata mimi nimehamia nyumba hakuna maji.....very complicated story.....yaani I am stressed 😥 beyond words and disappointed ☹️. Looking for another house yaani Nairobi, unaweza pigwa character development ushangae.
@twalalykalokola52803 ай бұрын
Ooops! God's plan, you'll get a better place worry not. Permanent settlement is a bit exhausting.
Umeanza kuchoka😅😅 ila sisi tunataka vlog hata miezi tisa hiyo siku moja kabla ya kujigungua😂😂😂
@catherinemwanyigu22993 ай бұрын
Sis Ika calm down 😂😂😂😂
@FurahaMunyi3 ай бұрын
Tumia agent my sister mtanzania mwenzangu karbu me naishi ngong
@salmajuma58373 ай бұрын
Matunzo ya nywele umetususia now
@lovelure3 ай бұрын
Naturalktedy KZbin channel ni a Kenyan KZbinr domain yake ni kuhusu nyumba za kukodisha. Huenda unaeza pata nyumba unayotafuta eneo unalotaka kutoka kwake at the comfort of your home.
@ikamalle3 ай бұрын
Thank you 😊
@heriethmtenga3 ай бұрын
So sorry ❤
@ikamalle3 ай бұрын
Thank you dear ❤
@claratemba443 ай бұрын
Utapata nyumba nzuri kuliko hiyo
@ikamalle3 ай бұрын
Amen 🙏
@RaniyahAnwar3 ай бұрын
I think alichukua money from somebody else already
@lilianestephanie78813 ай бұрын
Na mimi soon
@glorify6503 ай бұрын
Nakupenda sana dada aika
@ikamalle3 ай бұрын
🥰🥰🥰
@clarisseopy2 ай бұрын
😢😢
@lilianestephanie78813 ай бұрын
Ika me sijaona mtu anayefanya vlog simple and bila kelele yaani inaeleweka kama wewe
@neylicious_mollel51943 ай бұрын
jmn😢 pole mpenzi so kwa heka heka izo nyie uanze kuunpack tena uwii mi ningelia week nzima😅
@ikamalle3 ай бұрын
😂😂😂
@lovekitchen903 ай бұрын
Ukiwa pregnant ikifika miez una energy unaeza beba nyumba😂 congrats babe